Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Huku RECOMMENDED DOWNLOADS zinaingia kila siku! Unapakua hadi unachoka, unaweka video kwenye "LAPTOP" zinajaa! Unaweka video kwenye "EXTERNAL DISK" na zenyewe zinajaa..

Unahifadhi video "OFFLINE" na zenyewe zinajaa, inabidi baada ya kuangalia ni kufuta! Hata kampuni ya kutengeneza magari aina ya MAN inamilikiwa na KENYA.

Hawa ndiyo wanaojenga serikali ya KENYA! Mfumo wa vyama vingi na mabadiliko ya kisiasa waliinjia wao.

Kwahiyo kabla ya kufikia maamuzi ya kufanya POLITICAL CHANGES, lazima ifanyike NATIONAL AUDITING AND CLEARANCE.

Volvo ni Botswana! Ila mie nachoka nikiangalia hzo video, mnazitoa wapi?
 
Unajua kama raia wengi wanahitaji mabadiliko ya kisiasa, taifa halina budi kutilia mkazo kuhusu masuala ya kijamii. Ili baada ya kufanikiwa kuleta mabadiliko ya kisiasa, isije ikaonekana jamii nyingine imebaki nyuma!

Tatizo limeshaoneka kwa upande wa mamlaka za kiserikali na taasisi zilizopewa majukumu ya kusimamia taratibu na sheria za kitaifa pamoja na kimataifa.

Hata askari wanaopaswa kwenda nje ya nchi huwa ni wale ambao waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO au KUMI [10] BORA katika MITIHANI YA TAIFA.

Sasa ikitokea wameenda nchi za nje raia au askari wasiokuwa na sifa, matokeo yake yanakuwa siyo mazuri na inakuwa inaleta taswira mbaya kwa upande wa taifa.

Pia, hata ile namna ya kukirimu kama raia wa kigeni inakuwa siyo nzuri na wanapewa ukaribisho kulingana na hadhi zao! Wanakuwa wanatumikishwa katika ile namna ya kuadhibiwa, sawasawa na wahusika au watuhumiwa wa uvunjifu wa haki za binadamu, ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto. Sasa hali hiyo huwa siyo nzuri.

Kwahiyo haya masuala ndiyo huwa ya kuzingatia kabla ya kufikia maamuzi ya kufanya POLITICAL CHANGES. Ukizingatia katika kila kaya tatu [3] za kifamilia, kaya moja [1] ya kifamilia inatakiwa kuwa ni kaya ya askari wa JESHI LA MAGEREZA au JESHI LA POLISI na hii inafanyika kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ili kufuatilia na kudhibiti kile kinachoendelea kwenye jamii.

Hao wote wana watoto na ndugu zao maeneo ya Shinyanga, sema Central Republic ni Kwimba na Gabon ni Ngudu tangu mataifa hayo yalivyopata uhuru kutoka kwa wazungu..

Gabon na Central Africa ni Mwanza na wanaelewana sanaa, sema tatzo ni umaskini na ilibaki kidogo mataifa hayo kuchukuliwa na wakongo..

Wote wanazungumza kifaransa kama lugha kuu ya mawasiliano, lakini miundombinu yao ni duni na wananchi weng wamekua wakiyahama mataifa hayo.. 🙏
 
Kocha wa Bayern Munich ni kizazi cha wakina Kiwanuka! Vincent Kampan aliyecheza Manchester city. Sema wakina Buzuka kuna baadhi ya watoto walizaa na kusambaza kwa watu wengine. Janet Kipeja alikuwa ni mtoto wa Buzuka, ndugu zake ni akina Xzibit..

Yule mtoto wa kike aliyemaliza Mwenge mwaka 2004 baadae akaenda Uhuru Secondary,alikuwa ni mtoto wa akina Buzuka sio Kipeja wa Shirecu..

Wakina Banduka ndo hawa! Walikuwa na West star baadae ikaja Bunda basi, saivi wana SuperFeo! Shinyanga mjin wako tayari kufanya kazi yoyote ilmradi watoto wao wapate kuishi. Shinyanga mjin huwa hawaachi watoto.. 🙏🏽
d85eb6d6b19f4f67a33af4aced4bc966.jpg

​
Pia MABEYO alisoma JOMU! Sema ile shule ilipotea kwenye ramani ya kitaaluma baada ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI kuhama kwa wingi na kuhamia sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.
 
Hao wote wana watoto na ndugu zao maeneo ya Shinyanga, sema Central Republic ni Kwimba na Gabon ni Ngudu tangu mataifa hayo yalivyopata uhuru kutoka kwa wazungu..

Gabon na Central Africa ni Mwanza na wanaelewana sanaa, sema tatzo ni umaskini na ilibaki kidogo mataifa hayo kuchukuliwa na wakongo..

Wote wanazungumza kifaransa kama lugha kuu ya mawasiliano, lakini miundombinu yao ni duni na wananchi weng wamekua wakiyahama mataifa hayo.. 🙏
Wenzenu huwa wanapitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] na kazi ya BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] huwa ni kusimamia na kuratibu shughuli zote za mitihani ya taifa, lakini kazi ya kutunga mitihani ya taifa huwa inafanyika chini ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ndiyo wanaotunga na kuandaa mitihani ya taifa na huwa kuna masomo ambayo wanagawana katika shughuli nzima ya utunzi kupitia kila jeshi, kuanzia mitihani ya moko hadi mitihani ya taifa.

9b108e84fc9f3f0ff871a9989c3e2873(1).jpg

Askari huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO na huwa wanaishia cheo cha ngao katika kila jeshi! Pia viongozi wa kijeshi huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA TAIFA kwenye kila somo na kila jeshi huwa lina somo lake la kitaaluma katika ile namna ya kupata viongozi wake.

605f30e3320ad7e6d32e786345e70a51.jpg

VIONGOZI WA JESHI LA MAGEREZA huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya uraia, ambayo ni MAARIFA YA JAMII, CIVICS pamoja na DEVELOPMENT STUDIES [DS].

VIONGOZI WA JESHI LA POLISI huwa ni wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo yote, kwa sababu JESHI LA POLISI ni jeshi linalohusika na usalama wa raia. Pia kozi zinazotolewa na MAJESHI YA MAGEREZA pamoja na POLISI huwa zinafanana..

a237e8ed01e30cedeff33246edbc7a3e.jpg

VIONGOZI WA JESHI LA ZIMAMOTO huwa ni wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya lugha ambayo inafundishwa mashuleni kama KISWAHILI, KIINGEREZA, KIARABU, KIFARANSA na KICHINA.

VIONGOZI WA JESHI LA UHAMIAJI huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya JIOGRAFIA pamoja na masomo ya lugha kama KISWAHILI, KIINGEREZA, KIARABU, KIFARANSA na KICHINA.

VIONGOZI WA JESHI LA UHIFADHI NA WANYAMAPORI huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya BIASHARA, HISTORIA, HESABU au HISABATI, BIOLOJIA, KILIMO pamoja na KEMIA.

c6a4ae34c077a91ba67d9a1811777d17.jpg

Masomo ya BIASHARA, HESABU pamoja na HISABATI inakuwa ni kutokana na kazi ya uhasibu, usimamizi wa mahesabu ya ankara pamoja na fedha! Masomo ya BIOLOJIA inakuwa ni kutokana na usimamizi wa mimea [BOTANY] pamoja na wanyama [ZOOLOGY] na utunzaji wa misitu! Masomo ya HISTORIA inahusika na makumbusho ya kihistoria pamoja na mambo ya kale! Masomo ya KEMIA inakuwa ni kutokana na kazi ya usimamizi wa madawa ya kutibu binadamu, wanyama na mimea! Pia masomo ya KEMIA pamoja na STADI ZA KAZI [HOME ECONOMICS] inahusika katika mamlaka ya usimamizi wa dawa na vyakula.

VIONGOZI WA JESHI LA WANANCHI [JWTZ] huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya FIZIKIA pamoja UFUNDI na mara nyingi inakuwa na sifa ya JESHI LA POLISI kutokana kugusa kila sekta. Hivyo wanafunzi wote waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo yote yaliyosalijiwa kama mitihani ya taifa hufanyika kuwa ni viongozi wa kijeshi kwa upande wa JESHI LA ULINZI [JWTZ].

Pia wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika kila mchepuo ndiyo huwa wanaenda kusomea fani za UJASUSI.

62a08a372e7f62c55572abbfc1b07554.jpg

Sasa hivi UMOJA WA MATAIFA [UN] wameongeza idadi ya WANAFUNZI [6] SITA BORA katika mitihani ya moko kuwa ni askari! WANAFUNZI [6] SITA BORA kitaifa katika masomo yote yaliyosalijiwa kama mitihani ya taifa kuwa ni viongozi wa kijeshi na WANAFUNZI [6] SITA BORA kitaifa kwa ujumla katika mitihani ya taifa kuwa ni JENERALI WA KIJESHI.

efe15e31dbd37b1719f3513df71a548d.jpg

Pia FIELD MARSHALL [FM] anakuwa ni mwanafunzi aliyefanikiwa kuongoza mara tatu [3] kitaifa na kuwa na sifa zote za kuongoza majeshi yote sita [6], ambayo ni MAGEREZA, POLISI, ZIMAMOTO, UHAMIAJI, UHIFADHI na WANYAMAPORI pamoja na JESHI LA WANANCHI [JWTZ].

_20260917_221905.JPG

​
Kwahiyo FIELD MARSHALL [FM] ndiyo huwa mkuu wa majeshi yote na hii ni kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ~ ndiyo maana ni muhimu kutangaza matokeo ya ujumla pamoja na kila somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA, ili kila mwanafunzi afahamu nafasi yake katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
 
Volvo ni Botswana! Ila mie nachoka nikiangalia hzo video, mnazitoa wapi?
Video zipo nyingi! Sema wenyeji wa asili wa SHINYANGA kwa ujumla, wanayafahamu haya masuala tangu siku nyingi na ndiyo maana huwa wanafuatilia matokeo yao ya mitihani ya taifa ili kufahamu nafasi zao katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

Wenzenu wakishafanikiwa kufahamu nafasi zao za ufaulu kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA, huwa wanaenda moja kwa moja kwenye usahili wa jeshi husika.

073ffffa5faa33a152dbaf2fcd159e51.jpg

​
Baada ya hapo, wenzenu huwa wanaanza kujiandaa na kozi za kijeshi, kujijenga kiuchumi pamoja na kuzaa watoto kama hali ya mhusika inaruhusu.

e7d1384792b15284c69209a1ac8dfcbd.jpg

​
Wenzenu huwa wanajijenga kuanzia ngazi ya kifamilia na kiuchumi! Sema wale wengine ambao ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na KISHAPU [BUBIKI actually] walikengeuka na kujifananisha na wahutu pamoja na wakongo.

8fa8a00038e7c64cb399f270465b6b5b.jpg

​
Kwahiyo hiyo ndiyo TANZANIA aliyoiona OSCAR KAMBONA na kabla ya kufikia maamuzi ya kufanya POLITICAL CHANGES, inatakiwa kufanyika NATIONAL AUDITING AND CLEARANCE!
 
Wenzenu huwa wanapitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] na kazi ya BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] huwa ni kusimamia na kuratibu shughuli zote za mitihani ya taifa, lakini kazi ya kutunga mitihani ya taifa huwa inafanyika chini ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ndiyo wanaotunga na kuandaa mitihani ya taifa na huwa kuna masomo ambayo wanagawana katika shughuli nzima ya utunzi kupitia kila jeshi, kuanzia mitihani ya moko hadi mitihani ya taifa.

Askari huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO na huwa wanaishia cheo cha ngao katika kila jeshi! Pia viongozi wa kijeshi huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA TAIFA kwenye kila somo na kila jeshi huwa lina somo lake la kitaaluma katika ile namna ya kupata viongozi wake.

VIONGOZI WA JESHI LA MAGEREZA huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya uraia, ambayo ni MAARIFA YA JAMII, CIVICS pamoja na DEVELOPMENT STUDIES [DS].

VIONGOZI WA JESHI LA POLISI huwa ni wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo yote, kwa sababu JESHI LA POLISI ni jeshi linalohusika na usalama wa raia. Pia kozi zinazotolewa na MAJESHI YA MAGEREZA pamoja na POLISI huwa zinafanana..

VIONGOZI WA JESHI LA ZIMAMOTO huwa ni wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya lugha ambayo inafundishwa mashuleni kama KISWAHILI, KIINGEREZA, KIFARANSA na KICHINA.

VIONGOZI WA JESHI LA UHAMIAJI huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya JIOGRAFIA pamoja na masomo ya lugha kama KISWAHILI, KIINGEREZA, KIFARANSA na KICHINA.

VIONGOZI WA JESHI LA UHIFADHI NA WANYAMAPORI huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya BIASHARA, HESABU au HISABATI, BIOLOJIA, KILIMO pamoja na KEMIA.

Masomo ya BIASHARA, HESABU pamoja na HISABATI inakuwa ni kutokana na kazi ya uhasibu, usimamizi wa mahesabu ya ankara pamoja na fedha! Masomo ya BIOLOJIA inakuwa ni kutokana na usimamizi wa mimea [BOTANY] pamoja na wanyama [ZOOLOGY] na utunzaji wa misitu! Masomo ya KEMIA inakuwa ni kutokana na kazi ya usimamizi wa madawa ya kutibu binadamu, wanyama na mimea! Pia masomo ya KEMIA pamoja na STADI ZA KAZI [HOME ECONOMICS] inahusika katika mamlaka ya usimamizi wa dawa na chakula.

VIONGOZI WA JESHI LA WANANCHI [JWTZ] huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya FIZIKIA pamoja UFUNDI na mara nyingi inakuwa na sifa ya JESHI LA POLISI kutokana kugusa kila sekta. Hivyo wanafunzi wote waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo yote yaliyosalijiwa kama mitihani ya taifa hufanyika kuwa ni viongozi wa kijeshi kwa upande wa JESHI LA ULINZI [JWTZ].

Sasa hivi UMOJA WA MATAIFA [UN] wameongeza idadi ya WANAFUNZI [6] SITA BORA katika mitihani ya moko kuwa ni askari! WANAFUNZI [6] SITA BORA kitaifa katika masomo yote yaliyosalijiwa kama mitihani ya taifa kuwa ni viongozi wa kijeshi na WANAFUNZI [6] SITA BORA kitaifa kwa ujumla katika mitihani ya taifa kuwa ni JENERALI WA KIJESHI.

Pia FIELD MARSHALL [FM] anakuwa ni mwanafunzi aliyefanikiwa kuongoza mara tatu [3] kitaifa na kuwa na sifa zote za kuongoza majeshi yote sita [6], ambayo ni MAGEREZA, POLISI, ZIMAMOTO, UHAMIAJI, UHIFADHI na WANYAMAPORI pamoja na JESHI LA WANANCHI [JWTZ].

Kwahiyo FIELD MARSHALL [FM] ndiyo huwa mkuu wa majeshi yote na hii ni kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ~ ndiyo maana ni muhimu kutangaza matokeo ya ujumla pamoja na kila somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA, ili kila mwanafunzi afahamu nafasi yake katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Kwenye majesh ndo elimu ilipolala! Mwanafunzi aliyeongoza kwenye mitihani ya moko ndo huwa anaongoza paredi na bendi ya kijesh! Kwahiyo matokeo ya moko inabidi yatenganishwe, ili yawe yanatoka kwa wavulana na wasichana, hii itasaidia sanaa kujijua mapema..🙏
 
Pia MABEYO alisoma JOMU! Sema ile shule ilipotea kwenye ramani ya kitaaluma baada ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI kuhama kwa wingi na kuhamia sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.
Jomu na Town zimetoa watu wengi! Kulikuwa kuna wakina Jeneral Siphiwe Nyanda wa Town School aliyehamia Afrika Kusin na kuwa cdf wa kisauzi kipindi cha Nelson Mandela.. 🙏
 
Video zipo nyingi! Sema wenyeji wa asili wa SHINYANGA kwa ujumla, wanayafahamu haya masuala tangu siku nyingi na ndiyo maana huwa wanafuatilia matokeo yao ya mitihani ya taifa ili kufahamu nafasi zao katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

Wenzenu wakishafanikiwa kufahamu nafasi zao za ufaulu kwa ujumla au katika somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA, huwa wanaenda moja kwa moja kwenye usahili wa jeshi husika.

Baada ya hapo, wenzenu huwa wanaanza kujiandaa na kozi za kijeshi, kujijenga kiuchumi pamoja na kuzaa watoto kama hali ya mhusika inaruhusu.

Wenzenu huwa wanajijenga kuanzia ngazi ya kifamilia na kiuchumi! Sema wale wengine ambao ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na KISHAPU [BUBIKI actually] walikengeuka na kujifananisha na wahutu pamoja na wakongo.

Kwahiyo hiyo ndiyo TANZANIA aliyoiona OSCAR KAMBONA na kabla ya kufikia maamuzi ya kufanya POLITICAL CHANGES, inatakiwa kufanyika NATIONAL AUDITING AND CLEARANCE!

It's over and topic is closed 🔐 Ila Geyse Ferreira ni mtoto wa aliyekuwa rpo wa gereza la Malampaka! Pia ana Dada ake yupo hapo Shinyanga Mjini. Demu ni mkalee na anakiwasha huko mambelee. Zamani wanawake walikuwa wajanja na walikuwa wanazaa na wanaume wanaotambulika tu.. 🙏
 
George Weah ni mtoto wa Rais Kaunda na Liberia ipo kama Sierra Leone! Hadi leo Liberia inachukua marais kutoka shule ya Jomu, kwa kifupi marais wote wa Liberia ni wasukuma wa Shinyanga Mjini..

Pia wachezaji wa timu zote za taifa za Liberia na Ghana ni watanzania wenye asili ya Shinyanga Mjini! Waingereza ndo huwa kawaida yao kufanya mambo kama hayo.. 🙏
_20261030_200715.JPG

​
JOAO BERNARDO VIEIRA! Huyu alikuwa ni rais wa GUINEA BISSAU na alisoma shule ya msingi ya MWENGE inayopatikana SHINYANGA MJINI na alikuwa ni mwenyeji wa asili wa WILAYA YA MASWA. Kwahiyo shule ya msingi ya MWENGE ilikuwa inatoa marais wa ZIMBABWE pamoja na GUINEA BISSAU!

Halafu pia shule ya msingi ya TOWN ilikuwa inatoa marais wa MSUMBIJI na SIERRA LEONE na shule ya msingi ya JOMU ilikuwa inatoa marais wa LAIBERIA pamoja na ZAMBIA.
 
Kwenye majesh ndo elimu ilipolala! Mwanafunzi aliyeongoza kwenye mitihani ya moko ndo huwa anaongoza paredi na bendi ya kijesh! Kwahiyo matokeo ya moko inabidi yatenganishwe, ili yawe yanatoka kwa wavulana na wasichana, hii itasaidia sanaa kujijua mapema..🙏
ce35fd0f1c5f555566f7de34296193f7.jpg

​
MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ndiyo yameshikilia sekta ya elimu ya msingi na elimu ya sekondari! Pia masomo yote yaliyosalijiwa katika MTIHANI WA TAIFA huwa yanatoa viongozi wa kijeshi kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].

2f81ecb43641af646ccf641b50c5cc9e.jpg

​
Ukisikia jamii fulani katika taifa fulani imeshikilia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, ujue jamii hiyo inaongoza kwa kufanya vizuri kitaifa katika masomo ya shule ya msingi pamoja na shule ya sekondari.

Sasa jamii nyingine kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA zilianza kujifananisha na wahutu pamoja na wakongo, halafu wakataka kushikilia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa makubaliano ya pande mbili ambayo ni hewa!

Screenshot_20261028-142535.png

​
Matokeo yake wameishia kubaya, hata kushikilia majeshi yenyewe wameshindwa! Pia wameshindwa kulea na kusomesha watoto wao wenyewe, maana mtoto wa kitanzania kuwa katikati ya msitu wa kongo halafu kwao wanamiliki kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inatia ukakasi.. 😁! Matokeo yake wanapigwa "EXEMPTION" kwa kuvunja sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] na sheria za kitaifa [DOMESTIC LAWS]. Kwahiyo hiyo ndiyo TANZANIA, mambo mengine huwa tunawaangalia wanapojaribu kupotosha na kusema uongo. Lakini ukweli ndiyo huo!
 
Wenzenu huwa wanapitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] na kazi ya BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] huwa ni kusimamia na kuratibu shughuli zote za mitihani ya taifa, lakini kazi ya kutunga mitihani ya taifa huwa inafanyika chini ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ndiyo wanaotunga na kuandaa mitihani ya taifa na huwa kuna masomo ambayo wanagawana katika shughuli nzima ya utunzi kupitia kila jeshi, kuanzia mitihani ya moko hadi mitihani ya taifa.

Askari huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO na huwa wanaishia cheo cha ngao katika kila jeshi! Pia viongozi wa kijeshi huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA TAIFA kwenye kila somo na kila jeshi huwa lina somo lake la kitaaluma katika ile namna ya kupata viongozi wake.

VIONGOZI WA JESHI LA MAGEREZA huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya uraia, ambayo ni MAARIFA YA JAMII, CIVICS pamoja na DEVELOPMENT STUDIES [DS].

VIONGOZI WA JESHI LA POLISI huwa ni wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo yote, kwa sababu JESHI LA POLISI ni jeshi linalohusika na usalama wa raia. Pia kozi zinazotolewa na MAJESHI YA MAGEREZA pamoja na POLISI huwa zinafanana..

VIONGOZI WA JESHI LA ZIMAMOTO huwa ni wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya lugha ambayo inafundishwa mashuleni kama KISWAHILI, KIINGEREZA, KIARABU, KIFARANSA na KICHINA.

VIONGOZI WA JESHI LA UHAMIAJI huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya JIOGRAFIA pamoja na masomo ya lugha kama KISWAHILI, KIINGEREZA, KIARABU, KIFARANSA na KICHINA.

VIONGOZI WA JESHI LA UHIFADHI NA WANYAMAPORI huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya BIASHARA, HISTORIA, HESABU au HISABATI, BIOLOJIA, KILIMO pamoja na KEMIA.

Masomo ya BIASHARA, HESABU pamoja na HISABATI inakuwa ni kutokana na kazi ya uhasibu, usimamizi wa mahesabu ya ankara pamoja na fedha! Masomo ya BIOLOJIA inakuwa ni kutokana na usimamizi wa mimea [BOTANY] pamoja na wanyama [ZOOLOGY] na utunzaji wa misitu! Masomo ya HISTORIA inahusika na makumbusho ya kihistoria pamoja na mambo ya kale! Masomo ya KEMIA inakuwa ni kutokana na kazi ya usimamizi wa madawa ya kutibu binadamu, wanyama na mimea! Pia masomo ya KEMIA pamoja na STADI ZA KAZI [HOME ECONOMICS] inahusika katika mamlaka ya usimamizi wa dawa na vyakula.

VIONGOZI WA JESHI LA WANANCHI [JWTZ] huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya FIZIKIA pamoja UFUNDI na mara nyingi inakuwa na sifa ya JESHI LA POLISI kutokana kugusa kila sekta. Hivyo wanafunzi wote waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo yote yaliyosalijiwa kama mitihani ya taifa hufanyika kuwa ni viongozi wa kijeshi kwa upande wa JESHI LA ULINZI [JWTZ].

Pia wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika kila mchepuo ndiyo huwa wanaenda kusomea fani za UJASUSI.

Sasa hivi UMOJA WA MATAIFA [UN] wameongeza idadi ya WANAFUNZI [6] SITA BORA katika mitihani ya moko kuwa ni askari! WANAFUNZI [6] SITA BORA kitaifa katika masomo yote yaliyosalijiwa kama mitihani ya taifa kuwa ni viongozi wa kijeshi na WANAFUNZI [6] SITA BORA kitaifa kwa ujumla katika mitihani ya taifa kuwa ni JENERALI WA KIJESHI.

Pia FIELD MARSHALL [FM] anakuwa ni mwanafunzi aliyefanikiwa kuongoza mara tatu [3] kitaifa na kuwa na sifa zote za kuongoza majeshi yote sita [6], ambayo ni MAGEREZA, POLISI, ZIMAMOTO, UHAMIAJI, UHIFADHI na WANYAMAPORI pamoja na JESHI LA WANANCHI [JWTZ].

Kwahiyo FIELD MARSHALL [FM] ndiyo huwa mkuu wa majeshi yote na hii ni kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ~ ndiyo maana ni muhimu kutangaza matokeo ya ujumla pamoja na kila somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA, ili kila mwanafunzi afahamu nafasi yake katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

Pia kuongoza kambi ya kijesh inatakiwa askari awe na cheo cha kuanzia kanali na awe ameingia tano bora kitaifa katika somo la physics au masomo ya ufundi. Sasa wenzenu walikuwa wanaweka weka askari ilmradi wanaonekana na wao wapo, kumbe walikuwa wanaharibu! Matokeo yake mitambo mingi imekua ni mibovu..

Halaf kigezo cha kwanza ili kujiunga na shule za ufundi ilikuwa ni lazima mwanafunzi awe ameingia tano bora kwenye mitihani ya moko, ndo anakua na sifa ya kujiunga kidato cha kwanza kwa upande wa shule za ufundi. Hii sheria waliacha kufata na kuanza kupeleka watoto wao. Kigezo cha maksi za ufaulu huwa kinatumika shule za vipaji maalum..

Ndo maana shule zote za ufundi zipo chin ya jeshi la ulinzi na zilianzishwa kwa malengo ya kupata wataalam wa jwtz.. 🙏 It's over and topic is closed 🔐
 
JOAO BERNARDO VIEIRA! Huyu alikuwa ni rais wa GUINEA BISSAU na alisoma shule ya msingi ya MWENGE inayopatikana SHINYANGA MJINI na alikuwa ni mwenyeji wa asili wa WILAYA YA MASWA. Kwahiyo shule ya msingi ya MWENGE ilikuwa inatoa marais wa ZIMBABWE pamoja na GUINEA BISSAU!

Halafu pia shule ya msingi ya TOWN ilikuwa inatoa marais wa MSUMBIJI na SIERRA LEONE na shule ya msingi ya JOMU ilikuwa inatoa marais wa LAIBERIA pamoja na ZAMBIA.

Maswa ndo "underdogs" kwa upande wa Tanzania! Wana akili za darasani na wanalea watoto wao, ila hawapatani na Shinyanga vijijn na wakikutana na Kishapu huwa wananywea darasani..

Kishapu ni mziki kuliko hata Shinyanga Mjini, sema Shinyanga Mjini wanalea familia zao vizur! Rais wakwanza wa Sierra Leone ndo alipaswa kuwa rais wakwanza wa Tanganyika, sema Waingereza wakampendekeza Nyerere..

Milton Margai alikuwa na akili sanaa na ilibaki kidogo angeenda kuwa kiongozi wa Naijeria, sema Waingereza waliamua kumpeleka Sierra Leone na Malkia Elizabeti alimpatia cheo cha Sir..

Baadae Sir Milton Margai alikuja kutoa marais wawili wa Naijeria! Buhari ndo mtoto wa kwanza wa Milton Margai..

Maswa ndo akina Mugabe! Wakina Emerson Mnagwagwa wa Zimbabwe na wamejitahidi kuwekeza sana huko Guinea Bissau..

Maswa ndo akina Fred Rwigema wa Rwanda! Wakina Akamba wa Kenya, wale wamiliki wa mabasi na malori ya Akamba! Wakina Mzee Yusuf Makamba wa Tanzania..

Wanamichezo wote wa timu za taifa za Guinea Bissau ni wasukuma wa Maswa na huwa wanawafunga sanaa Naijeria. Wanawake wao ni wazuri, warefu na weusi wa kuteleza. Sema huwa wanaenda kuzaa kwao..

Maswa wapo vizuri kiuchumi kuliko hata Shinyanga vijijn, akili za darasani wanazo sema wamechanganyikana sanaa na Kishapu na wana tabia ya kuwa vigeugeu na kukugeuka ni sekunde tu. It's over and topic is closed 🔐
 
MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ndiyo yameshikilia sekta ya elimu ya msingi na elimu ya sekondari! Pia masomo yote yaliyosalijiwa katika MTIHANI WA TAIFA huwa yanatoa viongozi wa kijeshi kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].

Ukisikia jamii fulani katika taifa fulani imeshikilia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, ujue jamii hiyo inaongoza kwa kufanya vizuri kitaifa katika masomo ya shule ya msingi pamoja na shule ya sekondari.

Sasa jamii nyingine kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA zilianza kujifananisha na wahutu pamoja na wakongo, halafu wakataka kushikilia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa makubaliano ya pande mbili ambayo ni hewa!

Matokeo yake wameishia kubaya, hata kushikilia majeshi yenyewe wameshindwa! Pia wameshindwa kulea na kusomesha watoto wao wenyewe, maana mtoto wa kitanzania kuwa katikati ya msitu wa kongo halafu kwao wanamiliki kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inatia ukakasi.. 😁! Matokeo yake wanapigwa "EXEMPTION" kwa kuvunja sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] na sheria za kitaifa [DOMESTIC LAWS]. Kwahiyo hiyo ndiyo TANZANIA, mambo mengine huwa tunawaangalia wanapojaribu kupotosha na kusema uongo. Lakini ukweli ndiyo huo!

Sehemu aliyozaliwa huyo mtoto, rpo hana kazi! Sheria ya Magereza ni kusimamia rika la watoto wote walio chin ya umri wa miaka 17 na idara ya wakunga "wildlife" huwa ipo chini ya Magereza kwa kazi hiyo..

Wakunga wote wa hospital za serikali pamoja na binafsi wanapaswa kuwa ni askari magereza, labda mtoto azaliwe nyumban ndo hatokua chini ya Magereza lakini watoto wote waliopatikana kutokana na Wakunga wapo chin ya Magereza..

Kwahiyo ikitokea mtoto anaetakiwa kwenda shule, anafanya kaz tofauti ambayo siyo kazi yake kulingana na umri basi rpo atakua hana kazi.. 🙏 It's over and topic is closed 🔐
 
MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ndiyo yameshikilia sekta ya elimu ya msingi na elimu ya sekondari! Pia masomo yote yaliyosalijiwa katika MTIHANI WA TAIFA huwa yanatoa viongozi wa kijeshi kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS].

Ukisikia jamii fulani katika taifa fulani imeshikilia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, ujue jamii hiyo inaongoza kwa kufanya vizuri kitaifa katika masomo ya shule ya msingi pamoja na shule ya sekondari.

Sasa jamii nyingine kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA zilianza kujifananisha na wahutu pamoja na wakongo, halafu wakataka kushikilia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa makubaliano ya pande mbili ambayo ni hewa!

Matokeo yake wameishia kubaya, hata kushikilia majeshi yenyewe wameshindwa! Pia wameshindwa kulea na kusomesha watoto wao wenyewe, maana mtoto wa kitanzania kuwa katikati ya msitu wa kongo halafu kwao wanamiliki kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inatia ukakasi.. 😁! Matokeo yake wanapigwa "EXEMPTION" kwa kuvunja sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] na sheria za kitaifa [DOMESTIC LAWS]. Kwahiyo hiyo ndiyo TANZANIA, mambo mengine huwa tunawaangalia wanapojaribu kupotosha na kusema uongo. Lakini ukweli ndiyo huo!

Hao ndo Kimotco! Tabia yao ni kupeleka watoto wao nje ya nchi na kuwafanya ndagu, ila walikua wana hela sanaa kabla ya kujiingiza kwenye siasa uchwara..

Hata ile hospitali ya misheni inayopatikana Mkwajuni waliijenga wao na wakawapa katoliki kwa makubaliano kama ilivyokuwa kwa Maua seminari..

Tanzania ilikuwa nzuri mno, kabla ya baadhi ya watu kujifananisha na wakongo pamoja na wahutu! Hata ile tabia ya kutoa watu baharini na Msituni waliitoa Kongo..

Hiyo tabia ya kutoa watu baharini na Msituni wanayo watu wa Kishapu na Shinyanga vijijn, wanatoa watu wa kufanana nao halaf wao wanaondoka hiyo sehemu na wanawaachia kila kitu kuanzia nguo, simu, vitambulisho had usafiri wanaotumia. Hao watu wanakua wananukia harufu ya Samaki au gogo sehem ambapo watakua wametolewa kwenye miti huko misituni na wengine wanaingia had serikalini..

Binadamu halisi huwa ananukia damu! Hao wengine wanaotolewa baharini na Misituni huwa na harufu zao na wamejaa sanaa Shinyanga Mjini. Kule mkoa wa Kilimanjaro waliikataa hiyo tabia..

Mama Kalani aliamiaga Arusha tangu 1995 alivyopata kazi Oxfam! Chale wa Shirecu aliamiaga Morogoro tangu 1993 alivyopata mtaji wa kibiashara na saivi ana malori zaid ya 40! Huyo Chale wa shirecu anaeshi Dodoma sio..

Jose alirudi kwao Tabora baada ya kufaulu darasa la saba na alipangiwa Bwiru kwa masomo ya form one, saivi ni luten kanal. Huyo Jose wa dawasco sio..

Godi alivyomaliza darasa la saba alirudi kwao tambukaleli na kwenda kurudia darasa la tano! Huyo Godi aliyesoma Buluba baadae VETA, akaendesha bodaboda na akafariki sio..

Kwandu alivyomaliza darasa la saba alirudi kwao na walienda kumchukua Bukumbi secondary, akahamia Weruweru! Saivi ni askari magereza na alienda kuishi visiwan, huyo Kwandu anayeishi salasala magengeni sio..

Aliebaki pale nyumbani ni Buthelezi pekee yake, wengine wote walishasambaa na kurudi makwao! Hao wanaonekana hapo nyumban wote sio. Leah hakuwakuta wote, aliemkuta pale nyumban alikuwa ni Buthelezi kipindi anasoma shule ya msingi ya town..

Hata Kidubo alihamiaga Handeni, yule Kidubo mwenye kesi nyingi nyingi na aliyefariki alikuwa sio! Watu walichezea maisha sanaa, walikuwa kama wakongo ile tabia ya kuzaa na kuteleza watoto ilikuwa ni kitu cha kawaida..

Visent wa mzee Kulikwila wa Kahama sio! Baadae aliingia kwenye siasa na kuwa msemaji wa Kishimba.. 🙏 Lakin yeye mwenyewe alihamia Ivory Coast tangu miaka ya tisini.. 😂

Kwahiyo saivi vijana wanajijenga vizur na wanazaliana kwa wingi, wanalea familia zao na wameachana na mambo ya kishambaa.. 🙏 It's over and topic is closed 🔐
 
Wenzenu huwa wanapitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] na kazi ya BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] huwa ni kusimamia na kuratibu shughuli zote za mitihani ya taifa, lakini kazi ya kutunga mitihani ya taifa huwa inafanyika chini ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ndiyo wanaotunga na kuandaa mitihani ya taifa na huwa kuna masomo ambayo wanagawana katika shughuli nzima ya utunzi kupitia kila jeshi, kuanzia mitihani ya moko hadi mitihani ya taifa.

Askari huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO na huwa wanaishia cheo cha ngao katika kila jeshi! Pia viongozi wa kijeshi huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA TAIFA kwenye kila somo na kila jeshi huwa lina somo lake la kitaaluma katika ile namna ya kupata viongozi wake.

VIONGOZI WA JESHI LA MAGEREZA huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya uraia, ambayo ni MAARIFA YA JAMII, CIVICS pamoja na DEVELOPMENT STUDIES [DS].

VIONGOZI WA JESHI LA POLISI huwa ni wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo yote, kwa sababu JESHI LA POLISI ni jeshi linalohusika na usalama wa raia. Pia kozi zinazotolewa na MAJESHI YA MAGEREZA pamoja na POLISI huwa zinafanana..

VIONGOZI WA JESHI LA ZIMAMOTO huwa ni wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya lugha ambayo inafundishwa mashuleni kama KISWAHILI, KIINGEREZA, KIARABU, KIFARANSA na KICHINA.

VIONGOZI WA JESHI LA UHAMIAJI huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya JIOGRAFIA pamoja na masomo ya lugha kama KISWAHILI, KIINGEREZA, KIARABU, KIFARANSA na KICHINA.

VIONGOZI WA JESHI LA UHIFADHI NA WANYAMAPORI huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya BIASHARA, HISTORIA, HESABU au HISABATI, BIOLOJIA, KILIMO pamoja na KEMIA.

Masomo ya BIASHARA, HESABU pamoja na HISABATI inakuwa ni kutokana na kazi ya uhasibu, usimamizi wa mahesabu ya ankara pamoja na fedha! Masomo ya BIOLOJIA inakuwa ni kutokana na usimamizi wa mimea [BOTANY] pamoja na wanyama [ZOOLOGY] na utunzaji wa misitu! Masomo ya HISTORIA inahusika na makumbusho ya kihistoria pamoja na mambo ya kale! Masomo ya KEMIA inakuwa ni kutokana na kazi ya usimamizi wa madawa ya kutibu binadamu, wanyama na mimea! Pia masomo ya KEMIA pamoja na STADI ZA KAZI [HOME ECONOMICS] inahusika katika mamlaka ya usimamizi wa dawa na vyakula.

VIONGOZI WA JESHI LA WANANCHI [JWTZ] huwa ni wale wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya FIZIKIA pamoja UFUNDI na mara nyingi inakuwa na sifa ya JESHI LA POLISI kutokana kugusa kila sekta. Hivyo wanafunzi wote waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo yote yaliyosalijiwa kama mitihani ya taifa hufanyika kuwa ni viongozi wa kijeshi kwa upande wa JESHI LA ULINZI [JWTZ].

Pia wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika kila mchepuo ndiyo huwa wanaenda kusomea fani za UJASUSI.

Sasa hivi UMOJA WA MATAIFA [UN] wameongeza idadi ya WANAFUNZI [6] SITA BORA katika mitihani ya moko kuwa ni askari! WANAFUNZI [6] SITA BORA kitaifa katika masomo yote yaliyosalijiwa kama mitihani ya taifa kuwa ni viongozi wa kijeshi na WANAFUNZI [6] SITA BORA kitaifa kwa ujumla katika mitihani ya taifa kuwa ni JENERALI WA KIJESHI.

Pia FIELD MARSHALL [FM] anakuwa ni mwanafunzi aliyefanikiwa kuongoza mara tatu [3] kitaifa na kuwa na sifa zote za kuongoza majeshi yote sita [6], ambayo ni MAGEREZA, POLISI, ZIMAMOTO, UHAMIAJI, UHIFADHI na WANYAMAPORI pamoja na JESHI LA WANANCHI [JWTZ].

Kwahiyo FIELD MARSHALL [FM] ndiyo huwa mkuu wa majeshi yote na hii ni kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ~ ndiyo maana ni muhimu kutangaza matokeo ya ujumla pamoja na kila somo moja lililosajiliwa kama MTIHANI WA TAIFA, ili kila mwanafunzi afahamu nafasi yake katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.

Mwanafunzi aliyefanikiwa kuongoza kitaifa mara moja huwa anaanzia cheo cha sp! Mwanafunzi aliyefanikiwa kuongoza kitaifa mara mbili huwa anaanzia cheo cha ssp! Mwanafunzi aliyefanikiwa kuongoza kitaifa mara tatu huwa anaanzia cheo cha acp na kuendelea kwa upande wa majesh ya polisi, magereza na wanyamapori..

7c9d26a8e9586690e873b20eee3c2f9d.jpg

Mwanafunzi aliyefanikiwa kuongoza mara tatu kitaifa ndo Field Marshall na huwa anaenda kozi zote za ujenerali kuanzia Brigedia Jeneral, Meja Jeneral, Luten Jeneral, Jeneral na anatunukiwa cheo cha Field Marshall kama heshima..

Mabeyo ndo Jeneral wa kwanza kuongoza jwtz! Mkunda ndo Jeneral wa pili kuongoza jwtz! Buthelezi ndo atakua Field Marshall wa kwanza kuongoza jwtz na atakua anaongoza majesh ya magereza na wanyamapori kwa pamoja..

Kutokana na siasa za nchi zilivyo, majeneral wa Kitanzania karibia wote huwa wanaenda kusomea kamandi ya nchi kavu na majeneral wa Kitanzania waishio nje ya nchi ndo huwa wanasomea kamandi nyingine kama anga katika mataifa yao! Usalama kwanza, mambo mengine baadae hata magari huwa wanatumia magari yao. It's over and topic is closed 🔐
 
Back
Top Bottom