Mbona hilo ni gazeti la kwenu ndilo lililochapisha hiyo habari, hiyo ni report ya reserch iliyofanyika nchi nyingi za Africa, soma ili upate kujua kwanini imeandikwa hivyo, acha kukariri GDP, reserch za uchumi hazitizami GDP, zinatizama individual income, wakeup nyang'au from hangover of GDP.
Boiled gdp won't get you nowhere, you sixth poorest in africa so far with your fried gdp
eti Kenya haimo,SIKU chache baada ya Tanzania kunyakua tuzo za kimataifa za Uchumi Jumuishi na Utawala Bora, imepata tuzo nyingine mpya ya kimataifa iliyotokana na kuwa na teknolojia bora duniani.
Tuzo hiyo ambayo Tanzania imepata, inafahamika kama Tuzo za Kilele cha Serikali duniani (World Government Summit Awards) katika kundi la Tuzo ya Teknolojia bora inayoibuka Serikalini (Winner of the Best Government Emerging Technologies Award).
View attachment 696280
https://www.worldgovernmentsummit.o...ssions/world-government-summit-award-ceremony
My Take: Tutaelewana tu mambo yanazidi kunoga. Kenya haimo.
Tanzania yapata tuzo ya teknolojia