Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Unajua kwa asimilia kubwa kama sio zote, SIASA YA TANZANIA imechagizwa na TAIFA LA UINGEREZA kutokana na TANZANIA yenyewe kupokea UHURU kutoka kwa UINGEREZA.

Hivyo UINGEREZA wanaifahamu SIASA YA TANZANIA vizuri sana na kuna baadhi ya FILAMU au TAMTHILIA zilizoigizwa kwa msaada wa UINGEREZA zikihusisha SIASA YA TANZANIA.

Mojawapo ni TAMTHILIA inayoitwa "HOUDINE AND DOYLE SERIES" ambapo inaeleza KUNDI LA BOYZ II MEN ~ HOUDINE akisimama kama KHALFAN na DOYLE akisimama kama WHITEY HAIR.


Kwenye hiyo TAMTHILIA, walimtaja kwa jina halisi mtoto wa HOUDINE ambaye ndiyo KHALFAN, aliyefanikiwa kuzaa huko SHINYANGA.

35ad5e509e87c49d1f6d3a4ad5162cbb.png

Hii TAMTHILIA wamefanikiwa kueleza kila kitu kwa usahihi, lakini walikosea kwa upande wa yule mtoto wa HOUDINE [KHALFAN] anayepatikana SHINYANGA.

Yule mtoto wa kiume hakuwahi kulelewa hata siku moja na HOUDINE [KHALFAN], hata WANAMTANDAO hawakuwahi kumgusa! Bali kwa kipindi chote alikuwa chini ya uangalizi wa MISTER CLEAN.

384f0e7a8d3e07e242367c139b8235a0.png

Kwahiyo baada ya DISEMBA, 1994 ~ KHALFAN [bess survived him till today] na mwaka uliofuatia 1995 ~ MISTER CLEAN alifanikiwa kuwa RAIS WA TATU WA TANZANIA.
 
Kipindi kile cha miaka ya tisini na tano [1995's] ambapo MISTER CLEAN anakuwa RAIS WA TATU WA TANZANIA, wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walikuwa wana hela sana kupitia VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].

acea2574f24746e4be33f36702a0c2f5.jpg

KUNDI LA BOYZ II MEN alikuwa amebaki WHITEY HAIR pekee yake! Huyo mwingine ilikuwa ni "BESS SURVIVED", lakini KHALFAN alikuwa na pesa sana na alifanikiwa kusaidia watu wa SHINYANGA hasa kijiji cha BUBIKI alikihamisha chote na MZEE RUKSA alikuwa anashangaa na kujiuliza namna KHALFAN alivyokuwa na pesa katika umri mdogo.

Yaani KHALFAN alisaidia na kusomesha watu baki, kuliko hata ndugu zake. Hadi leo kuna kampuni za kibiashara ambazo zilikuwa zinamilikiwa na KHALFAN ambazo zinasimamiwa na watu baki, hata ndugu zake hawajawahi kutia maguu..

FB_IMG_1732568007081.jpg

Basi wale DIASPORA, hasa DIASPORA wa kutoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliokuwa wakiishi MAREKANI walikuwa wanafuatilia kwa ukaribu kile kilichokuwa kinaendelea TANZANIA.

FB_IMG_1735761349918.jpg

Hawa DIASPORA waliokuwa wanaishi MAREKANI walikuwa wanajiona na waligeuka kuwa watazamaji kwa kile kilichokuwa kinaendelea TANZANIA! "You Know" zilikuwa nyingi sana..😂

FB_IMG_1735588036810.jpg

Basi wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walianza kusomesha watoto wao katika SHULE ZA UMMA na ilikuwa ni miaka ya kuanzia 1995's hadi 1997's.

FB_IMG_1735150933319.jpg

Kipindi wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanaanza kusomesha watoto wao katika ELIMU YA MSINGI, hawa wengine walikuwa wanachukua TUZO ZA MUZIKI nchini MAREKANI.



Kwahiyo walianza kusomesha watoto wao, upande mwingine waliona kama ndoto maana safari ya kusomesha watoto ni safari ndefu isiyojulikana matokeo yake na inachukua zaidi ya miaka kumi na tano [15].
 
Wamiliki halali
IMG_20250107_230730.jpg

Unajua baada ya MISTER CLEAN kuwa RAIS WA TATU WA TANZANIA, alikuja SHINYANGA MJINI na kutaka kuhamisha ile familia iliyobaki ya mtoto wa KHALFAN. Lakini wao, ambao ni mzazi wa mtoto aligoma na walisema watakaa hapo hapo.

Watoto wengi wa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KAGERA [KCU] walisoma SHULE ZA UMMA.

Pale SHINYANGA MJINI kulikuwa kuna SHULE ZA USHIRIKA, MWENGE, TOWN, JOMU, UHURU, KAMBARAGE, MAPINDUZI na shule nyingi nyingi sana. Watoto wengi walikuwa wanasoma pale na matokeo walianza kuyaona kuanzia mwaka 2002, 2003 na 2004.

Kwa mwaka 2003 ~ pale SHINYANGA MJINI watoto wengi walifanya vizuri katika MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA SABA na yule mwanafunzi aliyeongoza SOMO LA HISABATI [2003] KITAIFA ndiyo aliyekuwa analelewa na MISTER CLEAN. Wenzenu ilikuwa HAKUNA KULALA.. 😁


Baadae kwenye miaka ya 2004 hadi 2006 ilitoka ile nyimbo ya HAKUNA KULALA, aliyoimba JUMA NATURE.

Kwenye ile nyimbo ya HAKUNA KULALA ndiyo ametajwa yule MWANAFUNZI aliyeongoza SOMO LA HISABATI KITAIFA [2003] kwa SHULE YA MSINGI na MISTER CLEAN.

IMG_20250107_230845.jpg

Kwahiyo wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliobaki TANZANIA walianza kusomesha watoto wao na matokeo walianza kuyaona kuanzia miaka ya 2002's na kuendelea.
 
Wamiliki halali
Baada ya kufanikiwa kuwa RAIS WA SERIKALI YA AWAMU YA TATU kwa kipindi cha pili ~ MISTER CLEAN alirudi tena na kuwaambia wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliokuwa wamebaki TANZANIA kuwa SIASA YA TANZANIA inaweza kubadilika, hivyo wanatakiwa kusoma kwa bidii.

IMG_20250109_002109.jpg

Ni kweli! Baada ya UCHAGUZI MKUU WA 2000 ~ TANZANIA ilibadilika kabisa na hata ajira kwa upande wa SERIKALI ziliendelea kutolewa kwa kubalansi GENDER [JINSIA], AGE [UMRI], ABILITY [UWEZO unaobebwa na uzoefu au muda wa utendaji kazini], DISABILITIES [ULEMAVU], RELIGION [DINI], TRIBES [MAKABILA], NATIONALITIES [URAIA unaobebwa na wageni waliohamia nchini kutokana na sababu mbalimbali kama BIASHARA au DIPLOMASIA] na EDUCATION [ELIMU katika ngazi mbalimbali kama DIPLOMA au SHAHADA].

Pia aligusia, TAASISI pekee ambayo inazingatia MADARAJA YA UFAULU na kutoa kipaumbele kwa watahiniwa waliofanya vizuri kwa ngazi ya kuanzia ELIMU YA MSINGI na SEKONDARI ni CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] pekee yake.

IMG-20241228-WA0012.jpg

TAASISI nyingine zinatoa ajira kwa kubalansi! Hivyo aliwaasa wazazi kusomesha watoto wao kwa bidii, malengo ikiwa ni kuja kuongoza CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kwa miaka ijayo, kupitia BARAZA LA MITIHANI [NECTA].

Kwani mwanafunzi aliyeongoza mara tatu ~ kuanzia ngazi ya DARASA LA SABA, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA atakuwa na sifa ya kuwa MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM], ngazi ya taifa.

IMG_20250109_002045.jpg

Ndiyo ilipigwa HAKUNA KULALA ya JUMA NATURE! Wanafunzi walikuwa hawalali! Kila mwanafunzi alikuwa anajitahidi kufanya vizuri angalau somo moja, ili aongoze kitaifa katika kila hatua ~ kuanzia DARASA LA SABA, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA.


Hii NYIMBO YA HAKUNA KULALA ilikuwa imewalenga wale wanafunzi wa SHINYANGA MJINI [hasa SHULE YA UHURU].

CamScanner 01-08-2025 13.19.jpg

AMINA [the late] na mwenzie MANDELA ndiyo hao! Pia AMINA [the late] aliaga dunia mwaka 2017 kipindi mwenzie yupo safarini nchini RWANDA.

IMG_20250109_002151.jpg

Kwahiyo hii mbinu ya kisiasa ya ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM], kwa mara ya kwanza iliwekwa wazi na MISTER CLEAN katika UTAWALA WA AWAMU YA TATU [1995 - 2005]. Yaani namna ambavyo CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kilivyofanikiwa kuakisi SIASA ZA UINGEREZA kupitia CHAMA CHA CONGRESS.
 
Wamiliki halali
Wenzenu kipindi kile cha miaka ya elfu mbili na saba [2007's] kuelekea elfu mbili na nane [2008's] ile shule ya UHURU walifanya vizuri sana.

CamScanner 01-08-2025 15.11.jpg

Kwa upande wa UKANDA WA MAGHARIBI inayojumuisha MIKOA YA SHINYANGA, TABORA pamoja na KIGOMA, hii shule iliongoza!

CamScanner 01-08-2025 15.11.jpg

Yaani hata kwenye hii picha kuna WANAFUNZI BORA kwa mwaka 2007! Shule kama MILAMBO, TABORA BOYS, sijui TABORA GIRLS zilibaki majina tu!

Ukikaa na wanafunzi wao utawasikia wakizungumza, viongozi wengi wa kitaifa wamepita TABORA BOYS na TABORA GIRLS. Lakini kitaaluma hawapo kabisa, imebaki historia..

IMG-20250104-WA0000.jpg

Kwahiyo MISTER CLEAN alifanikiwa, lakini malengo yalikuwa bado hayajatimia ya kupata mwenyekiti wa CHAMA TAWALA kupitia BARAZA LA MITIHANI [NECTA].
 
Wamiliki halali
Kipindi kile ambapo MISTER CLEAN anakabidhi madaraka kwa UTAWALA WA AWAMU YA NNE [2005] ~ ni yeye mwenyewe alikuwa anaongoza SERIKALI, kwa sababu KHALFAN alikuwa ni "BESS SURVIVED" na alikuwa akilipwa nusu ya mshahara ya MSHAHARA WA URAIS.

IMG-20250112-WA0001.jpg

Hivyo hadi UTAWALA WA AWAMU YA NNE ~ ilipelekea kuwa na idadi nne [4] za uongozi kutoka katika WILAYA YA KISHAPU ambazo zimeongoza TAIFA LA TANZANIA.

IMG-20250112-WA0005.jpg

Baada ya UCHAGUZI MKUU WA 2005 ~ MISTER CLEAN alikuja tena SHINYANGA na kuwaambia kuwa, wale UCHIFU WA BUSIA walikuwa ni MADALALI WA KISIASA au MAKUWADI WA KISIASA, yaani POLITICAL BROKERS wa UINGEREZA na kipindi cha UKOLONI walikuwa wanatumika na WAINGEREZA katika kuwaunganisha WATANGANYIKA.

Hivyo pamoja FEDHA walizojipatia kutokana na kuwa na mahusiano mazuri na UINGEREZA na ushawishi waliokuwa nao ~ bado SIASA YA TANZANIA inaanzia kwa HAYATI MWALIMU na CHAMA CHA TANU. Hizo nyingine zimebaki kuwa ni STORI ZA ABUNUASI.. 😁

IMG-20250112-WA0002(1).jpg

HAYATI MWALIMU ndiyo RAIS WA KWANZA WA TANZANIA na MAMA MARIA ROZA ndiyo MAMA WA TAIFA LA TANZANIA ~ hao wengine walifanya makosa, ijapokuwa walijitahidi kujikusanyia FEDHA na ndiyo wamiliki halali wa KUNDI LA TOTAL.

IMG-20250112-WA0000.jpg

Eeh, ndiyo! UCHIFU WA BUSIA ndiyo wamiliki halali wa KUNDI LA TOTAL kwa asimilia mia moja [100%]. Nadhani hapo umeelewa..



Kwahiyo MISTER CLEAN alisisitiza ELIMU na UWEKEZAJI, kwani kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ~ ROYAL FAMILY ilianzia kwa HAYATI MWALIMU, MZEE RUKSA na yeye mwenyewe. Pia ukijumuisha na WAZIRI WAKUU WASTAAFU wote.
 
BESS SURVIVED
b51cfa5318225396d09eaef09e62b112.png

Hii picha ilipigwa mwaka 1989, akiwa pamoja na rafiki yake aliyekuwa anaitwa GEORGE NANGALE. GEORGE NANGALE aliwahi kuwa MBUNGE WA BUNGE LA AFRIKA YA MASHARIKI.

Jamaa alipitia maswahibu makubwa sana na ile hali ilitokana na kujinadi kuifahamu SIASA YA TANZANIA tangu akiwa jeshini.

Maadui kwa upande wake walikuwa wengi na alifanikiwa kujinasua baada ya kuwa na mafungamano ya kibiashara na TAIFA LA UJERUMANI.
 
BESS SURVIVED
Hata WHITEY HAIR baada ya kufanikiwa kuwa WAZIRI MKUU, aliwaeleza wale UCHIFU WA BUSIA kuwa tayari yeye ameshafanikiwa kuwa WAZIRI MKUU WA TANZANIA na dunia itamkumbuka kwa hilo!

IMG-20250113-WA0013.jpg

Lakini dunia haina nafasi ya MADALALI WA KISIASA au MAKUWADI WA KISIASA, yaani POLITICAL BROKERS na hawawezi kukumbukwa kwa chochote.

Basi, kile kipindi cha UTAWALA WA AWAMU YA NNE [2005-2015] ~ MISTER CLEAN alionekana kuwa bado na nguvu ya kimlaka na aliendelea kujijenga KIUCHUMI kupitia SAKATA LA RICHMOND [huyu ndiyo alikuwa mhusika] na kuandaa WENYEVITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kwa siku za usoni kupitia BARAZA LA MITIHANI YA TANZANIA [NECTA].


Ilikuja kupigwa nyimbo ya JUMA NATURE iliyokuwa inaitwa MUGAMBO! Kipindi cha MTIHANI WA KUJIPIMA [MOCK] YA UKANDA WA MAGHARIBI inayojumuisha MIKOA YA SHINYANGA, TABORA na KIGOMA, ile shule ya UHURU ilitoa mwanafunzi wa saba [7] na mwanafunzi wa nane [8] na aliongoza masomo mawili, huyo jina lake lililotajwa kwenye ubeti wa pili.

CamScanner 01-13-2025 15.45.jpg

Hivyo wanafunzi pamoja na wadau wengine walikuwa wanafurahi na kujipa matumaini kuelekea MTIHANI WA TAIFA.

CamScanner 01-13-2025 21.16.jpg

Wenzenu walikuwa wanasoma hadi TUITIONS za PRACTICAL kwa upande wa masomo ya PHYSICS, BIOLOGY na CHEMISTRY. Yaani walikuwa vizuri sana kwa upande wa kufoji, kuandika na kuchora grafu.

CamScanner 01-13-2025 15.46.jpg

Ile miaka ya kuanzia 2005, 2006, 2007 na 2008, hiyo SHULE YA UHURU ilikuwa inatoa WANAFUNZI BORA na mwaka 2007 ndiyo ilitoa MWANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE.

CamScanner 01-13-2025 15.51.jpg

Kwahiyo MISTER CLEAN alifanikiwa kwa kiasi fulani, ijapokuwa siyo chote kwa sababu malengo yake bado hayajatimia ya kupata MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kupitia BARAZA LA MITIHANI [NECTA].
 
BESS SURVIVED
MISTER CLEAN ndiyo alikuwa mhusika wa SAKATA LA RICHMOND! Ikaja ESCROW! Ikafuatia DOWANS na baadae EPA.

acea2574f24746e4be33f36702a0c2f5.jpg

Wale wanafunzi wa SHULE YA UHURU walikuwa wanaambiwa wasome kwa bidii, kwani hela ipo nyingi ya kutosha na walichokuwa wanahitaji ni kupata MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kupitia BARAZA LA MITIHANI [NECTA].

CamScanner 01-08-2025 15.11.jpg

Wenzenu walisoma kweli na walifanikiwa, maana malengo ilikuwa ni kufanya vizuri kitaifa angalau somo moja! Wakati huo wale DIASPORA WA KITANZANIA walikuwa wanafurahi kuonekana kwenye MAJARIDA na vipindi mbalimbali vya TELEVISHENI nchini MAREKANI.

FB_IMG_1736199121220.jpg

Hawa ni WATANZANIA waliokuwa wakiunda KUNDI LA RUSH MANAGEMENT PHOTO lililokuwa linapatikana nchini MAREKANI na walikuwa wanajumuisha watu kama wakina SID & B TON, NO FACE, RUN DMC, EPMD & DJ SCRATCH, BWP na NIKKI D.

IMG-20250112-WA0004.jpg

Pia kulikuwa kuna watu kama wakina LIL COOL J, LUDACRIS, FOXXY BROWN na LAURYN HILL ambao mara nyingi walikuwa wanatokea kwenye MAJARIDA mbalimbali nchini MAREKANI.

IMG-20230616-WA0001.jpg

Kwahiyo MISTER CLEAN aliamua kuwajenga kitaaluma kizazi cha vijana kilichokuwepo kwa kipindi kile kwa nia ya kupata MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kupitia BARAZA LA MITIHANI [NECTA] na alikuwa mlezi wa SHULE YA UHURU na shule nyingine ambayo hawakutaka kuiweka wazi.
 
BESS SURVIVED
Hata wale KUNDI LA BAHAMEN ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA waliohamia nchini BAHAMAS 🇧🇸.

cc1bbab03fed4389deff9ebe02eed8f.png

Kipindi fulani waliwahi kuwa na nyimbo iliyokuwa inaitwa "WHO LET THE DOGS OUT" na walikuwa chini ya usimamizi wa UCHIFU WA BUSIA.


Yaani wale UCHIFU WA BUSIA walifanikiwa kuwabeba watu wao sana, kutokana na kutumika na TAIFA LA UINGEREZA.

Wao [UCHIFU WA BUSIA] walikuwa wanafanya kazi ya UDALALI kwa niaba ya UINGEREZA katika kupata viongozi wa CHAMA CHA TANU na hatimaye CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na walifanikiwa sana kutokana na WATANZANIA wengi kwa kipindi kile cha miaka ya nyuma walikuwa hawana ELIMU.

acea2574f24746e4be33f36702a0c2f5.jpg

Lakini MISTER CLEAN alivyokuwa hai, aliwakosoa UCHIFU WA BUSIA sababu hakuna faida yoyote ya kuhamisha watu kwenda kuishi mataifa mbalimbali ~ faida ipo, ijapokuwa sio sana.

CamScanner 01-15-2025 15.2.jpg

MISTER CLEAN alifanikiwa kuwekeza kwenye ELIMU na alifanikiwa kupata WANAFUNZI BORA kwa nia ya kupata MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kwa siku za usoni na hiyo ndiyo ilikuwa shabaha kubwa.

CamScanner 01-15-2025 15.2-1.jpg

Mwaka 2007 walifanikiwa kupata MWANAFUNZI BORA ambaye alikuwa ameongoza somo moja kwa upande wa ELIMU YA KUMALIZA MASOMO YA SHULE YA MSINGI na alikuwa amebakiza kuongoza KIDATO CHA SITA ili awe na SIFA YA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

IMG-20250116-WA0005.jpg

Kwahiyo MISTER CLEAN alifanikiwa kubadilisha taswira ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kwa kuonesha kila MTANZANIA ana uwezo wa kuwa MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kupitia BARAZA LA MITIHANI [NECTA].
 
BESS SURVIVED
Unajua sehemu yoyote yenye mafanikio, huwa hapakosi changamoto na changamoto iliyokuwa inajitokeza kwa kipindi kile [na hata sasa hivi inaendelea] ilikuwa ni kuandika majina ya WANAFUNZI BORA katika umiliki wa kampuni na amana mbalimbali bila ya ridhaa yao.

6dc10560aab2c8ef73650c682724c7e5~2.jpg

Kwa mwaka 2008, pale MWANZA ~ ilipatikana kampuni ya usafirishaji ya mizigo inayoitwa [...] na ilikuwa imeandikwa jina la MWANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE [2007].

1c695e6711248bbad7ea5f33d5867a7f.png

Ile kampuni ni kubwa na sijui sasa hivi kama watakuwa wamebadilisha jina la umiliki, au lah! Lakini ndivyo namna ambavyo BLACK MARKET huwa inafanyika kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA. Yaani hii ni SABOTAGE!

a8828a96bd9e0cefb2a58de023f4afff.png

Hawa wamiliki halali wa kampuni za kibiashara huwa wanatumia madhaifu ya SERIKALI, sababu SERIKALI YA TANZANIA huwa hawafanyi "INTERROGATION" hadi pale wahusika watakapokutwa na hatia au jinai ya kuweza kujibu.

7e9eba6fac983670e3862ce6c027b645.png

Kwahiyo SERIKALI ya kipindi kile ilichukua jukumu la kuwalinda wale WANAFUNZI waliokuwa wamefanya vizuri katika MITIHANI YA TAIFA, ikiwa ni pamoja na kufuatilia mawasiliano ya simu zao.
 
BESS SURVIVED
Kwenye miaka ya 2010's ~ MISTER CLEAN alifanikiwa kupata vijana wenye sifa za kuwa MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kupitia BARAZA LA MITIHANI [NECTA] na hata AWAMU YA TANO ilivyoingia madarakani [2015's] ilikuta kila kitu kimeshapangwa.
 
Necta hiii hii ?
Ndiyo! Unajua SEKTA YA ELIMU kupitia BARAZA LA MITIHANI [NECTA] ni miongoni mwa TUNU ZA TAIFA au wengine wanaita ni NEMBO ZA TAIFA au NGAO ZA TAIFA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

Tukiwa tunasema TUNU ZA TAIFA na imani utakuwa unazifahamu! Baadhi ni kama MBUGA ZA WANYAMA [mfano ni SERENGETI, NGORONGORO, MANYARA, MIKUMI, TARANGIRE na SELOUS], BENDERA YA TAIFA, NYIMBO YA TAIFA, MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, LUGHA YA KISWAHILI pamoja na MIHILI MITATU ya MAHAKAMA, BUNGE na SERIKALI.

Kipindi kile sisi tunasoma, ilikuwa watu wakiwa wamevujisha MTIHANI WA TAIFA ilikuwa wanaita ni NYARA YA SERIKALI na ukikutwa na NYARA YA SERIKALI unachukuliwa hatua za KISHERIA, ikiwa ni pamoja na kufunguliwa mashitaka dhidi ya JAMHURI.

Hivyo kupitia BARAZA LA MITIHANI [NECTA] ndiyo unapata wataalamu wa sekta mbalimbali na wanasiasa wazuri wanapatikana au wanaandaliwa kutoka katika ELIMU YA MSINGI pamoja na ELIMU YA SEKONDARI.

edca6a0fe7d17fb083b2dccec7e93827.png

Hata huyu WAZIRI BASHUNGWA ni mwanafunzi bora kupitia BARAZA LA MITIHANI [NECTA].

e0cef2f13991e666345c292505ff2099.png

Hata huyu WAZIRI MWIGULU ni mwanafunzi bora kupitia BARAZA LA MITIHANI [NECTA] na wanafunzi bora wanaonekana kufanikiwa sana ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

IMG_20250121_223321.jpg

Hawa wote ni matunda ya MISTER CLEAN na mwaka 2010, MISTER CLEAN alifanikiwa kupata kijana ambaye ana sifa za kuwa MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kwa kuongoza kitaifa mara tatu kupitia BARAZA LA MITIHANI [NECTA].

MISTER CLEAN alikuwa anampenda sana yule kijana, ilifikia hatua hata ile KAMPUNI YA DOWANS iliitwa kwa jina lake. Yaani yule kijana aliyefanikiwa kuongoza mara tatu kitaifa, jina lake lilitumika kama mmiliki halali wa kampuni ya kufua umeme inayoitwa DOWANS.

_20241220_144910.JPG

Kwahiyo aina hii ya SIASA imeonekana kushamiri sana kuanzia AWAMU YA TATU na imesaidia kupata viongozi wazuri wenye sifa ya kitaaluma kuanzia SHULENI. Achana na hao wengine ambao ni WAHUNI WAHUNI..😁
 
Duu umenikumbusha enzi za akina madelu vyeti vya NECTA havikuwa na picture ya candidate, ukawa mwanya wa Wana ccm kutumia vyeti vya waliofanya vizuri kujiendeleza kielemu
 
Duu umenikumbusha enzi za akina madelu vyeti vya NECTA havikuwa na picture ya candidate, ukawa mwanya wa Wana ccm kutumia vyeti vya waliofanya vizuri kujiendeleza kielemu
IMG_20250123_112706.jpg

Hizi ni NYARA ZA SERIKALI na wale wanafunzi waliofanikiwa kuyafahamu haya mambo mapema, walijikita katika kutafuta nafasi ya kuongoza kitaifa angalau hata somo moja.

CamScanner 12-20-2024 14.16(2).jpg

Wenzenu walianza kusoma hadi somo la DIVINITY [BIBLE STUDY] ilmradi wapate fursa ya kuongoza kitaifa. Lakini hali ilikuwa ngumu, ukizingatia ugumu wa masomo ya PHYSICS na CHEMISTRY, basi hali ilikuwa ni balaaa.

Bahati nzuri, kwa MITIHANI YA KUMALIZA KIDATO CHA SITA [2010] kwa upande wa somo la GENERAL STUDIES walitoa maswali mengi ya ORDINARY LEVEL [O-LEVEL] na yalikuwa yanahusu kujibu maswali kwa kutumia vitabu vya FASIHI ANDISHI [WRITTEN LITERATURE], hasa kitabu cha "THINGS FALL APART" kilichoandikwa na CHINUA ACHEBE.

_20250102_002923.JPG

Kwahiyo wenzenu walifanikiwa kuongoza tena kwa mara tatu mtawaliwo, kupitia masomo ya PHYSICS na GENERAL STUDIES. Pia SHULE YA MOSHI ilifanikiwa kutoa MWANAFUNZI BORA KITAIFA na walifanikiwa kutoa WANAFUNZI BORA kwa upande wa masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, BIOLOGY, BASIC APPLIED MATHEMATICS [BAM] na GENERAL STUDIES, walibakiza somo la MATHEMATICS pekee yake. Yaani ile COMBINATION YA PCB ~ WANAFUNZI BORA wote walitoka pale.

Ule mwaka wa 2010, ndiyo ulikuwa mwisho wa SHULE ZA VIPAJI MAALUM [SPECIAL SCHOOL]. Hizi shule kama MZUMBE, KIBAHA, TABORA BOYS na ILBORU imebaki historia tu!
 
Back
Top Bottom