Tanzania ya mitandaoni

Tanzania ya mitandaoni

Tanzania; Wenye vitambi wanaheshimiwa kuliko wasionavyo, ukienda kwenye harusi na kitambi hata kadi huulizwii, ngoja uende kibaumbau uone sura ya mtu wa getini!*
 
Kaka kwenye namba 5 Haina shida kukaa kmya mtu kuingilia mahusiano ya watu sio kabsa, sasa ukute umesema wakagombana then wamepatana vzuri wew ndo unayeonekana mbaya usiombe tena mchonganishi so ni heri utulie kmya tu
 
Tanzania,
Ukiwa huna Ela,hata taarifa za misiba ndugu yako wa damu utaishia kuambiwa na wapita njia.

Na ukichelewa utakuta tayari wameshazika, Hakuna wa kukusubiri.
 
[emoji23][emoji1787]

Jr[emoji769]
 
Tanzania,
Ukiwa huna Ela,hata taarifa za misiba ndugu yako wa damu utaishia kuambiwa na wapita njia.

Na ukichelewa utakuta tayari wameshazika, Hakuna wa kukusubiri.
[emoji3062][emoji2957][emoji2959][emoji2961][emoji2][emoji1787][emoji23]

Jr[emoji769]
 
12. Tanzania; Mtu yuko kwenye magroup sita, la primary, secondary, chuo, kazini, manchester fans etc, kote huko kila siku mtu kafiwa uchangie, anaoa uchangie, anaolewa uchangie, anaumwa uchangie, ...wewe nani uwe na hela zote hizo?? Maisha yataacha kuwa Magumu?? Punguza network isiyo ya lazima!
Watanzania tubadilike.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom