Hapana mkuu, sisupport mauwaji kabisa popote yanapotokea, Ninachopinga ni judicial system inayo pick and choose
Kukiwa na Mahakama hapa nchini kwetu inayochagua nani ashitakiwe na nani asishitakiwe itakua ni uonevu na hakuna ataependa kuwepo mahakama kama hii, na ndo maana tunapinga mahakama kama hii ya ICC
AU, Arab League na wenyewe Tribunal Bordy pia wamepinga
Tayler yuko mahakamani kwa kosa la ku-support rebel wa Sieraleon wakati yeye ni Rais wa Liberia!! sasa jiulize, American na Europe wana-support ma-rebel wangapi Africa na duniani kote?
Ni America walio-support Al-qaida (1990s) kufanya mauwaji Afghan, Vita ya Congo!! all over africa,nk nani ana-support hivyo vita???
Tukiacha uvivu wa kufikiri, africa itaondokewa na umaskini na kujitawala kik kweli. Ongera viongozi wa Afrika kwa kukataa kuburuzwa