Tangu Camilius Wambura akiwa ZCO pale Dar (enzi za Magufuli), vitendo vya utekaji vilishika kasi.
IGP wa wakati huo alijitahidi kudhibiti, lakini wapi. ZCO wa wakati huo (Wambura) alikuwa kwenye kikosi maalumu kilichokuwa kikiripoti kwa Rais (Task Force).
Kikundi hiki tulikipigia kelele lakini wengi waliona kama kilikuwa na nia njema.
Wakati huo, yalitengenezwa matukio (hapa VP Nchimbi utakumbuka kitu), hadi yale ya Mkuranga, Kilwa, Panya Road, etc. Wambura aka-act hero.
Alikuwa na vijana wake, DCI wa sasa (Ramadhan Kingai) na Faustine Mafwele kwa mbali. Ndugu yangu Zitto, kama unasoma hapa, recall some events, utaelewa namaanisha.
Samia alipoingia madarakani, yakatengenezwa matukio ya kumdhoofisha IGP aliyekuwepo hadi Samia akampa sifa Wambura kwa uwezo wa kukabiliana na “Panya Road” (mradi wake tu).
Wambura na wenzake, kwa kuangalia udhaifu wa mifumo walitandika watanzania wengi kesi za mchongo na hata hakukuwa na wa kuwagusa. Kwa sasa anapendwa na watawala, lakini nimkumbushe ndugu Mwigulu - humjui, you were one of his targets. Kama huamini, ongea na vijana wake pale Central utakuja kushangaa alipanga nini dhidi yako.
Shida inakuja, wale tuliolalamika kuwa walikuwa sehemu ya taskforce, sasa wana madaraka kamili. Wanatupiga left-right-center.
Swali langu linakuja: Tunatokaje hapa?