Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Nchi ya wanafiki hii, mzee baba alimwambia makongoro kwamba hana cha kumsaidia kwa kuwa amepata kura 3,ila wale wengine waliopata kura 2 wengine waliambulia patupu walisaidika,
Na kwa sasa pambio zinaimbwa za mtu mmoja tu
 
upo sahihi mkuu
 
MODESTUS CHOGGA alikuwa babu yangu mzaa mama. Tulipigwa pin [emoji625] Sana miaka Ile Hakuna ukoo wa CHOGGA ulitoka miaka ile. Tumeanza kutoboa miaka hii. Babu yangu alifariki 1993 aliumwa sana. Mwaka 1992 aliunda Chama chake cha upinzani. Kiliitwa CHAMA CHA TANTU. anyway nimekumbuka mbali. Nimesoma vitabu vya babu yangu vingi 1968 ndo waliofukuzwa bungeni. Babu yangu ndo alikuwa mbunge wa kwanza Iringa magharibi those days. Asante kwa story nzuri.
 
kwanini waliwapiga pini sana?
 
Botswana walianza na ubepari na hawajawahi kuuacha.
 
Habari za jioni kiongozi!
Tafadhali ninaomba unitumie kitabu cha "Building A Peaceful Nation: Julius Nyerere And The Establishment of Tanzania 1960-1964".
 
Habari za jioni kiongozi!
Tafadhali ninaomba unitumie hicho kitabu cha "Building A Peaceful Nation: Julius Nyerere And The Establishment of Tanzania 1960-1964". kwenye WhatsApp kwa namba 0678 504 178.
 
Habari za jioni kiongozi!
Tafadhali ninaomba unitumie hicho kitabu cha "Building A Peaceful Nation: Julius Nyerere And The Establishment of Tanzania 1960-1964". kwenye WhatsApp kwa namba 0678 504 178.
Kitabu hiki hapa.
 

Attachments

Suala la pesa lilikuwa ni stori tu baada ya tukio lenyewe la Kambona kukimbilia uhamishoni.

Maana hata huyo Kambona alikuwa anasema Nyerere alificha pesa nyingi sana nje ya nchi, jambo ambalo mpaka leo inaonekana siyo kweli.
Ni kweli! Kwani, ni nani anayemiliki timu ya mpira wa miguu inayoshiliki ligu kuu nchini Afrika ya Kusini inayoitwa Stellenbosch Football Club?


Hii ni moja ya timu ya mpira wa miguu ambayo anamiliki HAYATI na watu ambao wanaozisimamia hizo timu ni wakina RAMADHANI yaani RAMA [ MARA ].
 
[emoji1666]Angalau tungeona effect yake
Sio kila kitu lazima uone effect yake, kama jamii au muumini wa KANISA KATOLIKI unaweza hata usione effect yake zaidi ya kusikia ameshatangazwa kuwa ni MTAKATIFU.

Unaweza usione kabisa effect yake na akatangazwa kuwa ni MTAKATIFU kwa masilahi ya KANISA KATOLIKI. Narudia tena, anaweza akatangazwa kuwa ni MTAKATIFU kwa masilahi ya KANISA KATOLIKI.

Kwa sababu, KANISA KATOLIKI lina taratibu zake kama Kanisa linaloamini katika Kristu, Sheria na Misingi ya Kanisa imeegemea sana kwenye Tafiti, Taaluma, Ukweli na KUJINUFAISHA lenyewe. Narudia tena, na KUJINUFAISHA lenyewe.

Hauwezi kutangazwa kuwa ni MTAKATIFU kama hujalinufaisha KANISA KATOLIKI iwe ni Kulinda na Kupigania Imani ya Kanisa au Kusaidia Kanisa kipindi cha Dhiki na Faraja au Kutoa Mafundisho yanayodumisha Imani ya Kikatoliki.

Na Kanisa limeenda mbali sana kwa sababu nyakati na zama zimebadilika. Unaweza kufanyika kuwa ni MTAKATIFU kwa kueneza Imani ya Kikatoliki kupitia Taaluma, Biashara, Siasa, Uinjilisti, Michezo na Sanaa.

Sasa HAYATI MWALIMU anaingia hapa kwenye SIASA. Je, kipindi yupo hai aliweza vipi kulinufaisha Kanisa KATOLIKI na SIASA ZA TANZANIA?

Mambo ni mengi, sote tunafahamu ni namna gani Kanisa KATOLIKI lilivyonufaika kipindi cha HAYATI MWALIMU.

Lakini kubwa kuliko ni [...], sio vyema kueleza kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu kikatiba Taifa na Serikali ya Tanzania haiamini katika dini wala dhehebu lolote.

Kwahiyo kueleza hadharani kunaweza kuleta sintofahamu kwa madhehebu mengine na hata ule upande mwingine wa shilingi.

Kwahiyo itabaki kuwa ni Siri na Siri itaendelea kuwa ni Siri kwa masilahi mapana ya Kanisa KATOLIKI, Taifa pamoja na Serikali ya Tanzania.
 
Eeh Mtakatifu Julius utuombee! Amen πŸ™πŸΌ
 
Suala la pesa lilikuwa ni stori tu baada ya tukio lenyewe la Kambona kukimbilia uhamishoni.

Maana hata huyo Kambona alikuwa anasema Nyerere alificha pesa nyingi sana nje ya nchi, jambo ambalo mpaka leo inaonekana siyo kweli.
Ni kweli! Kwani, ni nani anayemiliki timu ya mpira wa miguu inayoshiliki ligi kuu nchini Tunisia inayoitwa Esperance De Tunis?


Hii ni moja ya timu ya mpira wa miguu ambayo anamiliki HAYATI MWALIMU na watu ambao wanaozisimamia hizo timu ni wakina RAMADHANI yaani RAMA [ MARA ].

Aah! HAYATI MWALIMU alikuwa ni fundi wa SIASA! Anayebeza na kumdharau HAYATI MWALIMU hamfahamu vizuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na ndiye kiongozi aliyeweza kula na vipofu kwa miaka yote ishirini na nne [ 24 ] bila ya kuwagusa mikono anaowangoza.

Ndiye aliyekuwa nyuma ya kuanzishwa kwa Baraza la Waislamu Tanzania, yaani BAKWATA.

Kwa ujuzi na maarifa aliyokuwa nayo HAYATI MWALIMU, wafuasi wake waliugeuza mwezi wa RAMADHANI kuwa ni mwezi wa kumsifu na kumuabudu HAYATI MWALIMU.

Kwa upande wa Tanzania, mwezi mtukufu wa RAMADHANI ni mwezi wa kina RAMA yaani MARA.

SHEIKH PONDA anastahili pongezi sana, ijapokuwa anaowapigania hawajitambui na wala hawaifahamu iliyo kweli. Siku ambayo wakiifahamu iliyo kweli, ndio siku ambayo watakuwa huru.

Huu mchakato wa kumfanya HAYATI MWALIMU kuwa MTAKATIFU sio mchakato wa bahati mbaya, kwa sababu aliyoyafanya akiwa hai yanashangaza mpaka leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hata majirani zetu Wakenya walikuwa wanashangaa na nadhani watakuwa wanaendelea kushangaa mpaka leo kwa yale yanayoendelea kufanyika Tanzania.

Maana ilifikia hatua hata HAYATI JOMO KENYATTA alishawahi kumwambia HAYATI MWALIMU kuwa anaongoza maiti, yaani ni watu waliolala fofofo kwa lugha nyingine tunaweza kusema USINGIZI WA PONO.
 
Suala la pesa lilikuwa ni stori tu baada ya tukio lenyewe la Kambona kukimbilia uhamishoni.

Maana hata huyo Kambona alikuwa anasema Nyerere alificha pesa nyingi sana nje ya nchi, jambo ambalo mpaka leo inaonekana siyo kweli.
Ni kweli! Kwani, ni nani anayemiliki timu ya mpira wa miguu inayoshiliki ligi kuu nchini Ivory Coast inayoitwa Asec Mimosas?


Hii ni moja ya timu ya mpira wa miguu ambayo anamiliki HAYATI MWALIMU na watu ambao wanaozisimamia hizo timu ni wakina RAMADHANI yaani RAMA [ MARA ] au kwa jina lingine SERENGETI au kwa jina lingine CHUI.

Hii timu ndio mabingwa wa michuano ya Afrika, mwaka 1998 yaani mwaka mmoja kabla ya kifo cha MWALIMU. Na hii timu ndio ilitoa wachezaji maarufu sana kwenye tasnia ya SOKA ulimwenguni, akiwemo Salomon KALOU aliyewahi kuchezea CHELSEA, Kolo TOURE aliyewahi kuchezea ARSENAL na Yaya TOURE aliyewahi kuchezea BARCELONA.

HAYATI MWALIMU alikuwa vizuri sana na hata aliowaacha kusimamia miradi yake wako vizuri pia.

Sasa hivi inabidi tubadilike, kuna taarifa au ujumbe ambao huwa unatumwa kwa njia ya picha kama unavyoona hapo juu, hiyo picha ya ASEC Mimosas ndivyo ilivyo kwenye kurasa yao ya Instagram.

Taarifa nyingine zitumwa kupitia tungo za nyimbo za wasanii na taarifa nyingine zitumwa kupitia video, kwahiyo jukumu linabaki kwa mtazamaji na msilikizaji, yaani mwananchi.
 
Nilipo ona tu kwamba umezaliwa miaka ya tisini,sikuwa na haja ya kuendelea kusoma bandiko lako,nilijua ni wale wale watoto wa mabeberu.Pole.

Elimu yetu mabeberu wamei-fine tune ili kila kitu cha Magharibi mkione kizuri.Tunahitaji kuibadilisha.Damage waliyotuletea Mwinyi,Mkapa na Kikwete ni kubwa mno kwa watu wetu,I doubt if we can ever repair it.

Kwa bahati mbaya sana mabeberu wamepenyeza watu wao ndani ya mfumo wetu and they are the ones who are making major decisions in government.Naweza kusema the state is captured.Very sad.

Wewe unaye mshabikia Kambona hujui who he was.Alikuwa part of their state capture system then,and they wanted Kambona to be President,so that they could continue stealing our resources at ease.That what you would have wished,it seems.

Most of you young people who grew up during Mwinyi,Mkapa and Kikwetes' governments,worship the West.Some of you have even openly said you wish colonialism would be re-imposead.Wow,you do not know what you are aspiring.Slavery?That is what you want?!You need a mindset change.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…