Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,883
- 7,496
Nina shauku ya kumjua Mr. Ability lkn hutak kumtaja kwa majina na kutupia kapicha kake km ulivyofanya kwa wengine,Sasa hivi ukiwa KENYA kuna kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MOMBASA RAHA.
Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MOMBASA RAHA kwa kipindi fulani ilikuwa inapatikana pia katika mkoa wa SHINYANGA nchini TANZANIA.
Pia kuna kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ADVENTURE ambayo inapatikana KENYA na TANZANIA.
Hili jina la kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ADVENTURE ilikuwa ina maanisha KITUO CHA TELEVISHENI CHA ADVENTURE.
Yaani wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ADVENTURE ndiyo walikuwa wamiliki halali wa KITUO CHA TELEVISHENI CHA ADVENTURE.
Hii TELEVISHENI YA ADVENTURE ilikuwa inaonesha vipindi vya wanyama na misitu, yaani ilikuwa kama NATIONAL GEOGRAPHIC CHANNEL. Sasa hivi haipo hewani, sijui kama walibadilisha jina!
SIMBA COACH yenyewe ipo na itaendelea kuwepo, kwa sababu ndiyo kampuni iliyobeba maana halisi ya JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA au kwa jina lingine wanaitwa WAPAMBANAJI.
Kwa upande wa sekta ya usafirishaji ya abiria na mizigo, wale JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA wanafanya kama CARAVAN TRADE, Part 3: Caravans and the Impact of Long-Distance Trade – AP Central | College Board na kila sehemu ambapo wana ruti ya mabasi unakuta wamewekeza katika kila kituo cha mabasi na FEDHA hizo za uwekezaji zinatokana na faida inayopatikana kwenye SEKTA ya usafirishaji ya abiria na mizigo.
Kwahiyo, labda tuseme - sasa hivi imerudi ruti ya kutoka NAIROBI nchini KENYA hadi KIGALI nchini RWANDA kwa kutumia basi za MASHCOOL.
Kwa kutumia mtindo wa CARAVAN ROUTE, wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MASHCOOL na SIMBA COACH wamewekeza katika kila kituo, kuanzia NAIROBI nchini KENYA hadi KIGALI, nchini RWANDA.
Ukifika pale KIGALI nchini RWANDA, hawa wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MASHCOOL na SIMBA COACH ndiyo wamiliki halali wa NEW CADILLAC NIGHTCLUB.
Hii NEW CADILLAC NIGHTCLUB inamilikiwa na wakina MANING NICE tangu mwaka 1999, muda mchache baada ya MAUAJI YA KIMBARI kuisha na wamejitahidi kuwekeza sana kwenye haya MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI.
Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanafanya shughuli ya sekta ya usafirishaji ya abiria na mizigo kwa mtindo wa CARAVAN ROUTE yaani Part 3: Caravans and the Impact of Long-Distance Trade – AP Central | College Board na huu mtindo waliakisi kutoka kwa MATAIFA YA MAGHARIBI, hususani UINGEREZA.
Anataka kupigana na nani? KAGAME yupo na SERIKALI yake na ana haki ya kujihami kama viongozi wa mataifa mengine.sasa jeuri ya kagame anaitoa wap.ya kutaka kupigana na sis au uganda?
Sent using Jamii Forums mobile app
PICHA ZA MISTER ABILITY ninazo tena nyingine zipo angali akiwa anasoma UGANDA na PICHA nyingine ipo ambayo alipiga akiwa yeye na KIDUDUYE, lakini muda wake bado wa kuweka PICHA zao kwenye MITANDAO YA KIJAMII.Nina shauku ya kumjua Mr. Ability lkn hutak kumtaja kwa majina na kutupia kapicha kake km ulivyofanya kwa wengine,
Km unahofu kuhusu kutuonesha picha za huyo Mister Ability,PICHA ZA MISTER ABILITY ninazo tena nyingine zipo angali akiwa anasoma UGANDA na PICHA nyingine ipo ambayo alipiga akiwa na KIDUDUYE, lakini muda wake bado wa kuweka PICHA zao kwenye MITANDAO YA KIJAMII.
we are watching.......Km unahofu kuhusu kutuonesha picha za huyo Mister Ability,
Basi kuna uwezekano mkubwa hata maelezo unayoyatoa kumuhusu si sahih au labda ni mtu wa kusadikika
Soma huu uzi vizuri na kwa makini, hili swali ulilouliza hapa kuna maelezo yake kwenye kurasa za nyuma au kwa maelezo zaidi soma hapa - Post in thread 'Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana' Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sanaKm unahofu kuhusu kutuonesha picha za huyo Mister Ability,
Basi kuna uwezekano mkubwa hata maelezo unayoyatoa kumuhusu si sahih au labda ni mtu wa kusadikika
Angalia hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa PHOENIX ambayo inafanya shughuli zake kutoka MWANZA hadi DAR ES SALAAM.
kama wewe ni mwenyeji waa mikiaaa hiyo ufanyaje ili upat fursa ya kwenda mamtoni?Hao WATU walikuwa hawafahamu chochote!! Unajua kwa namna ambavyo wanatumia nguvu na gharama kubwa kuingiza vijana wao kwenye MAJESHI na ndivyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanavyotumia muda wa kujaza watu wao kwenye kampuni ambazo wanamiliki wao, ndani na nje ya TANZANIA.
Sasa hivi wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndio DIASPORA ambao wanafanya kazi zinazotambulika, yaani WHITE COLLAR JOBS.
Kwa upande wa AMERIKA na ULAYA, hii JAMII YA MWASHITA huwa wanaenda kama LEGAL IMMIGRANTS na sio ASYLUM SEEKERS. Wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA huwa hawana habari za GREEN CARD LOTTERY [Diversity Immigrant Visa Program] na SOCIAL SECURITIES zote huwa wanapata.
Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa wana utaratibu wa kupeleka watu wao kwenye kampuni ambazo wanamiliki wao, ndani na nje ya mipaka ya TANZANIA.
mikoakama wewe ni mwenyeji waa mikiaaa hiyo ufanyaje ili upat fursa ya kwenda mamtoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimerudi TANZANIA kipindi cha COVID-19.kama wewe ni mwenyeji waa mikiaaa hiyo ufanyaje ili upat fursa ya kwenda mamtoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kitu kingine ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kuwa - hao watu unaowaona leo ambao wanaishi DAR ES SALAAM wengi ni WAGENI kutoka mikoani.kama wewe ni mwenyeji waa mikiaaa hiyo ufanyaje ili upat fursa ya kwenda mamtoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia tena huu mfano wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MASHCOOL ambayo inafanya shughuli zake za kibiashara nchini KENYA na mataifa jirani ya UGANDA na RWANDA.kama wewe ni mwenyeji waa mikiaaa hiyo ufanyaje ili upat fursa ya kwenda mamtoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
kama wewe ni mwenyeji waa mikiaaa hiyo ufanyaje ili upat fursa ya kwenda mamtoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina jibu la uhakika, lakini jaribu kupitia huu uzi maana kuna vitu vilishajadiliwa huko nyuma.hivi yle mzee wa ice cream ni pesa yakeee au nyuma kuna wabongo wameweka mkwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo 🙏🏾nyerere alikuwa na mfumo wake wa kiutawala Kwamba,ILI UMTAWALE MTU MNYIME UHULU,ELIMU NA MAALIFA PAMOJA NA KUMNYIMA NGUVU YA kIUCHUMI hapo ndo utamutawala mtu kirahisi,mfumo huu ndo unali athiri taifa letu mpaka leo