Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nje utaenda kufanya Nini Wakati wenzako wako ndani?Hao akina Mseveni na Kenyatta je wamefanikiwa kuzuia maambukizi? Kila nchi inafanya mikakati yake ya kuzia maumbukizi. So far hakuna njia iliyothibitishwa kuwa inazuia maambukizi kwa 100%. Mekariri kufunga mipaka utadhani ndio suluhisho la maambukizi. Suluhisho sahihi ni kumuomba Mungu na kufuata njia sahihi za kujikinga na maambukizi. Hivi virusi havina boundaries aisee. Utawafungia watu ndani lakini njaa itawatoa nje. Hakuna anayeweza kuvumilia kukaa ndani huku ana njaa.
Unamaanisha Pascal Mayalla siopascal mayala unasemaje juu ya hii speed ya maambukizi? Tuendelee kumsifia Mtu au tuunganishe nguvu tupambane? Mwenyewe niko ndani nimelala naumwa but sio Corona
Yamesaidia hawa hawajaugua leo riporti inayokuja watakuwa wamepona wengi na huenda ongezeko lisiwepo na useme amina.Maombi ya leo hayajasaidia?
Sent from my iPhone using JamiiForums
We unasema mdudu,ulishajiuliza kuhusu mikate,ile huwa inapikwa ikiiva inaachwa ipoe,Kisha mfanyakazi anashika mkate mmoja baada ya mwingine kupitishia kwenye mashine ya kukata silesi,Kisha kuiweka kwenye mifukoni na kuiweka dukani,wewe utakuja kununua na italiwa bila hata kupitisha kwenye microwave.
Sasa itokee muhudumu mmoja Ana mafua ya corona,,,balaa lake....
Wewe lazima unaishi ndilimalitembo na hujui ukiongeacho.Hivi serikali haioni kama hili ni tatizo kubwa? Dar es salaam ipigwe rock haraka iwezekanavyo hakuna mtu kutoka wala kuingia ndani ya huo mkoa. wasipofanya hivyo mwezi ujayo itakuwa habari mbaya zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
1=147Mmeambiwa msali kwa siku 3 na leo ndiyo siku ya 1.
Mimi sijaipinga ila kuna taaratibu huwa zinafuatwa mpaka kitu fulani kuwa recommended.Okay, hulazimishwi kuichukua, ngoja wenzako waione