Wengine wanapongeza strategy zake anazocopy na kupaste toka kwa mzee Kinjekitire Ngware wa Karne ya 18.hawa watu ni aibu kwa nchi yetuNashangaaa mpaka lao MATAGA hawajapongeza Covid-19 kutokea kipindi cha JPM
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jamaa sijui vipi ?! Unashabikia nini , Mungu asaidie uonje ladha ya Corona . Uje ulete mrejesho
Odhis *
Pole sana Mpwa, now you are a Man!!we jamaa signature yako huwa inaniumiza sana when i think how my father died.
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Wengine wanapongeza strategy zake anacopy na kupaste toka kwa mzee Kinjekitire Ngware wa Karne ya 18.hawa watu ni aibu kwa nchi yetu
Sidhani kama anapata usingizi siku hizi.Hali imekuwa ni tete mpaka Waziri Ummy Mwalimu kavua kilemba
Unakuta Makonda na Hapi na Gambo wotr hao ni wakristo na jerry Muro na Ndugai na na Bulembo na Kessy wanaomba Mungu nao wakati wao siki zote wanawaza visasi kwa watesi wao.Mungu ndo atajibu kwa staili ya ajabu.Mpaka kufikia jumatatu tutakuwa tunashangaa tu kama kuku wenye kideliUzuri wa Mwenyezi Mungu huwa hapotezi muda wake Kusikiliza Maombi ya Kinafiki kutoka kwa Mwamba wa Unafiki nchini.
Bila lockdown, huwezi kukata mnyororo. Ndivyo uzoefu unavyoonesha kwa mataifa mengine.Waziri alitahadharisha hili jambo. Hatujafikia peak bado.
Wiki hii na wiki ijayo ndio itatupatia picha halisi ya tatizo.
Hafi ufikoa May tutakua tumefikia peak na maambukixi yataanza kupungua iwapo tu tutacbukua tahadhari kama za Uganda.
Maombi hayana nafasi sasa.
Umenikumbusha jamaa yangu aliwai niambia ukimuona simba anakufata badala ya kukimbia wewe unapiga magoti ukimuona Mungu akusaidie, utageuka lunch au dinner ya simba.Lala mlango wazi halafu Omba Mungu usiliwe na simba uone kitakachotokea
Sent using Jamii Forums mobile app