Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Anza wengine watafata, mbona mimi nimeji isolate na AlhamduliLlah sina dalili yoyote ya ugonjwa?
Sasa wewe si mzee, ukishastaafu automatically uko isolated.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza wengine watafata, mbona mimi nimeji isolate na AlhamduliLlah sina dalili yoyote ya ugonjwa?
Kwahiyo wakifa wenye matatizo ni sawa au sio, too selfish!Corona sio kifo, na wanao kufa wengi ni wale wenye matatizo mengine au tatizo la white cells.
Dar wengi vijana na wapo fiti..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hupendiHiyo taarifa kwa wana jamiiforum wamepata kilinge cha kusogoa..
Hapo sirikali itachambwa!,itasemwa na itashauliwa pia..
Let's take care of this issue..
Lengo la Serikali ya CCM ni kutaka watu wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mpaka 2025Magufuli anajidanganya mwenyewe kuchanganya maombi na corona, Mambo ya mungu mpe mungu ya kaizali mpe kaizali, ana hamasisha watu wasongamane sehemu za ibada Waambukizane corona bila Kuchukua tahadhari , hii yote ni kwa sababu serikali yake haina options. Sehemu za misongamano ni za kuepuka na kuzuiliwa kwa kipindi hiki.
Hatua kubwa tutaambiwa tuendelee kuchapa kaziWametoka sehemu mbali mbali za Tanzania hi ni hatari sanaa manaake ugonjwa umesha enea nchi nzima........naomba Raisi achukue hatua zingine zaidi ya maombi, ili hu ungojwa usiingie ndani sana vijijini ambao wana matatizo ya afya mengi
Daud Bashite kahimiza kuchapa kazi ili maambukizi yawe mengi wafe wengi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu mpaka mwaka 2025
Unapokuwa na afya njema,unaambiwa kwa mda wa siku 14 unakatiza mitaa bila dalili yoyote,lakini kwa kuambukiza wengine ni sekunde tu. Jiulize muathirika mmoja anaweza waachia ugonjwa watu wangapi kwa siku 1 tu!Maaayo wataogundulika tena watakuwa 120+
Mungu atusimamie.
Tuweni serious, ukitembea mjini unashangaa watu yaani hawako serious kabisa na hili swala.
| Confirmed 2,173,432 | Recovered 554,786 | Deaths 146,291 |
Bado mashindano ya kutanganza waathirika yanaendelea sijui yana tija gani. Wangapi wamepona? Bado nasimamia pale pale dunia nzima ime overeact na huu ugonjwa.