Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
Huyu mama ni mdini Sana na itamcost...kaleta salamu yake ya ajabu ili asiseme Bwana Yesu asifiwe..mwambieni tunaenda kufunga na kuomba ghadhabu ya Mungu inaenda kuwa juu yake na familia yake
Kwan lazima kiongozi aseme bwana Yesu asifiwe ?