Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgonjwa wa Lindi, alipanda gari inaenda mangaka alipozidiwa kwa chafya abiria wenzake wakachanganyikiwa, alipofika Lindi kashushwa hospital leo ktangazwa. Basi na abiria wake wakae delea mangaka huku wakishusha abiria njia vituo mbalimbali .siku ya pili Basi likageuka na abiria dar.napata tabu zile chafya
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachekesha sanaUna case ya kujibu mkuu....umetoa taarifa za mgonjwa bila kufuata taratibu zilizoweka
Mkuu mjuze hao waliwekwa lockdown huko nao wanateseka kwa njaa hata kufikia kufa kabisa na akumbuke wanaokufa kwa njaa ni masikini tu, na pengine baada ya hili janga wakakukumbwa na baa la njaa na sisi ndio tukawa supplier wa chakula na anapaswa afahamu kila uamuzi uliochukuliwa na taifa fulani kujikinga dhidi ya huu ugonjwa wa corona unafaida zake na hasara zake.UZEMBE alio fanya Magufuli wamefanya dunia mzima kwanini umlaum Magufuli pekee pili unafikir itasaidia Lock down wakati uwezo wa kuudumia raia Tanzania hatuwezi hata kwa mwezi mmoja LICHADI,
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda watu hawajafanya maombiMaombi ya leo hayajasaidia?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukiji-isolate peke yako ni kazi bure....hapa tunahitaji public measure sio individual measureTatizo naona ni wewe si serikali.
Umeshaona na kuelewa kuna hali ya hatari kwanini usianze kuji isolate wewe mwenyewe?Mpaka ungoje serikali ije kuku isolate kwa nguvu?
Jana nasikia ma bar Kinondoni mpaka kwa fimbo ndiyo yamefungwa, sasa hapo utailaumu serikali? Hali kama hii mnakwenda kujazana ma bar?
Mtani Upo?Nahisi tutawakuta soon South Afrika idadi ya wagonjwa kwa Afrika. Kwa sasa Afrika ya mashariki tumeshaingia kwenye orodha ya wenye wagonjwa wengi.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza wengine watafata, mbona mimi nimeji isolate na AlhamduliLlah sina dalili yoyote ya ugonjwa?Ukiji-isolate peke yako ni kazi bure....hapa tunahitaji public measure sio individual measure
brazaj,
Mkuu ndio maana nikasema kila mtu kwa nafasi yake na kwa utashi wake aamue kufanya lile ambalo ni sahihi kwa wakati sahihi.