Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Hizo video mnazitoa wapi?
Unajua hata BABA WA TAIFA LA AFRIKA YA KATI ni mtanganyika mwenye asili ya MWANZA! BARTHÉLEMY BOGANDA alikuwa ni mtanganyika kutoka MWANZA na ndiyo chimbuko halisi la jina la hospitali ya BUGANDO.

Kwahiyo watawala halisi wa TAIFA LA AFRIKA YA KATI ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KWIMBA kutoka kata ya BUGANDO na AFRIKA YA KATI ilifanikiwa kuwa chini ya TAIFA LA TANZANIA tangu miaka ya sabini na tatu [1973's].

Screenshot_20261017-225356.png

​
Hivyo kuna muingiliano mkubwa wa watanzania waliofanikiwa kubaki TANZANIA na wale waliofanikiwa kuhamia AFRIKA YA KATI.

Screenshot_20261017-225405.png

​
Sema wale wengine ambao ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually], kama kawaida yao hata huko walijaribu kutokufuata sheria na taratibu za nchi na ilibaki kidogo walete vurugu..

Screenshot_20261017-231456.png

​
Lakini hawa wengine ambao ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI wanafuata sheria na taratibu za nchi! Na wapo vizuri UPSTAIRS..
 
Wenzenu huwa wanatoa akaunti zao za YOUTUBE pamoja na INSTAGRAM, halafu wao wanakuwa wanawekewa RECOMMENDED DOWNLOADS zinazohusu TANZANIA.

Hawa YOUTUBE VLOGGERS huwa wanafuatilia matukio na masuala yote yanayohusu TANZANIA. Kwahiyo unaweza jikuta unapakua video nyingi hadi unachoka, lakini hiyo ni mojawapo ya kazi ya vyombo vya ulinzi na ulasama.

Wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] wanafuatiliwa sana, tena kwa njia ya video. Maana walijaribu kuiga mtindo wa maisha ya WAKONGOMANI.

Hiyo ndiyo kazi ya USTAWI WA JAMII pamoja na TUME YA MAADILI YA TAIFA ~ wanatakiwa kufuatilia na kujua kila kitu kwa njia ya video pamoja na picha.

Hao wengine walishastaarabika, ndiyo maana wanapiga hatua kila siku.

Ila wakina Mwapachu na Judith wanazingua sanaa! Hata Buzuka ameshawapita kiuchumi. Kiwanuka, Banduka na Buzuka wapo mbali sana kiuchumi na koo zao zimetulia! Mtoto wa balozi hawez kuzunguka zunguka hovyo kwenye mataifa ya kigeni tena anapanda Hiace imechoka choka. Wauze au wachukue mkopo hiyo nyumba ya uzunguni ili watulie na wajijenge kijamii..
 
Unajua hata BABA WA TAIFA LA AFRIKA YA KATI ni mtanganyika mwenye asili ya MWANZA! BARTHÉLEMY BOGANDA alikuwa ni mtanganyika kutoka MWANZA na ndiyo chimbuko halisi la jina la hospitali ya BUGANDO.

Kwahiyo watawala halisi wa TAIFA LA AFRIKA YA KATI ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA KWIMBA kutoka kata ya BUGANDO na AFRIKA YA KATI ilifanikiwa kuwa chini ya TAIFA LA TANZANIA tangu miaka ya sabini na tatu [1973's].

Hivyo kuna muingiliano mkubwa wa watanzania waliofanikiwa kubaki TANZANIA na wale waliofanikiwa kuhamia AFRIKA YA KATI.

Sema wale wengine ambao ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually], kama kawaida yao hata huko walijaribu kutokufuata sheria na taratibu za nchi na ilibaki kidogo walete vurugu..

Lakini hawa wengine ambao ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI wanafuata sheria na taratibu za nchi! Na wapo vizuri UPSTAIRS..

Tume ya maadili huwa hawakai ofisini! Kesho saa 3asbh kuna watu watakuta milango ya ofisi imefungwaa na hawatorudi tena..🤣🔐
 
Ila wakina Mwapachu na Judith wanazingua sanaa! Hata Buzuka ameshawapita kiuchumi. Kiwanuka, Banduka na Buzuka wapo mbali sana kiuchumi na koo zao zimetulia! Mtoto wa balozi hawez kuzunguka zunguka hovyo kwenye mataifa ya kigeni tena anapanda Hiace imechoka choka. Wauze au wachukue mkopo hiyo nyumba ya uzunguni ili watulie na wajijenge kijamii..
Kulikuwa kuna wakina KIWANUKA! BANDUKA na BUZUKA! Hao wote walipewa majina ya mitaa na wote wanamiliki kampuni zao za usafirishaji wa abiria na mizigo!

fb4eace4e99bf4f522b538df7666d2fa.jpg

BUZUKA ndiyo wakina DEMBA BA pamoja na ABOU DIABY waliocheza soka la kulipwa kwa nyakati tofauti barani ULAYA..

64044bcafc826ac1d45ecd1f0c228030.jpg

​
Hawa watu walishastaaribika tangu siku nyingi na hawana yale mambo ya kis*nge kis*nge.
 
Ila wakina Mwapachu na Judith wanazingua sanaa! Hata Buzuka ameshawapita kiuchumi. Kiwanuka, Banduka na Buzuka wapo mbali sana kiuchumi na koo zao zimetulia! Mtoto wa balozi hawez kuzunguka zunguka hovyo kwenye mataifa ya kigeni tena anapanda Hiace imechoka choka. Wauze au wachukue mkopo hiyo nyumba ya uzunguni ili watulie na wajijenge kijamii..
Yale maisha ya kuiga tamaduni nyingine za kigeni siyo mazuri! Unajua watu wanaozaa na kusambaza watoto katika umri mdogo huwa wanaishia pabaya na hakuna wanachokipa zaidi ya marafakano na kutengwa kijamii.

02986094f5b877ed52935bbdb0f3ba1e.jpg

Ndiyo maana sisi watu wa namna hiyo huwa hatukai nao, hata wakija sehemu huwa tunawaachia nafasi na kuondoka.

_20261016_140359.JPG

​
Watoto huwa wanapitia mambo magumu sana kwenye majumba ya watu na wakifanikiwa kutoka salama, huwa wanaanzisha koo zao!

8d22a0f89bc6070af2b7f7015295414d(2).jpg

​
Sasa hivi vijana wengi wanajitahidi kutafuta pesa halali ili kuwa na familia zao na kuanzisha kampuni za kibiashara, ule utegemezi kutoka serikalini wanaachana nao taratibu.

_20261020_100011.JPG

​
Wenzenu wanazaa na wanalea watoto wao vizuri na matunzo wanatoa! Hakuna kukimbia majukumu, watu wanaandaa koo zao.. 😂
 
Kulikuwa kuna wakina KIWANUKA! BANDUKA na BUZUKA! Hao wote walipewa majina ya mitaa na wote wanamiliki kampuni zao za usafirishaji wa abiria na mizigo!

BUZUKA ndiyo wakina DEMBA BA pamoja na ABOU DIABY waliocheza soka la kulipwa kwa nyakati tofauti barani ULAYA..

Hawa watu walishastaaribika tangu siku nyingi na hawana yale mambo ya kis*nge kis*nge.
Buzuka ndo mwenye Buscar! Ndo wakina Jay Jay Okocha hao uwiiii, Abuu diaby alikuwepo Tanzania mwaka huu kama miezi michache iliyopita na Demba Ba ana nyumba yake hapo Shinyanga, alijenga maeneo ya majengo mapyaa..

Hawa wakina Kiwanuka, Banduka na Buzuka ni watu wa Shinyanga Mjini na walisanuka tangu miaka ya zamani! Wanamiliki viwanda vingi. Buzuka ndo alichafua majengo mengi pale maeneo ya Buzuruga, Mwanza..

Wanazaa na kulea watoto wao wenyewe, ndo maana wapo mbali kisiasa na kiuchumi! Wote wanafanya siasa zao Kenya na saivi wameshatoa Makamu wa Rais..

Kulea watoto ndo mpango mzima! Humo majumbani mwa watu kuna vituko na vitimbi vya kila aina, Watoto wanapitia mambo mengi sanaa..

Watu wanatemea mate had mafuta ya kupikia na wanayachanganya kwa kukoroga! Mboga za majani kuwekewa minyaa, miba ya Samaki au miba ya miti ni kitu cha kawaida na wakati mwingine wanatupia konokono kwenye dagaa..

Muda mwingine unakula bokoboko ambalo halijaiva, hata ugali unakua umejaa unga na ukilalamika unaambiwa, walaumu wazazi wako waliokuleta.. 😂

Sasa wakina Kiwanuka, Banduka na Buzuka waliyafahamu hayo mambo tangu cku nyingi na waliamua kulea watoto wao na wanaishi yale maisha ya kijenerali! Watoto wao wa kiume tu ndo wanaojiunga Majesh.. 🙏
 
Unajua hapo mwanzo, wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI ndiyo waliokuwa na SERIKALI YA KENYA na kwa ujumla wao huwa wanaitwa TINDO!

e5507113ff4510a38e921b05f82377fa.jpg

Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [TINDE] kwa ujumla wao huwa wanaitwa TINDO.

2b380aa357f6e98561d492015831aad7.jpg

Lakini baada ya uhasama wa kisiasa kuwa mkubwa baina yao, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [TINDE actually] wakaamua kutengeneza umoja wao unaoitwa TUNDE, ambapo chimbuko lake lilikuwa ni kutoka KIAMBU nchini KENYA.

Kwahiyo sasa hivi, hata utawala wa SERIKALI YA KENYA hawana tena na wamevamiwa na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI pamoja na wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU ambao wanafanya vizuri sana katika tasnia ya elimu ya msingi pamoja na elimu ya sekondari.
 
Shinyanga vijijn wana vurugu sanaa! Usiwaazime kitu chako, kitarudi kimeharibika hata ukiwapa gari, pikipiki au baiskeli lazima itarudi ikiwa mbovu na wana tabia ya kulegeza nati na kutoa upepo kwenye matairi..

Ukiwatuma huwa hawaendi! Odinga na Jomo ni mahasimu, lakini Odinga hakupaswa kushindana na wakina Jomo kwan sio level zake. Hata Nwanko Kanu ni kizaz cha Jomo..

Jomo ni baba wa taifa na baada ya kuuza chama cha KANU walifanikiwa kupata pesa nyingi kiasi ambacho kampuni kama Blue band waliachiwa watoto na Jomo alienda kununua kisiwa cha Grenada 🇬🇩..

Kwahiyo level za akina Kenyata ni Nyerere, Mandela, Samora Machel na waanzilishi wengine wa kitaifa. Odinga anaweza akafanana na wakina Kiwanuka, Banduka na Buzuka.. 🙏
 
69be804a4a962f2bd2b74bd332959ad7.jpg

​
Wakina KIWANUKA, BANDUKA pamoja na BUZUKA walikuwa mbele ya muda tangu siku nyingi na walifanikiwa kuzaa na kusomesha watoto wao.

815bedc5801a7ddddff236d3721eae93.jpg

​
Hata ASAMOAH GYAN ni kizazi chao! Wao waliamua kusambaa na kuenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi kwa pesa zao wenyewe, bila ya kuwa na utegemezi kutoka serikalini.

a39196cc11674f3d6e6a43fc3caab870.jpg

​
Sasa hivi wamefanikiwa kutoa MAKAMU URAIS kwa upande wa TAIFA LA KENYA, lakini pia wamefanikiwa kutoa MAWAZIRI pamoja na WABUNGE katika MATAIFA YA KENYA na UGANDA.
 
Wakina KIWANUKA, BANDUKA pamoja na BUZUKA walikuwa mbele ya muda tangu siku nyingi na walifanikiwa kuzaa na kusomesha watoto wao.

Hata ASAMOAH GYAN ni kizazi chao! Wao waliamua kusambaa na kuenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi kwa pesa zao wenyewe, bila ya kuwa na utegemezi kutoka serikalini.

Sasa hivi wamefanikiwa kutoa MAKAMU URAIS kwa upande wa TAIFA LA KENYA, lakini pia wamefanikiwa kutoa MAWAZIRI pamoja na WABUNGE katika MATAIFA YA KENYA na UGANDA.
Chris Brown ndo Buzuka, pamoja na dada ake ambae ni Naibu waziri kwenye serikal ya Samia Suluhu! Watoto wao wengi walisoma Jomu School kabla ya kwenda nje ya nchi kimasomo..

Asamoah Gyan pamoja na Jay Jay Okocha wote walisoma Jomu school had standard seven, kabla ya kuhamia nje ya nchi na walikuwa wanapaa na ungo..

Jay Jay Okocha alifaulu Bwiru Tech kwa masomo ya form one, sema aliondoka na alihamia kusikojulikana! Baadae wanafunzi wenzie wakaanza kumuona anacheza mpira kwenye timu ya taifa ya Naijeria..

Kilichowasaidia wakina Kiwanuka, Banduka na Buzuka ni hela, maana had leo wanatoa hela ili watoto wao waweze kucheza mpira na kupata namba kwenye vilabu na timu za taifa.. 🙏
 
Hata aliyewahi kuwa mchezaji bora duniani, BALLON D'OR WINNER wa kwanza kutoka AFRIKA aliwahi kusoma hapo shule ya msingi ya JOMU.. 😂

57d36c3779978e17f1e9fe5a0504dccb.jpg

GEORGE WEAH alisoma hapo hadi darasa la saba na baadae alifanikiwa kuhamia, nchini LAIBERIA. Hiyo ndiyo ilikuwa kasumba ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI kuhama nchi baada ya kufanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO au MITIHANI YA TAIFA kwa upande wa elimu ya msingi.

bea93ba6e19bf3b8203af92a4b9e9d5d.jpg

​
SHINYANGA MJINI hawana shida katika uzazi na malezi, wao wanalea watoto wao tofauti na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na KISHAPU [BUBIKI actually].

Screenshot_20261022-110220.png

Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI walijiita wahutu na kweli walikuwa na tabia za kihutu! Pia wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] walijiita wakongo na kweli walikuwa na tabia za kikongo.

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI wanaendelea kupiga hatua za kimaendeleo kila siku, ukizingatia na wao baada ya NKWAME NKURUMAH kusaidia taifa la GHANA kupata uhuru wake kutoka kwa UINGEREZA alifanya raia wote wa SHINYANGA MJINI kuwa ni raia wa GHANA.
 
Chris Brown ndo Buzuka, pamoja na dada ake ambae ni Naibu waziri kwenye serikal ya Samia Suluhu! Watoto wao wengi walisoma Jomu School kabla ya kwenda nje ya nchi kimasomo..

Asamoah Gyan pamoja na Jay Jay Okocha wote walisoma Jomu school had standard seven, kabla ya kuhamia nje ya nchi na walikuwa wanapaa na ungo..

Jay Jay Okocha alifaulu Bwiru Tech kwa masomo ya form one, sema aliondoka na alihamia kusikojulikana! Baadae wanafunzi wenzie wakaanza kumuona anacheza mpira kwenye timu ya taifa ya Naijeria..

Kilichowasaidia wakina Kiwanuka, Banduka na Buzuka ni hela, maana had leo wanatoa hela ili watoto wao waweze kucheza mpira na kupata namba kwenye vilabu na timu za taifa.. 🙏
Screenshot_20261022-100402.png

SHINYANGA MJINI wapo vizuri! Shida ilikuja kwa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually], walipoamua kuacha ule utamaduni wa mtanzania na kuiga mtindo na tamaduni za kihutu!

Screenshot_20261022-100647.png

​
Sasa hivi hata utaratibu wa kufuata sheria hawafuati na wanaendelea kushuka katika kila sekta. Madaraka walifanikiwa kuyapata kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA lakini hawakutumia vizuri, hatimaye wanaendelea kushuka kila siku.

Screenshot_20261022-100702.png

​
Ule msingi wa kifamilia hawana! Pia huwa hawawezi tena kukaa pamoja, kila mtu anakuwa na jambo lake kutokana ile tabia ya kuzaa na kusambaza watoto wao katika umri mdogo.

Kwahiyo, wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI wapo vizuri na wataendelea kupiga hatua kila siku, huku wenzao ambao ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wanaendelea kuporomoka.
 
Hata aliyewahi kuwa mchezaji bora duniani, BALLON D'OR WINNER wa kwanza kutoka AFRIKA aliwahi kusoma hapo shule ya msingi ya JOMU.. 😂

GEORGE WEAH alisoma hapo hadi darasa la saba na baadae alifanikiwa kuhamia, nchini LAIBERIA. Hiyo ndiyo ilikuwa kasumba ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI kuhama nchi baada ya kufanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO au MITIHANI YA TAIFA kwa upande wa elimu ya msingi.

SHINYANGA MJINI hawana shida katika uzazi na malezi, wao wanalea watoto wao tofauti na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na KISHAPU [BUBIKI actually].

Wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI walijiita wahutu na kweli walikuwa na tabia za kihutu! Pia wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] walijiita wakongo na kweli walikuwa na tabia za kikongo.

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI wanaendelea kupiga hatua za kimaendeleo kila siku, ukizingatia na wao baada ya NKWAME NKURUMAH kusaidia taifa la GHANA kupata uhuru wake kutoka kwa UINGEREZA alifanya raia wote wa SHINYANGA MJINI kuwa ni raia wa GHANA.

George Weah ni mtoto wa Rais Kaunda na Liberia ipo kama Sierra Leone! Hadi leo Liberia inachukua marais kutoka shule ya Jomu, kwa kifupi marais wote wa Liberia ni wasukuma wa Shinyanga Mjini..

Pia wachezaji wa timu zote za taifa za Liberia na Ghana ni watanzania wenye asili ya Shinyanga Mjini! Waingereza ndo huwa kawaida yao kufanya mambo kama hayo.. 🙏
 
SHINYANGA MJINI wapo vizuri! Shida ilikuja kwa wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually], walipoamua kuacha ule utamaduni wa mtanzania na kuiga mtindo na tamaduni za kihutu!

Sasa hivi hata utaratibu wa kufuata sheria hawafuati na wanaendelea kushuka katika kila sekta. Madaraka walifanikiwa kuyapata kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA lakini hawakutumia vizuri, hatimaye wanaendelea kushuka kila siku.

Ule msingi wa kifamilia hawana! Pia huwa hawawezi tena kukaa pamoja, kila mtu anakuwa na jambo lake kutokana ile tabia ya kuzaa na kusambaza watoto wao katika umri mdogo.

Kwahiyo, wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA MJINI wapo vizuri na wataendelea kupiga hatua kila siku, huku wenzao ambao ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] wanaendelea kuporomoka.

Wakina Mwanguku na Nyamka walikosea kuzaa bila mpango! Saivi hawana hela, lakin wana watoto lundo. Matokeo yake wanakuwa diaspora wa kupika mipombe ya kienyeji.. 😂
 
George Weah ni mtoto wa Rais Kaunda na Liberia ipo kama Sierra Leone! Hadi leo Liberia inachukua marais kutoka shule ya Jomu, kwa kifupi marais wote wa Liberia ni wasukuma wa Shinyanga Mjini..

Pia wachezaji wa timu zote za taifa za Liberia na Ghana ni watanzania wenye asili ya Shinyanga Mjini! Waingereza ndo huwa kawaida yao kufanya mambo kama hayo.. 🙏

Hata XZIBIT alisoma shule ya msingi ya JOMU. XZIBIT ni msanii wa muziki wa HIP HOP nchini MAREKANI, pia ni kizazi cha BUZUKA!

b0fca57c8f736fb21248cfc122965d97.jpg

Wakina KIWANUKA, BANDUKA na BUZUKA walikuwa tayari wamefanikiwa kupata elimu na kuelimika. Kwahiyo haya masuala ya kujijenga kijamii waliyaanza tangu siku nyingi zilizopita na sasa hivi wamepiga hatua kubwa za kimaendeleo.

baf91672fe5f07a24614e4502e40639b.jpg

​
Pia watoto na wajukuu zao walifanikiwa kujikita katika nyanja mbalimbali. BARCOLA ni kizazi cha BANDUKA na wameenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.

d6475b93d5a904768a2dbde82aad2090.jpg

​
Sasa hivi BARCOLA ana ndugu zake wa kike wapo SHINYANGA MJINI. Kwahiyo SHINYANGA MJINI wapo vizuri na hawana ile hurka ya kuzaa na kusambaza watoto wao, wao wanalea watoto na chachu ya mafanikio kwa watoto wao, ndiyo maendeleo yao.
 
George Weah ni mtoto wa Rais Kaunda na Liberia ipo kama Sierra Leone! Hadi leo Liberia inachukua marais kutoka shule ya Jomu, kwa kifupi marais wote wa Liberia ni wasukuma wa Shinyanga Mjini..

Pia wachezaji wa timu zote za taifa za Liberia na Ghana ni watanzania wenye asili ya Shinyanga Mjini! Waingereza ndo huwa kawaida yao kufanya mambo kama hayo.. 🙏
Sasa wale wenzetu ambao ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na baadhi ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] waliamua kuacha utamaduni wa mtanzania na kuamua kufuata utamaduni wa kihutu na kikongo.

Screenshot_20261021-101450.png

​
Kwanza wanakuwa wanacheza na mkono wa sheria! Pili wanakuwa wanajiweka hatarini katika maisha yao ya kila siku, maana kufuatiliwa huwa siyo kitu kizuri.

Screenshot_20261021-102823.png

​
Adhabu kwa wahusika wa vitendo vinavyoashiria uvunjifu wa haki za binadamu, ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto huwa ni NATIONAL SOCIAL ISOLATION, PERSONA NON GRATA pamoja na EXECUTION.

Screenshot_20261023-112806.png

​
Lakini, laiti kama tabia ya uvunjifu wa haki za binadamu, ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto ikiwa imekomaa kwa wahusika zaidi ya mmoja ndani ya familia moja au ukoo mmoja, sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] huwa zinaathiri hadi ndugu wa familia pamoja ukoo wote.

Screenshot_20261023-112801.png

​
Ndugu wa familia pamoja ukoo wote huwa hawaruhusiwi kujihusisha na matukio ya kijamii pamoja na kutoajiriwa katika ofisi za utumishi wa umma. WAINGEREZA huwa wanasema ni "EXEMPTION ON SOCIAL ACTIVITIES AND PARASTATAL ORGANIZATIONS". Hata kama ikitokea wana vigezo!

Halafu kitu kingine, wahusika wa uvunjifu wa haki za binadamu, ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto huwa wanaruhusiwa kujiunga na JESHI LA ULINZI [JWTZ] pekee yake! Majeshi kama MAGEREZA, POLISI, ZIMAMOTO, UHAMIAJI, UHIFADHI NA WANYAMAPORI pamoja na USALAMA [jeshi lisilo rasmi] huwa hawaruhusiwi. Hata kama ikitokea wana vigezo!

Screenshot_20261023-113918.png

Wahusika wa uvunjifu wa haki za binadamu, ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto wakishafanikiwa kujiunga na JESHI LA ULINZI [JWTZ] huwa wanatumikishwa kwa kufanya kazi ngumu na kupewa majukumu mazito mahala pakazi.

Kwahiyo uvunjifu wa haki za binadamu, ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto huwa siyo kitu kizuri na madhara yake ni makubwa sana kwa wahusika watakao bainaka.
 
Hata XZIBIT alisoma shule ya msingi ya JOMU. XZIBIT ni msanii wa muziki wa HIP HOP nchini MAREKANI, pia ni kizazi cha BUZUKA!

Wakina KIWANUKA, BANDUKA na BUZUKA walikuwa tayari wamefanikiwa kupata elimu na kuelimika. Kwahiyo haya masuala ya kujijenga kijamii waliyaanza tangu siku nyingi zilizopita na sasa hivi wamepiga hatua kubwa za kimaendeleo.

Pia watoto na wajukuu zao walifanikiwa kujikita katika nyanja mbalimbali. BARCOLA ni kizazi cha BANDUKA na wameenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.

Sasa hivi BARCOLA ana ndugu zake wa kike wapo SHINYANGA MJINI. Kwahiyo SHINYANGA MJINI wapo vizuri na hawana ile hurka ya kuzaa na kusambaza watoto wao, wao wanalea watoto na chachu ya mafanikio kwa watoto wao, ndiyo maendeleo yao.

Kocha wa Bayern Munich ni kizazi cha wakina Kiwanuka! Vincent Kampan aliyecheza Manchester city. Sema wakina Buzuka kuna baadhi ya watoto walizaa na kusambaza kwa watu wengine. Janet Kipeja alikuwa ni mtoto wa Buzuka, ndugu zake ni akina Xzibit..

cb7778f915fc94fa966bfa31bc185323.jpg

Yule mtoto wa kike aliyemaliza Mwenge mwaka 2004 baadae akaenda Uhuru Secondary,alikuwa ni mtoto wa akina Buzuka sio Kipeja wa Shirecu..

IMG_20261024_172317_297.jpg

​
Wakina Banduka ndo hawa! Walikuwa na West star baadae ikaja Bunda basi, saivi wana SuperFeo! Shinyanga mjin wako tayari kufanya kazi yoyote ilmradi watoto wao wapate kuishi. Shinyanga mjin huwa hawaachi watoto.. 🙏🏽
 
Sasa wale wenzetu ambao ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] pamoja na baadhi ya wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually] waliamua kuacha utamaduni wa mtanzania na kuamua kufuata utamaduni wa kihutu na kikongo.

Kwanza wanakuwa wanacheza na mkono wa sheria! Pili wanakuwa wanajiweka hatarini katika maisha yao ya kila siku, maana kufuatiliwa huwa siyo kitu kizuri.

Adhabu kwa wahusika wa vitendo vinavyoashiria uvunjifu wa haki za binadamu, ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto huwa ni NATIONAL SOCIAL ISOLATION, PERSONA NON GRATA pamoja na EXECUTION.

Lakini, laiti kama tabia ya uvunjifu wa haki za binadamu, ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto ikiwa imekomaa kwa wahusika zaidi ya mmoja ndani ya familia moja au ukoo mmoja, sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] huwa zinaathiri hadi ndugu wa familia pamoja ukoo wote.

Ndugu wa familia pamoja ukoo wote huwa hawaruhusiwi kujihusisha na matukio ya kijamii pamoja na kutoajiriwa katika ofisi za utumishi wa umma. WAINGEREZA huwa wanasema ni "EXEMPTION ON SOCIAL ACTIVITIES AND PARASTATAL ORGANIZATIONS". Hata kama ikitokea wana vigezo!

Halafu kitu kingine, wahusika wa uvunjifu wa haki za binadamu, ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto huwa wanaruhusiwa kujiunga na JESHI LA ULINZI [JWTZ] pekee yake! Majeshi kama MAGEREZA, POLISI, ZIMAMOTO, UHAMIAJI, UHIFADHI NA WANYAMAPORI pamoja na USALAMA [jeshi lisilo rasmi] huwa hawaruhusiwi. Hata kama ikitokea wana vigezo!

Wahusika wa uvunjifu wa haki za binadamu, ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto wakishafanikiwa kujiunga na JESHI LA ULINZI [JWTZ] huwa wanatumikishwa kwa kufanya kazi ngumu na kupewa majukumu mazito mahala pakazi.

Kwahiyo uvunjifu wa haki za binadamu, ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto huwa siyo kitu kizuri na madhara yake ni makubwa sana kwa wahusika watakao bainaka.

Afadhali wakina Mwanguku na Nyamka wana chakujitetea! Wao walizaliwa kwenye shida, wakazipata hela lakin hazikudumu zikawa zimewaishia! Sio zimeisha kabisaa, zipo sema haziwatoshi sababu wapo wengi..

Wakina Judith walizaliwa kwenye hela, babu yao alikuwa chifu wa Bubiki na wakakulia kwenye hela na walitoa baloz, waziri na bado wanamiliki majengo na baadhi ya kampuni za kibiashara. Lakin bado wanakiuka sheria za haki za kibinadam kwa makusudi..

Wakina Judith na Mwapachu walikuwa wanaenda sawa na wakina Kiwanuka, Banduka na Buzuka sema walitofautiana akili na mipango. Wao wanatoa ndagu watoto wao.. 🙏
 
Unajua kama raia wengi wanahitaji mabadiliko ya kisiasa, taifa halina budi kutilia mkazo kuhusu masuala ya kijamii. Ili baada ya kufanikiwa kuleta mabadiliko ya kisiasa, isije ikaonekana jamii nyingine imebaki nyuma!

Screenshot_20261022-081154.png

​
Tatizo limeshaoneka kwa upande wa mamlaka za kiserikali na taasisi zilizopewa majukumu ya kusimamia taratibu na sheria za kitaifa pamoja na kimataifa.

Screenshot_20261024-090104.png

Hata askari wanaopaswa kwenda nje ya nchi huwa ni wale ambao waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO au KUMI [10] BORA katika MITIHANI YA TAIFA.

Screenshot_20261024-083914.png

​
Sasa ikitokea wameenda nchi za nje raia au askari wasiokuwa na sifa, matokeo yake yanakuwa siyo mazuri na inakuwa inaleta taswira mbaya kwa upande wa taifa.

Screenshot_20261024-092941.png

​
Pia, hata ile namna ya kukirimu kama raia wa kigeni inakuwa siyo nzuri na wanapewa ukaribisho kulingana na hadhi zao! Wanakuwa wanatumikishwa katika ile namna ya kuadhibiwa, sawasawa na wahusika au watuhumiwa wa uvunjifu wa haki za binadamu, ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto. Sasa hali hiyo huwa siyo nzuri.

Kwahiyo haya masuala ndiyo huwa ya kuzingatia kabla ya kufikia maamuzi ya kufanya POLITICAL CHANGES. Ukizingatia katika kila kaya tatu [3] za kifamilia, kaya moja [1] ya kifamilia inatakiwa kuwa ni kaya ya askari wa JESHI LA MAGEREZA au JESHI LA POLISI na hii inafanyika kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] ili kufuatilia na kudhibiti kile kinachoendelea kwenye jamii.
 
Howo ni Wanyamapori! Faw iko pamoja na Iveco ni Zimamoto. Ila Jeneral wa kijesh hatakiwi kuwa na mke aliyekaguliwa mkndu na Jeneral aliyeongoza kitaifa mara tatu ndo anaruhusiwa kuoa mke aliyekaguliwa mkndu sababu atakuwa na akili nyingi ya kuweza kuishi na askari wa kike.. 🤣
Huku RECOMMENDED DOWNLOADS zinaingia kila siku! Unapakua hadi unachoka, unaweka video kwenye "LAPTOP" zinajaa! Unaweka video kwenye "EXTERNAL DISK" na zenyewe zinajaa..

Screenshot_20261022-155846.png

​
Unahifadhi video "OFFLINE" na zenyewe zinajaa, inabidi baada ya kuangalia ni kufuta! Hata kampuni ya kutengeneza magari aina ya MAN inamilikiwa na KENYA.

Screenshot_20261022-155934.png

​
Hawa ndiyo wanaojenga serikali ya KENYA! Mfumo wa vyama vingi na mabadiliko ya kisiasa waliinjia wao.

Kwahiyo kabla ya kufikia maamuzi ya kufanya POLITICAL CHANGES, lazima ifanyike NATIONAL AUDITING AND CLEARANCE.
 
Back
Top Bottom