Aaah sawasawa hapo nimekupata mkuu
Wale waliofanikiwa kuifahamu aina hii ya SIASA, walijikita katika kuboresha miundombinu ya SHULE ZA MSINGI pamoja na SHULE ZA SEKONDARI katika maeneo yao.
Miongoni mwao, ni wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA KILIMANJARO, MBEYA pamoja na KAGERA.
Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA KILIMANJARO, MBEYA pamoja na KAGERA ndiyo MIKOA ambayo inaongoza kwa kutoa MABALOZI WA NCHI kuliko wenyeji wa MIKOA mingine.
Yaani hii MIKOA YA KILIMANJARO, MBEYA pamoja na KAGERA ndiyo MIKOA ambayo inaongoza kwa kutoa WANAFUNZI BORA kwa kipindi kirefu tangu MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI. WANAFUNZI BORA ndiyo WANADIPLOMASIA wa siku za usoni!
Hasa MKOA WA KILIMANJARO! Huu MKOA upo mbali sana kielemu kuliko MIKOA mingine ya TANZANIA. Ukiachana na SERIKALI, wale wenyeji wa asili wa MKOA WA KILIMANJARO kipaumbele chao huwa ni ELIMU na huwa wanajivunia SHULE zao.
Pia ukiachana na MIKOA YA KILIMANJARO, MBEYA pamoja na KAGERA! KANISA KATOLIKI limo, kwani na wao pia kwa kipindi kirefu wamefanikiwa kutoa WANAFUNZI BORA, ambao kwa namna moja ama nyingine ni WANADIPLOMASIA kwa siku za usoni.
Yaani KANISA KATOLIKI ndiyo wameshikilia SOMO LA BIBLE KNOWLEDGE na DIVINITY kwa upande wa SHULE ZA SEKONDARI na kila mwaka wanatoa WANAFUNZI BORA kwa upande wa SOMO LA BIBLE KNOWLEDGE na DIVINITY kupitia SHULE ZA SEMINARI. Hawa wote wanafanyika kuwa ni WANADIPLOMASIA kwa siku zijazo.
Sasa kwanini kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA wanatumia majina ya WANAFUNZI BORA wa SHULE YA MSINGI pamoja na SHULE YA SEKONDARI katika umiliki wa kampuni na amana mbalimbali bila ya ridhaa yao?