Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

ukweli ni kwamba kambona alikuwa na uwezo mkubwa ki plan,kiufupi ginius,Ila sikuzote ukiwa genius ,ukakosa kuwa na utulivu na hekima ,utaishia kuwa mtu wa hovyo.kambona kilichomfelisha ni kujiamini kuwa anaweza lakini hakuwa na utulivu wa akili plus na tamaa ya maisha ya haraka haraka yaani shortcut,ikamfanya u ginius wake uwe ni utahira !!, japo ukweli alikuwa genius!
 
Huwa tunampa sifa ambazo hastahili kabisa kumbe kuna watu walikufa wakipigania uhuru


Huo ndio ukweli wenyewe! Lakini kuna mambo ambayo, kama sisi WANANCHI WA KAWAIDA inatupasa tukubali pamoja na kuwa HAYATI MWALIMU alikuwa na madhaifu yake kama BINADAMU wengine.

HAYATI MWALIMU alikuwa ni SUNGURA MJANJA na wakati mwingine alikuwa ni BINADAMU au KIONGOZI MWENYE SIFA ZA CHUI.

HAYATI MWALIMU alikuwa anaogopeka na alikuwa si MTU wa mchezo mchezo, yaani kwa kifupi alikuwa ni KIONGOZI HATARI.

Na baada ya kuachia ngazi ya UENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ mwaka 1990, HAYATI MWALIMU mwenyewe alitumia muda wake mwingi kujijenga KISIASA NA KIUCHUMI kwenye MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA na ndio maana wakaazi wa hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA wanamfahamu HAYATI MWALIMU vizuri kuliko hata wale wafuasi kindakindaki wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ.

Na HAYATI MWALIMU mwenyewe alivyokuwa anakuja na kutembelea kwenye MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA alikuwa anawabeza na kuwadharau wale VIONGOZI WA SERIKALI NA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ waliokuwa wakitumia muda mwingi kujadili SIASA pale CHAMWINO na alikuwa anawasifu wale waliokuwa VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU NA WETCU.

Na ilifikia kipindi hata HAYATI MWALIMU mwenyewe alikuwa anakuja kuchukua FEDHA kwenye hivi VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU NA WETCU ili kujijenga KIUCHUMI na wale waliokuwa wanampatia FEDHA bila kigugumizi ndio aliwafanya kuwa MASWAHIBA wake na hata kuweka baadhi ya familia zao kwenye ORODHA YA WANUFAIKA WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ.

Hizo FEDHA alizokuwa anakuja kuchukua kwenye hivi VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU NA WETCU ndio vilivyotumika kujenga GINNERY moja hapa SHINYANGA na sasa hivi kwenye hiyo GINNERY wanatengeneza mpaka POMBE KALI na hiyo kampuni ni kubwa na ina matawi kwenye nchi za AFRIKA YA MASHARIKI yaani KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช na UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ.

Hiyo ndio hali halisi! Na isingelikuwa JOHN MALECELA kushituliwa mapema na yeye angeelekea kama ADAM SAPI MKWAWA. JOHN MALECELA alishituliwa mapema na hawa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU NA WETCU kuwa awekeze mapema kwa mfumo wa "ACCORDANCE TO BUSINESS" kwa sababu hata HAYATI MWALIMU mwenyewe alikuwa anawekeza na kufanya biashara kwa mtindo huo wa "ACCORDANCE TO BUSINESS".
 
Kambona alikuwa sahihi kupinga Azimio la Arusha hasa ule utaifishaji wa njia kuu za uchumi. Leo hii ujamaa umetufikisha hapa tulipo. Lakini niliwahi kusikia kwamba baada ya kurudi Tanzania 1990's na kuanzisha Chama chake alifanikiwa kuwa Mbunge. Tanzania bado tunatatizo lakuamini mawazo ya mtu mmoja!! Pia miiko ya TANU na uongozi ambayo alikuwa nayo nyerere kichwani kwake ilimnyima fursa ya mabadiliko katika chama na Taifa.
 
Ni kweli, Mkuu!

Hiyo chapa ya EICHER muda huu pia inatumika katika ubebaji wa vifusi kwa ajili ya maandalizi ya kutandaza lami pale LAKE ZONIA maeneo ya BUHONGWA.
Ndio!
Huyu TATA kuna kipindi aliadimika sana MJINI, Lakini wakati huu naona shule za medium pale LAKE ZONIA zinamtumia kwa kasi sana sambamba na huyu SCANIA.
Hii kampuni ya TATA pia kuna baadhi ya VIONGOZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wanamiliki HISA.
 
Bora umenisaidia mkuu, huyu teacher mpaka leo mimi simwamini kabisa
 
Ikiwa RBC watataka kisasi juu yetu,
Usiulize! Inabidi upigie mstari! Kwa sababu KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ ipo kwenye mkakati wa kuzifanya hizi NCHI MBILI ZA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ NA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ kuwa ni sehemu ya KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ mkikakati, kama ilivyo PEMBA NA UNGUJA kwa upande wa TANZANIA BARA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Na hawa VIONGOZI WA KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ kama LAURENT KABILA na MOBUTU SESE SEKO pia wamewekeza TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. WAINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง wanasema ni MASSIVE INVESTMENT. Kwahiyo haitawapa shida, ni suala la muda tu.
Je, TWIGA CEMENT watachomokaje salama katika hilo?

Mkuu, Charles Mandela!
Hawachomoki, na huo ndio UKWELI NA UHAKIKA! Kwa sababu mbali na UWEKEZAJI WA KIUCHUMI waliowekeza kwenye nchi ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ hizi nchi tatu za RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ NA KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ wamepenyeza watu wengi sana kwenye SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Na wamepenyeza vipi? Hawa WATU wamepenyeza VIJANA wao kuanzia pale BARAZA LA MITIHANI [ NECTA ], yaani wametumia madhaifu ya BARAZA LA MITIHANI [ NECTA ] kujinufaisha wao wenyewe kwa kutoa RUSHWA ili VIJANA wao wapite kwa wingi na ufaulu wa hali ya juu. WAINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง wanaita hii ni PASSING WITH FLYING COLORS.

Ikumbukwe pia, hizi nchi tatu za RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ NA KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ wana waumini wengi wa KANISA KATOLIKI, kwahiyo kwa upande wa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ walitumia shule za KANISA KATOLIKI yaani SEMINARI ili kutimiza malengo yao.

Na wamefanikiwa kwa sababu sasa hivi VIJANA wao wameenea kila IDARA YA SERIKALI wamo, ni suala la muda.
 
Samahani, Mkuu!
Nina shida kidogo hapo kwenye suala la Muungano. [Private Message].
MUUNGANO bado ni SIRI na itaendelea kuwa ni SIRI kwa sababu wahusika kwa mara ya kwanza waliamua kufanya hili tukio kuwa na maazimio ya SIRI. Kwahiyo sisi tuliofuata baadae hatuna cha kuhoji zaidi ya kutekeleza yale yaliyofanywa na kuamuliwa huko, miaka ya nyuma.

Labda itokee kuna UVUNJIFU WA HAKI ZA KIBINADAMU ndio tutapata sababu ya kuhoji uwepo wa MUUNGANO. Lakini kwa sasa hivi sidhani, naona kama hakuna haja.
Naomba unifahamishe moja na mbili kuhusu Bw. Frank Calucci.
Huyu FRANK CALUCCI nafahamu kupitia VITABU VYA HISTORIA kama ni KACHERO WA KIMAREKANI aliyekuwa KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ na akahamishiwa TANGANYIKA kipindi cha MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.

Nadhani pia, alikuwa ni MJUMBE WA UMOJA WA MATAIFA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ณ kwa wakati huo na alifika TANGANYIKA kwa malengo na masilahi ya MAREKANI ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฒ na UMOJA WA MATAIFA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ณ.
Pia kuna kitu natamani hapo kwa Elizabeth II, nitakuona PM.
MALKIA ELIZABETH II ๐Ÿ‘‘ pamoja na UINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง wanahusika pakubwa sana na SIASA ZA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Ikumbukwe pia HAYATI MWALIMU alipewa UHURU WA TANGANYIKA kutoka kwa UINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง na huo UHURU ulikuwa na masharti yake.

Masharti yake ni magumu kuyatekeleza kwa dunia ya sasa lakini hayo hayo masharti ndio yaliyoifanya TANGANYIKA ikawa HURU. Yaani hayo hayo masharti ndio yaliyoifanya TANGANYIKA ikawa na UHURU WA BENDERA.

Na moja ya masharti ni hawa WATU WEUPE wenye asili ya KIZUNGU yaani WAINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง, WAITALIANO ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น NA WAJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช kufanya biashara kwa NIABA YA SERIKALI YA TANGANYIKA.

Hadi sasa hivi, hawa WATU WEUPE wenye asili ya KIZUNGU yaani WAINGEREZA ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง, WAITALIANO ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น NA WAJERUMANI ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช wanafanya biashara kwa NIABA YA SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, lakini muda na nyakati zimebadilika, haiwezekani wewe uwe unawanufaisha WATU WEUPE ilhali WANANCHI wako hawana ajira. Sasa ndio utakuwa unafanya kitu gani.. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Inabidi mambo yabadilike na mambo yakibadilika, SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ wanakuwa wanavunja masharti ya UHURU. Kwahiyo inabidi waendelee kutekeleza yale yaliyokuwa ni masharti ya UHURU ili kuendelea kuwa SALAMA.
 
Huyo OSCAR KAMBONA aliwahi kuwa mbunge baada ya miaka ya 1990's? Alitumia CHAMA gani cha KISIASA kwa kipindi hicho? Sidhani! Na niko tayari kwa masahihisho.
 
Ikiwa RBC watataka kisasi juu yetu,

Je, TWIGA CEMENT watachomokaje salama katika hilo?

Mkuu, Charles Mandela!


Hawa ni ASKARI na wapo KAMPALA - UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ na wazazi wao ndio waliohamia UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ wakitokea TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwenye MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA, yaani kwa kifupi hawa ni MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na wanafanya kazi kwenye kampuni zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ kama SHULE, VIWANDA, HOTELI ZA KITALII na SEKTA YA USAFIRISHAJI WA ABILIA NA MIZIGO.

Wanafurahi tu ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚!! Wamenimisi KAMPALA, eti sijaonekana muda mrefu! Anyway, tuachane na hayo!

Hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ walisambaza WATU wao wapatao elfu thelathini [ 30,000 ] ndani na nje ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. Hizi nchi zote za MAZIWA MAKUU walipeleka WATU wao na baadhi ya nchi za KUSINI MWA AFRIKA.

Sasa hawa WATOTO waliozaliwa yaani kizazi kilichofuatia walijiunga na MAJESHI ya nchi husika na wamefanya hivyo kwenye nchi za KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช, UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ, RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ NA KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ yenyewe.

Hawa WATOTO yaani kizazi kilichofuatia wapo chini ya uangalizi mkubwa sana wa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na hawa ndio wanaotumika kama msaada kwa SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ INAYOONGOZWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ.

Kwahiyo taarifa zote zinazopatikana kwenye hizi NCHI ZA MAZIWA MAKUU hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wanakuwa wanafahamu.
Kua kwanza bwamdogo,huu mtori nyama ziko chini
Naenjoyi ๐Ÿ˜๐Ÿ˜!! Ngoja kesho nikipata nafasi nitawatajia WASANII wenye asili ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ambao wapo chini ya uangalizi mkubwa sana wa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ.
 
Yaani mvivu na mwenye bidii wawe sawa kwa kipato.
Hii TABIA wanayo WATU WA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI [ kasoro MBEYA ]!

Hii TABIA wanayo WATU WA DINI YETU ile pendwa!

Na hii TABIA wanayo pia WATU WEUPE yaani WAHINDI, WAARABU NA WAZUNGU.

Haya makundi yote yana tabia inayofanana! Yaani wanataka utafute FEDHA wewe halafu wao uwape wafanyie BIASHARA au MRADI wowote au kitu chochote ilmradi wote muwe sawa.
 
Wabarikiwe sana MWASHITA, Maana mashambulizi ya RBC yako kasi sana mithili ya NYUKI.

Sikuwahi kujiuliza kwamba ni kwa nini WAMISIONARI wale wanazungumza LUGHA ZAIDI YA 7 ZA KIMATAIFA ila ni kwa nini wanapendelea zaidi KUTUMIA KIFARANSA !? Naanza kuona picha.

Ni MUSA yupi au HARUNI yupi atakayeitua MIZIGO ilobebeshwa MOE pale NECTA !?!!

NECTA 1990's vs NECTA 2010-2021.
 
Wabarikiwe sana MWASHITA, Maana mashambulizi ya RBC yako kasi sana mithili ya NYUKI.
Ndio! Na hizi nchi zote tatu za RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ NA KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ hawashambulii kutoka kwenye nchi zao! Wanashambulia kutoka MATAIFA YA NJE yanayozungumza LUGHA YA KIFARANSA, MATAIFA hayo ni UBEGILIJI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช, UFARANSA ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ต NA SWITZERLAND ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ.

Yaani hauwezi kuamini kuwa haya MATAIFA MATATU YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ NA KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ wameingia au kwa lugha nyingine tunaweza kusema kuwa wamepenya mpaka jamii ya SERENGETI yaani CHUI. Kwahiyo wanafahamu kila kitu, yaani ni VERY PROFESSIONAL.

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wao wanatoa tahadhari kwa upande wa SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na wanajisafisha kwa upande mwingine dhidi ya haya MATAIFA MATATU YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ NA KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ.

Itafika mahala hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wataacha kutoa tahadhari yoyote ili washughulikiwe vizuri, kwa sababu hizi nchi tatu za RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ NA KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ walishatuma WATU WENYE UJUMBE wao kwenye MIKOA YA TABORA, MWANZA NA SHINYANGA ili kuomba wawashikishe adabu SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ lakini hawa MWASHITA waligoma.

Na baadae hao WATU WENYE UJUMBE walielekea KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช kwenda kuomba wawashikishe adabu SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ lakini KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช na wao waligoma pia.

Kwahiyo haya MATAIFA MATATU YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ, RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ NA KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ kila wanachojaribu kufanya dhidi ya SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kinagoma kwa sababu kubwa ya TAIFA LA KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช na hawa MWASHITA kwa mbali.

Hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wana uzito kwa sababu wao ndio wameshika INTELIJENSIA YA RAIS WA UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ na ndio jamii anayotoka MAMA MARGARET KENYATTA, mke wa RAIS WA KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช.
Sikuwahi kujiuliza kwamba ni kwa nini WAMISIONARI wale wanazungumza LUGHA ZAIDI YA 7 ZA KIMATAIFA ila ni kwa nini wanapendelea zaidi KUTUMIA KIFARANSA !? Naanza kuona picha.
Hawa WATU ni HATARI sana! Yaani VERY DANGEROUS.
Ni MUSA yupi au HARUNI yupi atakayeitua MIZIGO ilobebeshwa MOE pale NECTA !?!!
SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ walishaambiwa tangu siku nyingi na suluhisho walipewa! Sema SIKIO LA KUFA, HALISIKII DAWA.

Waliambiwa hivi - KATIBU WA BARAZA LA MITIHANI yaani NECTA | Home hatakiwi kuwepo hapo, kipindi hicho KATIBU WA BARAZA LA MITIHANI ni PROFESA JOYCE NDALICHAKO. Na ndio ikawa chanzo cha PROFESA JOYCE NDALICHAKO kurudi CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM [ UDSM ].

Suluhisho la pili, wakaambiwa hivi - kwa wale wanafunzi wote walioongoza KITAIFA wapewe vyeti vyao kulingana na ufaulu wao kwa sababu hawa wanafunzi na wao pia wapo kwenye MFUMO WA AJIRA. Hili zoezi likawa gumu kwa WIZARA YA ELIMU NA BARAZA LA MITIHANI YAANI NECTA | Home.

Wao yaani BARAZA LA MITIHANI yaani NECTA | Home waliingiza SIASA na kusema ya kwamba VYETI VYA WANAFUNZI wanachapisha nchi za nje [ walitaja nchi moja ya AMERIKA YA KASKAZINI ]. Kwahiyo ni gharama kuchapisha VYETI VYA WANAFUNZI BORA kwa mara ya pili.

Ndio ikawa imeisha hivyo! Cha ajabu na cha kushangaza yule PROFESA JOYCE NDALICHAKO ndio akarudi na kuwa WAZIRI WA ELIMU mpaka leo hii. Kwahiyo hawa WATU walio nyuma yake sio WATU WA MCHEZO MCHEZO, ni WATU HATARI SANA.
NECTA 1990's vs NECTA 2010-2021.
WIZARA YA ELIMU kupitia BARAZA LA MITIHANI YAANI NECTA | Home ndio wamehusika pakubwa sana kwenye kuharibu MFUMO WA ELIMU, pia wamehusika pakubwa sana kwenye kupitisha MAMLUKI kwa upande wa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Kwahiyo njia sahihi na salama ni kumuondoa WAZIRI WA ELIMU na kufanya mabadiliko pale BARAZA LA MITIHANI yaani NECTA | Home na kuwapatia wale WANAFUNZI BORA vyeti vyao kulingana na ufaulu wao, kwa sababu na wao pia wapo kwenye MFUMO WA AJIRA.
 
Ikiwa RBC watataka kisasi juu yetu,

Je, TWIGA CEMENT watachomokaje salama katika hilo?

Mkuu, Charles Mandela!


Hawa ni ASKARI sema bado wadogo, pia ni MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na wanapatikana KAMPALA - UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ. Na hawa pia ni miongoni mwa WATOTO ambao wazazi wao walihamia UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ wakitokea TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwenye MIKOA YA TABORA, SHINYANGA NA MWANZA.

Huyo kijana wa katikati aliyeshika mbwa [ SIMBA ๐Ÿฆ ] ni mtoto wa msanii maarufu sana nchini UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla.
 
Kweli ubepari ulianza toka zamani, Ila ukweli tu usemwe licha ya kwamba Nyerere ana mazuri yake na amelipigania taifa kwa Sana na vile vile ana mabaya yake ambayo yeye ameyafanya, ukiwa huwezi ukaamini.

Yeye atabaki kukumbukwa tu kwa sbb alikuwa ni baba wa taifa na kiongozi bora wa nchi yetu, ata km kulikuwa na watu ambao walimsaidia ktk uongozi wake.

Maana ukiangalia hata yeye watoto wake mpk leo hawajulikani wala hawakupewa ata nyadhifa moja nzuri serikalini. Ubepari hauwez kuisha nchini kwetu.
 
Ikiwa RBC watataka kisasi juu yetu,

Je, TWIGA CEMENT watachomokaje salama katika hilo?

Mkuu, Charles Mandela!


Huyu pia ni ASKARI wa UPDF, anaitwa CANARY MUGUME na vile vile ni MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na yeye ni miongoni mwa wale WATOTO waliozaliwa na wazazi ambao walihamia UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ.

Sasa hivi anafanya kazi kwenye moja ya kituo cha radio kinachoitwa NEXT MEDIA SERVICES yaani NEXT RADIO au NXT RADIO pamoja na kituo cha televisheni kinachoitwa NBS TELEVISION.

Hivi vituo vyote viwili vya radio na televisheni vinavyopatikana nchini UGANDA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ vinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ