Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Acheni lawama za ajabu....huko kote Corona iliposambaa kwetu ndio iwe ni uzembe

Nadhani hata kingefanyika kitu gani....tuko oriented kulaumu tu
 
mulwanaka,
Katika Uislamu tulifundishwa kwamba zitafika zama za mwisho wa kiama ambazo (mfano atakapokuwa amekuja Masihi mwana wa Mariam) hakuna toba (tawba) yeyote itakayokubaliwa.

Janga la corona tayari limebisha hodi kwa hiyo maombi pekee hayatosaidia kwa sababu ugonjwa umefika mwilini mwetu na sasa tunasambaza kwa wengine kwa kasi kubwa mno, alichotakiwa kufanya bwana mkubwa ni kufanya maamuzi magumu kama wenzake majirani, its now too late kusema tuombe, kila mtu amlilie Mwenyezi Mungu kivyake lakini kwa tangazo lile ni wazi watakusanyika watu kusema tumeambiwa tuombe. TUNATEKETEA.
 
Siku tukiwa na kichwa cha habari kinachosema

TANZANIA YAONGOZA KWA IDADI YA VIFO KWA SIKU ndo nahisi hatua zitachukuliwa kwa sasa tuendelee kusali.

#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
 
Hii ndio litmus test. Je, tunayofanya yanatosha?, Tuongeze sara kumuomba Muumba au tujikinge maradufu..., yaani tumuombe muumba kwa social distancing....,

Je tuendelee kutokuogopa sababu hofu ni mbaya zaidi au tuwatishe zaidi watu ili wajue This is for Real
 
Leo nimeulizwa Au hawataki lockdown ili Hali iwe Mbaya kusiwe na uchaguzi mwezi wa 10?

Nikashindwa cha kujibu.
 
LICHADI,
Hao akina Mseveni na Kenyatta je wamefanikiwa kuzuia maambukizi? Kila nchi inafanya mikakati yake ya kuzia maumbukizi. So far hakuna njia iliyothibitishwa kuwa inazuia maambukizi kwa 100%.

Mekariri kufunga mipaka utadhani ndio suluhisho la maambukizi. Suluhisho sahihi ni kumuomba Mungu na kufuata njia sahihi za kujikinga na maambukizi.

Hivi virusi havina boundaries aisee. Utawafungia watu ndani lakini njaa itawatoa nje. Hakuna anayeweza kuvumilia kukaa ndani huku ana njaa.
 
Mambo sio mambo kwa wapenda mdudu
Sijui mtaponea wapi View attachment 1421784


Sent from my iPhone using Tapatalk
We unasema mdudu,ulishajiuliza kuhusu mikate,ile huwa inapikwa ikiiva inaachwa ipoe,Kisha mfanyakazi anashika mkate mmoja baada ya mwingine kupitishia kwenye mashine ya kukata silesi.

Kisha kuiweka kwenye mifukoni na kuiweka dukani,wewe utakuja kununua na italiwa bila hata kupitisha kwenye microwave.

Sasa itokee muhudumu mmoja Ana mafua ya corona,,,balaa lake....
 
Af huku wengine tushaianza weekend ya mwisho mwisho kuonekana sehem za starehe, bwana we msiende ma bar nikiangalia system nzima hapa ya kumhudumia mteja lazima kama Covid Ncube ipo ikupate kiulaiiini
 
Hili jambo ni la kisayansi linahitaji sulihisho la kisayansi sio 'religious fanatism'.....hapo mkuu kachemsha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani umesikia suluhisho ni 'religious fanatism tu mkuu?

Kama ingekuwa haifanyiki kisayansi hiyo idadi anayotangaza na mheshimiwa Ummy unataka kusema imejulikana baada ya maombi kwenye nyumba za ibada?
 
Back
Top Bottom