Shukrani sana mkuu Charles Mandela.
Nimepata kitu kipya hapo kwenye Spirit na Fine Spirit, SBL, & TBL.
Sasa swali lingine ukiulizwa - CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ ni mali ya nani? Jibu lake ni mali ya muasisi ambaye ni HAYATI MWALIMU.
Swali lingine ukiulizwa - SERIKALI YA TANZANIA ๐น๐ฟ inaongozwa na CHAMA gani? Jibu lake ni CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ.
Kwahiyo, CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ kilichoasisiwa na HAYATI MWALIMU ndio kinachoongoza SERIKALI YA TANZANIA ๐น๐ฟ.
Sasa swali lingine ukiulizwa - CHAMA CHA RPF - INKOTANYI ni mali ya nani? Jibu lake ni mali ya muasisi ambaye ni [...].
Swali lingine ukiulizwa - SERIKALI YA RWANDA ๐ท๐ผ inaongozwa na CHAMA gani? Jibu lake ni CHAMA CHA RPF - INKOTANYI.
Kwahiyo CHAMA CHA RPF - INKOTANYI kilichoasisiwa na kudhaminiwa na [...] ndio kinachoongoza SERIKALI YA RWANDA ๐ท๐ผ.
Swali lingine ukiulizwa - CHAMA CHA CNDD - FDD ni mali ya nani? Jibu lake ni mali ya muasisi ambaye ni [...].
Swali lingine ukiulizwa - SERIKALI YA BURUNDI ๐ง๐ฎ inaongozwa na CHAMA gani? Jibu lake ni CHAMA CHA CNDD - FDD.
Kwahiyo CHAMA CHA CNDD - FDD kilichoasisiwa na kudhaminiwa na [...] ndio kinachoongoza SERIKALI YA BURUNDI ๐ง๐ฎ.
Kwahiyo SERIKALI YA BURUNDI ๐ง๐ฎ au kwa jina lingine wanaitwa ni INTAMBA MURUGAMBA ndio inaongozwa na CHAMA CHA CNDD - FDD ambao wana UMOJA WA VIJANA unaoitwa IMBONERA NKURE, ikiwa ina maana ya VIJANA WANAO ONA MBALI.
Hiki CHAMA CHA CNDD - FDD ni chama cha kisiasa kilichoasisiwa na kudhaminiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ. Kwahiyo wanaongoza SERIKALI YA BURUNDI ๐ง๐ฎ ni MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ na hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ ndio wenye SERIKALI YA BURUNDI ๐ง๐ฎ.
Kwahiyo, kama ilivyo kwa RAIS WA RWANDA ๐ท๐ผ - PAUL KAGAME ndivyo ilivyo kwa RAIS WA BURUNDI ๐ง๐ฎ - EVARIST NDAYISHIMIYE, hawa wote ni wafanyakazi tu lakini wenye nchi hizi mbili wapo TANZANIA ๐น๐ฟ.
Na kwa upande wa nchi ya BURUNDI ๐ง๐ฎ tunaweza kusema kuwa ni FIKRA DUNI ndio zinazokwamisha maendeleo ya nchi ya BURUNDI ๐ง๐ฎ, kwa sababu wenye nchi wana uwezo wa kubadilisha taswira nzima ya kiuchumi ya BURUNDI ๐ง๐ฎ ndani ya kipindi kifupi tu na kuwa ni TAIFA LENYE UCHUMI WA KATI.
Kwahiyo, hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ itakuwa ni makosa makubwa sana kuwafananisha na wakina ADAM SAPI MKWAWA au OSCAR KAMBONA kwa sababu wao, hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ ndio wenye DOLA NA SERIKALI YA BURUNDI ๐ง๐ฎ halafu hawa hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ ndio wenye CHAMA CHA WANANCHI - CUF โ๏ธ.