Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Unajua kwa asimilia kubwa kama sio zote, SIASA YA TANZANIA imechagizwa na TAIFA LA UINGEREZA kutokana na TANZANIA yenyewe kupokea UHURU kutoka kwa UINGEREZA.Mfanoe
Hivyo UINGEREZA wanaifahamu SIASA YA TANZANIA vizuri sana na kuna baadhi ya FILAMU au TAMTHILIA zilizoigizwa kwa msaada wa UINGEREZA zikihusisha SIASA YA TANZANIA.
Mojawapo ni TAMTHILIA inayoitwa "HOUDINE AND DOYLE SERIES" ambapo inaeleza KUNDI LA BOYZ II MEN ~ HOUDINE akisimama kama KHALFAN na DOYLE akisimama kama WHITEY HAIR.
Kwenye hiyo TAMTHILIA, walimtaja kwa jina halisi mtoto wa HOUDINE ambaye ndiyo KHALFAN, aliyefanikiwa kuzaa huko SHINYANGA.
Hii TAMTHILIA wamefanikiwa kueleza kila kitu kwa usahihi, lakini walikosea kwa upande wa yule mtoto wa HOUDINE [KHALFAN] anayepatikana SHINYANGA.
Yule mtoto wa kiume hakuwahi kulelewa hata siku moja na HOUDINE [KHALFAN], hata WANAMTANDAO hawakuwahi kumgusa! Bali kwa kipindi chote alikuwa chini ya uangalizi wa MISTER CLEAN.
Kwahiyo baada ya DISEMBA, 1994 ~ KHALFAN [bess survived him till today] na mwaka uliofuatia 1995 ~ MISTER CLEAN alifanikiwa kuwa RAIS WA TATU WA TANZANIA.