Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Matatizo ni mengi halafu sasa hivi imezuka tabia hawa watoto wanaendesha magari huku wanachat snap chat at the same wanaendesha.Ajali za kizembe zinasababishwa na jeshi la polisi na wa kumlaumu zaidi ni mkubwa wao, huyo angekuwa uk katimuliwa kama paka
Ajali zinatokea kila kukicha tena sio za kawaida lazima ziue watu kuanzia mabasi, malori na magari madogo
Sababu ni kuwa gari matairi yameisha ila dereva anaruhusiwa aendelee na safari kisa amehonga 30,000
30,000 tu kwa uhai wa watu huyo ni muuwaji aliepokea hiyo hela
Lorry halina break halafu baada ya kuua traffic wanatoa ripoti ooh limefeli break
Hell no, ni uzembe wao kuruhusu liwe barabarani
Wajifunze kama huku MOT ya kila mwaka na lazima police wala rushwa watimuliwe mbona kenya wanawekewa mitego na wanakamatwa kila kukicha ingawa wapo lakini hawana ajali kama sisi na wana magari kutuzidi na ni nchi ndogo kuliko sisi
Na vifo havitaisha na hao polisi pia wanakufaMatatizo ni mengi halafu sasa hivi imezuka tabia hawa watoto wanaendesha magari huku wanachat snap chat at the same wanaendesha.
Na hizo video zimejaa YouTube sijui nani anaongea na fans wake, unajiuliza hivi jeshi la polisi hawaoni hatari.
Yaani mtu yupo barabarani bado ana muda wa kusoma comments huku anaendesha gari, aisee na wengine wana abiria ambao wala hawana habari; it’s normal.
Imagine that scenario polisi nchi za wenzetu wakuone. Bongo celebrities wana share kabisa live na polisi walaa hiyo sio issue.
It’s beyond me Tanzania yaani mtu anaendesha gari mtoto mdogo ambae U.K. anatakiwa awekewe kiti cha mtoto ndani ya gari yeye hana, halafu baba kamuweka seat ya mbele, Seat belt ajamfunga, yeye mwenyewe baba mtu ajafunga.Na vifo havitaisha na hao polisi pia wanakufa
Yaani watoto wasiokuwa na maadili wakifiri wanaweza control ya chuma
Huku nilipo kugusa simu wakati unaendesha utapigwa faini na points juu
Kwanza siwezi kucheza na simu labda nisimame tena parking kabisa na sio kwenye Traffic lights mwiko kabisa
Wenzetu huku wanajali sana maisha yao na wengine
Juzi nilikuwa naendesha naelekea Manchester kutoka London
Nilipofika Buckingham ilikuwa alfajiri na barafu ikawa inamwagika haswa nilikuwa naendesha 40km/h na wote hivyo hakuna kujiwehusha wala kusema nawahi mahali ni nidhamu na kuheshimu nature
Bongo hakuna masomo wala nini tena license unaletewa ofisini tu
Basi utakuta na wao ni wapinzani daaIt’s beyond me Tanzania yaani mtu anaendesha gari mtoto mdogo wa ambae U.K. anatakiwa awe na kiti cha mtoto ndani ya gari, yeye hana, halafu kamuweka mbele, Seat belt ajamfunga, yeye ajafunga.
Halafu ana drive huku ana record akiongea na mtoto wake kasimama kwenye kiti na video wana post Instagram.
Sasa kuna mtu aliweka post jukwaa la siasa kuhusu fine ya Rish Sunak kupewa fine as a passenger.
Mada wakati inaanza kuchangamka na fursa ya kulinanga jeshi la polisi Tanzania kwa uzembe kwa kuunganisha na makosa mengine tunayoyaona mtandaoni; moderator mmoja akaifuta hiyo post.
Tunatakiwa tujadili mkutano wa CDM tu week hii yote jukwaa la siasa kwa mujibu mods inavyoonekana mengine hayana nafasi.