Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
- #341
Hamtaki bado?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TEAM JPM DR wa korona..Mlianza kumpongeza kwa zuri lipi alilolifanya?
Hivi wewe unaelewa unachokisema kweli?
Alijichafua mwenyewe kwa kupendelea kwao kijijini chatoMzee mimi nje ya mada kidogo. Kuna watu wameanza kampeni ya kumchafua Magufuli baba yetu ili waifute legacy yake wanadanganya watu mitaani eti nae alikuwa fisadi. Nisaidie awa watu tupambane nao vipi maana wanakera sana, najua wewe una thinking capacity kubwa unaweza shauri kitu. thanks
Leo watakuwa wamekuelewaHamtaki bado?
Mama anajielewa kuwa ajenda iliyowaingiza madarakani yeye na Magufuli ndiyo anaisimamia. Atatumia njia, uwezo, na vipaji vyake. Anaweza Kuwaondoa wote walioteuliwa na JPM na akaitekeleza bado ile ajenda.Ukimsikiliza vizuri Mama Samia akiwa anaongea, hususan baada ya kuwa Rais, ana sound kama Magufuli!
Msikilizeni tu kwa makini na mtaligundua hilo.
Tanzania ya viwanda.Ajenda ya magufuli ni ipi?
Yametimia mkuu.yaani, unafikiri kuna mtu anaweza kunituma kuandika kitu? yaani wiki hii tu tayari mmejua hakuna tena ubabe au kutishana maisha... ngoja awageuka mtamsemaaaa...
Tayari yameshakuwa, sasa hivi wanalia kilio cha mbwa, midomo juu! Ni hao hao waliokuwa wanapiga zumari wakati unapost hii thread!ngoja awageuka mtamsemaaaa...
Vyama vyao tu vinaendeshwa nafuu SAMIA anavyoendesha nchi.Watu wana matatizo ya usahaulifu; na wengine wanapenda sana kuisha kwa kuombea isiwe. Hivi, kuna mtu anafikiria kweli kama serikali ya upinzani ikishika madaraka kwenye taifa la watu zaidi ya milioni 60 hakutakuwa na uhalifu? Kwamba, viongozi wote watakuwa watakatifu na siyo watakavitu? Rais Samia anaendesha serikali; sasa sijui nani alidhania kuwa kwa vile Magufuli amekufa basi na serikali na vyombo vyake navyo vimekufa. Hivi, wakati wa Kikwete hakuna wapinzani waliwahi kukamatwa? Nimemsoma mtu mmoja jana anasema ati hata wakati wa "Magufuli" walikuwa hawatendewi hivi? yaani mara moja hii tayari Magufuli amekuwa bora kuliko? kha!
Tunarecord kila jambo.Tayari yameshakuwa, sasa hivi wanalia kilio cha mbwa, midomo juu! Ni hao hao waliokuwa wanapiga zumari wakati unapost hii thread!