Tanzania: Watoto 15,000 hufariki kwa changamoto ya Selimundu kwa mwaka

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Na. WAF - Mwanza
Takwimu zinaonesha kuwa watoto takribani elfu kumi na moja huzaliwa na ugonjwa wa Selimundu (sickle cell) kila mwaka nchini Tanzania hali ambayo imekuwa tishio kwa Taifa la baadae.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba, Prof. Paschal Ruggajo wakati wa uzinduzi wa mashirikiano baina ya Wizara ya Afya, TANCDA na NOVARTIS katika kukabiliana na Ugonjwa wa Sikoseli nchini.

"Hii ina maana kwamba kwa kila watoto elfu moja wanaozaliwa nchini Tanzania, watoto kumi na moja wana ugonjwa wa Sikoseli." Amesema Prof. Ruggajo

Prof. Ruggajo amesema kuwa takwimu hizi zinaifanya Tanzania kuwa nchi ya Tano Duniani kwa kuwa na wingi wa wagonjwa wa Sikoseli na kuwa ya Tatu katika Afrika.

Pia, amesema katika vifo vyote vya watoto chini ya miaka mitano ugonjwa wa Sikoseli husababisha vifo elfu Kumi na Tano kwa mwaka.

Aidha, kutokana na changamoto hizo Prof. Ruggajo amebainisha kuwa Serikali imeendelea kuchukua hatua za makusudi katika kukabiliana na ugonjwa huo ambao umekua na athari kubwa katika jamii.

"Miongoni mwa hatua ambazo zimechukuliwa ni pamoja na Wizara ya Afya kuingia makubaliano ya mashirikiano na Chama cha Magonjwa Yasiyoambukiza (TANCDA) na Kampuni ya dawa ya Vovartis ya nchini Switzerland kwa lengo la kudhibiti ugonjwa wa Sikoseli." Amesema Prof. Ruggajo

Kwa upande wake Mkurugenzi Msaidizi-Magonjwa Yasiyoambukiza Dkt. James Kiologwe amewashukuru wadau hao kwa kuendelea kushirikiana na Serikali hasa katika kudhibiti Magonjwa Yasiyoambukiza.

"Niwashukuru sana kwa mashirikiano haya, tutaendelea kushirikiana kwa kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imejikita katika kuwahudumia wananchi, kwa pamoja tutaweza kudhibiti magonjwa haya." Amesema Dkt. Kiologwe

Mashirikiano hayo baina ya Wizara ya Afya, Chama cha Magonjwa Yasiyoambukiza (TANCDA) na Kampuni ya dawa Novartis yamezinduliwa rasmi katika kongamano la Nne la Kisayansi la Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Yasiyoambukiza Jijini Mwanza.
 
SICKLE CELLS RED BLOOD CELLS KEEPING DR SEBI'S

HEALING & LEGACY ALIVE IT IS THE DEPRIVATION OF IRON FLUORINE SICKLE CELL ANEMIA IS WHEN THE BLOOD PLASMA

HAS BEEN BROKEN DOWN BY MUCOUS INTO A SICKLE MUCOUS SINKS INTO THE PLASMA INTO THE CELL ITSELF BREAKS AND DISUNITES THE CELL

REMOVING THE MUCOUS THE CELL UNITES AGAIN TO MAINTAIN THAT LEVEL YOU HAVE TO FEED THE PATIENT

LARGE DOSES OF IRON PHOSPHATE NOT FERROUS OXIDE -

DR SEBI ON SICKLE CELL ANEMIA IT IS IMPOSSIBLE FOR YOU TO GET SICK IF YOUR IRON LEVEL IS UP TO PAR IF YOU HAVE A DISEASE

NO MATTER WHAT KIND OF DISEASE IT IS YOU ARE ANEMIC IRON IS

THE MINERAL THAT CONVEYS OXYGEN TO THE BRAIN IRON SHOULD HAVE CARBON HYDROGEN AND OXYGEN

THE CHO CHAIN IRON IS THE SPARK PLUG OF THE HUMAN BODY WHEN YOU ARE DEFICIENT IN IRON YOU ARE SUSCEPTIBLE TO A WHOLE BUNCH OF DISEASES

IRON FIRES THE BODY UP AND IS THE ONLY MINERAL ON THE PLANET THAT IS MAGNETIC BEING THAT IRON IS MAGNETIC IT HAS A TENDENCY

TO PULL OTHER MINERALS TO IT IT PULLS MAGNESIUM ZINC GOLD CALCIUM PHOSPHOROUS ETC

IT WOULD BE SAFE TO SAY THAT WHEN YOU TAKE LARGE DOSES OF IRON

THAT YOU ARE TAKING ALL THE OTHER MINERALS THE LACK OF IRON CAUSES 40 MANIFESTATIONS OF DISEASE

WITHOUT IRON THE BODY LOOSES ENERGY AND THE IMMUNE SYSTEM BEGINS TO GIVE WAY THERE IS NO OXYGEN GOING TO THE BRAIN

WHEN IRON IS LOW WITHOUT IRON WE WRINKLE AT A YOUNG AGE AND NO LONGER ABLE TO WALK STRAIGHT~

DRSEBI BLACKHEALTHMATTERS BLACKHEALTH IRON PLANTBASED DRSEBIAPPROVED VEGAN RAWVEGAN FRUITARIAN

ALKALINEFOODS PLANTBASEDDIET SWIPE LEFT TO SEE HERBS HIGH IN IRON & POTASSIUM PHOSPHATE
SICKLE CELLS RED BLOOD CELLS KEEPING DR SEBI'S.jpg

Heal Sickle Cell Anemia - Dr. Sebi Methodology​

Back
Top Bottom