Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Ikiwa RBC watataka kisasi juu yetu,
Je, TWIGA CEMENT watachomokaje salama katika hilo?
Mkuu, Charles Mandela!
HAYATI MWALIMU alisoma ELIMU yake ya chuo kikuu katika CHUO KIKUU CHA MAKERERE nchini UGANDA πΊπ¬ na alivyofika pale kwenye CHAMA CHA USHIRIKA CHA SHIRECU kwenye miaka ya 1990's alikutana na TRANSPORT MANAGER wa kipindi hicho na yeye alikuwa anaitwa [...] na alisoma shule ya sekondari mpaka kidato cha nne nchini UGANDA πΊπ¬ na shule hiyo inaitwa [...].Bora umenisaidia mkuu, huyu teacher mpaka leo mimi simwamini kabisa
Mkuu hiki chuo kipi nchi gani? nimegoogle lakini wapi hakuna, please nisaidie mkuu.HAYATI MWALIMU alisoma ELIMU yake ya chuo kikuu katika CHUO KIKUU CHA MAKELELE nchini UGANDA πΊπ¬ na alivyofika pale kwenye CHAMA CHA USHIRIKA cha SHIRECU kwenye miaka ya 1990's alikutana na TRANSPORT MANAGER wa kipindi hicho na yeye alikuwa anaitwa [...] na alisoma shule ya sekondari mpaka kidato cha nne nchini UGANDA πΊπ¬ na shule hiyo inaitwa [...].
Huyo TRANSPORT MANAGER baada ya kumaliza elimu yake ya kidato cha nne nchini UGANDA πΊπ¬ alirudi TANZANIA πΉπΏ na kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita katika shule ya sekondari ya TAMBAZA, hii ilikuwa ni mwaka 1977 mpaka 1979 na alikuwa ni miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri katika mtihani wa KIDATO CHA SITA [ 1979 ] na baadae aliendelea na masomo ya CHUO KIKUU katika fani ya UHANDISI WA MITAMBO yaani AUTOMOBILE ENGINEERING.
Sasa HAYATI MWALIMU alivyokuwa anatembelea hivyo VYAMA VYA USHIRIKA, alikutana na huyo TRANSPORT MANAGER WA SHIRECU na walishibana sana kwa sababu wote walikuwa na MTAZAMO WA KIUGANDA yaani WAINGEREZA π¬π§ wanaita ni UGANDAN IDEOLOGY yaani ni MTAZAMO WA SERIKALI YA VIWANDA NA UCHUMI WA SOKO HURIA.
Ijapokuwa, HAYATI MWALIMU alikuwa anaongoza SEREKALI YENYE MTAZAMO WA KIJAMAA lakini yeye binafsi aliamini katika MTAZAMO WA KIUGANDA yaani ni MTAZAMO WA SEREKALI YA VIWANDA NA UCHUMI WA SOKO HURIA.
Na hili swali alishaulizwa kuwa - Ni kwanini yeye binafsi anaamini katika MTAZAMO WA KIUGANDA ilhali anaongoza SEREKALI YENYE MTAZAMO WA KIJAMAA? Alijibu hivi - alichagua MFUMO WA KIJAMAA kwa sababu WATANZANIA wengi ni MASIKINI, kwahiyo alichagua MFUMO WA KIJAMAA NA KUJITEGEMEA ili kuleta USAWA katika JAMII YA WATANZANIA WOTE bila ya kujali dini wala kabila.
Kwahiyo walivyokutana na yule TRANSPORT MANAGER WA SHIRECU walishibana sana kiitikadi na ndio aliyekuwa anatumika kubeba FEDHA za HAYATI MWALIMU kutoka SHIRECU na baada ya mambo kuwa mazuri, huyu TRANSPORT MANAGER WA SHIRECU alihamia NCU - MWANZA na hii ilikuwa ni mwaka 1992 kwa cheo kile kile cha TRANSPORT MANAGER.
Na hapo NCU - MWANZA alienda kwa shughuli ile ile ya HAYATI MWALIMU na pale walipiga FEDHA za kutosha na huyo ndio alikuwa SWAHIBA WA HAYATI MWALIMU nje ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βοΈ.
Na huyo TRANSPORT MANAGER ndio aliyekuwa SWAHIBA WA HAYATI MWALIMU ambaye hakuhudhuria MAZISHI YA HAYATI MWALIMU, mwaka 1999.
Na huyo TRANSPORT MANAGER ndio aliyewanunulia MSAFARA WA MAGARI YA KIJESHI [ CONVOY ] WAASI WA RPF - INKOTANYI waliokuwa wakiongozwa na FRED RWIGEMA na baadae PAUL KAGAME.
Na huyo TRANSPORT MANAGER ndio aliyemshonea SUTI YA KUAPISHWA KUWA RAIS WA RWANDA π·πΌ, Ndugu PAUL KAGAME.
Na huyo TRANSPORT MANAGER ndio aliyemnunulia PAUL KAGAME magari ya kutopisha risasi [ BULLET PROOFING ] kipindi anakuwa RAIS WA RWANDA π·πΌ.
Na baadae hilo jina la CONVOY lilikuja kuwa maarufu sana kipindi hicho na huyo TRANSPORT MANAGER aliamua kufungua kampuni ya usafirishaji wa mizigo inayoitwa CONVOY HAULAGE na baadae ikaitwa APEX na baadae hii kampuni ya usafirishaji wa mizigo iliitwa DUCOR GROUP na ipo inafanya vizuri mpaka leo. Hii ikiwa ni kuwaenzi wale ASKARI WOTE waliojitoa kwenda kuikomboa RWANDA π·πΌ dhidi ya UTAWALA WA JUVENAL HABYARIMANA.
Mambo ni mengi sana! Lakini huyo TRANSPORT MANAGER ndio kwa jina lingine anaitwa "MISTER ABILITY" na ndio aliyeimbwa kwenye nyimbo iliyotungwa na wasanii wanaofahamika kwa majina ya RADIO, WEASEL na RABADABA.
Ngoja nirekebishe hapo, ni CHUO KIKUU CHA MAKERERE.Mkuu hiki chuo kipi nchi gani? nimegoogle lakini wapi hakuna, please nisaidie mkuu.
Asante mkuu usiwe BashiteNgoja nirekebishe hapo, ni CHUO KIKUU CHA MAKERERE.
Sasa huyo TRANSPORT MANAGER yaani MISTER ABILITY ndio aliyekuwa nyuma ya kuanzishwa kwa CHAMA CHA WANANCHI - CUF βοΈ.Asante mkuu usiwe Bashite
Asante mkuu usiwe Bashite
Asante mkuu usiwe Bashite
Asante ππ½ Asante ππ½Shukrani, Mkuu Charles Mandela!
Lakini leo umefahamu, ni jambo la kushukuru MUNGU.Hao CONVOY HAULAGE, Nimewaona mara kadhaa wa kadha hapo NYAMHONGOLO-MWANZA Ila sikuwa nafahamu mmiliki wake.
MISTER ABILITY alikuwa ni TRANSPORT MANAGER kwenye VYAMA VYA USHIRIKA VYA SHIRECU NA NCU kwa nyakati tofauti na MISTER CLEAN alikuwa ni HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA na MISTER ZERO alikuwa ni [...].MR ABILITY ni moja kati ya nyimbo zinazo zipenda kutoka UG ila sikuwa nafahamu kama vijana hawa RADIO & WEASEL ni mali ya PANTHERA LEO.
Ngoja nikipata muda nitakujatia WASANII na kazi zao waliohama kutoka TANZANIA πΉπΏ na kwenda MATAIFA mengine kipindi wazazi wao walivyohama kutoka kwenye hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA π¦.Ukiacha WEASEL na RADIO, Kuna kijana mwingine wa UG huwa namkubali sana anaitwa ZIGGY D, Naye alitikisa sana kuanzia miaka ya 2004's
Huyu pia ni ASKARI wa UPDF, anaitwa CANARY MUGUME na vile vile ni MWASHITA yaani SIMBA
Ngoja nianze kukutajia WASANII NA KAZI ZAO waliohamia UGANDA πΊπ¬ wakitoka TANZANIA πΉπΏ kwenye MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani WASANII wenye ASILI YA MWASHITA yaani SIMBA π¦.Shukrani, Mkuu Charles Mandela!
Hao CONVOY HAULAGE, Nimewaona mara kadhaa wa kadha hapo NYAMHONGOLO-MWANZA Ila sikuwa nafahamu mmiliki wake.
MR ABILITY ni moja kati ya nyimbo zinazo zipenda kutoka UG ila sikuwa nafahamu kama vijana hawa RADIO & WEASEL ni mali ya PANTHERA LEO.
Ukiacha WEASEL na RADIO, Kuna kijana mwingine wa UG huwa namkubali sana anaitwa ZIGGY D, Naye alitikisa sana kuanzia miaka ya 2004's
Hao ndio MWASHITA yaani SIMBA π¦ wanaoishi UGANDA πΊπ¬ na kuna wengine wengi tu, sema wanafanya shughuli zao kimya kimya mbali na mambo ya SIASA, SANAA NA MICHEZO.Na KANYOMOZI naye ndani ya nyumba !?
KANYOMOZI ni JIKE BORA kabisa hapa kwa wasanii MAJIKE wa hapa EAST AND CENTRAL AFRICA na hakuna JIKE yoyote mwenye TUZO nyingi kumzidi yeye.
MWASHITA kweli ni mnyama aisee! Yaani wasanii wote hao KUMI hakuna mzembe hata mmoja.
KENZO alikuwa wa kwanza EA kunyakua tuzo BET, Hapa alimpiku pia na KINYONGA kabla ya VANNY TZ kusawazisha makosa.
Lady Mariam? Kanyomozi? Kinyonga? Weasel & Radio? Bebe? Kenzo? Vichwa kutu kabisa hivi.
Wanakistahili kile kilichopandwa ndani yao.
Hata kwa upande wa nchi ya KENYA π°πͺ hawa MWASHITA yaani SIMBA π¦ wapo ambao ni WASANII na wapo chini ya usimamizi wa MWASHITA yaani SIMBA π¦ wa TANZANIA πΉπΏ.BOBI WINE, naye mjengoni !?
MWASHITA analamba MALI tu, ana TURUFU ya kutosha.
Kwangu KOLABO bora ni ile mwaka 2007 ya NDIVYO SIVYO ya JOSEPH HAULE & JOSEPH CHAMELEON.
Mkuu unaiomba damu maiti?Yeah! BIASHARA ni MATANGAZO, You Know! There's a NEW ARRIVAL! LAND ROVER RANGE ROVER SPORT!
Year 2012, MODEL SD V6 HSE, ENGINE 3000cc, FUEL DIESEL, COLOR RED representing SIMBA π¦ alias as MWASHITA.
PRICE is AFFORDABLE! Only TSHS 98,000,000.00 is enough for you.
MALIPO ni kwa awamu MBILI tu! Call us on +255 716 073 061 or +255 769 803 305 or +255 628 666 987.
Hata kwa upande wa nchi ya KENYA