Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,559
Kila mrengo unafaida na hasara zake, Mwalimu kwa Sera ya ujamaa angalau Ardhi, elimu na afya tunafaidi japo kadri miaka inavyosonga Elimu inakuwa ghali kuipata ile nzuri, Ubepari nao unamabaya yake waone Kenya na Zambia baada ya Rais Kaunda ndo utajua kwanini kila Sera inamabaya na mazuri yake
sikatai juu ya hilo, lakini mwisho wa siku TZ ya sasa ivi ni ile ya kambona tungelifanya hili mapema tungekua mbali sana...watu wengi wanamsapoti nyerere kwa kigezo cha kwamba kaleta "umoja" lakini sio kweli suala la umoja halihusiani na siasi za ubepari au ujamaa wala siasa ya vyama vingi au kimoja, angalia nchi kama marekaniKila mrengo unafaida na hasara zake, Mwalimu kwa Sera ya ujamaa angalau Ardhi, elimu na afya tunafaidi japo kadri miaka inavyosonga Elimu inakuwa ghali kuipata ile nzuri, Ubepari nao unamabaya yake waone Kenya na Zambia baada ya Rais Kaunda ndo utajua kwanini kila Sera inamabaya na mazuri yake
Aisee una hoja pia. Sikua nimeiwaza sana hii hoja.Kupanga ni kuchagua! Wengi wa wale walioanza na ideology ya Ubepari wakati nchi zao bado ni changa wameishia kupata matabaka either ya kikanda au kikabila! Inawezekana ukaona kuwa tumechelewa sana lkn amini kuwa misingi aliyoijenga mwalimu ndio leo tupo wamoja hivi unavyoona hatuulizani makabila wala dini. Sasa kama kujenga nchi tuanzie hapo baada ya kujenga Amani na Umoja wa Kitaifa.
sina uhakika na vingine ila hivo ndo vitu viwili vikubwa kuliko vyoteok shukran kk. ukiachana na kuamini ubepari na mfumo wa vyema vingi, kipi kingine kinacho fuction now ambacho Kambona ali dream kipindi iko?
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
sikatai juu ya hilo, lakini mwisho wa siku TZ ya sasa ivi ni ile ya kambona tungelifanya hili mapema tungekua mbali sana...watu wengi wanamsapoti nyerere kwa kigezo cha kwamba kaleta "umoja" lakini sio kweli suala la umoja halihusiani na siasi za ubepari au ujamaa wala siasa ya vyama vingi au kimoja, angalia nchi kama marekani
huo ndo ukweliNyerere alikuwa ni cold blood dictator sema ni dictator aliyekung'ata anapuliza na sio pure dictator.
Katika chama cha Tanu Kambona alikuwa aki play part ipi?sina uhakika na vingine ila hivo ndo vitu viwili vikubwa kuliko vyote
Nimesikitika sana kusoma kitabu cha Mkapa, hajaeleze ma kabisa ugomvi wa Kambona na Nyerere.nimesusanya dots za hapa na pale nkasoma stories zake , cha ajabu wale ambao walishuhudia haya yote kwa macho yao huwezi kuskia wakiongelea haya mambo watuambie ukweli
Jamanieee mwisho wa siku Hata kiswahili chenyewe kulikuwa bado lugha ngeni, mpya na inayo evolve.Waliishia kumpaka matope.
View attachment 1665493
At the end Kambona ndie aliyeshinda hata Nyerere alikuja muelewa kambona akiwa ameshachelewa ,Thus Nyerere baada ya kuyatambua makosa yake alitoa speech na vitabu vingi Sana akiponda falsafa zake japo mfano vitabu Kama Tujisahihishe, Uhuru na maendeleo, kuruhusu vyama vingi ambavyo aliviuwa, speech maarufu ya "hatari ya kutawaliwa na dikteta kwa katiba hii" nk.kambona aliamini ubepari na siasi ya vyama vingi, nyerere aliamini ujamaa na siasa ya chama kimoja
alikua sekretari mkuu wa chamaKatika chama cha Tanu Kambona alikuwa aki play part ipi?
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Rais hataki hata kusafiri nje ajifunze nchi za wenzetuIlitakiwa ajifunze tokana na makosa ya Nyerere ye anaiga makosa ya Nyerere.Thus amefeli both wamefeli kwenye uchumi.
nitafarijika sana kama siku moja mzee Mohamed Said ataandika makala maalumu ya kumuelezea kambona kama vile anavyofanya katika kuwaandikia makala wazee wake wa kariakoo walioshiriki katika harakati za kisiasa kabla na baada ya uhuru.
najua uwezo huo unao ila hajajisikia tu kufanya hivyo. labda kwa kuwa kambona hakuwa mwenzetu kiimani.
Je, aliwageuka ili kujinufaisha yeye binafsi ???Mwalimu is overrated, wale waliomfadhili kipindi anapigania Uhuru aliwageuka, maduka ya ushirika yalitesa watu, baada ya kufeli vibaya akaamua kuachia madaraka kuepuka aibu lakini anavyoimbwa unaweza kudhani alikua malaika
alikua sekretari mkuu wa chama cha tanu yaani yeye ndo alikua mratibu mkuu wa shughuli zote za chama ni kama vile bashiru na magufuli kwa sasa yaani anaeendesha chama ni katibu mwenyekiti yupo tu kama political figure japo yeye ndo ana maamuzi ya mwisho, yaani yeye na mwalimu walikua na uwezo kana kwamba walikua wanaweza wakaamua kitu wao na kikapita bila kupingwa, kambona baadae akawa waziri wa kwanza wa mambo ya njeKambona alibobea zaidi katika masuala yapi na ndani ya Tanu Kambona alikuwa na nafasi ipi? au enzi hizo Chama hakikuwa na mfumo wa vyeo/nyadhifa kama ilivyo sasa?
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app