Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Kwahiyo majeshi yote ya ulinzi na usalama kasoro JESHI LA ULINZI [JWTZ] yanapaswa kuongozwa na WANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na WANAFUNZI VINARA [OP's] kwa kuzingatia vigezo na masharti katika kila jeshi.

Hata mabadiliko katika sekta ya elimu yanapaswa kuzingatia mitihani ya moko, kwa sababu mitihani ya moko ndiyo inayotoa viongozi wa kitaifa, viongozi wa kijeshi pamoja na askari katika majeshi yote.

MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ndiyo mabadiliko ya kisiasa yanapoanzia, kwa sababu wizara, taasisi na idara zote za serikali huwa zinasimamiwa na majeshi.

Hata baadhi ya kampuni za kibiashara kwa mataifa yaliyoendelea, idadi kubwa kama siyo yote huwa inamilikiwa na serikali kupitia MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.
Hao ndo wanamilik wa kampuni zote za tembo
 
Haya masuala ya elimu na kijeshi, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI wanayafahamu vizuri sana. Pia huwa kuna tofauti ndogo kati ya CGP - MAGEREZA na CGC - UHIFADHI.

CGP - MAGEREZA anatakiwa askari ambaye ni jenerali na aliyewahi kuwa MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] na kuingia tano [5] bora kitaifa katika masomo ya uraia, iwe ni MAARIFA YA JAMII au CIVICS au DEVELOPMENT STUDIES [DS].

CGC - UHIFADHI anatakiwa askari ambaye ni jenerali na aliyewahi kuwa MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] na kuingia tano [5] bora katika mitihani ya moko, iwe ni MOKO KATA au MOKO WILAYA au MOKO MKOA au hata MOKO KANDA.

Pia huwa kuna mambo mengine machache kama kukabidhiwa sare za kijeshi kwa upande wa MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's], pale atakapokuwa ametimiza miaka thelathini na tano [35].

MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] huwa anakabidhiwa sare za JESHI LA POLISI baada ya kutimiza miaka thelathini na tano [35] na baada ya miezi miwili [2] huwa anakabidhiwa sare za JESHI LA MAGEREZA endapo kama atakuwa alifanikiwa kuingia tano [5] bora kitaifa katika masomo ya uraia.

Pia MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] huwa anakabidhiwa sare za JESHI LA UHIFADHI NA WANYAMAPORI baada ya miezi mitatu [3] baada ya kukadhiwa sare za JESHI LA POLISI kama atakuwa alifanikiwa kuingia tano [5] bora katika mitihani ya moko na huwa wanajiunga na moja ya vitengo vinavyopatikana TFS kama MISITU [FOREST] au UFUGAJI NYUKI [BEEKEEPING] au UTALII WA KIIKOLOJIA [ECOTOURISM] pamoja na MAENEO YA KITAMADUNI NA URITHI [CULTURAL AND HERITAGE SITES].

Kwahiyo mitihani ya moko ina umuhimu wake katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, ukizingatia JESHI LA UHIFADHI ndiyo jeshi linalohusika na usimamizi wa mahesabu ya ankara katika rasilimali na amali zote zinazomilikiwa na serikali.

Yaani, katika masuala ya utawala wa kiserikali [GOVERNMENT ADMINISTRATION] ~ JESHI LA UHIFADHI linahusika na ukaguzi na uhakiki wa gharama za miradi yote ya maendeleo inayotekelezwa na serikali. Kuwekeza katika miundombinu kwa ajili ya uhifadhi, utalii na maendeleo endelevu.
It's over and topic is closed 🔐 Ila kazi nyingine ya jesh la wanyamapori ni kuhifadhi na kutunza vitu vyote vinavyomilikiwa na serikali ikiwa ni pamoja na kuthaminisha amana zote za kiserikali..

Kwa upande wa matio walioingia tano bora moko huwa wanajiunga na jesh la wanyapori kwa cheo kile kile walichotoka nacho polisi na huwa wanalipwa mshahara mwingine kutoka wizara ya utalii..

Kitu kingine, matio huwa wanajiunga na tume ya maadil ya taifa baada ya kufanikiwa kuongoza mara mbili kitaifa na huwa wanaanza kupokea hela ya matunzo baada ya kufanikiwa kuongoza kitaifa kwa mara tatu..

Ile kibongo bongo shule inatoa, maana kuna vijana wengine walikuwa wanaenda mtumbani kukunja nguo baada ya kutoka twisheni na kupewa shilingi 50 ya kula shule..

Saivi wapo majeshin na tume ya maadili wanakula hela nono, hawaonekani mitaani na msoto wote walishasahau. Ila picha zao tunazo wakiwa wanakunja nguo na kuweka kwenye mabaloo ya mitumba. Wakina Nasolwa wa Uhuru primary baadae akaenda Mzumbe na Buthelezi wa Town primary akaenda Uhuru secondary ndo ilikuwa michezo yao hiyo..

Kwahiyo saivi vijana wapo vizuri na wanamiliki nyumba za kupangisha pamoja na kampuni zao za usafirishaji, sema bado wanapitia changamoto za kupata connection.. 🙏
 
It's over and topic is closed 🔐 Historia ya Tanzania kabla ya uhuru inapatikana katika mikoa ya Pwanii na Historia ya Tanzania baada ya uhuru inapatikana Shinyanga. Siku ukiambiwa Robert Mugabe alisoma Mwenge Primary School na akaenda Shybush kwa masomo ya sekondaree hutaamini hadi kufa.. 😂
 
Wajinga wale na wametapeliwa vitu vingi! Ila ni wachawi hataree na namna ya kujiponya aids walifundishwa na wakina Joho, hata Joho ni kizazi cha chifu wa utemini lakini wao hawana mambo ya kishambaa..

Hao wakina Judy walikuwa na hela za ndagu, kutoa watoto wao wa kuwazaa wenyewe ijapokuwa wanamiliki Kimotco. Kuna mtoto wao mwingine yupo Kongo na alioneshwa kwenye documentary ya Congo..

Hao wanatabia ya kuzaa na kusambaza watoto kwa watu baki kabla ya umri na hawatoi hata matunzo kwa watoto wanaowazaa! Wanajifananisha na wakongo, lakini mtoto akifanikiwa yanarudi kujitambulisha na kupitisha mchango wa wanandugu ili yenyewe yapate kulelewa..

Huo ukoo sio mzuri wa kupata mke wala mme, maana kutolewa sadaka ni sekunde! I mean kugusa tu..

Watoto wengine waliwatelekeza Sauzi, ila baadhi ya wanafamilia walihamia Msumbiji na wapo Maputo. Yanajifanya ni Royal Family kumbe ni ujinga mtupu na wao wamekua matapeli, wakienda Shinyanga wanatumia usafiri wa maflateli.. 🙏

Kweli, lakini hayatuhusu! Inabidi elimu itolewe kwa umma, ni makosa kisheria kuasili mtoto chini ya miaka saba [7] na pia ni makosa kupokea mtoto aliyezidi miaka mitano [5] kwa ajili ya malezi. Hata kama mtoto ni wako hairuhusiwi kumpokea endapo atakuwa amezidi miaka mitano [5].
 
Kulikuwa kuna wakina Kiwanuka na Banduka, wote walisoma Ndala School na walimaliza standard seven wakitoka kidedea..

Nyamka na Mwanguku ni watu wa juzi tu! Pale shinyanga mjini kuna mitaa ilipewa majina yao na wanamiliki majengo mengi ukiwa Uganda na Rwanda..

Watoto wao wengi wamo majeshini na wengine wanaishi hapo hapo Shinyanga Mjini na Arusha! Shinyanga Mjini wapo vizuri sanaa.. 🙏
1d7091ef9c9f81735320a1d95f4a3a1c.jpg
 
Hao ndo wanamilik wa kampuni zote za tembo
Hao ndiyo wanaofanya shughuli ya uhasibu na ukaguzi wa mahesabu ndani ya serikali na ndiyo wenye ofisi ya mkaguzi mkuu wa serikali [CAG]. Yaani sifa ya kwanza ya kuwa CAG ni lazima mhusika awe ni miongoni mwa askari na kiongozi wa JESHI LA UHIFADHI.

369dbb8e9f13ddc43c02208d5ffa751f.jpg

​
Kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], sifa ya kwanza ya kuwa askari wa JESHI LA UHIFADHI ni lazima mhusika awe ni miongoni mwa wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO, iwe ni MOKO KATA au MOKO WILAYA au MOKO MKOA au hata MOKO KANDA.

097db0a835a8f602474297bc9e36f899.jpg

​
Pia kitu kingine ambacho huwa hawasemi mara nyingi, ili kuwa kiongozi wa kijeshi kwa upande wa JESHI LA UHIFADHI ni lazima mhusika awe ni miongoni mwa wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya hesabu na hisabati kwa upande wa mitihani ya taifa ya DARASA LA NNE au DARASA LA SABA au KIDATO CHA PILI au KIDATO CHA NNE au hata KIDATO CHA SITA.

f5df611707573bff57f061618d5591f0.jpg

​
JESHI LA UHIFADHI ndiyo linalohusika na utungaji au uandaaji wa mitihani ya hesabu pamoja na hisabati kuanzia ngazi ya moko kata, moko wilaya, moko mkoa, moko kanda hadi mitihani ya taifa.

Kwahiyo sifa mojawapo ya kuwa CGC - UHIFADHI ni lazima mhusika awe ni askari ambaye ni jenerali wa kijeshi na aliyewahi kuwa MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] na kuingia tano bora [5] katika mitihani ya moko, iwe ni moko kata au moko wilaya au moko mkoa au hata moko kanda na awe amefanikiwa kuingia tano [5] bora kitaifa kitaifa katika somo la hisabati.
 
Ile kibongo bongo shule inatoa, maana kuna vijana wengine walikuwa wanaenda mtumbani kukunja nguo baada ya kutoka twisheni na kupewa shilingi 50 ya kula shule..
CamScanner 09-27-2026 13.00.jpg

​
Sasa hivi wenzenu wamesahau shida zote na wanatumia na kuvaa viatu vya majeshi moja kwa moja kutoka kiwandani, hasa JESHI LA MAGEREZA.

Saivi wapo majeshin na tume ya maadili wanakula hela nono, hawaonekani mitaani na msoto wote walishasahau. Ila picha zao tunazo wakiwa wanakunja nguo na kuweka kwenye mabaloo ya mitumba. Wakina Nasolwa wa Uhuru primary baadae akaenda Mzumbe na Buthelezi wa Town primary akaenda Uhuru secondary ndo ilikuwa michezo yao hiyo..

Bado kidogo mtaanza kuona kampuni zao za kibiashara na watakuwa wanatumia bidhaa za majeshi, maana wana mishahara zaidi ya mmoja.
 
It's over and topic is closed 🔐 Historia ya Tanzania kabla ya uhuru inapatikana katika mikoa ya Pwanii na Historia ya Tanzania baada ya uhuru inapatikana Shinyanga. Siku ukiambiwa Robert Mugabe alisoma Mwenge Primary School na akaenda Shybush kwa masomo ya sekondaree hutaamini hadi kufa.. 😂
4144143ae6fc7b5b1a01b0d3ca5d7a10.jpg

​
Kwahiyo TANZANIA ya sasa ni ile aliyoiona OSCAR KAMBONA, MWALIMU NYERERE alikosea sana.. 🙏🏽
 
Hao ndiyo wanaofanya shughuli ya uhasibu na ukaguzi wa mahesabu ndani ya serikali na ndiyo wenye ofisi ya mkaguzi mkuu wa serikali [CAG]. Yaani sifa ya kwanza ya kuwa CAG ni lazima mhusika awe ni miongoni mwa askari na kiongozi wa JESHI LA UHIFADHI.

Kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS], sifa ya kwanza ya kuwa askari wa JESHI LA UHIFADHI ni lazima mhusika awe ni miongoni mwa wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO, iwe ni MOKO KATA au MOKO WILAYA au MOKO MKOA au hata MOKO KANDA.

Pia kitu kingine ambacho huwa hawasemi mara nyingi, ili kuwa kiongozi wa kijeshi kwa upande wa JESHI LA UHIFADHI ni lazima mhusika awe ni miongoni mwa wanafunzi waliofanikiwa kuingia TANO [5] BORA kitaifa katika masomo ya hesabu na hisabati kwa upande wa mitihani ya taifa ya DARASA LA NNE au DARASA LA SABA au KIDATO CHA PILI au KIDATO CHA NNE au hata KIDATO CHA SITA.

JESHI LA UHIFADHI ndiyo linalohusika na utungaji au uandaaji wa mitihani ya hesabu pamoja na hisabati kuanzia ngazi ya moko kata, moko wilaya, moko mkoa, moko kanda hadi mitihani ya taifa.

Kwahiyo sifa mojawapo ya kuwa CGC - UHIFADHI ni lazima mhusika awe ni askari ambaye ni jenerali wa kijeshi na aliyewahi kuwa MWANAFUNZI BORA [TO's] au MWANAFUNZI KINARA [OP's] na kuingia tano bora [5] katika mitihani ya moko, iwe ni moko kata au moko wilaya au moko mkoa au hata moko kanda na awe amefanikiwa kuingia tano [5] bora kitaifa kitaifa katika somo la hisabati.

Shinyanga vijijn wanazijua hzo sheria, hata masuala ya ugatuzi pamoja na manunuzi ya serikal wanaohusika huwa ni Jesh la wanyamapori. Sema Shinyanga vijijn ni wavivu darasani! Wao wanataka wakirud nyumban nikuangalia TV, kuendesha magari ya mikopo na kucheza mpira..

Shule huwa wanapelekwa za vipaji maalum lakini hawafanyi vizuri! Wakati wa likizo wanatembelea majeshin kwa ajili ya kupata connection na kufanya michongo ya kujiunga na Majesh..

Wakati saivi ukiwa Shinyanga Mjini kuna watu wanasomesha watoto wao Kiteto na wengine wanaenda Isaka kila cku, kwenda na kurudi..

Wenzao wanaangalia sehem ambayo kuna shule chache na wanafunzi wachache! Ukienda vijijn huko utakuta kata ina shule moja ya msingi na shule yenyewe ina wanafunzi watatu tu..

Sehemu nyingine hata waalimu hamna na mtihani wa moko kata unakua ni mtihani wa kishule! Mjini pagumu, wanafunzi ni weng na wanasoma sana, hata maksi wanazopata ni kubwa mnoo. Hivyo ushindani ni mkubwa na uwezekano ni mdogo wa kuingia top five..

Kwahiyo mtoto anaenda shuleni na anaenda kukaa chin lakini akirud nyumban anafundishwa table teachings na top five kwenye moko anaingia. Labda kwa kuongezea, nafasi za top five mock kuwa nyingi ni kuongeza mtihani wa moko mkoa kwa form two ili wale wanafunzi wengine waingie na wao top five na sio kuondoa madarasa ya standard six na standard seven..🙏
 
Sasa hivi wenzenu wamesahau shida zote na wanatumia na kuvaa viatu vya majeshi moja kwa moja kutoka kiwandani, hasa JESHI LA MAGEREZA.

Bado kidogo mtaanza kuona kampuni zao za kibiashara na watakuwa wanatumia bidhaa za majeshi, maana wana mishahara zaidi ya mmoja.

Hayo yatakua ni maendeleo makubwa sanaa, kutoka kukunja nguo mtumbani had kumiliki kampuni ya usafirishaji! Kuna mwingine alifyatua had matofali ili apate hela ya matumizi..😂

Saivi vijana wanazijua hela, hii mikndu ya mademu wakalee wanaitafuna halaf hata hawatoi hela za matunzo! Ngoja tubadilishe staili ya akina Mwanguku na Nyamka tuje na nyingine..
 
Shinyanga vijijn wanazijua hzo sheria, sema ni wavivu darasani! Wao wanataka wakirud nyumban nikuangalia TV na kucheza mpira..

Wakati saivi ukiwa Shinyanga Mjini kuna watu wanasomesha watoto wao Kiteto na wengine wanaenda Isaka kila cku, kwenda na kurudi..

Wenzao wanaangalia sehem ambayo kuna shule chache na wanafunzi wachache! Ukienda vijijn huko utakuta kata ina shule moja ya msingi na shule yenyewe ina wanafunzi watatu tu..

Sehemu nyingine hata waalimu hamna na mtihani wa moko kata unakua ni mtihani wa kishule! Mjini pagumu, wanafunzi ni weng na wanasoma sana, hata maksi wanazopata ni kubwa mnoo. Hivyo ushindani ni mkubwa na uwezekano ni mdogo wa kuingia top five..

Kwahiyo mtoto anaenda shuleni na anaenda kukaa chin lakini akirud nyumban anafundishwa table teachings na top five kwenye moko anaingia. Labda kwa kuongezea, nafasi za top five mock kuwa nyingi ni kuongeza mtihani wa moko mkoa kwa form two ili wale wanafunzi wengine waingie na wao top five na sio kuondoa madarasa ya standard six na standard seven..🙏
Unajua adhabu inayotakana na ukatili wa kijinsia na watoto huwa ni kutengwa na jumuiya ya kitaifa, WAINGEREZA wanaita ni "NATIONAL SOCIAL ISOLATION" au "GLOBAL SOCIAL ISOLATION" katika ile hali ya kimataifa na wahusika au watuhumiwa huwa hawaruhusiwi kushiriki katika majukwaa ya kijamii, kama siasa pamoja na michezo.

Hii huwa ni mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kupitia SHIRIKA LA HAKI DUNIANI [HRW] pamoja na SHIRIKA LA WATOTO DUNIANI [UNESCO].

Screenshot_20261003-124301.png

​
Sasa wale wenzetu ambao ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] imekuwa ni kawaida kuzaa na kusambaza watoto wao katika ile namna ya kupata mafanikio kwa imani za kishirikina.

Screenshot_20261003-124256.png

Wamefanikiwa kuzaa na kusambaza watoto wao katika mataifa mbalimbali ya kiafrika, hiyo video ilisambaa mtandaoni mwaka uliopita na ilikuwa ikiwaonesha watoto wa kitanzania wakiwa katika mji wa ANTANANARIVO.

Screenshot_20261003-081121.png

Hiyo ndiyo tabia ya wenyeji wa asili wa SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na kila mara wamekuwa wakilalamika kuwa na uwezo mdogo wa kimasomo, lakini ni kutokana na mtindo wa maisha yao kwa sababu hakuna binadamu aliyezaliwa na uwezo mkubwa darasani!

Screenshot_20261003-081111.png

​
Baadae hii tabia ilihamia kwa wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually]! Lakini haijaleta madhara sana kutokana na tabia hiyo kuanza miaka michache iliyopita ukilinganisha na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].

Screenshot_20261003-080944.png

Kwahiyo wale watu wengine wanaopatikana maeneo ya mijini wamekuwa wajanja na wanapeleka watoto wao kwenda kusoma shule za pembezoni mwa miji kwa nia ya kuingia tano [5] bora katika mitihani ya moko.
 
Hayo yatakua ni maendeleo makubwa sanaa, kutoka kukunja nguo mtumbani had kumiliki kampuni ya usafirishaji! Kuna mwingine alifyatua had matofali ili apate hela ya matumizi..😂
Tunaambiwa miaka ya zamani, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ndiyo waliokuwa madalali katika bidhaa zote zinazotoka nje, ndiyo maana ilipelekea bidhaa kama magari kupanda bei na kuwa mara mbili au mara tatu zaidi ya bei halisi. Lakini sasa hivi, kila kitu kinapatikana TANZANIA. Pia kuna baadhi ya kampuni kubwa kubwa zinaenda kupoteza mvuto, baada ya kupatikana kwa kampuni nafuu kwa watanzania walio wengi.
 
Unajua adhabu inayotakana na ukatili wa kijinsia na watoto huwa ni kutengwa na jumuiya ya kitaifa, WAINGEREZA wanaita ni "NATIONAL SOCIAL ISOLATION" au "GLOBAL SOCIAL ISOLATION" katika ile hali ya kimataifa na wahusika au watuhumiwa huwa hawaruhusiwi kushiriki katika majukwaa ya kijamii, kama siasa pamoja na michezo.

Hii huwa ni mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] kupitia SHIRIKA LA HAKI DUNIANI [HRW] pamoja na SHIRIKA LA WATOTO DUNIANI [UNESCO].

Sasa wale wenzetu ambao ni wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] imekuwa ni kawaida kuzaa na kusambaza watoto wao katika ile namna ya kupata mafanikio kwa imani za kishirikina.

Wamefanikiwa kuzaa na kusambaza watoto wao katika mataifa mbalimbali ya kiafrika, hiyo video ilisambaa mtandaoni mwaka uliopita na ilikuwa ikiwaonesha watoto wa kitanzania wakiwa katika mji wa ANTANANARIVO.

Hiyo ndiyo tabia ya wenyeji wa asili wa SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] na kila mara wamekuwa wakilalamika kuwa na uwezo mdogo wa kimasomo, lakini ni kutokana na mtindo wa maisha yao kwa sababu hakuna binadamu aliyezaliwa na uwezo mkubwa darasani!

Baadae hii tabia ilihamia kwa wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU [BUBIKI actually]! Lakini haijaleta madhara sana kutokana na tabia hiyo kuanza miaka michache iliyopita ukilinganisha na wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually].

Kwahiyo wale watu wengine wanaopatikana maeneo ya mijini wamekuwa wajanja na wanapeleka watoto wao kwenda kusoma shule za pembezoni mwa miji kwa nia ya kuingia tano [5] bora katika mitihani ya moko.

It's over and topic is closed 🔐 Saivi Shinyanga vijijn hawana waziri hata mmoja kwenye baraza la mawaziri! Lakin adui wa Shinyanga vijijn huwa ni Shinyanga Mjini. Hapo ni kama Manchester utd ya Sir Alex Ferguson na Manchester city ya Pepu Gurdiola.. 😂

Kishapu huwa hawana shida kwa hii miamba miwili ya soka! Sema wakina Judith ndo walianza kuichafua Kishapu, lakin watu wao wapo vizuri na waaminifu sanaaa..

Inatakiwa ipatikane suluhisho la kudumu kwa upande wa watu wa Shinyanga vijijn ili waache tabia yao ya kuwatoa watoto wao ndondocha..

Kwanza kabisa, kama wanawake wa Shinyanga vijijn huwa wanaenda kuzalishwa na wanaume wa Kishapu na watu wa Kishapu ndo wametalawa top ten ya Bongo! Basi watu wa Kishapu walio serikalin warudishwe majeshin na nafasi zao zichukuliwe na watu wa Shinyanga vijijn..

Majeshin nafasi zipo nyingi na hapawez kujaa, sema wanahitajika watu wenye sifa! Hii itasaidia kuwapa nafasi za upendeleo watu wa Shinyanga vijijn ndani ya ofisi za kiserikali kutokana na unyeti wao katika taifa la Tanzania..

Kitu cha pili, kufuata sheria za kimataifa ndo msingi wa maendeleo ya kitaifa na Tanzania haiwez kuendelea kuvunja sheria za kimataifa kisa kikundi kidogo cha watu. Hivyo wanatakiwa wakubaliane na hali na wajipange ile kisawa sawa..

Kwahiyo Shinyanga vijijn is not a big deal, kwamba tushindwe kufanya kazi nyingine za kiserikali au tushindwe kutimiza majukumu mengine ya kiserikali. Wao wataendelea hivyo hivyo kutokana na sababu zao walizozisababisha wao wenyewe. It's their default, not us.. 🙏
 
Tunaambiwa miaka ya zamani, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI [NINDO actually] ndiyo waliokuwa madalali katika bidhaa zote zinazotoka nje, ndiyo maana ilipelekea bidhaa kama magari kupanda bei na kuwa mara mbili au mara tatu zaidi ya bei halisi. Lakini sasa hivi, kila kitu kinapatikana TANZANIA. Pia kuna baadhi ya kampuni kubwa kubwa zinaenda kupoteza mvuto, baada ya kupatikana kwa kampuni nafuu kwa watanzania walio wengi.
Howo inaenda kuindoa Scania kwenye soko la malori! Howo ni 15milion kwa kichwa kimoja kipya kutoka Kigamboni au Kibaha maili moja, wakati Scania tunauziwa used tena kwa bei mara tatu hadi mara nne ya bei halisi..

Saivi tuna Golden Dragons kama za Ally's Star zimejaa yard pale Bandarini na bei yake ni sawa na bure! Yanini ukateseke na Marcopolo za msauzi ambazo Mombasa Raha aliuziwa gari mbovu hadi leo hana hamu nazo..

Wakina Mohammed trans kampun yao ilifilisika kutokana na Marcopolo za msauz, lakin Ally's Star bado ipo! Tahmeed ipo! Buscar na Modern Coast bado zipo..

Kuna vijana wana hela za tume ya maadili! Wakina Alfa wana 200milion zimekaa tu ndani! Wakina Buthelezi wana 300milion zinawasubiri, bado malimbikizo kutoka polisi na jeshi la wanyamapori jumla inaweza fika 500milion..

Bado wana nafasi zao za ajira katika ofisi za kibalozi nje ya nchi, hata kisiwa cha Niue 🇳🇺 kinamilikiwa na serikali kupitia jesh la polisi..

Kwahiyo wateja wapo! Tena ni vijana wadogo, tuliowaona wakikua na kukunja nguo mitumbani na wengine walikuwa wakifyatua matofali ili wapate hela ya matumizi, saivi nayeye anamiliki Howo 13.. 🙏
 
Shinyanga vijijn wanazijua hzo sheria, hata masuala ya ugatuzi pamoja na manunuzi ya serikal wanaohusika huwa ni Jesh la wanyamapori. Sema Shinyanga vijijn ni wavivu darasani! Wao wanataka wakirud nyumban nikuangalia TV, kuendesha magari ya mikopo na kucheza mpira..
236a5d5a6b98f2005594406eb1083e20.jpg

​
Pia wahasibu wote wa serikali wanapaswa kuwa ni miongoni mwa askari wa JESHI LA UHIFADHI! Hata OFISI YA HAZINA pamoja na BENKI KUU huwa ipo chini ya JESHI LA UHIFADHI.

5a023a0a895b3dcc5ddf43bd942a3c12.jpg

​
Yaani MHAZINI MKUU WA SERIKALI anapaswa kuwa ni miongoni mwa askari na kiongozi wa JESHI LA UHIFADHI. Bila ya kusahau GAVANA WA BENKI KUU anapaswa kuwa ni miongoni mwa askari na kiongozi wa JESHI LA UHIFADHI. Hii huwa ni kwa mujibu wa sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS]..

Hii huwa ni elimu ya kijeshi na ilikuwa inapaswa kutolewa na kufundishwa majeshini. Pia kuna baadhi ya wizara kama WIZARA YA FEDHA pamoja na WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA huwa ipo chini ya JESHI LA UHIFADHI.
Shule huwa wanapelekwa za vipaji maalum lakini hawafanyi vizuri! Wakati wa likizo wanatembelea majeshin kwa ajili ya kupata connection na kufanya michongo ya kujiunga na Majesh..

Wakati saivi ukiwa Shinyanga Mjini kuna watu wanasomesha watoto wao Kiteto na wengine wanaenda Isaka kila cku, kwenda na kurudi..

Wenzao wanaangalia sehem ambayo kuna shule chache na wanafunzi wachache! Ukienda vijijn huko utakuta kata ina shule moja ya msingi na shule yenyewe ina wanafunzi watatu tu..

Sehemu nyingine hata waalimu hamna na mtihani wa moko kata unakua ni mtihani wa kishule! Mjini pagumu, wanafunzi ni weng na wanasoma sana, hata maksi wanazopata ni kubwa mnoo. Hivyo ushindani ni mkubwa na uwezekano ni mdogo wa kuingia top five..

Kwahiyo mtoto anaenda shuleni na anaenda kukaa chin lakini akirud nyumban anafundishwa table teachings na top five kwenye moko anaingia. Labda kwa kuongezea, nafasi za top five mock kuwa nyingi ni kuongeza mtihani wa moko mkoa kwa form two ili wale wanafunzi wengine waingie na wao top five na sio kuondoa madarasa ya standard six na standard seven..🙏
Kwahiyo wale waliofanikiwa kuyafahamu haya masuala tangu siku nyingi walijikita katika elimu ya msingi na elimu ya sekondari. Kigezo cha kwanza huwa ni kufanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO, iwe ni MOKO KATA au MOKO WILAYA au MOKO MKOA au hata MOKO KANDA.

4cdb605310d9ab7bfdd95a7c1194e2b8.jpg

Ndiyo maana wenzenu huwa wanaenda kumalizia elimu ya msingi katika shule zinazopatikana pembeni mwa miji au shule zinazopatikana mipakani mwa nchi, maana zinakuwa na idadi ndogo ya wanafunzi ukilinganisha na shule za msingi zinazopatikana mijini. Hata ushindani unakuwa ni mdogo.
 
Shinyanga vijijn wanazijua hzo sheria, hata masuala ya ugatuzi pamoja na manunuzi ya serikal wanaohusika huwa ni Jesh la wanyamapori. Sema Shinyanga vijijn ni wavivu darasani! Wao wanataka wakirud nyumban nikuangalia TV, kuendesha magari ya mikopo na kucheza mpira..

Shule huwa wanapelekwa za vipaji maalum lakini hawafanyi vizuri! Wakati wa likizo wanatembelea majeshin kwa ajili ya kupata connection na kufanya michongo ya kujiunga na Majesh..

Wakati saivi ukiwa Shinyanga Mjini kuna watu wanasomesha watoto wao Kiteto na wengine wanaenda Isaka kila cku, kwenda na kurudi..

Wenzao wanaangalia sehem ambayo kuna shule chache na wanafunzi wachache! Ukienda vijijn huko utakuta kata ina shule moja ya msingi na shule yenyewe ina wanafunzi watatu tu..

Sehemu nyingine hata waalimu hamna na mtihani wa moko kata unakua ni mtihani wa kishule! Mjini pagumu, wanafunzi ni weng na wanasoma sana, hata maksi wanazopata ni kubwa mnoo. Hivyo ushindani ni mkubwa na uwezekano ni mdogo wa kuingia top five..

Kwahiyo mtoto anaenda shuleni na anaenda kukaa chin lakini akirud nyumban anafundishwa table teachings na top five kwenye moko anaingia. Labda kwa kuongezea, nafasi za top five mock kuwa nyingi ni kuongeza mtihani wa moko mkoa kwa form two ili wale wanafunzi wengine waingie na wao top five na sio kuondoa madarasa ya standard six na standard seven..🙏
Sasa hivi ndiyo hali inaanza kubadilika na umuhimu wa elimu ya msingi pamoja na elimu ya sekondari inaanza kuonekana ndani ya MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, baada ya kupatikana kwa wanafunzi waliofanikiwa kuongoza kitaifa zaidi ya mara moja.

_20260911_124907.JPG

​
MWANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE [2007] yumo hata kwa upande wa JESHI LA UHIFADHI, kama ilivyo kwa upande wa JESHI LA MAGEREZA.

06268fc9381114b4ea9f8663c2729533.jpg

​
Pia anaweza kuongoza hayo majeshi mawili [JESHI LA UHIFADHI pamoja na JESHI LA MAGEREZA], iwe kwa pamoja au kwa nyakati tofauti kuanzia cheo cha RCO pamoja na RPO ~ kwa sababu atakuwa amekidhi vigezo vyote katika majeshi yote mawili.

1a4586763596cc273d7c7e8315257466.jpg

​
Kuongoza JESHI LA UHIFADHI inatakiwa askari awe alifanikiwa kuingia TANO [5] BORA katika MITIHANI YA MOKO na awe alifanikiwa kuingia TANO [5] BORA KITAIFA katika masomo ya hesabu au hisabati. Bila ya kusahau sifa ya kuwa MWANAFUNZI BORA [TO's] pamoja na MWANAFUNZI KINARA [OP's].

Kwahiyo hizi sheria za UMOJA WA MATAIFA [INTERNATIONAL LAWS] zilikuwepo tangu siku nyingi, sema kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA walikuwa hawazitilii mkazo! Lakini ni sheria ambazo zinatumika katika MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA duniani kote.
 
Kweli, lakini hayatuhusu! Inabidi elimu itolewe kwa umma, ni makosa kisheria kuasili mtoto chini ya miaka saba [7] na pia ni makosa kupokea mtoto aliyezidi miaka mitano [5] kwa ajili ya malezi. Hata kama mtoto ni wako hairuhusiwi kumpokea endapo atakuwa amezidi miaka mitano [5].

It's over and topic is closed 🔐 Wanasema jk alikuwa anapenda kutumia Chai ya maziwa na walimchanganyia soom kwenye maziwa ndo maana baadae alikuja kufarik ghafla..

Kuoa kwenye ukoo ambao unaongozwa na wanawake nayo ni tatizo! Sio vizur kuoa kwenye familia inayoongozwa na mwanamke. Ndo Kimotco hao, lakin wakulaumiwa ni yeye mwenyewe sababu jk alikuwa hata bado kuzaa na Judith, ila yeye alikuwa tayari na watoto aliokuwa amezaa na wanawake wengine..

Hadi Zambia kuna mtoto wa jk. Lakini yeye aliamua kutelekeza watoto wake wa kuwazaa mwenyewe kutoka kiunoni mwake na kuamua kuishi na RiziOne, tena akiwa na miaka 13! Huyo ndo aliyemmaliza askari magereza mwenye nyota tatu..

Ilikuwa kama Kongo, wanazindua daraja na kukatika hapohapo! Sasa sijui walikuwa wanajenga kwa kutumia nini!? It's over and topic is closed. 😂 🔐
 
Back
Top Bottom