Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Inamaaana Siku ya Kwanzaa tu Ya maombi tumepigwa? Daaah baba askofu gwajima, uko wapi baba Kwa kauli ile ya kusema kuwa wakenywa wanapigwa kwa sababu ya kufunga makanisa? Baba askofu tunamuomba utubu ile kauli baba huenda ndio inatutafuna, gwajima baba kuthubu ile kauli sio nzuri baba askofu uchwala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jambo ni la kisayansi linahitaji sulihisho la kisayansi sio 'religious fanatism'.....hapo mkuu kachemsha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtu kapuku hata hiyo sayansi haijui anahitaji suluhisho la kisayansi huku akishuhudia kila dakika kwa mabwanawake awliomfundisha hata kutamka neno sayansi wanakufa kama nzige nawo ni mabingwa wa sayansi.

Kweli kunawengine wanapumba kichwani. Mtizame huyu bwanawako wa sulihisho la kisayansi covid -19 ilivyo mpeleka kwa watu wadini kuomba Mungu amsitiri na janga la covid -19 halafu mwambie naye uwo upuuzi unaosema[emoji116]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wanaoongezeka ni wengi zaidi ya wanaopona..hii kitu sio ya kuichukulia poa.lazima mapambano yaanzie family level to national level
 
1,5,13,____ ____ ____, 53, 88, 94, 147,____??
Hawa 53 wapya most likely wameambukiza watatu kila mmoja. Hii trend itaendelea tu unless some drastic measures zichukuliwe.

JK.jpg
 
Hata ukiniua hakuna sababu ya shughuli zingine kusimama. Death rate yake bado ndogo sana, watu watakufa tu kwa corona na magonjwa mengine it's the circle of life.
People want to defy the odds...
 
Ee Mungu nakuomba walinde wazazi wangu, kaka zangu, dada zangu na wadogo zangu!👏👏
 
kweli mwenzako akinyoa zako tia maji, vile tulijifariji kua eti joto virus vinakufa mara ngozi nyeus hatutishwi bt kuanzia sasa tunaufyata na tutakua adabu sana
 
Wakuu, Leo ndio Siku ya Kwanzaa kuanza maombi yetu kwa alahh Lakini, number zimedouble, tatizo ni nini? Au kuna watu wametenda dhambi Kama kuuuwa, kukatisha uhai wa watu nao wameingia humu kushiriki kuomba?

Tunaomba kama wapo kesho wasishiriki kwenye hili Jambo jema la kumuomba MUNGU, waaache Kabisaaa kutuletea baraaa, watuache tuombe sisi watu wasafi Kama alivyo tuomba mheshimiwa rais, hao wenye mikono michafu msishiriki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tupo zetu chato tuna shangaa wanyama wa Mbuga pendwa ...tumekuja kujificha uku

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Back
Top Bottom