Tanzania will not arrest Sudanese President Bashir

Tanzania will not arrest Sudanese President Bashir

Kwa unafiki na undumilakuwili ulioonyeshwa na ICC, nakubaliana na msimamo wa viongozi wa kiafrika kuhusu rais wa Sudani. Mbona Bush na Blair walitumia sababu za uongo na uonevu wakamtoa madarakani sadam Husein na vilevile WAKAUA WANANCHI WENGI WASIOKUWA NA HATIA WA IRAQ wao hawashitakiwi??????. Hivi hii mahakama ni kwa ajili ya viongozi au watu waliokosa toka nchi masikini tu????
 
The minister said that the recent African Union (AU) meeting in Libya resolved the issue and recommended to the UN that the arrest of Al Bushir should be suspended until the conflict in Darfur region was resolved.

“In line with what was agreed in the AU meeting, Tanzania will not arrest Al Bashir once he arrives in the country for the visit,” he said.

the kind of shyty decisions that make us Afrikans looking idiotic. All Bashir has to do is continuing to make darfur a problem as he has been doing (blocking UN, finance janjaweed, provide military support to them whenever needed, etc) and he'll never be arrested.

Isn't this like saying a known jambazi won't arrested until ujambazi has been resolved ?????

I wonder what Chinese influence is...
 
Hapana mkuu, sisupport mauwaji kabisa popote yanapotokea, Ninachopinga ni judicial system inayo pick and choose

Kukiwa na Mahakama hapa nchini kwetu inayochagua nani ashitakiwe na nani asishitakiwe itakua ni uonevu na hakuna ataependa kuwepo mahakama kama hii, na ndo maana tunapinga mahakama kama hii ya ICC

AU, Arab League na wenyewe Tribunal Bordy pia wamepinga


Tayler yuko mahakamani kwa kosa la ku-support rebel wa Sieraleon wakati yeye ni Rais wa Liberia!! sasa jiulize, American na Europe wana-support ma-rebel wangapi Africa na duniani kote?

Ni America walio-support Al-qaida (1990s) kufanya mauwaji Afghan, Vita ya Congo!! all over africa,nk nani ana-support hivyo vita???


Tukiacha uvivu wa kufikiri, africa itaondokewa na umaskini na kujitawala kik kweli. Ongera viongozi wa Afrika kwa kukataa kuburuzwa

* sasa, AU ni dysfunctional (kumbuka Mugabe), Arab league (Bashir ni ndugu yao) ... kweli kwa nn tunaupa upingaji wao uzito ?

* Nakubaliana nawe kuhusiana na ugaidi wa wamarekani, ila sasa, tukitumia fikra ka izo, si kila kiongozi jambazi ataachwa atende ujangiri na ufisadi, ama?
 
Ndugu zangu, we have seen the movies, read the stories and heard the rumours kwamba there are always superpowers-to be specific the western behind these so called genocides and mass killing. So I think there is a need to go one step further-instead of prosecuting the African rats who spearhead them, find the wolves who financed them.

Nakuelewa ndugu kuhusiana na financiers... sasa si mara nyingi, kajambazi ka kikundi kanashtakiwa afu kuulizwa nani ni wenzako na nani ni kiongozi ... ama?
 
ICC haina mkataba na AU, hivyo AU kutoa tamko dhidi ya ICC sidhani kama tamko hilo linauzito wowote! pia kusema Bashir akienda kortini itavuruga mipango ya Darful sio kweli.

Bashir akikamatwa GOSS uchaguzu hautafanyika, sio kweli kwani Bashir hana hata mgambo GOSS wala hajawahi kanyaga huko! maswala ya GOSS yapo mikononi mwa SPLA chini ya Salva Kiir Mayadit, juzi nilikuwa Juba nchi nishwari mno.

Lakini vingozi wetu wanaogopa nini hasa? mbona hawajazungumzia kuhusu Joseph Kony na Bemba ambao wote wanamashitaka ya kujibu ICC, kama kweli ICC wanafanya kazi kulingana na mkataba wamkamate tu. Mbona yule mama waziri wa Rwanda anaenda kortini ujerumani nabado anaendelea na majukumu yake kama kawaida!

ICC wanautarati wao wakupeleka arrest warrant, seif idd na Membe hawanaubavu wa kumkamata Bashir wala Kony, siku hati ikikabidhiwa kwa DPP na AG ndio waseme hawatamkamata. Utawala wa sheria nipamoja na kuheshimu mikataba ya kimataifa, kama kweli serikali yetu iliridhia mkataba ule na ICC wanatekeleza wajibu wao kulingana na mkataba basi wamkamate tu.

Nashangazwa na ukimwa wa wanaharakati wetu si TGNP wala TAMWA wameshaonesha kukerwa na hili! vipi?
 
😕Ni vichekesho na aibu kama kuna watu wetu wamekufa kwa ukombozi wa waafrika wenzetu hasa kusini mwa jangwa la Sahara,basically tulisema tuna moral obligation ya kutetea utu na uhuru si tu kwa wa africa wenzentu bali kwa binadamu wote wanaonyanyaswa, ndo maana Mwalimu at one time aliwahi kuvunja uhusiano na Israel akipinga manyanyaso na mauaji ya wapalestina!! leo hii sisi bila aibu tunasema huyu bwana hatuwezi mgusa kwa sababu ni rais!! kumbe serikali yetu ya sasa ama ni vilaza mno au kuna tatizo kubwa maana utu wa mtu umekuwa very clearly defined katika katiba yetu hivi ni lazima tuulinde na kuuheshimu utu, na mtu yoyote asiye heshimu siyo mwenzetu bali ni adui wa ustaarabu na utu, kwa hivi ni adui yetu!! kwa heshima ya watu wetu waliokufa wakitetea utu wa mtu ingefaa kama serikali ingemwambia ukweli Bashir na kumkamata kama akija katika anga yetu!!. what is wrong with this government maana kila siku wanabolonga it seems ata mambo yanayoitaji simple common sense reasoning nayo ni shida!! na bila aibu mtu atataka kuomba kuiongoza tena Tanzania!! absurd!! EE Mungu tunusuru!!
 
ICC Hawana haki ya kumkamata kiongozi wakati bado yupo kwenye Madaraka wangoje ICC Omar Al Bashir Rais wa Sudan amalize Uongozi wake ndio wamfungulie Mashitaka. Ikiwa kama kweli hao viongozi wa ICC wanafuata Sheria mbona hawaja mkamata Rais wa zamani Wa Ameriaka George W.Bush, Na aliyekuwa Waziri Mkuu Wa Uingereza Tony Blair Na Aliyekuwa Waziri Mkuu Wa israil Ariel sharon? hao wote wana Makosa ya kuwauwa watu wasiokuwa na hatia hii Dunia sasa tunakwenda wapi na tunatoka wapi? Wanaokamatwa ni wanyonge na waliokuwa na nguvu wanaogopewa hii kweli ni haki? Kwa hiyo hii ICC inawaonea wanyonge tu? Mungu awasaidie wanyonge Duniani amina.
 
Yakhe hatuwezi kumkamata Bashir kwani ni Muislam safi(huwa anasema anaandamwa sababu anantetea Uislamu),hana makosa,ila wangekuwa akina Taylor ah hapo safi.Kwani Bashir hana makosa yoyote,hajaua watu(weusi).
Hii ndio Tanzania ya leo,sijui nikimbilie wapi,kwani hata nipige kelele vipi hakuna atakayejali na hata nikipiga KURA YA CHUKI HAPO MWAKANI hakuna mabadiliko yoyote,KWANI WATANGANYIKA NDIVYO TULIVYO
 
Huwezi kulinganisha Joseph Kony , Bemba na Rais wa nchi kama Rais Bashir wa Sudani anayeongoza nchi ikiwemo jimbo la Darfur. Huku ni kukosa elimu ya jografia na uraia/siasa, ama kukosa elimu ya International relations na convensions mbalimbali za UN! Kuna mipaka katika kumkamata Rais wa Nchi na siyo kukurupuka tu kwa kuangalia migogoro iliyomo ndani ya nchi inayolalamikiwa. Mfano rejea Mauaji yanayofanywa GAZA na ISRAELI na akina Netanyau na kundi lake kwa staili ya kubadilishana madaraka, rejea Mashariki mwa DRC na upiganiaji wa maliasili iliyoko huko na kusababisha mauaji ya wasio na hatia huku marekani ikipewa hisa katika machimbo hayo, aidha rejea mauaji ya kimbali Rwanda yaliyosababishwa na Kagame lakini leo yeye ndiye anawahukumu wenzie; ICC imefumba macho, haioni? Shetani wa Dunia G.W. BUSH, BLAIR wanafanya mauaji ya kimbali Iraki, Afghanistan mbona ICC inawagwaya? Hadi wananyonga mtawala wa Iraki hadharani bila soni, hii haki? Tanzania nao tuliua baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu,2005 huko Zanzibar tukazalisha wakimbizi huko Lamu Kenya, je Mkapa naye apelekwe ICC? TAFAKALI!
 
Malima, US na UK sio wanachama wa ICC na hawajawahi saini mkataba wowote na ICC hivyo haiwezi kumkamata GW Bush wala Tony, Israel hivyo hivyo! jamani huu mkataba walisign wenyewe wakagonganisha na glass za mvinyo kubariki. Kagame na Ngarambe wakotayari kwenda kortini hata leo ndo maana waziri wake anahudhuria kesi ujerumani. Mke wa Habyarimana alishafungua kesi ufaransa na wakili wa kagame alihudhuria lakini ushahidi wa kumtia hatiani ulikosekana.

Kama kweli kuna ushahidi wa january 27 basi ushahidi tuupeke ICC sheria ichukue mkondo wake, kwangu mie sioni hatia kwani hao 12 waliuwawa wakijaribu kuwapora askari silaha na ushahidi wa kuchinjwa askari upo, basicaly hapakuwa na organised crime was just an insult to law inforcers (police).
 
ni kwasababu huyo jamaa gaidi wa dafuu ni rafiki yake kikwete. mimi ningekuwa rais, hakika huyu jamaa ningemkamata mimi mwenyewe. ameua watu wengi sana kule kusini mwa sudan ambao ni wakristo. vita hivi hata kama wnasema si vya kikristo na kiislam, ni vita vya kikristo na kiislam. waislam walio kaskazini wanataka kuwasilimisha watu wa kusini. ni vizuri kwamba kwa sasa wamegawana, kutakuwa na sudan kaskazini na sudan kusin. hapo sasa sudan kusini ndo tutawakaribisha wajiunge na EAC community, ili tuwasaidie. Mungu na amkamatishe huyu gaidi wa sudan,aliyemuua john.
 
ni kwasababu huyo jamaa gaidi wa dafuu ni rafiki yake kikwete. mimi ningekuwa rais, hakika huyu jamaa ningemkamata mimi mwenyewe. ameua watu wengi sana kule kusini mwa sudan ambao ni wakristo. vita hivi hata kama wnasema si vya kikristo na kiislam, ni vita vya kikristo na kiislam. waislam walio kaskazini wanataka kuwasilimisha watu wa kusini. ni vizuri kwamba kwa sasa wamegawana, kutakuwa na sudan kaskazini na sudan kusin. hapo sasa sudan kusini ndo tutawakaribisha wajiunge na EAC community, ili tuwasaidie. Mungu na amkamatishe huyu gaidi wa sudan,aliyemuua john.


Mwana wa Mungu!

Hujaweza kusoma in between the lines! Rais wa TZ ni Mwislam na Membe anampepea akidhani ataweza kuwa rais 2015! Stupid Bernard hatutakubali kutawaliwa tena na Mmakonde/Mmatumbi kwani kwa asili yao ni watu hovyo look jinsi yule mpuuzi Mkapa alivyotuharibia HII JAMHURI YA NYERERE!

Kwa sababu JMK aka Matonya amepewa something na waarabu pamoja na tende hatadhubutu kumkamata mwislam jambazi mwenzake El Bashir. Yeye ni Generali wa Jeshi wakati JMK aliishia kuwa na RANK ya Colonel. John Garang aliyeuwawa alikuwa Mkristo.

Hivi hawa wapuuzi wanasema ukimkamata Bashiri kutakuwepo na machafuko huko Darfur na SUDAN kwa ujumla je akifa itakuwaje? Kama Sudan yalishaakuwepo na MAPINDUZI LUKUKI ya kijeshi tangu enzi za Nimer what do they have to worry. Unajua kwa nini kwa vile viongozi wengi wa kiafrika wameingia madarakani kwa utapeli wanaogopa kuweka precedence!
 
Back
Top Bottom