Tanzania ya leo ingekuwa vipi kama Kambona angepewa nafasi ya mawazo yake kutekelezwa au kuwa na cheo chenye mamlaka

Tanzania ya leo ingekuwa vipi kama Kambona angepewa nafasi ya mawazo yake kutekelezwa au kuwa na cheo chenye mamlaka

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Huwa namsikia huyu Bwana Kambona alikuwa ni moja kati ya miamba katika behind the scenes hasa za kutafuta uhuru, tunachokiona baada ya uhuru ni tip of an iceberg,

Naskia alianza kuonekana mbaya ila siwezi fikia conclusion maana ni upande moja tu walimsema ni mbaya, so labda zilikuwa ni figisu na ni kawaida kwa wanadamu.

Huyo mwamba angewahi kupewa hata upm am amawazo yake yasikilizwe Tz ya sasa ingekuwa bora zaidi au tungerudi nyuma zaidi
 
Kambona ni mlamba sukari kama wengine

USSR
 
Kambona ni mlamba sukari kama wengine

USSR
Kulikuwa na ushahidi huo au ilikuwa ni upande moja tu au waliogopa Kambona ataingilia sukari yao (power)
 
Alitaka tu upigaji. Angetuuza mchana kweupe maana alikuwa anapenda sana uzunguuzungu.
 
Back
Top Bottom