Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Hata baada ya MUUNGANO WA TANGANYIKA na ZANZIBARI, wale wenyeji wa asili wa WILAYA YA KISHAPU kupitia UCHIFU WA BUSIA walipiga hatua baada ya kufanikiwa kumuweka HAYATI MWALIMU kuwa RAIS WA KWANZA WA TANZANIA.

Kipindi kile cha MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI, wale UCHIFU WA BUSIA walifanikiwa kuanzisha KUNDI LA MUZIKI LA THE FOUR TOPS.

THE FOUR TOPS wote ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA waliohamia nchini MAREKANI kwa sababu za KIDIPLOMASIA.

Hivyo HAYATI KAMBONA alikuwa anashangaa sana, kuona DIASPORA wa tabaka fulani kunufaika na vipaumbele vya SERIKALI YA TANZANIA.

Hata hawa COSBY SHOW walikuwa ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na walianza kurusha vipindi vyao kwa njia ya televisheni mwaka 1984.

Pia kulikuwa kuna watu kama wakina MOS DEF, anayejulikana kwa jina halisi la YASIIN BEY.

MOS DEF ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA anayefanya shughuli za muziki, nchini MAREKANI.

Pia kulikuwa kuna watu kama wakina 702. 702 ni KUNDI LA MUZIKI WA R&B linalojumuisha wakina KAMEELAH WILLIAMS, IRISH GRINSTEAD na LEMISHA GRINSTEAD.

Hawa KUNDI LA 702 ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na wanafanya vizuri sana katika MUZIKI WA R&B.

Kwahiyo HAYATI KAMBONA alikuwa sahihi na HAYATI MWALIMU alikosea sana, sema na yeye [HAYATI MWALIMU] alikuwa hamna namna kwa sababu alikuwa kwenye harakati za kujijenga KIUCHUMI na KISIASA.

Tuihamishie Kishapu Marekani..
 
Tuihamishie Kishapu Marekani..
Pale KISHAPU waliondoka wenyeji wengi sana na waliobaki walikuwa ni WALOWEZI, kama wakina JING'WA MINZE kutoka RUVUMA.. 😁

JING'WA MINZE tangu ameanza kuchimba na kutafuta ALMASI, hajawahi kupata hadi leo.. 😁

MTANZANIA yoyote anayeifahamu SIASA YA TANZANIA vizuri, huwa hana muda wa kupoteza na wala huwezi kuta anatumia pesa vibaya.

FB_IMG_1731248692757.jpg

Hata huyu JANELLE MONAÉ ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.

JANELLE MONAÉ anafanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI na SANAA YA UIGIZAJI, nchini MAREKANI.

FB_IMG_1731249340027.jpg

Pia kuna watu kama wakina D'ANGELO ambaye anafanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI WA SOUL R&B na HIP HOP.

D'ANGELO ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na anafanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI nchini MAREKANI.

FB_IMG_1731249947054.jpg

Wengine ni WASANII MAARUFU na wanafahamika kama ni WATANZANIA tangu siku nyingi, kama wakina SNOOP DOGG! Wakina KANYE WEST na wengine wengi kama LIL WAYNE na KUNDI LA YMCB na THE GAME.

SNOOP DOGG anamiliki kampuni ya usafirishaji ya abiria inayotoka MWANZA kwenda DAR ES SALAAM inayoitwa [...]. Pia anamiliki KUMBI ZA STAREHE zinazoitwa [...].

FB_IMG_1733900878399.jpg

Moja ya KUMBI YA STAREHE inayomilikiwa na SNOOP DOGG inapatikana HANDENI, TANGA na jina la hizo KUMBI ZA STAREHE zinafanana na jina la kampuni ya usafirishaji ya abiria.

FB_IMG_1731946040431.jpg

Hawa wenyeji wa asili wa AFRIKA YA MASHARIKI ndiyo wameishikilia ile nafasi ya MTU MWEUSI kwa upande wa TAIFA LA MAREKANI.

FB_IMG_1731250602896.jpg

Jaribu kuangalia na kusikiliza kwa makini nyimbo ya KANYE WEST inayoitwa HOMECOMING.

Hawa WASANII na WANAMICHEZO waliohamia MATAIFA YA ULAYA pamoja na AMERIKA wamefanikiwa kujijenga KIUCHUMI na hawa wote wamefanyika kuwa ROYAL FAMILIES.
 
Hiihiiiii....ng'wanawane..........
Hawa DIASPORA wa kutoka katika MKOA WA SHINYANGA wapo mbali sana katika masuala yanayohusu UCHUMI na SIASA.

FB_IMG_1732790907690.jpg

Hata hawa KUNDI LA 3LW [THREE LITTLE WOMEN] ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA wanaofanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI WA R&B, nchini MAREKANI.

Yaani wale UCHIFU WA BUSIA walikuwa wanatumia muda mwingi kuhamisha watu wao na hiyo ndiyo SIASA YA UINGEREZA.

FB_IMG_1732790186688.jpg

Hata huyu YOUNG THUG ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na anafanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI WA HIP HOP, nchini MAREKANI.

DIASPORA kutoka katika MKOA WA SHINYANGA ndiyo wanafanya vizuri sana katika MUZIKI nchini MAREKANI.

FB_IMG_1732789828860.jpg

Pia kuna watu kama wakina CHRISTINA MILIAN na mama yake CARMEN MILIAN ~ hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.

CHRISTINA MILIAN anafanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI WA R&B nchini MAREKANI.

FB_IMG_1732789919210.jpg

Hata huyu KELVIN HART ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA! Sasa hivi wale DIASPORA wa kutoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanaanza kurudi TANZANIA na wameanza kujenga makazi ya kuhamia katika MIKOA YA MBEYA, TANGA, MWANZA, SHINYANGA, NJOMBE, IRINGA, TABORA, KILIMANJARO na KAGERA.
 
Hawa DIASPORA wa kutoka katika MKOA WA SHINYANGA wapo mbali sana katika masuala yanayohusu UCHUMI na SIASA.

Hata hawa KUNDI LA 3LW [THREE LITTLE WOMEN] ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA wanaofanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI WA R&B, nchini MAREKANI.

Yaani wale UCHIFU WA BUSIA walikuwa wanatumia muda mwingi kuhamisha watu wao na hiyo ndiyo SIASA YA UINGEREZA.

Hata huyu YOUNG THUG ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na anafanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI WA HIP HOP, nchini MAREKANI.

DIASPORA kutoka katika MKOA WA SHINYANGA ndiyo wanafanya vizuri sana katika MUZIKI nchini MAREKANI.

Pia kuna watu kama wakina CHRISTINA MILIAN na mama yake CARMEN MILIAN ~ hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.

CHRISTINA MILIAN anafanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI WA R&B nchini MAREKANI.

Hata huyu KELVIN HART ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA! Sasa hivi wale DIASPORA wa kutoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanaanza kurudi TANZANIA na wameanza kujenga makazi ya kuhamia katika MIKOA YA MBEYA, TANGA, MWANZA, SHINYANGA, NJOMBE, IRINGA, TABORA na KAGERA.

Watanzania wote unaowataja wanatoka Shy town tu? Halafu kama wanajua wao ji watanzania kwanini wasirudi kwao
 
Watanzania wote unaowataja wanatoka Shy town tu? Halafu kama wanajua wao ji watanzania kwanini wasirudi kwao
MKOA WA SHINYANGA ndiyo unaongoza kuwa na idadi kubwa ya DIASPORA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

FB_IMG_1731869404485.jpg

Hadi huyu BILL DUKE ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na alicheza FILAMU MAARUFU inayoitwa PREDATOR [1987].

Yaani MKOA WA SHINYANGA umekuwa "COVERED" na watu kutoka KAMBI ZA OLD SHINYANGA na KIZUMBI, tofauti na hapo mji mzima ungelikuwa ni magofu ~ sababu watu wengi walihama maeneo yao ya asili na kuhamia sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.

FB_IMG_1732527818098.jpg

Pia huwa kuna watu kama wakina KELLITA SMITH ambapo ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA aliyehamia nchini MAREKANI kutokana na sababu za KIDIPLOMASIA.

FB_IMG_1732789432372.jpg

Pia huwa kuna TAMTHILIA YA THE BEST MAN ambapo waigizaji wote weusi ni WATANZANIA wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA.

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliobaki TANZANIA ndiyo walioshuhudia mambo mengi sana na wao kwa uchungu walitafuta FEDHA na wakafanikiwa kuzipata kupitia VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].

Hata KAGERA! Wao pia kupitia CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA KAGERA [KCU] walipata FEDHA na kuanza kusambaza watu wao, akiwemo MSANII kutoka katika TAIFA LA MAREKANI anayeitwa TAIO CRUZ.

TAIO CRUZ ni MSANII kutoka katika TAIFA LA MAREKANI mwenye asili ya MKOA WA KAGERA.
 
Hiihiiiii....ng'wanawane..........
FB_IMG_1734121995083.jpg

Hata wale KUNDI LA MOBB DEEP ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA waliohamia nchini MAREKANI kutokana na sababu za KIDIPLOMASIA.

FB_IMG_1733894258735.jpg

Hii picha ilipigwa mwaka 1996 katika sehemu moja ya kupumzika inayoitwa QUEENSBRIDGE, NEW YORK CITY nchini MAREKANI ambapo MOBB DEEP walikuwa na BIG NOYD.

Moja ya nyimbo yao ilikuwa inaitwa "SURVIVAL FOR FITTEST" na ndiyo taswira kamili ya TAIFA LA TANZANIA.

FB_IMG_1733894477928.jpg

Pia huwa kuna watu kama wakina STYLES P ambae ni MSANII WA HIP HOP mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA anayefanya vizuri nchini MAREKANI.

STYLES P anafanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI WA HIP HOP nchini MAREKANI na alishafanya kazi na WASANII kama wakina RICK ROSS na AKON.

FB_IMG_1733894432984.jpg

Pia kuna watu kama wakina DJ JAZZY JEFF pamoja na mke wake LYNETTE JACKSON ambao wote ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.

Huyu DJ JAZZY JEFF ndiyo mwenye jina, hawa wakina JEFF wengine ambao wanatangaza vipindi vya michezo kwa upande wa TANZANIA wameiga tu!

Kwahiyo makala, historia, vitabu vya shule vinaonesha HAYATI MWALIMU pamoja na CHAMA CHA TANU ndiyo waliokuwa wahusika wakuu wa UHURU WA TANGANYIKA.

Lakini hawajawahi kugusia nani aliyekuwa nyuma ya HAYATI MWALIMU na kabla ya CHAMA CHA TANU kulikuwa kuna chama gani? Yote kwa yote, hadi wakati huu wanufaika wakubwa walikuwa na wanaendelea kuwa ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ~ hususani MKOA WA SHINYANGA.

FB_IMG_1734029908294.jpg

Hata hawa KUNDI LA SLUM VILLAGE ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA wanaofanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI WA R&B nchini MAREKANI.

FB_IMG_1733994156323.jpg

Yaani kila kitu ilikuwa ni SHINYANGA! SHINYANGA! Pale DAR ES SALAAM ndiyo ikawa maskani ya WASANII kama wakina JUMA NATURE, DAZ BABA, FEROUZ, AFANDE SELE, INSPEKTA HAROON [BABU] na wengine wengi kama SISTER P.. 😁
 
Watanzania wote unaowataja wanatoka Shy town tu?
Hao UCHIFU WA BUSIA walifanikiwa kuwabeba watu wao sana! Hao UCHIFU WA BUSIA walikuwa kama wenye MKOA WA SHINYANGA ~ ni kama ilivyokuwa kwa UCHIFU WA KALENGA na MKOA WA IRINGA.

FB_IMG_1734074400663.jpg

Kuna watu kama wakina MC HUMMER na mke wake STEPHANIE FULLER ambao wote ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.

FB_IMG_1734116146284.jpg

Kuna watu kama wakina LADY LUCK ambapo ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA anayeishi nchini MAREKANI.

FB_IMG_1734116242498.jpg

Kuna watu kama wakina QUEEN LATIFAH na LADY OF RAGE. Yaani walichokuwa wanakifanya ilikuwa ni kero, maana ni wenyeji wengi sana wa MKOA WA SHINYANGA walihamia nchini MAREKANI.

FB_IMG_1734116385636.jpg

Hata huyu pia ni MTANZANIA mwenye uraia wa MAREKANI, sema yeye ametoka katika MKOA WA MWANZA na anajiita BIZ MARKIE.

FB_IMG_1734116215763.jpg

Pia kuna watu kama wakina TONY YAYO. Hawa watu wapo mbali sana katika masuala yanayohusu UCHUMI na SIASA YA TANZANIA.
Halafu kama wanajua wao ji watanzania kwanini wasirudi kwao
FB_IMG_1734116001607.jpg

Hata huyu MSANII WA HIP HOP nchini MAREKANI, anayeitwa FABULOUS ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.

Hawa DIASPORA wa kutoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanarudi kuja kuwekeza kwao ~ sema huwa wanagawana baadhi ya MIKOA YA TANZANIA.

Jaribu kuangalia hii VIDEO CLIP ya mke wa STYLES P! Hata mke wake ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.

Sasa wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliobaki TANZANIA waliona na kushuhudia mambo mengi sana na ndiyo maana wanaifahamu vizuri SIASA YA TANZANIA na wengi wapo ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

IMG-20241213-WA0016.jpg

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliobaki TANZANIA walianza kutafuta pesa kwa uchungu na walifanikiwa kuzipata kupitia VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].
 
Pale KISHAPU waliondoka wenyeji wengi sana na waliobaki walikuwa ni WALOWEZI, kama wakina JING'WA MINZE kutoka RUVUMA.. 😁

JING'WA MINZE tangu ameanza kuchimba na kutafuta ALMASI, hajawahi kupata hadi leo.. 😁

MTANZANIA yoyote anayeifahamu SIASA YA TANZANIA vizuri, huwa hana muda wa kupoteza na wala huwezi kuta anatumia pesa vibaya.

Hata huyu JANELLE MONAÉ ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.

JANELLE MONAÉ anafanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI na SANAA YA UIGIZAJI, nchini MAREKANI.

Pia kuna watu kama wakina D'ANGELO ambaye anafanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI WA SOUL R&B na HIP HOP.

D'ANGELO ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA na anafanya vizuri katika TASNIA YA MUZIKI nchini MAREKANI.

Wengine ni WASANII MAARUFU na wanafahamika kama ni WATANZANIA tangu siku nyingi, kama wakina SNOOP DOGG! Wakina KANYE WEST na wengine wengi kama LIL WAYNE na KUNDI LA YMCB na THE GAME.

SNOOP DOGG anamiliki kampuni ya usafirishaji ya abiria inayotoka MWANZA kwenda DAR ES SALAAM inayoitwa [...]. Pia anamiliki KUMBI ZA STAREHE zinazoitwa [...].

Moja ya KUMBI YA STAREHE inayomilikiwa na SNOOP DOGG inapatikana HANDENI, TANGA na jina la hizo KUMBI ZA STAREHE zinafanana na jina la kampuni ya usafirishaji ya abiria.

Hawa wenyeji wa asili wa AFRIKA YA MASHARIKI ndiyo wameishikilia ile nafasi ya MTU MWEUSI kwa upande wa TAIFA LA MAREKANI.

Jaribu kuangalia na kusikiliza kwa makini nyimbo ya KANYE WEST inayoitwa HOMECOMING.

Hawa WASANII na WANAMICHEZO waliohamia MATAIFA YA ULAYA pamoja na AMERIKA wamefanikiwa kujijenga KIUCHUMI na hawa wote wamefanyika kuwa ROYAL FAMILIES.

Snoop anamiliki club Handeni? Kuwa serious acha uongo wa kindezi.
 
Snoop anamiliki club Handeni? Kuwa serious acha uongo wa kindezi.
Ile NIGHT CLUB ina matawi sehemu mbalimbali kwa hapa TANZANIA na mara ya kwanza watu wengi waliamini inamilikiwa na WAZIRI MKUU MSTAAFU ~ WHITEY HAIR.

0cace86c56f88229ce53e9b9710fc8d3.png

Maana hata ukiwa katika MKOA WA DAR ES SALAAM, hiyo kampuni inahusika na DRY CLEANING.

Lakini baadae alikuja kushea mwenyewe kwenye DOCUMENTARY yake inayoitwa "REINCARNATED 2012".

Ambapo akiwa JAMAIKA alitembelea SHULE YA MUZIKI YA WAVULANA inayoitwa [...]. Hilo jina ni jina ambalo linatumika na NIGHT CLUB inayopatikana HANDENI na kampuni ya usafirishaji ya abiria kwa ruti ya MWANZA kwenda DAR ES SALAAM.

33b2efc6aaa5eda46264ab68784fa34b.png

Kwahiyo hawa DIASPORA wa kutoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanajitahidi kuwekeza TANZANIA.
 
Ile NIGHT CLUB ina matawi sehemu mbalimbali kwa hapa TANZANIA na mara ya kwanza watu wengi waliamini inamilikiwa na WAZIRI MKUU MSTAAFU ~ WHITEY HAIR.

Maana hata ukiwa katika MKOA WA DAR ES SALAAM, hiyo kampuni inahusika na DRY CLEANING.

Lakini baadae alikuja kushea mwenyewe kwenye DOCUMENTARY yake inayoitwa "REINCARNATED 2012".

Ambapo akiwa JAMAIKA alitembelea SHULE YA MUZIKI YA WAVULANA inayoitwa [...]. Hilo jina ni jina ambalo linatumika na NIGHT CLUB inayopatikana HANDENI na kampuni ya usafirishaji ya abiria kwa ruti ya MWANZA kwenda DAR ES SALAAM.

Kwahiyo hawa DIASPORA wa kutoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanajitahidi kuwekeza TANZANIA.

Utawadanganya wajinga
 
Hao UCHIFU WA BUSIA walifanikiwa kuwabeba watu wao sana! Hao UCHIFU WA BUSIA walikuwa kama wenye MKOA WA SHINYANGA ~ ni kama ilivyokuwa kwa UCHIFU WA KALENGA na MKOA WA IRINGA.

Kuna watu kama wakina MC HUMMER na mke wake STEPHANIE FULLER ambao wote ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.

Kuna watu kama wakina LADY LUCK ambapo ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA anayeishi nchini MAREKANI.

Kuna watu kama wakina QUEEN LATIFAH na LADY OF RAGE. Yaani walichokuwa wanakifanya ilikuwa ni kero, maana ni wenyeji wengi sana wa MKOA WA SHINYANGA walihamia nchini MAREKANI.

Hata huyu pia ni MTANZANIA mwenye uraia wa MAREKANI, sema yeye ametoka katika MKOA WA MWANZA na anajiita BIZ MARKIE.

Pia kuna watu kama wakina TONY YAYO. Hawa watu wapo mbali sana katika masuala yanayohusu UCHUMI na SIASA YA TANZANIA.

Hata huyu MSANII WA HIP HOP nchini MAREKANI, anayeitwa FABULOUS ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.

Hawa DIASPORA wa kutoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanarudi kuja kuwekeza kwao ~ sema huwa wanagawana baadhi ya MIKOA YA TANZANIA.

Jaribu kuangalia hii VIDEO CLIP ya mke wa STYLES P! Hata mke wake ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.

Sasa wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliobaki TANZANIA waliona na kushuhudia mambo mengi sana na ndiyo maana wanaifahamu vizuri SIASA YA TANZANIA na wengi wapo ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliobaki TANZANIA walianza kutafuta pesa kwa uchungu na walifanikiwa kuzipata kupitia VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].

Kwahiyo hawa wote wanapiga kisukuma kwa kwenda mbele?
 
Utawadanganya wajinga
FB_IMG_1734167951182.jpg

Wajinga wataendelea kuwa ni watu wengine! Lakini hawa DIASPORA wa kutoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ni wajanja.

Kitu cha kwanza huwa wanabebana! Umeona hiyo picha ambapo WILL SMITH amepiga pamoja na mwanamke, huyo mwanamke anaitwa TIFFANY HADDISH na ameshiriki katika kuigiza FILAMU YA BAD BOYS - RIDE or DIE iliyotoka mwaka 2024.

5a52e9a1e0b2cb8b7a8eee077eb1a928.png

TIFFANY HADDISH ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA aliyepata fursa ya kuhamia nchini MAREKANI kutokana na sababu za KIDIPLOMASIA.

FB_IMG_1734167986375.jpg

Pia kuna taarifa ambazo sio rasmi, zinazoonesha kuwa ile kampuni ya usafirishaji ya RANGI YA ORANGE inayopatikana katika MKOA WA SHINYANGA ~ wale DIASPORA wa kutoka katika MKOA WA SHINYANGA wanaoishi MAREKANI na wao wamewekeza hapo.
 
Mtu kazaliwa na kukulia Marekani unasema alihamia? Una uthibitisho wowote kwenye kuhamia kwake. Una tatizo la akili.
 
Kwahiyo hawa wote wanapiga kisukuma kwa kwenda mbele?
Unajua hali ya KISIASA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, kwa asimilia kubwa kama sio zote inachagizwa na WAKOLONI ambao ni UINGEREZA.

Sasa hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walianza kupata fursa za KIDIPLOMASIA tangu TANGANYIKA inapata UHURU wake kutoka kwa UINGEREZA na fursa hiyo walikuwa wanapata kupitia UCHIFU WA BUSIA.

UCHIFU WA BUSIA waliaminika kupitia WAKOLONI WA KIINGEREZA na wao UCHIFU WA BUSIA walibeba watu wao.

FB_IMG_1734167575655.jpg

Kuna watu kama wakina TAMARA TOWNSEND, ambao wao ni WAMERAKANI WA KUZALIWA lakini ni WATANZANIA KWA ASILI.

FB_IMG_1734167783520.jpg

Kuna watu kama wakina CIARA ambao ni WAMAREKANI WA KUZALIWA lakini ni WATANZANIA KWA ASILI.

Sasa hawa DIASPORA hawawezi kuendelea kuishi maisha yote kama OUTSIDERS, lazima warudi kwao kwa namna moja ama nyingine.

FB_IMG_1734170565220.jpg

Kuna watu kama wakina REMY MA! DIASPORA wengine wanakuja kwa namna ya UWEKEZAJI! DIASPORA wengine wanakuja kwa namna ya KUPATA WENZA NA KUZALIANA!

Kwahiyo, hali halisi ndivyo ilivyo na hawa DIASPORA wa kutoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA huwa wanaambiwa sehemu ambazo ndugu zao walihamia. Hivyo kufahamu na kuongea LUGHA YA KISUKUMA inakuwa ni ngumu.
 
Mtu kazaliwa na kukulia Marekani unasema alihamia? Una uthibitisho wowote kwenye kuhamia kwake. Una tatizo la akili.
Ndiyo maana sasa hivi kuna umuhimu kwa kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, hata kama una D MBILI NA MISWAKI YOTE kwenye CHETI! WAINGEREZA wanasema ~ "Go Home or Go Big". You Know 😂

FB_IMG_1734171195145.jpg

Tangu miaka sitini iliyopita, TANZANIA ilitambulika rasmi kuwa TAIFA HURU na lilianza kuwa na uwakilishi katika MATAIFA mbalimbali kupitia OFISI ZA KIBALOZI.

FB_IMG_1734171796170.jpg

Hivyo kuna WATANZANIA walianza kuhama kutoka katika TAIFA lao tangu miaka ya sitini [1960's] kutokana na sababu za KIDIPLOMASIA.

FB_IMG_1734173997564.jpg

Hawa wakina REGINA KING waliondoka hata kabla ya MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI na kuna namna ya kubadilisha majina, vyeti vya kuzaliwa, vyeti vya kitaaluma kwa DIASPORA.

FB_IMG_1734205236275.jpg

Nilikupa mfano wa MZEE MORI ambaye ni miongoni mwa waliokuwa waasisi wa BARAZA LA WAZEE WA DAR ES SALAAM.

FB_IMG_1734171469231.jpg

Huyo mwanamke ni MTANZANIA ambaye ni kizazi cha MZEE MORI aliyekuwa akiishi SINZA, DAR ES SALAAM.

Baadae huyo mwanamke ndiyo aliyekuja kuwa ni mama wa mapacha wawili ambao ni TIA MORI na TAMARA MORI. TIA MORI na TAMARA MORI wote ni WAMAREKANI WA KUZALIWA lakini ni WATANZANIA KWA ASILI. Ndiyo ulimwengu ulivyo..

FB_IMG_1734205223355.jpg

Sasa hawa DIASPORA wa kutoka katika MKOA WA SHINYANGA wamejitahidi kuwekeza TANZANIA.

Pia kipindi fulani, hao wakina REGINA KING pamoja na dada yake, REINA KING walihusishwa na uwekezaji kwa upande wa sekta ya usafirishaji ya abiria na mizigo nchini TANZANIA.

FB_IMG_1734205128805.jpg

Huyu REINA KING alihusishwa na umiliki wa kampuni ya usafirishaji wa abiria na kampuni ya watalii inayoitwa LEINA TOURS.

LEINA TOURS kipindi fulani ilikuwa na ruti za kutoka ARUSHA kwenda KAHAMA na KAHAMA kwenda DAR ES SALAAM.

FB_IMG_1734205700076.jpg

Kwahiyo hawa DIASPORA wa kutoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wapo vizuri KIUCHUMI na hiyo hali iliwafanya wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliobaki TANZANIA kutafuta pesa kwa uchungu na walifanikiwa kuzipata kupitia VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].
 
Mtu kazaliwa na kukulia Marekani unasema alihamia? Una uthibitisho wowote kwenye kuhamia kwake. Una tatizo la akili.
TUKIWA TUNA SIKU CHACHE BAADA YA KUSHEREHEKEA KUADHIMISHA MIAKA 63 YA UHURU, JIFUNZE HATUA KWA HATUA HARAKATI ZA KUPATA UHURU WA TANGANYIKA

IMG-20241212-WA0010.jpg

Hatua ya kwanza ilikuwa ni kukibadilisha CHAMA CHA TAA kuwa asasi ya kiraia. TAA kilianzishwa mwaka 1929 ikiwa ni matokeo ya kukibadilisha CHAMA CHA WATUMISHI WA SERIKALI kilichojulikana kama TANGANYIKA AFRICANS CIVIL SERVANTS ASSOCIATION [TACSA] ambacho kilianzishwa mwaka 1922.

Kuanzia mwaka 1929 mpaka 1945 ~ TAA kilifanya kazi kama asasi ya kiraia kikitetea haki za WAAFRIKA waliokuwa wakibaguliwa na kukandamizwa chini ya sheria za kikoloni. Wakati huo TAA kilikuwa kikijishughulisha zaidi na wasomi wa maeneo ya mjini.

Kuanzia 1945 hadi 1954, ingawa
kiliendelea kufanya kazi kama asasi ya kiraia, shughuli zake zilianza kuchukua mwelekeo wa KISIASA. Kilianza kufungua matawi vijijini. Mikakati ya aina mbili ilitumika kufungua matawi vijijini na nchi nzima ya TANGANYIKA, moja ilikuwa ni kufungua matawi mapya na nyingine ilikuwa kuyabadilisha matawi ya asasi nyingine za kiraia kwa mfano vyama vya ushirika kuwa matawi.

Licha ya kuongezeka kwa matawi - TAA ilianza kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima katika jitihada za kuwahamasisha wananchi wawe na mwamko wa siasa. Hata ilipofika 1954 TAA ikawa imeshajiaandaa kubadilika na kuwa chama cha siasa cha kupigania UHURU, kwa jina la TANGANYIKA AFRICAN NATIONAL UNION [TANU].

Hatua ya pili ya utaifa na kupigania uhuru katika TANGANYIKA inazungumzia kipindi cha kuanzia 1954 hadi 1958. Tukio kubwa katika kipindi hicho ilikuwa ni kuanzishwa kwa chama cha TANU - Julai 7, 1954, chama ambacho kimetokana na kubadilishwa kwa TAA kuwa TANU. Zoezi lenyewe lilianza kwa kumchagua MWALIMU JULIUS NYERERE mwaka 1953 kuwa RAIS WA TAA.

Wakati huo MWALIMU NYERERE alikuwa akifundisha SHULE YA SEKONDARI PUGU, jijini DAR ES SALAAM na alipewa jukumu la kuandaa KATIBA YA TANU, chama ambacho sasa ni cha kisiasa kulikuwa na wanachama 17 waanzilishi na MWALIMU
alichaguliwa kuwa RAIS WA TANU
chini ya uongozi wa MWALIMU NYERERE.

TANU ilifanya mambo mawili makubwa kuanzia 1954 hadi 1958. Jambo la kwanza,
ilifungua matawi nchi nzima na kuwahamasisha wananchama wajiunge na TANU na kushiriki harakati za kudai UHURU.

Matawi yote ya TAA yaligeuzwa kuwa matawi ya TANU na matawi mengine mapya yalifunguliwa.

TANU ilitumia neno moja tu kama kikorombwezo katika mikutano
yake "Uhuru". Matokeo ya kampeni hiyo yalikuwa mazuri, watu walijitokeza kwa wingi kujiunga na TANU.

MWALIMU NYERERE na viongozi wengine walizunguka nchi nzima kuwahamasisha wananchi kuhudhuria mikutano ya hadharani. Jambo la pili ilikuwa kwenda UMOJA WA MATAIFA [UN]. Februari 1955, TANU iliamua kumpeleka MWALIMU NYERERE, UMOJA WA MATAIFA kama RAIS wake kueleza namna TANGANYIKA inavyoendesha vita ya kutafuta UHURU.

Safari hiyo iligharamiwa na wanachama wa TANU kwa njia ya michango na katika hotuba yake ya UMOJA WA MATAIFA, MWALIMU aliliambia BARAZA hilo jinsi TANU ilivyoundwa na kwamba madhumuni ya chama hicho ni kudai UHURU WA TANGANYIKA.

MWALIMU NYERERE aliutaka UMOJA WA MATAIFA umsaidie katika jitihada zake hizo.

UMOJA WA MATAIFA ulimwambia kuwa utatuma ujumbe kufanya utafiti juu ya uhalisia wa mambo katika TANGANYIKA ili uweze kusaidia katika mapambano hayo ya kudai uhuru.

Kipindi cha tatu cha kuanzia 1958 hadi 1961 kilitawaliwa na matukio mengi muhimu. Tukio la kwanza lilikuwa mkutano mkuu wa kihistoria wa TANU uliofanyika Januari 26, 1958 mjini TABORA ukiwa na agenda mbili:

  1. Sera ya TANU - TANGANYIKA itakapopata uhuru
  2. Ilikuwa kama TANU ishiriki kwenye uchaguzi mkuu wa kwanza uliokusudiwa kufanyika Septemba 1958 au la,.
Kutokana na busara ya RAIS WA CHAMA, MWALIMU NYERERE iliamuriwa kuwa TANU ishiriki katika uchaguzi huo, licha ya mazingira ya ubaguzi wa rangi yaliyowekwa na wakoloni.

Tukio la pili lilikuwa Juni 1958. MWALIMU NYERERE alishtakiwa mahakamani kwa kosa la kuwatukana makamishna wawili wa wilaya kutoka MKOA WA ZIWA ~ shabaha ya serikali ya kikoloni ilikuwa ni kumfunga Mwalimu

Kesi yenyewe ilisikilizwa kuanzia Julai hadi Agosti 1958 na hukumu yake ilikuwa alipe TSh 3,000 au aende jela miezi sita. TANU na mashabiki wake walichanga papo hapo TSh 3,000 na hivyo kumwezesha kulipa faini na kuachiwa huru. Huu ulikuwa ushindi mkubwa kwa MWALIMU na TANU.

Tukio la tatu lilikuwa chaguzi za 1958, 1959 na 1960. Uchaguzi wa 1958 ulifanyika kwa awamu mbili - AWAMU YA KWANZA, ikihusisha mikoa mitano, ulifanyika kuanzia Septemba 8 hadi 10, 1958 na AWAMU YA PILI, ikihusisha mikoa mingine mitano, ulifanyika kuanzia Februari 9 hadi 17, 1959.

Matokeo ya chaguzi zote mbili TANU ilishinda viti vyote. Wakati wa chaguzi hizo vyama ya siasa vitatu vilishiriki.

Vyama hivyo vilikuwa UNITED TANGANYIKA PARTY [UTP] ambacho kilianzishwa mwaka
1957, TANU na AFRICAN NATIONAL CONGRESS [ANC] ambacho kilianzishwa mwaka 1958 baada ya kujitenga na TANU uchaguzi wa 1960, TANU kwa mara nyingine ilishinda kwa asilimia 98.59 sawa na viti 70 kati ya 71 vya BARAZA LA KUTUNGA SHERIA. Kiti hicho kimoja kilichukuliwa na mgombea wa kujitegemea.

Matukio ya tano na sita yalijumuisha kuanzishwa kwa SERIKALI YA NDANI na kupatikana kwa UHURU. SERIKALI YA NDANI iliundwa Mei 1961. Katika muundo wa serikali hiyo, nafasi ya MWALIMU ilibadilishwa kutoka kuwa WAZIRI KIONGOZI na kuwa WAZIRI MKUU.

Katika azma hiyo, MWALIMU aliandaa itikadi na mwelekeo wa sera za chama katika kulijenga taifa jipya. Desemba 9, 1962 TANGANYIKA ilijitangaza kuwa JAMHURI na katika uchaguzi uliofanyika Novemba 1962, MWALIMU alishinda na kuwa RAIS WA KWANZA WA JAMHURI YA
TANGANYIKA.

Eneo la TANGANYIKA, ambalo awali pamoja na RWANDA na BURUNDI, liliunda KOLONI LA AFRIKA YA MASHARIKI YA KIJERUMANI, lilikuwa linasimamiwa na UINGEREZA kuanzia mwaka 1916 mpaka 1961.

Kwanza lilikuwa linasimamiwa chini ya UTAWALA WA KIJESHI. Kuanzia tarehe 20 Julai 1922, lilirasimishwa kuwa ndani ya MAMLAKA YA SHIRIKISHO LA MATAIFA chini ya utawala wa WAINGEREZA.

Kuanzia mwaka 1946, liliongozwa na UINGEREZA kama eneo la kudhaminiwa chini ya uangalizi wa UMOJA WA MATAIFA hadi siku ya kupata uhuru.

Mhusika mkuu wa uhuru huo alikuwa Julius K. Nyerere pamoja na chama cha TANU.

PS: Hii makala inapatikana katika Follow the Chama Imara Na Samia channel on WhatsApp: Chama Imara Na Samia | WhatsApp Channel
 
Mtu kazaliwa na kukulia Marekani unasema alihamia? Una uthibitisho wowote kwenye kuhamia kwake. Una tatizo la akili.
FB_IMG_1734205128805.jpg

Hawa wakina REGINA KING pamoja na dada yake REINA KING ~ kipindi fulani walipata SKENDO kwa upande wa UBALOZI WA TANZANIA nchini MAREKANI.

5c15c1a48141e8c5118ea14822967106.png

Hawa wakina REINA KING walikuwa na tenda kwa upande wa UBALOZI WA TANZANIA nchini MAREKANI, baadae waliondolewa baada ya kufahamika kuwa walikuwa ni sehemu ya MTANDAO WA WHITEY HAIR. Lakini tayari walikuwa wameshapiga hela za kutosha.
 
Wajinga wataendelea kuwa ni watu wengine! Lakini hawa DIASPORA wa kutoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ni wajanja.

Kitu cha kwanza huwa wanabebana! Umeona hiyo picha ambapo WILL SMITH amepiga pamoja na mwanamke, huyo mwanamke anaitwa TIFFANY HADDISH na ameshiriki katika kuigiza FILAMU YA BAD BOYS - RIDE or DIE iliyotoka mwaka 2024.

TIFFANY HADDISH ni MTANZANIA mwenye asili ya MKOA WA SHINYANGA aliyepata fursa ya kuhamia nchini MAREKANI kutokana na sababu za KIDIPLOMASIA.

Pia kuna taarifa ambazo sio rasmi, zinazoonesha kuwa ile kampuni ya usafirishaji ya RANGI YA ORANGE inayopatikana katika MKOA WA SHINYANGA ~ wale DIASPORA wa kutoka katika MKOA WA SHINYANGA wanaoishi MAREKANI na wao wamewekeza hapo.

Hii Kali kwakweli 😳😳😳😳
 
Hii Kali kwakweli 😳😳😳😳
FB_IMG_1734260345653.jpg

Hawa ni DIASPORA ambao wanamiliki kampuni zaidi ya moja kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.

FB_IMG_1734285838771.jpg

Sasa hivi wanamiliki vitu vingi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, ikiwemo hisa kwenye mradi wa [...].
 
Back
Top Bottom