Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Nimegundua JF wengi tunataka lockdown.
Je kwa umasikini wetu mmefikiria watu watakulaje? Hem wakati tunahitaji lockdown tutoe na solution ya Kuwa take care watu watakaokua lockdown na hawana chakula.
 
Dah!..hii kamari tuliyocheza naona matokeo yake yameanza kuonekana.
 
Ningekua mimi ndiyo kiongozi wenu mlienichagua kwa kura zenu ningefanya maamuzi mazuri tangu siku ya kwanza. Nchi nyingi zimepata suluba hii kwa kuchelewa kufanya maamuzi sahii wakati sahii.

Naelekea Belarus na baada ya apo niyaenda Nicaragua.
Kufanya maamuzi sahii ni jambo jema ...Sio hao akina Pole Pole na Makonda!
 
Mgonjwa wa Lindi, alipanda gari inaenda mangaka alipozidiwa kwa chafya abiria wenzake wakachanganyikiwa, alipofika Lindi kashushwa hospital leo katangazwa.

Basi na abiria wake wakaendelea mangaka huku wakishusha abiria njia vituo mbalimbali. siku ya pili Basi likageuka na abiria Dar. napata tabu zile chafya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni hatari
Mgonjwa wa Lindi, alipanda gari inaenda mangaka alipozidiwa kwa chafya abiria wenzake wakachanganyikiwa, alipofika Lindi kashushwa hospital leo ktangazwa. Basi na abiria wake wakae delea mangaka huku wakishusha abiria njia vituo mbalimbali .siku ya pili Basi likageuka na abiria dar.napata tabu zile chafya

Sent using Jamii Forums mobile app

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
LICHADI,
Tatizo naona ni wewe si serikali.

Umeshaona na kuelewa kuna hali ya hatari kwanini usianze kuji isolate wewe mwenyewe?Mpaka ungoje serikali ije kuku isolate kwa nguvu?

Jana nasikia ma bar Kinondoni mpaka kwa fimbo ndiyo yamefungwa, sasa hapo utailaumu serikali? Hali kama hii mnakwenda kujazana ma bar?
 
UZEMBE alio fanya Magufuli wamefanya dunia mzima kwanini umlaum Magufuli pekee pili unafikir itasaidia Lock down wakati uwezo wa kuudumia raia Tanzania hatuwezi hata kwa mwezi mmoja LICHADI,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mjuze hao waliwekwa lockdown huko nao wanateseka kwa njaa hata kufikia kufa kabisa na akumbuke wanaokufa kwa njaa ni masikini tu, na pengine baada ya hili janga wakakukumbwa na baa la njaa na sisi ndio tukawa supplier wa chakula na anapaswa afahamu kila uamuzi uliochukuliwa na taifa fulani kujikinga dhidi ya huu ugonjwa wa corona unafaida zake na hasara zake.
 
Tatizo naona ni wewe si serikali.

Umeshaona na kuelewa kuna hali ya hatari kwanini usianze kuji isolate wewe mwenyewe?Mpaka ungoje serikali ije kuku isolate kwa nguvu?
Jana nasikia ma bar Kinondoni mpaka kwa fimbo ndiyo yamefungwa, sasa hapo utailaumu serikali? Hali kama hii mnakwenda kujazana ma bar?
Ukiji-isolate peke yako ni kazi bure....hapa tunahitaji public measure sio individual measure
 
Nahisi tutawakuta soon South Afrika idadi ya wagonjwa kwa Afrika. Kwa sasa Afrika ya mashariki tumeshaingia kwenye orodha ya wenye wagonjwa wengi.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
New York pia walianzia mgonjwa mmoja na sasa angalia walipofikia.

Lazima tuchukue hatua za kujikinga. Lockdown haiendani na maisha yetu. Angalia tumefunga shule watoto wetu wako nyumbani bila kitu wakati watoto wao wako majumbani wanasoma online.

Kuvaa masks tunapokwenda kwenye miangaiko yetu na mikusanyiko ni lazima kama tunataka kupunguza maambukizi na watu waoshe mikono mara kwa mara au kutumia vitakasa mikono.
 
Q
brazaj,
Mkuu ndio maana nikasema kila mtu kwa nafasi yake na kwa utashi wake aamue kufanya lile ambalo ni sahihi kwa wakati sahihi.

Mkuu nakuelewa, tatizo la ugonjwa huu ni kuwa jitihada binafsi hazimsaidii mtu:

IMG_20200417_191818_295.jpg


Hoja za wanaoona lockdown haifai ni zipi? Tuelimishane - JamiiForums
 
Back
Top Bottom