Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Ndio!
Hivi unafahamu kipindi wanajeshi wa JWTZ walivyoamua kumjengea nyumba HAYATI MWALIMU, walimwambia hivi - Ni aibu kwa BABA WA TAIFA kuwa na nyumba ndogo ambayo hata tembo hatoshi!
Unafahamu HAYATI MWALIMU alivyowajibu wale waliokuwa wanajeshi wa JWTZ? Aliwajibu hivi - Nyinyi ni wajinga, mimi nina uwanja mkubwa unaoweza kuchukua tembo zaidi elfu moja.
Sasa swali lingine linakuja, huo uwanja aliokuwa akiusema HAYATI MWALIMU ulikuwa ni uwanja upi? Huo uwanja ni ule uliokuwa ukitumiwa na timu ya mpira ya UJERUMANI ๐ฉ๐ช, iliyokuwa ikijulikana kwa jina la BAYERN MUNICH.
Tangia hapo, sura yenye picha ya HAYATI MWALIMU iliwekwa kwenye NOTI YA SHILINGI ELFU MOJA [ 1000 ].
Hiyo ndio historia ya NOTI YA SHILINGI ELFU MOJA [ 1000 ].

Baada ya kufanikiwa kuwekeza kwenye nchi za AFRIKA YA MASHARIKI pamoja na nchi ya MSUMBIJI ๐ฒ๐ฟ - hawa MWASHITA yaani SIMBA watakuja na mradi wa tatu. Huu mradi wa tatu utaanza kufanya kazi kuanzia mwaka 2025.
Huu mradi utakuwa ni mradi unaonganisha majiji yote ya nchi zote za SADC [ SOUTHERN AFRICAN DEVELOPMENT COUNTRIES ] kwa njia ya barabara.
Kutakuwa na kampuni moja ya usafirishaji wa abiria itakayounganisha nchi zote za SADC, kama unavyoona hapo juu kwenye ramani.
Hii kampuni itakuja na jina litakalojulikana kama SADC ROAD LINK itakayounganisha nchi za KENYA ๐ฐ๐ช, UGANDA ๐บ๐ฌ, RWANDA ๐ท๐ผ, BURUNDI ๐ง๐ฎ, KONGO ๐จ๐ฉ, ANGOLA ๐ฆ๐ด, NAMIBIA ๐ณ๐ฆ, BOTSWANA ๐ง๐ผ, AFRIKA YA KUSINI ๐ฟ๐ฆ, LESOTHO ๐ฑ๐ธ, ESWATINI ๐ธ๐ฟ, ZIMBABWE ๐ฟ๐ผ, ZAMBIA ๐ฟ๐ฒ, MALAWI ๐ฒ๐ผ, MSUMBIJI ๐ฒ๐ฟ na TANZANIA ๐น๐ฟ yenyewe.
Kama unavyoona hapo juu! Huu mradi utakuwa unajumuisha gari aina ya SCANIA TURISMO kama unavyoona hapo kwenye picha, hizi ni gari zinazotengenezwa na kampuni ya Banbros Limited inayopatikana nchini KENYA ๐ฐ๐ช. Hii kampuni ya Banbros Limited inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA.
Kwahiyo hii itakuwa ni fursa ya kibiashara kwa kampuni ya Banbros Limited kutangaza bidhaa zake kwenye nchi za SADC.
Na awamu hii itakuwa inachukua wafanyakazi wote yaani SIMBA au MWASHITA wa mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA kwenda kufanya kazi kwenye hizi nchi za SADC.
Na hii ndio SIASA inayofanywa na MWASHITA yaani SIMBA yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU kuwainua kiuchumi hawa wakazi wa hii mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA.
Hiyo ndio SIASA inayofanywa na MWASHITA yaani SIMBA dhidi ya SERIKALI INAYOONGOZWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI YAANI CCM.
Kambona angekuwa mwislamu mzee Said angekuwa ameisha andika kitabu kabisaNitafarijika sana kama siku moja mzee Mohamed Said ataandika makala maalumu ya kumuelezea Kambona kama vile anavyofanya katika kuwaandikia makala wazee wake wa Kariakoo walioshiriki katika harakati za kisiasa kabla na baada ya uhuru.
Najua uwezo huo unao ila hajajisikia tu kufanya hivyo. Labda kwa kuwa Kambona hakuwa mwenzetu kiimani.
aliyeelewa hapa naomba na mimi anieleweshe in summary plz...au ni yule jamaa don Nalimi?Rejea posti niliyoinakili hapo juu. Hawa MWASHITA yaani SIMBA tunavyosema kuwa kufikia mwaka 2025 watakuwa wameanza safari za KUSINI MWA AFRIKA, sio kwamba hawana kabisa makampuni ya kusafirisha abiria kwa upande wa KUSINI MWA AFRIKA.
Hawa MWASHITA yaani SIMBA ndio wamiliki halali wa makampuni ya ROYAL AFRICA na SHALOM yanayofanya shughuli zake za kibiashara kutoka LUSAKA, mji mkuu wa ZAMBIA ๐ฟ๐ฒ mpaka JOHANNESBURG, AFRIKA YA KUSINI ๐ฟ๐ฆ.
Kwahiyo wapo kule, sema kinachokuja kufanyika ni kuongeza gari wanazozitengeneza wenyewe kutoka kwenye viwanda vyao wenyewe ili kuongeza ufanisi na kuunganisha majiji yote ya SADC yaani SOUTHERN AFRICAN DEVELOPMENT COUNTRIES.
Hiyo picha hapo juu ni gari inayoitwa SHALOM na hapo ni LUSAKA, ZAMBIA ๐ฟ๐ฒ ilikuwa inaelekea JOHANNESBURG, AFRIKA YA KUSINI ๐ฟ๐ฆ kwa njia ya barabara [ ๐๐๐ ].
Kwahiyo, kama ilivyo kwa SERENGETI yaani CHUI ndivyo ilivyo kwa MWASHITA yaani SIMBA, tayari hizi jamii mbili zimeshaingia kwenye biashara ya kidunia yaani GLOBAL TRADE.
Na sio vyepesi kufilisika, hawa MWASHITA yaani SIMBA na SERENGETI yaani CHUI wataendelea kuwepo vizazi na vizazi.
Narudia tena - Na sio vyepesi kufilisika, hawa MWASHITA yaani SIMBA na SERENGETI yaani CHUI wataendelea kuwepo vizazi na vizazi.
Imefikia hatua hawa MWASHITA yaani SIMBA na SERENGETI yaani CHUI wamebeba majukumu ya kuwasaidia watu wao. Kitu ambacho sio chepesi kufanyika kwa jamii nyingine za kitanzania.
KAMBONA hana tofauti na ADAM SAPI MKWAWA! HAYATI MWALIMU alikuwa ni mjanja tena mjanja sana.Kambona angekuwa mwislamu mzee Said angekuwa ameisha andika kitabu kabisa
Jaribu kupitia huu uzi tangu mwanzo utaelewa. Halafu pia, huo ni muendelezo wa posti nyingine zilizotangulia huko nyuma ndio maana nimenakili.aliyeelewa hapa naomba na mimi anieleweshe in summary plz...au ni yule jamaa don Nalimi?
Watu kama nyie sijui mpo dunia gani! khaa kazi ipo! Jitahidi umsomeshe mwanao asije kuwa kama wewe! elimu ni muhimu kuliko chochote Africa.Nyerere alikuwa sahihi,hakuna tulichokosa tuna amani, upendo na umoja vituleteacyo furaha ya kweli.
Na sasa tuko tayari kwa better future yetu na watoto wetu.
Labda tuharibu sisi wenyewe.
Ndio! Na hiyo ndio SIASA! SIASA sio kupiga kabobo tu, ni kufanya mambo kama hayo!Nyerere alikuwa sahihi,hakuna tulichokosa tuna amani, upendo na umoja vituleteacyo furaha ya kweli.
Na sasa tuko tayari kwa better future yetu na watoto wetu.
Labda tuharibu sisi wenyewe.
HAYATI MWALIMU mwenyewe alikuwa anafanya UJAMAA kama ni sera ya SERIKALI sio MAISHA YAKE BINAFSI.Kambona was right.
Ujamaa ubakie tu mambo ya kijamii lakini kwenye uchumi twende na ubepari,ndio mfumo sahihi.Asiyefanya Kazi na asile.
Ndio! Sio tu kuyakataa mawazo ya KAMBONA bali KAMBONA mwenyewe alionekana kumfahamu fika HAYATI MWALIMU pamoja na janja janja zote zilizokuwa zinafanywa na HAYATI MWALIMU.Aliyakataa mawazo ya Kambona ambayo yalikuwa ni sahihi
Na niwapeni SIRI nyingine - hawa waliokuwa wanasiasa wa mikoa ya IRINGA, MBEYA na RUVUMA walitakiwa kupewa nchi ya MALAWI ๐ฒ๐ผ kama ni sehemu ya kimkakati kwa serikali ya TANZANIA ๐น๐ฟ.Kambona
Mwalimu alikuwa mjanja Sana alimudu kuficha uovu wake usijulikane kwa watz sababu hakukuwa na mitandao.Ndio! Sio tu kuyakataa mawazo ya KAMBONA bali KAMBONA mwenyewe alionekana kumfahamu fika HAYATI MWALIMU pamoja na janja janja zote zilizokuwa zinafanywa na HAYATI MWALIMU.
Ndio!Mwalimu alikuwa mjanja Sana alimudu kuficha uovu wake usijulikane kwa watz sababu hakukuwa na mitandao.
Na kitu kingine ambacho Watanzania wengi hawafahamu ni kuwa SIASA inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI ni SIASA YA KIMATAIFA yaani SIASA INAYOFANYWA NA MATAIFA MAKUBWA.Watu kama nyie sijui mpo dunia gani! khaa kazi ipo! Jitahidi umsomeshe mwanao asije kuwa kama wewe! elimu ni muhimu kuliko chochote Africa.