Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Ndio maana nikauliza hapo kama ni kauli ya muajiri wake je waliamua liwalo na liwe na chui? Maana wanajua fika mwenye Dola ya Tanzania ni chui kupitia mradi wa chui, je waliamua wagawane mbao na chui ?
Endelea
Naomba Niambie ushahidi dhahiri wa yote haya.yaani naomba uniambie/unitolee ushahidi dhahiri wa yote haya kwa maana Kwa maelezo yako hawa jamaa wanamiliki kila kitu hapa duniani na wako strong Sana hakuna cha kina bilget au matajiri wa marekani au ulaya vinginevyo hizi ni blabla Tu.Sikiliza kwanza hii NYIMBO ya JOSE CHAMELEON. Hii NYIMBO alikuwa anaimba akimaanisha JAMII ya MWASHITA yaani SIMBA [emoji881].
Hawa MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa kampuni ya JAKO SPORTSWEAR inayopatikana nchini UJERUMANI [emoji629], sehemu inayoitwa MULFINGEN, BADEN - WรRTTEMBERG, wilaya ya HOLLENBACH.
Hii kampuni ilianzishwa huko STACHENHAUSEN na RUDI SPRรGEL, mwaka 1989 na ilinunuliwa na mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU, mwaka 1995.
Na sababu iliyopelekea hawa MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU kununua hicho KIWANDA ni baada ya kumiliki timu za mpira wa miguu nyingi na waliambiwa hivi - "Nyinyi nunueni timu za mpira wa miguu, lakini sisi tutawauzia jezi za timu zenye nembo ya ADIDAS, OPEL, FUBU, NIKE, FILA au PUMA".
Hawa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU walikuwa ni WATU SMART sana, kwa sababu wengi wao walikuwa wamesoma UGANDA [emoji1254] na walikuwa na EXPOSURE YA MAISHA. Kwahiyo walikuja na mapendekezo yao ya kununua na kumiliki KIWANDA cha kutengeneza jezi za MICHEZO ambazo watazitumia kama SARE kwenye timu ambazo wanazimiliki wao wenyewe.
Lakini hawakufanikiwa kumiliki KIWANDA chochote kwa sababu gharama yake ilikuwa ni kubwa, walibahatisha KIWANDA CHA SAIZI YA KATI ambacho kilikuwa kinapatikana STACHENHAUSEN, UJERUMANI [emoji629].
Baada ya kufanikiwa kununua na kumiliki KIWANDA CHA JAKO, hawa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU walifanikiwa kupata eneo lingine [ wilaya ya HOLLENBACH, MULFINGEN ] na kujenga KIWANDA kikubwa cha kutengeneza NGUO ZENYE NEMBO YA JAKO.
Haikuwa kazi NYEPESI! Kwa sababu tangu mwaka 1995 mpaka leo ni miaka zaidi ya ishirini [ 20 ] imepita, lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU bado hawajaanza kutumia JEZI ZENYE NEMBO yao.
Kwa mara ya kwanza - hawa MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wameanza kutumia JEZI ZENYE NEMBO YA JAKO kwenye timu ya mpira wa miguu ambayo wanamiliki wao wenyewe, timu hiyo ni BAYER 04 LEVERKUSEN.
Kwahiyo mpaka kufikia sasa hivi - hawa MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wanajaribu kutumia NEMBO yao wenyewe.
Na hicho KIWANDA CHA JAKO wamefanikiwa kutengeneza VIFAA mbalimbali vinavyotumika kwenye MICHEZO ya mpira wa miguu, mpira wa kikapu na MICHEZO mingine.
Na hadi mwaka 2018, hiki KIWANDA CHA JAKO walifanikiwa kutengeneza MPIRA [emoji460] wao wenyewe. Kwahiyo wamepiga hatua sana, ijapokuwa bado USHINDANI ni mdogo ukilinganisha na makampuni makubwa kama ADIDAS, FILA, NIKE na PUMA.
Hadi kufikia mwaka 2020, hiki KIWANDA CHA JAKO kimefanikiwa kutengeneza VIFAA vyote vinavyotumika kwenye mchezo wa mpira wa miguu.
Hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wamewekeza kila SEKTA na isitoshe hicho KIWANDA CHA JAKO ni KIWANDA CHA NGUO, sema sasa hivi wameongeza na mambo mengine mengine.Naomba Niambie ushahidi dhahiri wa yote haya.yaani naomba uniambie/unitolee ushahidi dhahiri wa yote haya kwa maana Kwa maelezo yako hawa jamaa wanamiliki kila kitu hapa duniani na wako strong Sana hakuna cha kina bilget au matajiri wa marekani au ulaya vinginevyo hizi ni blabla Tu.
Sasa soma tena hii KAULI aliyoitoa RAIS WA SERIKALI YA RWANDA ๐ท๐ผ, PAUL INGABIRE KAGAME. Hii ni KAULI ya MUAJIRI wake, na wala sio KAULI inayotoka KINYWANI mwake.
PAUL INGABIRE KAGAME ni PRESIDENTIAL STATUS QUO ya TAIFA LA RWANDA ๐ท๐ผ, yaani kwa LUGHA YA KISWAHILI tunaweza kusema hivi - PAUL INGABIRE KAGAME ni NEMBO YA URAIS YA TAIFA LA RWANDA ๐ท๐ผ.
Lakini kuna WATU walio nyuma yake, hakufika hapo alipo pekee yake. Hao WATU ndio wenye MAJESHI YA RWANDA ๐ท๐ผ na hao WATU ndio wenye CHAMA TAWALA kinachoitwa RPF - INKOTANYI.
Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME ndio WATU ambao wanaongoza INTELIJENSIA YA RAIS WA UGANDA ๐บ๐ฌ na kwa LUGHA YA KIINGEREZA tunaweza kusema hivi - PRESIDENTIAL SECURITY UNIT OF UGANDA ๐บ๐ฌ.
Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME wanaitwa ni MASHEMEJI kwa FAMILIA YA BABA WA TAIFA LA KENYA ๐ฐ๐ช, kutokana na UHURU KENYATTA kuoa BINTI kutoka JAMII ya hao WATU.
Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME ndio WATU ambao wameshikilia UCHUMI WA BANDARI ZOTE ZA BAHARI YA HINDI kuanzia LAMU, MOMBASA, TANGA, DAR ES SALAAM, MTWARA, BANGUELA mpaka PORT ELIZABETH ya AFRIKA YA KUSINI ๐ฟ๐ฆ.
Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME ndio WATU ambao wameshikilia UCHUMI WA TANZANIA ๐น๐ฟ kwa asilimia ishirini [ 20% ].
Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME ndio WATU ambao walikuwa ni KRIMU BORA iliyowahi kutokea TANZANIA ๐น๐ฟ, ambao wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwa na UCHUMI bila ya kujihusisha na SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ.
Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME ndio WATU ambao kwa kiasi kikubwa walichangia na kudhamini VITA YA PILI YA MISITU YA KONGO ๐จ๐ฉ kwa kipindi cha miaka minne [ 4 ]. Kwahiyo ni WATU ambao wapo vizuri sana KIUCHUMI.
Sikiliza kwanza hii NYIMBO ya JOSE CHAMELEON. Hii NYIMBO alikuwa anaimba akimaanisha JAMII ya MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ.
Hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa kampuni ya JAKO SPORTSWEAR inayopatikana nchini UJERUMANI ๐ฉ๐ช, sehemu inayoitwa MULFINGEN, BADEN - WรRTTEMBERG, wilaya ya HOLLENBACH.
Hii kampuni ilianzishwa huko STACHENHAUSEN na RUDI SPRรGEL, mwaka 1989 na ilinunuliwa na mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU, mwaka 1995.
Na sababu iliyopelekea hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU kununua hicho KIWANDA ni baada ya kumiliki timu za mpira wa miguu nyingi na waliambiwa hivi - "Nyinyi nunueni timu za mpira wa miguu, lakini sisi tutawauzia jezi za timu zenye nembo ya ADIDAS, OPEL, FUBU, NIKE, FILA, PHAT FAM, DADA au PUMA".
Hawa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU walikuwa ni WATU SMART sana, kwa sababu wengi wao walikuwa wamesoma UGANDA ๐บ๐ฌ na walikuwa na EXPOSURE YA MAISHA. Kwahiyo walikuja na mapendekezo yao ya kununua na kumiliki KIWANDA cha kutengeneza jezi za MICHEZO ambazo watazitumia kama SARE kwenye timu ambazo wanazimiliki wao wenyewe.
Lakini hawakufanikiwa kumiliki KIWANDA chochote kwa sababu gharama yake ilikuwa ni kubwa, walibahatisha KIWANDA CHA SAIZI YA KATI ambacho kilikuwa kinapatikana STACHENHAUSEN, UJERUMANI ๐ฉ๐ช.
Baada ya kufanikiwa kununua na kumiliki KIWANDA CHA JAKO, hawa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU walifanikiwa kupata eneo lingine [ wilaya ya HOLLENBACH, MULFINGEN ] na kujenga KIWANDA kikubwa cha kutengeneza NGUO ZENYE NEMBO YA JAKO.
Haikuwa kazi NYEPESI! Kwa sababu tangu mwaka 1995 mpaka leo ni miaka zaidi ya ishirini [ 20 ] imepita, lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU bado hawajaanza kutumia JEZI ZENYE NEMBO yao.
Kwa mara ya kwanza - hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wameanza kutumia JEZI ZENYE NEMBO YA JAKO kwenye timu ya mpira wa miguu ambayo wanamiliki wao wenyewe, timu hiyo ni BAYER 04 LEVERKUSEN.
Kwahiyo mpaka kufikia sasa hivi - hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wanajaribu kutumia NEMBO yao wenyewe.
Na hicho KIWANDA CHA JAKO wamefanikiwa kutengeneza VIFAA mbalimbali vinavyotumika kwenye MICHEZO ya mpira wa miguu, mpira wa kikapu na MICHEZO mingine.
Na hadi mwaka 2018, hiki KIWANDA CHA JAKO walifanikiwa kutengeneza MPIRA โฝ wao wenyewe. Kwahiyo wamepiga hatua sana, ijapokuwa bado USHINDANI ni mdogo ukilinganisha na makampuni makubwa kama PHAT FAM, FUBU, DADA, ADIDAS, FILA, NIKE na PUMA.
Hadi kufikia mwaka 2020, hiki KIWANDA CHA JAKO kimefanikiwa kutengeneza VIFAA vyote vinavyotumika kwenye mchezo wa mpira wa miguu.
Na hawa wanaoonekana kwenye PICHA ni baadhi ya wafanyakazi wa SHOPPING MALLS wanao uza BIDHAA ZA JAKO.
Kwa upande wa TANZANIA ๐น๐ฟ, hizi SHOPPING MALLS zinafanya kazi kama kampuni ya GSM inavyofanya kazi kwenye SHOPPING MALLS za PUGU na MSASANI.
Yaani hii KAMPUNI YA JAKO huwa inafanya MERCHANDISE kama ilivyo kwa KAMPUNI YA GSM inavyofanya kazi kwenye SHOPPING MALLS zake za PUGU na MSASANI.
Na mwaka 2019, kwenye MICHUANO YA ASIA [ ASIA CUP ] - hii KAMPUNI YA JAKO ilifanikiwa kupata TENDA YA KUTENGENEZA JEZI ZA TIMU ZA TAIFA ZA IRAKI ๐ฎ๐ถ, YEMENI ๐พ๐ช, SYRIA ๐ธ๐พ, PALESTINA ๐ต๐ธ, UZBEKISTANI ๐บ๐ฟ, OMANI ๐ด๐ฒ na TURKMENISTANI ๐น๐ฒ.
Hii KAMPUNI YA JAKO ina SHOPPING MALLS ambazo zinauza BIDHAA zao kwenye MATAIFA KUMI NA TISA [ 19 ]. MATAIFA hayo ni UBELIGIJI, URUSI, UFARANSA, UZBEKISTANI, UHOLANZI, ROMANIA, SERBIA, LEBANONI, POLANDI, UHISPANIA, QATARI, KUWAITI, MAKEDONIA, MOLDOVA, IRELAND, IRANI, ITALIA, UKRAINE na UJERUMANI yenyewe.
Na malengo ya baadae ni kutumia JEZI ZA JAKO kwenye kila timu ya mpira wa miguu ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.
Ni vitu vya kawaida kama unajadili vizuri na kwa kutumia LUGHA YA STAHA ๐๐ฝHhaha mandela bna.unapangilia mambo mpaka msomaji anaduwaa.
Halafu kitu kingine ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kuwa - hili jina la SIMBA MTOTO halijaja tu hivi hivi!! Hili jina la SIMBA MTOTO limetokana na kampuni ya usafirishaji wa abiria na mizigo inayoitwa SIMBA MTOTO.ila bwana mandela aka simba mtoto
Sasa hii KAULI ya PAUL INGABIRE KAGAME sijui alikuwa anatuma ujumbe kwa nani? Labda inatokana na sababu za kujihami.hii msg ya kagame imetupwa kwa nan hasa.yaan ili jiwe nan anarushiwa gizan?
JOSE CHAMELEON huwa anaitwa ni DAKTA wa MUZIKI, yaani ukimpa IDEAS yeye ana uwezo wa kutunga NYIMBO kupitia ile ile IDEAS.Hiyo nyimbo imepita mule mule.daah kwel dunia ina pande mbili.wengine wanasikiliza nyimbo kama burudan wakt wengine wanakuwa wametupa msg dunian kwamba n wale wale miaka yote.
Mimi BINAFSI huwa sichangii kwenye JUKWAA LA SIASA, lakini huu UZI umenifanya nitumie MUDA wangu kujadili SIASA na hii ndio SIASA YA TANZANIA ๐น๐ฟ.mandela unazid kunikosha.japo wadau wanasema n bla bla ila twende hivo hivo.
UKWELI siku zote huwa ni MCHUNGU. WAINGEREZA ๐ฌ๐ง huwa wanasema hivi - the TRUTH is always BITTER ๐๐ฝvitu hiv n vichungu kama dawa vinaitaj maji ya kushushia vinginevo ukimumunya lazima uviteme.
Ukiifahamu SIASA YA TANZANIA ๐น๐ฟ na ukafahamu WATU waliofanikiwa na WATU ambao hawajafanikiwa chini ya UTAWALA WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ, ndio itakuwa chanzo cha wewe kupiga hatua kutoka sehemu uliyopo.Kwahyo mandela wengine hapa dunian tumekuja kushangaa shangaa tu au?
JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wataendelea kunufaika na kujijenga KIUCHUMI na KISIASA kutokana na uwepo wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ kuendelea kubaki madarakani.kila kitu kimeshikwa na chui na simba au tufanyaje ili angalau na sis tuji attach na hizo jamii.
Hapana sheikh, mimi ni MDAU! Kwahiyo nimeona na kusimuliwa MAMBO mengi. MAMBO mengine yatabaki kuwa ni SIRI ya WATAWALA.Ila mandela kuna mwana anakumegea hiz sir siyo kwa kupangilia huko.
Wacha nisikilize tena hii nyimbo naona ntazid kupata maswal zaid
@Charles Mandela Habari, za kitambo kidogo? Nadhani nakumbuka kukuuliza hili swali na ukatoa ufafanuzi, Sasa Kwa muktadha huo huo ambao umeuelezea hapo, Simba ndio waweka madarakani kina sauli, Simba ndio wanaoshikilia intellijensia ya raisi wa kina valuvalu, je sauli katumwa kama kujihami? Kujihami Kwa ajili ya Nan? Kina Simba wanamuhofia nani ambae anaewafanya wapate kiwewe hivyo ?Sasa soma tena hii KAULI aliyoitoa RAIS WA SERIKALI YA RWANDA [emoji1206], PAUL INGABIRE KAGAME. Hii ni KAULI ya MUAJIRI wake, na wala sio KAULI inayotoka KINYWANI mwake.
PAUL INGABIRE KAGAME ni PRESIDENTIAL STATUS QUO ya TAIFA LA RWANDA [emoji1206], yaani kwa LUGHA YA KISWAHILI tunaweza kusema hivi - PAUL INGABIRE KAGAME ni NEMBO YA URAIS YA TAIFA LA RWANDA [emoji1206].
Lakini kuna WATU walio nyuma yake, hakufika hapo alipo pekee yake. Hao WATU ndio wenye MAJESHI YA RWANDA [emoji1206] na hao WATU ndio wenye CHAMA TAWALA kinachoitwa RPF - INKOTANYI.
Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME ndio WATU ambao wanaongoza INTELIJENSIA YA RAIS WA UGANDA [emoji1254] na kwa LUGHA YA KIINGEREZA tunaweza kusema hivi - PRESIDENTIAL SECURITY UNIT OF UGANDA [emoji1254].
Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME wanaitwa ni MASHEMEJI kwa FAMILIA YA BABA WA TAIFA LA KENYA [emoji1139], kutokana na UHURU KENYATTA kuoa BINTI kutoka JAMII ya hao WATU.
Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME ndio WATU ambao wameshikilia UCHUMI WA BANDARI ZOTE ZA BAHARI YA HINDI kuanzia LAMU, MOMBASA, TANGA, DAR ES SALAAM, MTWARA, BANGUELA mpaka PORT ELIZABETH ya AFRIKA YA KUSINI [emoji1221].
Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME ndio WATU ambao wameshikilia UCHUMI WA TANZANIA [emoji1241] kwa asilimia ishirini [ 20% ].
Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME ndio WATU ambao walikuwa ni KRIMU BORA iliyowahi kutokea TANZANIA [emoji1241], ambao wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwa na UCHUMI bila ya kujihusisha na SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537].
Hao WATU walio nyuma ya PAUL INGABIRE KAGAME ndio WATU ambao kwa kiasi kikubwa walichangia na kudhamini VITA YA PILI YA MISITU YA KONGO [emoji1078] kwa kipindi cha miaka minne [ 4 ]. Kwahiyo ni WATU ambao wapo vizuri sana KIUCHUMI.
Ni NZURI ๐๐ฝ@Charles Mandela Habari, za kitambo kidogo?
Nadhani nakumbuka kukuuliza hili swali na ukatoa ufafanuzi, Sasa Kwa muktadha huo huo ambao umeuelezea hapo, Simba ndio waweka madarakani kina sauli,
Hii ni PROXY WAR yaani VITA YA MANENO na haina madhara.Simba ndio wanaoshikilia intellijensia ya raisi wa kina valuvalu, je sauli katumwa kama kujihami?
Mara nyingi kauli zake huwa zinagusia na kutoa TAHADHARI dhidi ya washukiwa wa mauaji ya KIMBARI, yaani isije ikajirudia tena ๐๐ฝ๐ท๐ผ๐๐ฝKujihami Kwa ajili ya Nan?
Hakuna MTU wanaye muhofia!Kina Simba wanamuhofia nani ambae anaewafanya wapate kiwewe hivyo ?
Hakuna MAADUI wowote, zaidi ya kukomesha hisia za kibaguzi zilizochochea VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE YA MWAKA 1994.Je wana maadui gani ambao wanahisi wanataka kulipiza kwao?
Sheikh wangu, haya MAMBO tumeshajadili sana na angalia hiyo POSTI ya juu kwa maelezo ya ziada!Maana kina chui ulisema kuwa wanahofia wale wa kule dubwana likiachia Dola tu basi wale wenye Mali watadili nao Kwa ufasaha Sasa nisaidie hapo.
JAMII YA SIMBA ๐ฆ yaani MWASHITA wapo vizuri sana, sema kwa lugha nyingine tunaweza kusema kuwa ni KUJIHAMI.Ni nani anayemtisha Simba pamoja na yote anayomiliki?
Mandela huu uzi umeuharibu kabisa kwa conspiracies zako uchwara za mwashita....hauna uzi mwingine wa kuandika huu ujinga wako?
Ondoka huu uzi umeuharibu sana...moja la muhimu jitahidi uonane na wataalamu wa afya ya akili...kuna kitu hakiko sawa kwako..we pray for you.
#MaendeleoHayanaChama
Mpaka sasa hivi hujatoa ushahidi dhahiri wa unayoyazungumza.kama unayoyazungumza ni kweli Tanzania tungekuwa nchi kubwa Sana Africa hata kiuchumi.Unajua sasa hivi nipo SHINYANGA na nimetulia tuli!! Ngoja nijiandae kuangalia mechi ya SIMBA SC na ASEC MIMOSAS kutoka IVORY COAST [emoji1081].
Wale waliokuwa wanatubeza zamani - sasa hivi wanahaha kulipia king'amuzi cha AZAM ili waangalie MECHI ya SIMBA SC inayomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] na ASEC MIMOSAS inayomilikiwa na SERENGETI yaani CHUI.
Hii SIMBA MTOTO sio MANDELA tu! Hata COASTAL UNION FC ya TANGA inaitwa SIMBA MTOTO!
Sasa wewe ulitaka wafanye nini? Na USHAHIDI gani unaohitaji? NYARAKA za KISHERIA au?Mpaka sasa hivi hujatoa ushahidi dhahiri wa unayoyazungumza.kama unayoyazungumza ni kweli Tanzania tungekuwa nchi kubwa Sana Africa hata kiuchumi.
Wewe hata hata umiliki wa chupi za mkeo utasema kuna mkono wa Mwashita. Umeharibu uzi kwa kuandika ushuzi mwingi sana.Sasa wewe ulitaka wafanye nini? Na USHAHIDI gani unaohitaji? NYARAKA za KISHERIA au?
Lakini KIUCHUMI, TANZANIA ๐น๐ฟ ilitakiwa iwe kama NCHI nyingi za KUSINI MWA AFRIKA kama NAMIBIA ๐ณ๐ฆ, BOTSWANA ๐ง๐ผ na hata AFRIKA YA KUSINI ๐ฟ๐ฆ.
Lakini kilichoiponza TANZANIA ๐น๐ฟ ni RUSHWA na mapungufu mengine ya KIUTAWALA na sio SERA ZA UJAMAA kama WATANZANIA wengi wanavyoamini, kwa sababu kuna MATAIFA YA KIJAMAA NA KIKOMUNISTI yamepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo kuliko hata MATAIFA YANAYOAMINI SERA ZA KIBEPARI. Mfano mzuri ni UCHINA ๐จ๐ณ, KYUBA ๐จ๐บ na VIETNAMU ๐ป๐ณ.
Sasa JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wanafanya hayo MAMBO kwa MASILAHI yao, halafu MASILAHI ya NCHI ya TANZANIA ๐น๐ฟ baadae.
Tena afadhali hata JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ, wamejitahidi kuwekeza TANZANIA ๐น๐ฟ na BIASHARA zao zinaonekana na wanatambulika kisheria na NYARAKA ZA KISHERIA zinapatikana maeneo husika.
Hawa JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wamewekeza sana NJE YA NCHI. Ukitaka kufahamu haya MAMBO zaidi, muulize MZEE ALLY HASSAN MWINYI atakueleza vizuri.
Kipindi cha MFUMO WA VYAMA VINGI umeanza, mwaka 1992 - kuna kiasi kikubwa sana cha FEDHA kilihamishwa kutoka BENKI KUU na kupelekwa NJE YA NCHI.
Na hii ilifanyika kwa HOFU ya MABADILIKO YA KISIASA, kwahiyo JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ilikuwa inajihami kwa kuhamisha FEDHA kwenda NJE YA NCHI.
Baada ya hapo, HAYATI MWALIMU aliwaacha wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU NA WETCU kushindana kuwekeza na RAIS wa wakati huo, Ndugu ALLY HASSAN MWINYI.
Ndio! Ilikuwa ni kama LIGI kati ya MZEE RUKSA na wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wakiongozwa na MISTER ABILITY.
Kipindi cha AWAMU YA PILI cha ALLY HASSAN MWINYI kulikuwa na PESA nyingi sana na walionufaika ni wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU, wengine hawakunufaika.
Na hata baada ya kutoka Ndugu ALLY HASSAN MWINYI, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU waliendelea kupiga FEDHA nyingi sana mpaka miaka ya 2000 [ 2000's ].
Haya MASUALA ya CHUPI ๐CHUPI ๐ yanahusika vipi na huu UZI? Au ndio dalili za kufilisika hizo? Maana MAWAZO na AKILI zikielekea CHINI huwa kunakuwa na MWISHO usio mzuri ๐๐ฝWewe hata hata umiliki wa chupi za mkeo utasema kuna mkono wa Mwashita. Umeharibu uzi kwa kuandika ushuzi mwingi sana.
Kwahiyo brother Kwa yote haya unamaoni gani kipi kifanyike?kipi kifanyike ili nchi itumie hizi advantage Kwa maslahi ya Tanzania.Haya MASUALA ya CHUPI [emoji160]CHUPI [emoji160] yanahusika vipi na huu UZI? Au ndio dalili za kufilisika hizo? Maana MAWAZO na AKILI zikielekea CHINI huwa kunakuwa na MWISHO usio mzuri [emoji1431]
Lakini unatakiwa kufahamu kuanzia leo ya kwamba - ni JAMII MBILI tu ambazo zinamiliki UCHUMI WA TANZANIA [emoji1241]. JAMII hizo ni JAMII YA SERENGETI yaani CHUI na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA [emoji881], wengine hamna!!
Na hakuna hata TAASISI BINAFSI inayomiliki UCHUMI MKUBWA zaidi ya hizi JAMII MBILI - iwe ni TAASISI ZA KIDINI au ASASI ZA KIRAIA. Jibu ni HAKUNA, labda JAMII YA WATU WA PWANI na yenyewe inafuata kwa mbali sana.
Hii ndio TANZANIA [emoji1241] aliyoiacha HAYATI MWALIMU na kutokea mabadiliko ya KIUCHUMI sio vyepesi, kwa sababu zama na nyakati zimebadilika.