Nasoro Namuchi
Member
- Nov 23, 2018
- 58
- 47
Duuh tanzania ukikonda au kuishi na mke mwembamba unaambiwa umeasirika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka kwenye namba 5 Haina shida kukaa kmya mtu kuingilia mahusiano ya watu sio kabsa, sasa ukute umesema wakagombana then wamepatana vzuri wew ndo unayeonekana mbaya usiombe tena mchonganishi so ni heri utulie kmya tuTanzania; Wenye vitambi wanaheshimiwa kuliko wasionavyo, ukienda kwenye harusi na kitambi hata kadi huulizwii, ngoja uende kibaumbau uone sura ya mtu wa getini!*
[emoji23][emoji1787]Kaka kwenye namba 5 Haina shida kukaa kmya mtu kuingilia mahusiano ya watu sio kabsa, sasa ukute umesema wakagombana then wamepatana vzuri wew ndo unayeonekana mbaya usiombe tena mchonganishi so ni heri utulie kmya tu
[emoji3062][emoji2957][emoji2959][emoji2961][emoji2][emoji1787][emoji23]Tanzania,
Ukiwa huna Ela,hata taarifa za misiba ndugu yako wa damu utaishia kuambiwa na wapita njia.
Na ukichelewa utakuta tayari wameshazika, Hakuna wa kukusubiri.