Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 3,694
- 3,309
Kipindi kile ambacho watu wanaamishwa kutoka vijiji vyao vya asili na kupelekwa kwenye vijiji vya ujamaa, HAYATI MWALIMU alikuwa anaanzisha kijiji cha ujamaa kwa kukusanya FAMILIA MIA MOJA.Mfano kuwahamisha watu vijiji vya asili na kuwapeleka vijiji vya ujamaa, walikufa wengi sana, lakini hayasemwi.
Wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walihamia sehemu mbalimbali za ndani ya nchi na hata nje ya nchi.wenyewe wengi hapo ni wasukuma yaani mikoa yote mitatu inakaliwa kwa wingi na wasukuma.
Sasa hivi hiyo MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA imekaliwa na WALOWEZI. Wenyeji wengi walihama na kusambaa sehemu mbalimbali za ndani ya nchi na hata nje ya nchi.wenyewe wengi hapo ni wasukuma yaani mikoa yote mitatu inakaliwa kwa wingi na wasukuma.
Wengine ni wakina LAUREN JAMES ambaye mzazi wake mmoja alipata fursa ya kuhamia katika TAIFA LA UINGEREZA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].wenyewe wengi hapo ni wasukuma yaani mikoa yote mitatu inakaliwa kwa wingi na wasukuma.
Wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walihamia sehemu mbalimbali za ndani ya nchi na hata nje ya nchi.wenyewe wengi hapo ni wasukuma yaani mikoa yote mitatu inakaliwa kwa wingi na wasukuma.
DuhWale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA walikuwa wanafahamu SIASA YA TANGANYIKA na hatimae TANZANIA.
WAINGEREZA walivyoondoka baada ya TANGANYIKA kupata UHURU WA BENDERA [1961], waliwaacha WAHINDI. JAMII YA WAHINDI ndiyo ilikuwa ni jamii mbadala baada ya kuondoka kwa WAINGEREZA.
JAMII YA WAHINDI waliokuwa wanaishi TANGANYIKA na hatimae TANZANIA walikuwa ni mbadala wa WAINGEREZA katika masuala yote yanayohusu TANZANIA na CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].
Hadi leo hii, ukijaribu kuangalia BODI YA WADHAMINI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] ni kampuni ambazo kwa namna moja ama nyingine zinamilikiwa na WAHINDI. Hawa WAHINDI ni mbadala wa WAINGEREZA.
Sasa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA walikuwa wanafahamu haya mambo tangu siku nyingi na kipindi cha kuanzia miaka ya themanini na nne [1984's] ambapo sera ya kuanzishwa kwa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA inaasisiwa - WATANZANIA wengi walijijenga kiuchumi wakiwemo KUGI'S kutoka MKOA WA KAGERA.
KUGI'S bado wapo na ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa SARATOGA [THE PRIDE OF KIGOMA] , ambayo inapatikana katika MKOA WA KIGOMA.
Pia wale waliokuwa wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya MAFUTA inayoitwa KUGI'S ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa CUBBY'S inayopatikana nchini MAREKANI.
Pia wanamiliki CUBBY'S SPORTS BAR AND GRILL inayopatikana DOWNTOWN BROOKINGS, nchini MAREKANI.
Hii CUBBY'S SPORTS BAR AND GRILL huwa inatumika kufanya uchambuzi wa masuala ya michezo kama BASEBALL na BASKETBALL.
Wao pia wamejitahidi kuwekeza nje ya mipaka ya TANZANIA na wamefanikiwa pakubwa kuwekeza katika MAJENGO.
Ukiwa pale MAREKANI wamejitahidi kuwekeza katika MIGAHAWA na wanafanya vizuri karibia MAJIMBO yote ya MAREKANI.
Pia hii kampuni ya CUBBY'S imeenea hadi KOREA YA KUSINI na wanaendelea kujijenga KIUCHUMI.
Ukiwa pale nchini MAREKANI, hii kampuni ya CUBBY'S ndiyo inamiliki KIWANDA kinachotengeneza bia ambacho kinaitwa GOOSE ISLAND BEER COMPANY.
Hii kampuni ya GOOSE ISLAND BEER COMPANY inafanya vizuri katika SOKO LA USHINDANI, lakini bado siyo kinywaji maarufu ukilinganisha na bia nyingine kama HENNESSEY, HEINEKEN au VODKA.
Pia kuna baadhi ya WATANZANIA walifanikiwa kuhamia MAREKANI kwa kupitia kampuni ya kutengeneza bia inayoitwa GOOSE ISLAND BEER COMPANY.
Kuna WATANZANIA ambao walifanikiwa kufahamu hali ya kisiasa kwa upande wa TANZANIA na wakafanikiwa kujijenga KIUCHUMI, ili kuondokana na ile dhana ya BRITISH AUTONOMOUS.
Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA walijijenga sana kwenye masuala ya KIUCHUMI na walifanikiwa kuweka watu wao kila sehemu ambapo walifanikiwa kuwekeza.
Hawezi kuandika habari za mgalatia.Kambona angekuwa Ustadhi angeshaandika vitabu kumi.Nitafarijika sana kama siku moja mzee Mohamed Said ataandika makala ya kumuelezea Kambona.
amuelezee kama anavyofanya katika kuwaelezea wazee wake wa Kariakoo ambao walishiriki harakati za kisiasa kabla na baada ya uhuru.
Najua uwezo huo unao ila hajajisikia tu kufanya hivyo. Labda kwa kuwa Kambona hakuwa mwenzetu kiimani.
Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walishahama huko kwenye mikoa yao ya asili na kuhamia ZANZIBARI pamoja na MATAIFA YA KENYA, UGANDA, RWANDA, BURUNDI, KONGO, ZAMBIA, MALAWI na MSUMBIJI.
Hawezi kuandika habari za mgalatia.Kambona angekuwa Ustadhi angeshaandika vitabu kumi.
Huyu WENDIE RENARD ni MTANZANIA mwenye asili ya MWASHITA aliyehamia UFARANSA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] akitoka MKOA WA MWANZA.
Unashangaa hiyo? Kuna mtume alikuwa anaua watu na kubaka vitoto lkn anaabudiwa!
Yule alompa mimba mama yake ?? maana ni huyo tu ndiye anayeabudiwaUnashangaa hiyo? Kuna mtume alikuwa anaua watu na kubaka vitoto lkn anaabudiwa!
Wafuasi wa Mohamed SaidChama cha kwanza kuanzishwa kwa ajili ya kudai Uhuru kilikua ni TAAA jaribu kuGoogle waansilishi wa TAAA na TANU Ndio utajua Akina nani waliojitolea kwa ajili ya Uhuru na Leo Majina yao yapo wapi??
Mwingine ni huyu mcheza mpira wa timu ya mpira wa miguu ya wanawake ya TAIFA LA UHISPANIA ambaye anaitwa SALMA PARALLUELO.
Haya mambo na masuala yanayohusu udini, wenzenu walishayaacha tangu siku nyingi sana.
Huyu mwingine anaitwa ASHA DJAFARI ni mcheza mpira wa timu ya wanawake ya SIMBA SC na anawakilisha TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE YA BURUNDI.