MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kwa jinsi ulivyoandika ni kama hao uliowataja wanamiliki uchumi wa dunia sio Tanzania tu. Hizi porojo zako ni za kupuuzwa.Haya MASUALA ya CHUPI ๐CHUPI ๐ yanahusika vipi na huu UZI? Au ndio dalili za kufilisika hizo? Maana MAWAZO na AKILI zikielekea CHINI huwa kunakuwa na MWISHO usio mzuri ๐๐ฝ
Lakini unatakiwa kufahamu kuanzia leo ya kwamba - ni JAMII MBILI tu ambazo zinamiliki UCHUMI WA TANZANIA ๐น๐ฟ. JAMII hizo ni JAMII YA SERENGETI yaani CHUI na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ, wengine hamna!!
Na hakuna hata TAASISI BINAFSI inayomiliki UCHUMI MKUBWA zaidi ya hizi JAMII MBILI - iwe ni TAASISI ZA KIDINI au ASASI ZA KIRAIA. Jibu ni HAKUNA, labda JAMII YA WATU WA PWANI na yenyewe inafuata kwa mbali sana.
Hii ndio TANZANIA ๐น๐ฟ aliyoiacha HAYATI MWALIMU na kutokea mabadiliko ya KIUCHUMI sio vyepesi, kwa sababu zama na nyakati zimebadilika.
Kwahiyo brother Kwa yote haya unamaoni gani kipi kifanyike?kipi kifanyike ili nchi itumie hizi advantage Kwa maslahi ya Tanzania.
Ndiyo hapo Kwa maelezo yake ni kama hao watu wanamiliki uchumi wa dunia Eti Kwa mfano anasema timu kubwa za ulaya na afrika zinamilikiwa na hao watu inawezekanaje?kama sio porojoKwa jinsi ulivyoandika ni kama hao uliowataja wanamiliki uchumi wa dunia sio Tanzania tu. Hizi porojo zako ni za kupuuzwa.
Kuhusu UCHUMI WA DUNIA umesema wewe, sio mimi!! Hivi kwa AKILI yako unafikiri hizo POSHO ZA CHAMA CHA MAPINDUZI wanazo gawana WAJUMBE kila siku huwa zinatoka wapi?Kwa jinsi ulivyoandika ni kama hao uliowataja wanamiliki uchumi wa dunia sio Tanzania tu. Hizi porojo zako ni za kupuuzwa.
Humu JamiiForums kuna DIASPORA na wengine wanaishi MATAIFA YA ULAYA ๐ช๐บ na AMERIKA. Watawaelezeni UKWELI ๐๐ฝNdiyo hapo Kwa maelezo yake ni kama hao watu wanamiliki uchumi wa dunia Eti Kwa mfano anasema timu kubwa za ulaya na afrika zinamilikiwa na hao watu inawezekanaje?kama sio porojo
Wewe dawa yako ni kukupuuza.Kuhusu UCHUMI WA DUNIA umesema wewe, sio mimi!! Hivi kwa AKILI yako unafikiri hizo POSHO ZA CHAMA CHA MAPINDUZI wanazo gawana WAJUMBE kila siku huwa zinatoka wapi?
Kuna MTU mwingine zaidi ya KAMPUNI ZA SERENGETI yaani CHUI ambaye ulishawahi kusikia anatoa POSHO ZA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI?
Sasa kama hakuna MTU mwingine, pigia mstari! CHAMA CHA MAPINDUZI ni CHAMA ambacho kinamiliki MALI za kutosha. Yaani kwa LUGHA nyepesi tunaweza kusema hivi - CHAMA CHA MAPINDUZI kimejitosheleza na wenye CHAMA ni JAMII YA SERENGETI yaani CHUI.
Kwa upande wa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ, wao walijitahidi kuwekeza ULAYA ๐ช๐บ hasa kwenye NCHI ya UJERUMANI ๐ฉ๐ช tangu miaka tisini [ 1990's ], kwa sababu thamani ya FEDHA ya UJERUMANI ๐ฉ๐ช [ MARK ] ilikuwa 1 DEM ni sawa na 600 TSHS. Kwahiyo ilikuwa ni vyepesi kwa hii JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ kuwekeza kwenye NCHI ya UJERUMANI ๐ฉ๐ช kuliko MATAIFA mengine ya ULAYA ๐ช๐บ.
Baada ya UJERUMANI ๐ฉ๐ช, ndio ikawa ni hatua nyingine ya kwenda MATAIFA mengine ya ULAYA ๐ช๐บ na AMERIKA.
Lakini JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wao wanaenda sehemu yoyote kuwekeza, kwa sababu wao FEDHA sio tatizo na wamepiga hatua sana ukilinganisha na miaka ya nyuma.
Mkuu hivyo vyama vya siasa vipo au bado havijaanzishwa?EDWARD NGOYAI LOWASA alikosa UCHUMI na hiyo ndio sababu iliyopelekea yeye kurudi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ.
Halafu kitu kingine ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kuwa - KUNDI LA BOYS II MEN lililokuwa linajumuisha EDWARD NGOYAI LOWASA na JAKAYA MRISHO KIKWETE lilitengenezwa na CHAMA kwa MASILAHI ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ ili kuimarisha SIASA ZA NDANI YA CHAMA.
Lakini kiuhalisia hilo KUNDI LA BOYS II MEN halina madhara yoyote kwenye SIASA ZA KITAIFA.
Hii hali ya kutengeneza AINA YA MAKUNDI ndani ya CHAMA, hao CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โ๏ธ waliitoa kwenye VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.
Kule kwenye VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU kulikuwa na KUNDI LA WENGE MUSICA. Hilo KUNDI LA WENGE MUSICA ndio walikuwepo wakina MISTER ABILITY na KIDUDUYE.
Huyo KIDUDUYE ndio aliyefunga GOLI LA DHAHABU, wenyewe wanaita ni GOLDEN GOAL kule TABORA kwenye CHAMA CHA USHIRIKA cha WETCU baada ya kupiga SHILINGI MILIONI MIA TATU [ 300,000,000 ] za TUMBAKU, mwaka 1996. Na kesi yake iliendelea mpaka miaka ya 2002..
Hao KUNDI LA WENGE MUSICA ndio wamiliki halali wa kampuni ya MOTISUN GROUP iliyoanzishwa mwaka 1992 na kumuweka MAREHEMU SUBHASH MOTIBHAI PATEL kama ni MWENYEKITI NA MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA MOTISUN GROUP.
Hizo kampuni zote za MOTISUN GROUP ni kampuni ambazo zinamilikiwa na WENGE MUSICA ambao ndio waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.
Kwa upande mwingine sifahamu wanafanya vipi ili kuandaa VIONGOZI wa baadae, lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wanaandaa WATOTO wao kupitia TAASISI ZA VYUO VIKUU ili baadae waje kuongoza VYAMA VYA KISIASA ambavyo wanavimiliki wao wenyewe.
Mkuu hii Jamii ya Simba ndiyo Bahima?Ohoo! Unafikiri mchezo! Acha kabisa MAMBO ya SIASA! JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ilivyojijenga kwa upande wa TANZANIA ๐น๐ฟ ndio JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ ilivyojijenga kwa NCHI ZA RWANDA ๐ท๐ผ na BURUNDI ๐ง๐ฎ.
Hao wote kwenye PICHA ni RDF na muda sio mrefu mpaka kufikia mwaka 2024 wataanza kuingia kwenye kampuni zote ambazo zinamilikiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU.
Kwa sababu hadi kufikia mwaka 2024, itakuwa ni miaka thelathini [ 30 ] baada ya MAUAJI YA KIMBARI. Kwahiyo miradi na kampuni zote ambazo zinamilikiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ itaanza kusimamiwa na wahusika wenyewe, ikiwemo ASKARI kutoka NCHI ZA RWANDA ๐ท๐ผ na BURUNDI ๐ง๐ฎ.
Hawa Simba mbona na kama jamii ya asili ya ASIA?Hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wamewekeza kila SEKTA na isitoshe hicho KIWANDA CHA JAKO ni KIWANDA CHA NGUO, sema sasa hivi wameongeza na mambo mengine mengine.
Lakini ni TEXTILE INDUSTRY, ni KIWANDA cha kawaida kabisa na wala hauwezi ukafananisha na baadhi ya VIWANDA ambavyo wanamiliki hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ kwa upande wa TANZANIA ๐น๐ฟ.
Hiki KIWANDA CHA JAKO hauwezi ukakifananisha na KIWANDA CHA SUKARI CHA MTIBWA wala hauwezi ukakifananisha na KIWANDA CHA KUZALISHA SIMENTI CHA CAMEL ๐ช. Ni KIWANDA kidogo ukilinganisha na VIWANDA vingine ambavyo vinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.
Na hiki KIWANDA CHA JAKO kina WATUMISHI ambao hawafiki hata mia tatu [ 300 ], yaani ni KIWANDA CHA KAWAIDA.
Ikitokea kwa siku za mbeleni kama wataweza kukipanua na kukijenga upya hiki KIWANDA CHA JAKO wanaweza kuongeza UZALISHAJI WA BIDHAA AMBAZO ZINA NEMBO YA JAKO. Hapo ndio tutaweza kusema kuwa kuna USHINDANI na VIWANDA VINGINE ambavyo vinatengeneza NGUO zenye NEMBO tofauti tofauti kama PHAT FAM, DADA, ADIDAS, FILA, NIKE, OPEL na FUBU.
Hii KAULI yako inanikumbusha KAULI ya KIONGOZI MSTAAFU wa SERIKALI ya TANZANIA ๐น๐ฟ.Wewe dawa yako ni kukupuuza.
Ndio! Hivyo VYAMA VYA KISIASA vipo na vina UWAKILISHI BUNGENI ๐๐ฝMkuu hivyo vyama vya siasa vipo au bado havijaanzishwa?
Hapana! BAHIMA ni JAMII ambayo anatoka RAIS WA SERIKALI YA UGANDA ๐บ๐ฌ, YOWERI KAGUTA MUSEVENI na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ๐ฆ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU ndio wanaitwa MWASHITA na wote walikuwa ni WASUKUMA. Kwa sababu kipindi kile, hivyo VYAMA VYA USHIRIKA walikuwa wanaajiri WATU wao tu.Mkuu hii Jamii ya Simba ndiyo Bahima?
Hapana kabisa! SUKUMA GANG ni WAHUNI WAHUNI yaani ni WATU ambao hawana MBELE wala NYUMA, na isitoshe ni WATU ambao hawamiliki UCHUMI wowote.Au Shirecu na NCU(Simba) ndiyo S gang ya sasa?
Unaposema JAMII YA SIMBA ๐ฆ wana ASILI YA ASIA unamaanisha ni WAARABU au WAHINDI? Hapana kabisa! Hawana mahusiano yoyote, zaidi ya kuwa na mahusiano ya KIBIASHARA.Hawa Simba mbona na kama jamii ya asili ya ASIA?
Mkuu why sioni kama Simba (Mwashita) Inamiliki uchumi unaouhubili hapa maana nikiangaria hawa wasukuma wanaomiliki uchumi huo mkubwa siwaoni nawaona watu wa asili ya ASIA ndio wenye uchumi waoUnaposema JAMII YA SIMBA ๐ฆ wana ASILI YA ASIA unamaanisha ni WAARABU au WAHINDI? Hapana kabisa! Hawana mahusiano yoyote, zaidi ya kuwa na mahusiano ya KIBIASHARA.
Kwani JAMII YA SERENGETI yaani CHUI huwa mnawaona kwenye shughuli za kibiashara? Huwa iko hivi - hao huwa ni WAFANYAKAZI WA KAWAIDA, lakini WAMILIKI HALALI huwa wapo na wanatambulika KISHERIA.Mkuu why sioni kama Simba (Mwashita) Inamiliki uchumi unaouhubili hapa maana nikiangaria hawa wasukuma wanaomiliki uchumi huo mkubwa siwaoni nawaona watu wa asili ya ASIA ndio wenye uchumi wao
maana Kwenye Sector ya uchuki, Madini, Viwanda nawaona wao tu!
UCHUMI WA DUNIA ๐ umeshikiliwa na TAASISI ZA KISERIKALI za MATAIFA MAKUBWA na UCHUMI WA DUNIA ๐ kwa LUGHA YA KIINGEREZA ๐ฌ๐ง wanaita ni GLOBAL ECONOMY.Kwa jinsi ulivyoandika ni kama hao uliowataja wanamiliki uchumi wa dunia sio Tanzania tu. Hizi porojo zako ni za kupuuzwa.
Tatizo Kambona naye hakusoma influence kubwa itikadi iliyokuwepo ya ukomunisti na ujamaa duniani wakati huo na chuki iliyoendelea kuwepo ya nchi za kiafrika dhidi ya udhalimu wa ukoloni. Hivyo nchi nyingi zilijitahidi kuangukia upande wa ukoministi wa china na urusi na cuba ili kujinusuru kuendelea kuwa chini ya makucha ya mabeberu. Hiyo ndiyo falsafa mpya iliyokuja kuziba pengo la ubepari zao la ukoloni soma vitabu vya akina walter, Fanon, etc Madhara ya ukoloni yalikwisha onekana kijamii na kwa uchumi tegemezi baada ya uhuru. Nyerere, sekotoure, kaunda, Lumumba, Nkrumah, etc walikuwa sahihi kwa kipindi hicho na ndicho kilichosaidia pia baadaye kutoa support kwa nchi za kusini mwa Afrika kujikomboa kupitia akina Samora etc
Hapana! Mimi sina cha kusema, sasa hivi nipo katika hatua za awali za kujisajili kwenye BODI YA WAHANDISI yaani WAINGEREZA ๐ฌ๐ง wanaita ni ENGINEERING REGISTRATION BOARD [ ERB ]. Kwahiyo sasa hivi nitakuwa naonekana mara chache kwenye MITANDAO YA KIJAMII.Mkuu, Charles Mandela!
Nina njaa, Je kuna madini mengine ya kunilisha?