Tanzania ya Samia bado ni ya Magufuli: Acheni Kujitoa Ufahamu Ndugu zetu

Paragraph ya mwisho ni nzito sana [emoji108][emoji108]
 
Hebu soma tena ulichoandika !

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli lakini kwanini tulikuwa tunafichwa.
Ulifichwa nini? wakati hii ni ripoti ya mwaka unaoishia 2020-21. Au ulitaka isomwe lini? Ni ujinga tu umewatawala Bavicha
 
Ukiyaangalia haya mambo kwa jicho la pili, ni kama wale waliokuwa wakipigania Magufuli kuongezewa muda, wameshinda. Sababu Magufuli ataendelea kutawala beyond 2025 ila sasa akiwa ndani ya Mama Samia Suluhu.
 
yeah Ilani na ajenda ni ile ile... mengine uliyosema ni kweli. Unless kuna Ilani nyingine itapitishwa...
Elimu haina mwisho. Jaribu kujisomea zaidi maana inaonekana unaandika makala kwa kutumia experiences zaidi badala ya uhalisia na facts. . Dynamism kwa binadamu matters! Historia ya maraisi wa nchi hii inaonesha mara nyingi hakuna raisi anayezingatia sana focus/mtazamo wa mtangulizi wake.

Tambua kwamba Mhe Raisi Samia na Hayati JPM ni watu wawili tofauti sana kimtazamo katika masuala ya uongozi. Kitu kingine unatakiwa kujua ni kwamba Mhe Samia Suluhu Hassan ni Raisi wa JMT, hivyo halazimishwi kutumia mbuni za mtangulizi wake katika uongozi wake.
 
Ndugu utamuonea bure Mzee Mwanakijiji kachanganyikiwa kweli maskini hajui hata anachoandika.
Ni wakati sasa watu watoe sifa na utukufu kwa Mungu kuliko kumsifu binadamu aliyeumbwa na Mungu.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ina wauma Sana eehh Mtalia na kusaga meno mwaka huu

Nikweli Tanzania ya Samia ni ya magufuli yule yule ndio maana Jana kwa mara ya Kwanza tangu serikali hii ya awamu ya 5 iingie madarakani tumeona mkuu wa mamlaka ya bandari amesimamishwa kaI kwa tuhuma za ufisadi

Takukuru nao wameambiwa waache kujihusisha na kesi zisizo wahusu

Pia Raisi wa nchi kaagiza haraka Sana kesi zisizo na kichwa Wala miguu walizo bambikiwa watu kuwa ni za uhujumu uchumi na uchochezi zifutwe haraka Sana zilikuwa zina haribu taswira ya nchi

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hapo vipi bado una teseka !?
 
Nimesoma mpaka katikati naona pumba tu.
 
yaani, unafikiri kuna mtu anaweza kunituma kuandika kitu? yaani wiki hii tu tayari mmejua hakuna tena ubabe au kutishana maisha... ngoja awageuka mtamsemaaaa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa jamaa ni wajinga sana jamani!

Yani sasa hivi kama ikitokea tupige kura leo ccm inaweza kupata ushindi wa 99%

Hawa mimi huwa nasema ni kuwaacha tu, akili zao huwa zinarudi mwezi oktoba ya kila mwaka wa 5 wa uchaguzi
 
yaani, unafikiri kuna mtu anaweza kunituma kuandika kitu? yaani wiki hii tu tayari mmejua hakuna tena ubabe au kutishana maisha... ngoja awageuka mtamsemaaaa...
Hata kwa kurogwa, Mhe Raisi Samia atabaki kuwa muungwana. Huyu Mama Samia ni kiongozi haswa...tumuombee atuongoze kwa kufuata katiba na sheria za nchi.
 
Mh.Rais mama Samia anajulikana toka akiwa m/kiti wa binge la katiba ni mtu wa Fairness. Anapenda haki.

Anaeona hana tofauti na Jiwe atasubiri sana meli ubungo.
Rais Samia hawezi kufanana na Magu.

Ni either atakuwa bora kuliko Magu au mbovu.

Lakini hawawezi kabisa kufanana. Dunia haiko hivyo.

Marais wote wametoka CCM lakini hawajawahi kufanana hata kidogo.

Na kama Samia anataka kupata tabu, na yeye ajifanye anataka kuwa Magufuli number 2.

Urais ni miaka 9, asihangaike kuishi kwenye fikra za mtu juha.

Awe Rais Samia kwa 100%.

It's time to build her own legacy.

Jambo kubwa la msingi kwasasa ni Utawala wa sheria, haki, utu na UBINADAMU.
 
Bandiko refuuu, unapiga ramli.
Unajivunjia heshima tu mkuu.
Hata Kama mwanao atafanana na wewe haiwezi kwa100%
 
Bavicha mpaka sasa hawaelewi wafuate lipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…