Tanzania Winner of the Best Government Emerging Technologies Award

Tanzania Winner of the Best Government Emerging Technologies Award

Mbona hilo ni gazeti la kwenu ndilo lililochapisha hiyo habari, hiyo ni report ya reserch iliyofanyika nchi nyingi za Africa, soma ili upate kujua kwanini imeandikwa hivyo, acha kukariri GDP, reserch za uchumi hazitizami GDP, zinatizama individual income, wakeup nyang'au from hangover of GDP.

poor poor TZ
 
Kenya ilishinda kwa Category ya Construction

Sheikh Mohammed honours winners of World Government Summit Awards

His Highness Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum honoured the government of Kenya on its intelligent devices in vehicles for road maintenance’s project. The system utilised modern technologies in the maintenance of infrastructure by devising a new road maintenance system that involves the community. Intelligent devices consisting of vehicle sensors have been installed to monitor road conditions and identify hazards. The system is capable of signing maintenance contracts and assigning tasks to registered maintenance workers, who bid for the work on mobile phone.
The system has significantly reduced the time required for repairs and maintenance, and contributed to the creation of many job opportunities. It has also improved road conditions and developed areas inaccessible to the government.

The final stage of the Government Innovation Award witnessed seven innovative projects developed by governments around the world, including the Kenyan project.
 
SIKU chache baada ya Tanzania kunyakua tuzo za kimataifa za Uchumi Jumuishi na Utawala Bora, imepata tuzo nyingine mpya ya kimataifa iliyotokana na kuwa na teknolojia bora duniani.

Tuzo hiyo ambayo Tanzania imepata, inafahamika kama Tuzo za Kilele cha Serikali duniani (World Government Summit Awards) katika kundi la Tuzo ya Teknolojia bora inayoibuka Serikalini (Winner of the Best Government Emerging Technologies Award).

View attachment 696280

https://www.worldgovernmentsummit.o...ssions/world-government-summit-award-ceremony

My Take: Tutaelewana tu mambo yanazidi kunoga. Kenya haimo.
Tanzania yapata tuzo ya teknolojia
eti Kenya haimo,
No.5 hapo winner of edge of Government...i.e Kenya, tena tulikua finalists kwa category nyengine ya Government innovation ambayo Tz ilishinda, so tungeshinda mara mbili... Nenda ujipange urudi tena! In innovation and technology hawezi kushinda Kenya

WORLD GOVERNMENT SUMMIT 2018 DUBAI : Banking Mantras

• Winner of the Best Government Emerging Technologies Award, are Australia’s National Cities Performance Framework, Tanzania’s portable DNA sequence device, and India’s Aadhaar
• The 1st Place Winner of the World’s Virtual GovHack Award, is Clean Water A.I, second and third place goes to Cycle and Smart Tenders respectively.
• The winner of the Edge of Government Award is Mobilizing Constructions from Kenya.
 
Kenya tushazoea kuwakilisha Africa kwa kushinda awards za kila aina, hatushtuki tena siku hizi, Tz naona ndo mmeanza, kila award mnakua over exited, msijali kuna siku mtakuja zoea iwe kitu cha kawaida
 
Back
Top Bottom