Haya, kwanini POLISI TANZANIA ni namba tisa [9] kwa POLISI wenye weledi, barani AFRIKA?.
Elimu elimu elimu
Sasa ukitaka kuona umuhimu na ulazima wa BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA], jaribu kuangalia ule mchakato wa kupata MGOMBEA URAIS kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] uliofanyika mwaka 2015.
WHITEY HAIR alikuwa anapigiwa chapuo sana, kutokana na namna alivyokuwa amejijenga kisiasa.
Lakini kwa kupitia BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA], ndiyo lililomkwamisha kufikia malengo ya kuwania URAIS kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].
Kama jina la muhusika halipo kwenye orodha ya WANAFUNZI KUMI [10] BORA waliofanya vizuri kitaifa iwe ngazi ya DARASA LA SABA au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA. Basi muhusika anakuwa hana sifa ya kuwania URAIS kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na hauwezi kuwa MWENYEKITI WA CHAMA wala RAIS WA SERIKALI YA TANZANIA.
Kwa upande mwingine pia, huwa wanaangalia ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA katika kila somo lililosajiliwa na BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] iwe ni DARASA LA SABA au KIDATO CHA NNE au KIDATO CHA SITA. Kama muhusika jina lake linakuwa halipo kwenye orodha tajwa anakuwa hana sifa ya kuwania URAIS kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na hawezi kuwa MWENYEKITI WA CHAMA wala RAIS WA SERIKALI YA TANZANIA.
Huyu JPM kuna somo moja yupo katika ile ORODHA YA WANAFUNZI KUMI [10] BORA kwa upande wa KIDATO CHA NNE. Somo hilo ni CHEMISTRY, ijapokuwa alikuwa hajaandaliwa kuwa RAIS.
Hivyo PRESIDENTIAL MATERIALS huwa wanaandaliwa kutoka katika BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA]. Ndiyo maana pale BARAZA LA MITIHANI TANZANIA [NECTA] huwa kuna figisu nyingi sana.
Sasa wale WANASIASA wanaoifahamu SIASA YA TANZANIA vizuri, huwa wanaandaa viongozi wakiwa SHULE YA MSINGI au SHULE YA SEKONDARI.
Hii SHULE YA UHURU ilikuwa chini ya MISTER CLEAN kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na walikuwa wanafanya vizuri hata kwa upande wa JINSIA YA KIKE.
Mwaka 2007, kulikuwa na JINSIA YA KIKE katika orodha ya WANAFUNZI BORA kwa upande wa SOMO LA KISWAHILI. Hata huyo JINSIA YA KIKE anafanyika kuwa ni PRESIDENTIAL MATERIAL.
Ndiyo CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] hicho! Sema pia kuna changamoto ambazo huwa zinajitokeza kwa WANAFUNZI BORA wanaofanya vizuri kitaifa na changamoto hizo huwa ni kutumia majina yao katika kumiliki kampuni na amana mbalimbali bila ya ridhaa yao. Huwa wanatumia majina ya WANAFUNZI BORA katika kufanya BLACK MARKET..
Hata sasa hivi, pale SHINYANGA MJINI kuna BODABODA zipo na zimeandikwa zinamilikiwa kwa jina la MWANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE [2007].
Kwahiyo SIASA YA TANZANIA tangu kipindi cha MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964] ilianzia SHULENI na changamoto zilianza kuwa nyingi baada ya UTAWALA WA AWAMU YA PILI kufungua milango ya SOKO HURIA.