The minister said that the recent African Union (AU) meeting in Libya resolved the issue and recommended to the UN that the arrest of Al Bushir should be suspended until the conflict in Darfur region was resolved.
In line with what was agreed in the AU meeting, Tanzania will not arrest Al Bashir once he arrives in the country for the visit, he said.
Hapana mkuu, sisupport mauwaji kabisa popote yanapotokea, Ninachopinga ni judicial system inayo pick and choose
Kukiwa na Mahakama hapa nchini kwetu inayochagua nani ashitakiwe na nani asishitakiwe itakua ni uonevu na hakuna ataependa kuwepo mahakama kama hii, na ndo maana tunapinga mahakama kama hii ya ICC
AU, Arab League na wenyewe Tribunal Bordy pia wamepinga
Tayler yuko mahakamani kwa kosa la ku-support rebel wa Sieraleon wakati yeye ni Rais wa Liberia!! sasa jiulize, American na Europe wana-support ma-rebel wangapi Africa na duniani kote?
Ni America walio-support Al-qaida (1990s) kufanya mauwaji Afghan, Vita ya Congo!! all over africa,nk nani ana-support hivyo vita???
Tukiacha uvivu wa kufikiri, africa itaondokewa na umaskini na kujitawala kik kweli. Ongera viongozi wa Afrika kwa kukataa kuburuzwa
Ndugu zangu, we have seen the movies, read the stories and heard the rumours kwamba there are always superpowers-to be specific the western behind these so called genocides and mass killing. So I think there is a need to go one step further-instead of prosecuting the African rats who spearhead them, find the wolves who financed them.
ni kwasababu huyo jamaa gaidi wa dafuu ni rafiki yake kikwete. mimi ningekuwa rais, hakika huyu jamaa ningemkamata mimi mwenyewe. ameua watu wengi sana kule kusini mwa sudan ambao ni wakristo. vita hivi hata kama wnasema si vya kikristo na kiislam, ni vita vya kikristo na kiislam. waislam walio kaskazini wanataka kuwasilimisha watu wa kusini. ni vizuri kwamba kwa sasa wamegawana, kutakuwa na sudan kaskazini na sudan kusin. hapo sasa sudan kusini ndo tutawakaribisha wajiunge na EAC community, ili tuwasaidie. Mungu na amkamatishe huyu gaidi wa sudan,aliyemuua john.