Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali
Baada ya kufanikiwa kutwaa MADARAKA kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI, wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walifanikiwa kusambaa zaidi katika MATAIFA mbalimbali.


Huyu ni mwandishi wa vitabu na anaitwa MAUD - SALOMÉ EKILA na anaandika vitabu vinavyoitwa "KESHO" ikimaanisha "TOMORROW" kwa LUGHA YA KIINGEREZA ambaye anaishi KINSHASA, KONGO.


Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KONGO kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Kwa sasa hivi, hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wakihamia MATAIFA mbalimbali huwa wanatumia mahusiano ya KIDIPLOMASIA kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA au BURUNDI.

Kwahiyo sasa hivi unaweza kukuta MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA anaishi BOTSWANA, lakini anaripoti UBALOZI WA RWANDA au BURUNDI.


Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA aliyehamia nchini BOTSWANA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] na anaitwa KELLY KELETSO SEGWAGWE.


Lakini katika masuala ya KIDIPLOMASIA anatumia UBALOZI WA BURUNDI uliopo BOTSWANA.


Kwahiyo wenyeji wengi wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walisambaa na wanaendelea kusambaa zaidi kupitia MATAIFA YA RWANDA au BURUNDI.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali

Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Hawa wote walipitia katika TAIFA LA BURUNDI na wanatumia UBALOZI WA BURUNDI uliopo KENYA, lakini ni WATANZANIA kwa asili.


Kipindi kile cha miaka ya tisini [1994's] baada ya MAUAJI YA KIMBARI kuisha, SERIKALI YA BURUNDI ilishindwa kujiendesha kutokana na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE pamoja na MADENI.


Baadhi ya wananchi waliokuwa wamesalia baada ya kumalizika kwa VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, walianza kutafuta WAFANYABIASHARA watakao kuwa na uwezo wa kuendesha SERIKALI YA BURUNDI - ndiyo wakapatikana wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MODERN COAST inayopatikana nchini KENYA.


Baadae ndiyo kukapatikana CHAMA CHA KISIASA kilichoitwa CNDD - FDD ambacho BODI YA WADHAMINI ni kampuni ya kibiashara inayopatikana TANZANIA na ndiyo hao hao wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MODERN COAST.

Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ambapo hii NYIMBO YA CALIFORNIA LOVE inatoka, ndiyo ilikuwa kipindi ambacho mikakati ya makusudi ilifanyika ili kuinusuru SERIKALI YA BURUNDI.


Sasa hivi SERIKALI YA BURUNDI inaanza kupiga hatua ya kimaendeleo na kujaribu kurudisha ule UCHUMI uliokuwepo kabla ya VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa SERIKALI YA BURUNDI kupitia CHAMA TAWALA kinachoitwa CNDD - FDD na wanatambulika katika UMOJA WA MATAIFA [UN].
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali
Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS waliiba sana katika SERIKALI zao na wamewekeza nje ya nchi, hata hapa TANZANIA wamewekeza.


Na moja ya MATAIFA YA PUISSANTS ambayo yaliathirika kutokana na madeni ilikuwa ni BURUNDI.


Hili TAIFA LA BURUNDI walihama wananchi wengi na ni miongoni mwa TAIFA LA AFRIKA YA MASHARIKI ambalo linaongozwa na WALOWEZI.


WALOWEZI wengi katika TAIFA LA BURUNDI ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini BURUNDI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Kigezo kikubwa ukiwa katika TAIFA LA BURUNDI ni kufahamu kwa ufasaha matumizi ya LUGHA YA KIRUNDI pamoja na KIFARANSA.


LUGHA YA KIRUNDI na LUGHA YA KINYARWANDA karibu zote zinafanana na tunaweza kusema ni kama LUGHA YA KISWAHILI kwa upande wa TANZANIA BARA na VISIWANI, tofauti inakuwa ni LAFUDHI tu.


Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walivyofanikiwa kumudu matumizi ya lugha, ndiyo ikawa mwanzo wa kuongoza TAIFA LA BURUNDI.


Hata hiyo JAMII YA SERENGETI kama wangelikuwa na uwezo wa KIUCHUMI, wangelifanikiwa kuongoza TAIFA LA BURUNDI. Lakini kwa sababu hawana, kwahiyo wanaendelea KUFUGWA na CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].


Hizi kampuni za kibiashara ambazo zinapatikana katika MATAIFA tofauti tofauti kama zikiwekeza VIWANDA pale BURUNDI, pato la nchi litaongezeka.


Hiyo kampuni ya VINYWAJI inayoitwa SHUJAA inayopatikana nchini KENYA, ndiyo kampuni mwenza wa kampuni ya kitalii inayoitwa SHUJAA TOURS inayopatikana KILIMANJARO, TANZANIA katika JENGO LA NSSF [UCHUMI COMPLEX], GHOROFA YA NNE [4].


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wana uwezo wa KIUCHUMI wa kuweza kuendesha SERIKALI YA BURUNDI.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali
Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS waliiba sana katika SERIKALI zao na wamewekeza nje ya nchi.


Hawa PUISSANTS wanamiliki MASHIRIKA YA NDEGE, VIWANDA VYA KUTENGENEZA MAGARI, VIWANDA VYA KUTENGENEZA VIFAA VYA KIELEKTRONIKI kwa upande wa MATAIFA YA ASIA, AMERIKA pamoja na ULAYA.


Yaani HAZINA YA MATAIFA yao walihamishia katika MATAIFA YA AMERIKA, ASIA pamoja na ULAYA.


Kilichokuwa kinafanyika katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO ni kugombania ile KEKI YA TAIFA na ndiyo ilikuwa chanzo cha VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE.


Yale MATAIFA YA RWANDA NA BURUNDI yalikuwa chini ya UBELIGIJI, yaani "BELGIUM AUTONOMIES" na aliyekuwa anafanikiwa kushika DOLA alikuwa anakula meza moja na WABELIGIJI, ndiyo WAHUTU hao.


Kwa upande wa TAIFA LA KONGO, hali ilikuwa hivyo hivyo - HAYATI MOBUTU alihamisha HAZINA YA TAIFA na kupeleka nje ya nchi.


Sasa baada ya VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE kuisha, SERIKALI YA BURUNDI ilishindwa kujiendesha kutokana na wizi uliokuwa ukifanyika.

Ilikuwa imebaki kidogo kwa upande wa TAIFA LA BURUNDI kuwa kama TAIFA LA UGIRIKI, baadhi ya OFISI ZA UBALOZI zilikuwa zimeanza kufungwa kutokana na UHABA WA FEDHA.


Wanachi walikuwa wanakufa njaa na ilifikia hatua ukifanikiwa kupeleka DEBE LA MAHINDI unabadilishana na BUNDUKI "AK47".


Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], watu waliokuwa na uwezo wa kuinusuru SERIKALI YA BURUNDI ilikuwa ni kutoka TANZANIA pekee yake, kutokana na sababu za KIJIOGRAFIA.


KONGO ilikuwa kwenye machafuko na RWANDA pia ilikuwa kwenye kipindi kigumu sana, kwahiyo TANZANIA ilikuwa ni sehemu salama kwa TAIFA LA BURUNDI.


Sasa kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] kampuni kubwa kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI ilikuwa ni MODERN COAST.


Wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MODERN COAST ndiyo wakabeba dhamana ya kuikoa SERIKALI YA BURUNDI kutokana na madeni na kulipa wafanyakazi wa serikali hiyo.


Wenzenu walifanikiwa kuendesha SERIKALI YA BURUNDI pamoja na kulipa madeni yote iliyokuwa inadaiwa kwa kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's].


Yaani hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ni kama walinunua SERIKALI YA BURUNDI na kuanzisha CHAMA TAWALA kinachoitwa CNDD - FDD.


Ukiangalia BODI YA WADHAMINI ya CHAMA CHA CNDD - FDD ni kampuni ya kibiashara kutoka TANZANIA ambayo inamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na inapatikana DAR ES SALAAM.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wenye SERIKALI YA BURUNDI kupitia CHAMA TAWALA kinachoitwa CNDD - FDD.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali
Haya matabaka mawili ya JAMII YA SERENGETI pamoja na JAMII YA PUISSANTS [BSC] walifanyika kuwa maadui hadi kupelekea AJALI YA NDEGE [1994] iliyosababisha MAUAJI YA KIMBARI kwa MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI.


Hizi JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC] zote zipo kwenye VITA BARIDI, bado UGOMVI unaendelea chini kwa chini.


Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ilifikia hatua ukiajiri JAMII YA SERENGETI kwenye kampuni binafsi, wale JAMII YA PUISSANTS [BSC] wanaanza kukuandamana na wanaweza kuua hata kampuni yako kwa kisa cha kuajiri JAMII YA SERENGETI.


Hali kadhalika, ulikuwa ukiajiri JAMII YA PUISSANTS [BSC] kwenye kampuni binafsi wale JAMII YA SERENGETI wanaanza kukuzodoa na mtiririko wa kodi unakuwa mkubwa na walikuwa wanaweza kuua hata kampuni binafsi.


Hata kwenye masuala ya MAHUSIANO YA KIMAPENZI, ukioa au kuolewa na JAMII mojawapo kati ya JAMII YA SERENGETI au JAMII YA PUISSANTS [BSC] - lazima waenze kukuzodoa na wakati mwingine usipokuwa makini huwa wanaharibu hata mahusiano yenu kwa sababu zisizo eleweka.


Yaani ipo kama ilivyokuwa kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI - ukioa au kuolewa na MHUTU lazima MTUSI akuzodoe na ipo hivyo hivyo kama ukioa au kuolewa na MTUSI lazima MHUTU akuzodoe na wengine huwa wanaenda mbali hadi kusababisha MAAFA. Kwahiyo "SOLUTION" ilikuwa kama wewe siyo miongoni mwa JAMII hizo, basi unashauriwa kuoa au kuolewa na MTU wa kutoka TABAKA jingine ili kuepuka sintofahamu isiyokuwa ya lazima na ndivyo ilivyo kwa hizi JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC].


Na wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kwa mara ya kwanza walivyokuwa wanaingia kwenye SEKTA BINAFSI na SIASA ZA MATAIFA MAZIWA MAKUU walishauriwa ili kufanikiwa wasijihusishe na JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC]. Kwani hizi jamii mbili ni MAHASIMU [MAADUI].


Ndivyo wanavyofanya hivyo hadi leo, kwenye kampuni ambazo zinamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa hakuna JAMII YA SERENGETI wala JAMII YA PUISSANTS [BSC].


Tangu wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walivyopokea USHAURI huo wanaendelea kufanya vizuri kwenye biashara zao.


Hata kwenye masuala ya MAHUSIANO YA KIMAPENZI, hali halisi huwa ipo hivyo. Ukioa au kuolewa na JAMII YA PUISSANTS [BSC], lazima wale JAMII YA SERENGETI wakuzodoe na ukioa au kuolewa na JAMII YA SERENGETI wale JAMII YA PUISSANTS [BSC] lazima wakuzodoe. Hizi JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC] zimekuwa zikiendelea na migogoro ya kisiasa mpaka leo na ndivyo walivyo hata kwenye MAHUSIANO YA KIMAPENZI, yaani huwa ni vurugu tupu na migogoro kila kukicha.


Unakuta BINTI anakwambia ni MJAMZITO, lakini hata TUMBO hulioni na miezi ya kujifungua inazidi kukaribia..πŸ˜‚ Au BINTI unampa milioni mbili [2,000,000] ili akachukue nyumba ya kupanga, lakini yeye anataka akanunue iPhone ProMax ya 2,300,000 wakati huo hata BODABODA hana!! Yaani huwa ni vurugu tupu..πŸ˜‚

Wengine hadi wanajifungua lakini BABA MTU hajawahi kuona watoto, unakuwa anaambiwa miaka na tarehe ya kuzaliwa..πŸ˜‚ Unakuta BINTI mwingine anahitaji umuhudumie kila mwezi, lakini anapoishi hakuoneshi. Yaani inakuwa ni vurugu tupu..πŸ˜‚


Sasa hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walishafanikiwa kufahamu haya mambo tangu siku nyingi na ndiyo maana wanafanikiwa kwenye masuala yao.


Kitu kingine ambacho ukiwa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, huwa sio busara kukosoa hadharani KANISA LA KATOLIKI.


Na huwa sio salama kukosoa hadharani UTAWALA WA HAYATI MWALIMU, kwani WATANZANIA wengi wanaofahamu vizuri TAIFA lao huwa wanatumia muda mwingi kusifu hata kama jambo sio jema. Yaani "WANAPAKA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA" - hiki kitendo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa wanaita "KUPEMBELA".


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa na wanaendelea kufanikiwa katika masuala yao bila ya kuhusisha JAMII YA SERENGETI wala JAMII YA PUISSANTS [BSC] na huwa hakuna VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA katika kampuni zao.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali

Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Baada ya kufanikiwa kushika hatamu kwa upande wa TAIFA LA BURUNDI kupitia CHAMA TAWALA kinachoitwa CNDD - FDD, wenyeji wengi wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walihamia BURUNDI.


Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini BURUNDI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Hawa wote ni WALOWEZI waliohamia nchini BURUNDI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] na wanamiliki utitiri wa kampuni nyingi za kibiashara.


Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] pale SHINYANGA MJINI, zile BAA zote zilikuwa ni kampuni za kibiashara - hadi ile BAA YA WHITE HORSE ni kampuni ya usafirishaji ya mizigo inayopatikana MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI [barabara ya TUNDUMA] pamoja na BAA YA LEWIS ni kampuni ambayo inamiliki KIWANDA CHA NGUO kinachopatikana MAREKANI kinachoitwa LEVI'S.


Wanaomiliki KIWANDA CHA NGUO ambacho kinatengeneza NGUO ZA LEVI'S ndiyo waliokuwa MATAJIRI WA MWANZA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].
Hawa ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa [...] ambayo inapatikana katika TAIFA LA PERU, AMERIKA YA KUSINI.


Ndiyo maana kila siku tunawaambia baada ya kuhama kwa wenyeji wengi kwenye hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA, sasa hivi hakuna WANASIASA. Hawa WANASIASA waliopo sasa hivi ni WAHUNI WAHUNI tu, wanaokutana na WANANCHI kipindi cha MISIBA halafu baada ya hapo wanaishia mitini.. πŸ˜‚


Hawa ndiyo wamiliki halali wa SHULE YA LORETO inayopatikana katika MKOA WA MWANZA, TANZANIA.


Pia ndiyo wamiliki halali wa SHULE YA LORETO CONVENT SCHOOL inayopatikana PRETORIA, AFRIKA YA KUSINI.


Hiyo kampuni ya LORETO ni kubwa kwa kiasi chake na inafanya vizuri kwa upande wa MATAIFA mbalimbali ikiwemo MEXICO. Ukiwa pale MEXICO, ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa LORETO TRAVEL.


Kwahiyo wale waliopaswa kuwa WANASIASA katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ndiyo walioenda kuwa viongozi waandamizi na waasisi katika MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI baada ya MAUAJI YA KIMBARI, 1994.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali
Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa kufahamu SIASA YA TANZANIA na MASWAHIBU yake tangu siku nyingi - ndiyo maana wanaendelea kufanikiwa kwenye mambo yao.


Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini TRINIDAD kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA MWANZA.

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wamesambaa sana, wapo hadi kwenye VISIWA VYA TRINIDAD.


Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA MWANZA.


Huyu mwingine ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA MWANZA.


Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamefanikiwa kuwakwepa JAMII YA SERENGETI pamoja na JAMII YA PUISSANTS [BSC].


Hizi JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC] wanapenda sana migogoro, yaani kama ilivyo kwenye SIASA na ndivyo walivyo hata kwenye MAISHA BINAFSI.


Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamefanikiwa kuwakwepa JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC], hata kwenye MAHUSIANO YA KIMAPENZI.


Hawa JAMII YA MWASHITA wamejitahidi na wamefanikiwa kujijenga KIUCHUMI na KISIASA bila ya kuhusisha JAMII YA SERENGETI pamoja na JAMII YA PUISSANTS [BSC].


Hata kwenye MAHUSIANO YA KIMAPENZI, hali huwa ni ile ile kwa upande wa JAMII YA SERENGETI pamoja na JAMII YA PUISSANTS [BSC]. Hizi JAMII huwa zina matukio ya kustaajabisha sana, unaweza kufanyiwa kitendo ambacho hutakuja kusahau hadi unaingia KABURINI..πŸ˜‚


Lakini wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejitahidi kuwa "POLYGAMOUS" kwa watu wao wenyewe.


Kwahiyo kwa upande wa kampuni za kibiashara ambazo zinamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa hakuna JAMII YA SERENGETI wala hakuna JAMII YA PUISSANTS [BSC] na hata VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA huwa hakuna. Hii ndiyo huwa SIRI YA MAFANIKIO ukiwa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali

Wamiliki halali wa kampuni inayoitwa BLUE COAST ndiyo waliokuwa MATAJIRI WA MWANZA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Hapo HAYATI MWALIMU hafuati hata nusu kwa UKWASI walionao hawa wamiliki halali wa kampuni inayoitwa BLUE COAST.


Sasa hivi wenyeji wengi wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanapenda kujumuika na wenzao waliohamia UGHAIBUNI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini RWANDA baada ya mwaka 1994.


Hata huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA aliyehamia nchini MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Anaitwa SYDNEY CARTER na ni KOCHA wa timu ya mpira wa kikapu inayoitwa TEXAS WBB. Sasa hivi ni RAIA WA MAREKANI.


SYDNEY CARTER ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA aliyehamia nchini MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] akitoka katika ule MKOA WA MWANZA.


Ukisikia ule msemo wa "NATOKEA MWANZA MWANZA" ndiyo hawa. SYDNEY CARTER ni JAMII YA MWASHITA aliyetoka sehemu moja na MISTER ABILITY.


SYDNEY CARTER ni chimbuko la kijiji cha SHILALO, MISASI katika wilaya ya MISUNGWI, mkoani MWANZA.


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanaendelea kufanikiwa kwenye mambo yao, kwa sababu hawana muingiliano na JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC].
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali

Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA MWANZA.


Hawa JAMII YA MWASHITA hata wakiwa nje ya TAIFA LA TANZANIA, huwa hawachangamani na WATANZANIA wengine. Wao huwa wanafanya mambo yao tu.


Hawa JAMII YA MWASHITA huwa wanawakwepa JAMII YA SERENGETI pamoja na JAMII YA PUISSANTS [BSC]. Hizi JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC] wanapenda sana migogoro, yaani kama ilivyo kwenye SIASA, ndivyo walivyo hata kwenye MAISHA YA KAWAIDA na masuala ya MAHUSIANO YA KIMAPENZI.


Wenzenu hawa JAMII YA MWASHITA huwa wanakwepa sana migogoro, kwa sababu wanamiliki UCHUMI wao na huwa ni kawaida kwa jinsia ya kike kutafuta mwenza wa kiume na wakaelewana bila ya shida yoyote na kuanzisha MAHUSIANO YA KIMAPENZI, hatimaye kuwa na FAMILIA. Ni kawaida kabisa..


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wataendelea kuwepo kwa kipindi kirefu, kwa sababu ni JAMII ambayo huwa wanakwepa na kuepuka migogoro isiyokuwa ya lazima.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali



Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].




Haya matukio yanayoendelea sasa hivi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliyafahamu tangu miaka ya tisini [1990's].


Walisambaa maeneo mbalimbali ya nchi na hata nje ya nchi na waliofanikiwa kubaki katika ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walikuwa ni wachache sana.


Sasa hivi JAMII YA MWASHITA ni "DIVERSIFIED SOCIETY" na walifanikiwa kuakisi TAMADUNI ZA JAMII mbalimbali, ndani na nje ya MIPAKA YA TANZANIA.


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA baada ya kusambaa na kufanikiwa kuakisi TAMADUNI ZA JAMII mbalimbali walifanikiwa kuvuka vizingiti vya kijamii yaani "SOCIAL BARRIERS" na wameendelea kufanikiwa sana katika SEKTA mbalimbali.


Kwa mfano, hii ni JAMII YA MWASHITA waliohamia nchini KENYA na kufanikiwa kuakisi TAMADUNI ZA KILUO. Sasa hivi BABA ni GAVANA WA KISUMU na mtoto wake wa kike ni MSANII WA HOLLYWOOD nchini MAREKANI.


Na ukijaribu kuangalia hali ya KIUCHUMI kwa upande wa JAMII YA MWASHITA wapo vizuri sana kuliko JAMII YA SERENGETI. JAMII YA SERENGETI ni MFUMO WA TANZANIA ndiyo unaowabeba, tofauti na hapo hawana kitu.


Lakini kwa upande wa JAMII YA PUISSANTS [BSC] wanamiliki UCHUMI MKUBWA kuliko hata wale JAMII YA MWASHITA.


Ijapokuwa sasa hivi, hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanajitahidi kujijenga KIUCHUMI na KISIASA kupitia MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI. Lakini bado hawawezi kufuata hali ya KIUCHUMI kwa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].


Hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] waliiba sana katika SERIKALI zao na walifanikiwa kuwekeza nje ya MATAIFA yao.


Hata huyu DAOUDA NDIAYE ni mwenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] na atagombea URAIS katika TAIFA LA SENEGAL.

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA bado wana safari ndefu sana ya kufikia malengo yao.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali

Hiki ni kizazi kilichofuata baada ya wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Sasa hivi ukiwa AFRIKA YA KUSINI kuna vijana waliozaliwa huko baada ya wazazi wao kuhamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] na wanaendelea kufanya kazi katika kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] wamejitahidi kuweza kuhimili uchumi wao tangu miaka ya tisini [1990's] hadi leo wanaendelea na ukiwa pale AFRIKA YA KUSINI ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya UTALII inayoitwa INKOSI TOURS AND TRANSFERS.


Ukiwa pale SHINYANGA MJINI zile BAA zote zilizokuwa tangu miaka ya tisini [1990's] ni kampuni za kibiashara. Kulikuwa kuna BAA maarufu iliyokuwa inaitwa PARIS ambayo inapatikana jirani na msikiti wa NGOKOLO, ile ni kampuni ya kibiashara.


Pia, wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya UTALII inayoitwa MFULAWOZI WILDERNESS inayopatikana nchini AFRIKA YA KUSINI.


Pia kulikuwa kuna BAA maarufu iliyokuwa inaitwa FREEPARK "A" na FREEPARK "B" ambazo zinapatikana maeneo ya NDALA - zote hizo ni kampuni ambazo zinapatikana nchini UINGEREZA na zinamilikiwa na wamiliki halali wa hizo BAA.


Kwahiyo ile KITANZANIA TANZANIA - hawa JAMII YA MWASHITA wametoboa kuliko JAMII nyingine na sasa hivi wanapambana KIMATAIFA.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali
Hii kampuni ya MFULAWOZI WILDERNESS ni kampuni kubwa ya kitalii ambayo inapatikana katika TAIFA LA AFRIKA YA KUSINI.


MFULAWOZI WILDERNESS ni kampuni ambayo inamiliki PRIVATE GAME RESERVE inayopatikana ZULU LAND.


Kama ilivyo kwa upande wa SIASA ZA KITAIFA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanaendelea kuwakwepa JAMII YA SERENGETI, JAMII YA PUISSANTS [BSC] pamoja na VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA hata kwenye maisha binafsi.


Yaani wamewapiga TANO [πŸ–πŸ½]! Hata kwenye masuala ya MAHUSIANO YA KIMAPENZI hawa JAMII YA MWASHITA walishabadilika - kama unavyoona SIASA ndivyo ilivyo hata kwenye MAISHA BINAFSI.

"Kwa mfano halisi kabisa, unakuta jamaa yako wa karibu anachangisha michango kwa ajili ya kufanya SHEREHE YA HARUSI. Sasa nyinyi wengine kwa kutokujua mnatoa michango kwa hali na mali [laki laki kila mmoja πŸ’―], halafu jamaa anaingia MITINI na michango yenu. SHEREHE YA HARUSI iliyopangwa kufanyika mwaka jana, mwezi wa sita [JUNI] mpaka leo hamna kitu na mnaanza harakati za kudai zile laki mlizotoa mwaka jana.. πŸ˜‚"

Yaani ni vurugu tupu! BWANA HARUSI alikuwa anajiita MSUKUMA WA SENGEREMA, kumbe ni PUISSANTS [BSC] wa kutoka KONGO na WAZAZI wake walipitia BURUNDI kipindi wanaingia TANZANIA.. πŸ˜‚πŸ˜‚


Sasa hivi hii JAMII YA MWASHITA inaenda KIMATAIFA [GLOBALLY], zile tabia za ajabu ajabu na makundi yasiyokuwa na faida wanaendelea kuyaepuka, ndiyo maana wanazidi kupiga hatua siku kadri ya siku.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamefanikiwa kung'amua na kukwepa vile VIZINGITI VYA KIJAMII yaani "SOCIAL BARRIERS" kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA na wanaendelea kuvuka mipaka.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali

Huyu anaitwa PROFESSOR DAOUDA NDIAYE ni PUISSANTS [BSC] ambaye atawania nafasi ya KITI CHA URAIS katika TAIFA LA SENEGAL.



Hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walifanikiwa kusambaa zaidi katika MATAIFA mbalimbali duniani na kule kwenye MATAIFA yao ya asili walihamia watu wengine ambao walifanyika kuwa WALOWEZI na ndiyo sababu iliyopelekea mabadiliko ya kisiasa kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.


Hali kadhalika, kwa upande wa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Huyu anaitwa MATATA PONYO MAPONI ni JAMII YA MWASHITA kutoka katika MKOA WA SHINYANGA nchini TANZANIA aliyewania nafasi ya KITI CHA URAIS katika TAIFA LA KONGO [KINSHASA] kupitia CHAMA CHA LGD.


Huyu MATATA PONYO MAPONI alipaswa kuwa MWANASIASA nchini TANZANIA kupitia MKOA WA SHINYANGA, lakini sasa hivi anafanya SIASA nchini KONGO [KINSHASA] na ukiangalia MAJIMBO YOTE YA MKOA WA SHINYANGA yanaongozwa na WABUNGE WALOWEZI, kwani wenyeji wengi wa asili walishahama maeneo yao.


Sasa ile hali ya mabadiliko ya kisiasa kwa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO kuongozwa na WALOWEZI ndiyo inayoendelea kufanyika katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.


WALOWEZI wana FAIDA na HASARA. FAIDA YA WALOWEZI ni kudumisha mahusiano ya kitaifa na kimataifa na HASARA YA WALOWEZI wanafanya kila kitu kwa maelekezo na masilahi ya kuegemea upande wa kwao.


Ndiyo maana ukijaribu kuangalia MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA ni MASIKINI, lakini wenyeji wa asili wa MIKOA hiyo ni MATAJIRI sana waliofanikiwa kuwekeza sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.


Hali hii inataka kufanana na MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC], kwani wenyeji wa asili wa MATAIFA hayo ni MATAJIRI waliofanikiwa kuwekeza sehemu mbalimbali za nje ya MATAIFA yao.


Lakini MATAIFA yao yaligubikwa na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE katika kipindi cha miaka ya tisini [1990's]. Yote haya yanasababishwa na wenyeji wengi wa asili kuyahama maeneo yao na kukaliwa na wageni ambao walifanikiwa kuakisi tamaduni za asili hadi kupelekea kuitwa WALOWEZI.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali
Kipindi kile cha AWAMU YA PILI [1985-1995] kilichokuwa kinaongozwa na MZEE RUKSA, ule UKANDA WA PWANI ulikuwa una WABUNGE wengi sana ambao ni WALOWEZI na WALOWEZI siku zote wanaangalia vyeo tu, mambo mengine hayawahusu.


MISTER CLEAN alivyoingia MADARAKANI kwa AWAMU YA TATU [1995-2005], kitu cha kwanza alijenga DARAJA LA MTO RUFIJI linalopatikana WILAYA YA IKWIRIRI katika MKOA WA PWANI.

WANANCHI wengi walifurahi kukamilika kwa mradi huo, mwaka 2003. Lakini ile ilikuwa ni tafsiri ya kisiasa - WABUNGE WALOWEZI wote walitakiwa kuondoka kwa sababu walikuwa wanafanya SIASA kwa maelekezo ya kuangalia masilahi yao na sio kumkomboa MWANANCHI WA KAWAIDA wa UKANDA WA PWANI.


MISTER CLEAN alifanya ya kwake na akafanikiwa kupunguza baadhi ya WANASIASA WALOWEZI, sehemu iliyobaki aliachiwa KIKWETE.


KIKWETE alivyoingia MADARAKANI kwa AWAMU YA NNE [2005-2015] aliondoa WABUNGE WALOWEZI wote katika ule UKANDA WA PWANI na alibakiza WANASIASA WALOWEZI wachache katika ule MKOA WA TANGA na wenyewe walikuwa kwenye ANGALIZO MAALUM [...].

Sasa hivi ukiwa ule UKANDA WA PWANI wote wanaongea LUGHA MOJA na UKANDA WA PWANI umebadilika sana na MAENDELEO yanaonekana.

Hali ile iliyokuwa katika ule UKANDA WA PWANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's], ndivyo ilivyo sasa hivi katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.


Hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA ina WANASIASA WALOWEZI wengi ambao wanafanya SIASA kwa maelekezo ya kuangalia masilahi yao na hauwezi kupata KIONGOZI WA KITAIFA kwa sababu ya ULOWEZI.


Ndiyo maana sasa hivi kupata VIONGOZI WA KITAIFA katika hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA imekuwa ni ngumu sana - wengi wanaanzia NAFASI YA UNAIBU WAZIRI na wakijitahidi sana NAFASI YA UWAZIRI ambayo ndiyo huwa wanaishia WANASIASA WALOWEZI. Tofauti na hapo, hakuna kitu!.


Ndiyo maana wale waliokuwa VIONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI [2012/13] pale CHUO KIKUU CHA DODOMA [UDOM], zile nafasi nne za juu zote walikuwa ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA. Lakini hawakuwahi kuonana na WABUNGE wao hadi wanamaliza masomo yao pale DODOMA na badala yake walijiunga na KAMBI YA KIKWETE.


WANASIASA wengi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ni WALOWEZI, sasa wewe kama MWENYEJI WA ASILI utazungumza nini MLOWEZI? Mkijitahidi sana mtaishia POROJO ambazo mara nyingi huwa hazijengi na ndiyo maana wenzenu waliamua kuelekea KAMBI YA KIKWETE.
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali
Pale CHUO KIKUU CHA DODOMA [UDOM] kwa mwaka 2013/14 katika UCHAGUZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI, kuna mwanafunzi mmoja alipata nafasi ya UWAZIRI UKUU. Lakini cha ajabu alikataa bila sababu za msingi.


Mwaka huu, baada ya miaka kumi [10] kupita ndiyo imefahamika kuwa yule mwanafunzi aliyekataa nafasi ya UWAZIRI UKUU katika KITIVO CHA COESE alikuwa ni MLOWEZI [PUISSANTS].


WALOWEZI huwa wanaishi kwa kufuata maelekezo na kuangalia masilahi yao. Kwahiyo kwa kufuata maelekezo, hakuruhusiwa kupokea nafasi ya UWAZIRI UKUU na ile nafasi ilienda kwa mwanafunzi mwingine [MTANZANIA HALISI].


WALOWEZI wamejaa kwenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA! Kila mtu huwa ana jambo lake huko na ndiyo maana unashauriwa kuwa makini na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA.


Hata kwenye MAISHA YA KAWAIDA huwa ipo hivyo, hasa kwenye masuala ya MAHUSIANO YA KIMAPENZI.

Unaweza ukakutana na MWENZA wako siku za mwanzoni kunakuwa na maelewano mazuri sana. Lakini kadri siku zinavyozidi kwenda mahusiano yanabadilika na wakati mwingine, MWENZA wako anaweza kukukana kabisa kana kwamba hakuwahi kukuona na mara nyingi huwa wanasema "sina APPOINTMENT na wewe".

Wenzenu wanayoyafahamu haya mambo, wakiona hizi dalili za mwanzoni huwa wanajiengua mapema kuliko kuendelea kupoteza muda na FEDHA.. πŸ˜‚


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamebadilika na wanatafuta wenza wao kulingana na sehemu ambazo watakuwa wametoka.


Na wamekuwa "VERY SUCCESSFUL" kwenye masuala yao kutokana na kuwa na "AMANI YA MOYO", yaani "PEACE OF MINDS".


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walifanikiwa kuyafahamu haya mambo tangu siku nyingi na ilishakuwa desturi kufahamiana kwa misingi ya UTAIFA na mahala ambapo mtu atakuwa ametoka.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa na wanaendelea kufanikiwa baada ya kuepuka vile VIZINGITI VYA KIJAMII, yaani "SOCIAL BARRIERS".
 
Hebu ongea na Mkunda
Una kitu, utafika mbali
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] pale SHINYANGA MJINI kulikuwa kuna sehemu inaitwa MSHIKAMANO na ipo hadi leo.


Pale MSHIKAMANO kulikuwa kuna CHIFU WA KIMILA ambaye alikuwa anaitwa [...]. Huyu CHIFU alikuwa ana uwezo wa KIUCHUMI na ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MSHIKAMANO INVESTMENT.


Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MSHIKAMANO INVESTMENT ilikuwepo tangu miaka ya tisini [1990's] na ilianzishwa kabla ya ALLY'S STAR, mwaka 1991. Ukiwa pale DAR ES SALAAM [MAGUFULI BUS TERMINAL] utaona hiyo kampuni ya MSHIKAMANO INVESTMENT na ukiwa pale DODOMA huwa zinaonekana.


Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], hawa wamiliki halali wa kampuni inayoitwa MSHIKAMANO INVESTMENT walihamisha watu wao wote waliokuwa wanaishi pale MSHIKAMANO na waliohamia baada ya hapo walikuwa ni WASWEZI na wananchi wengine waliokuwa wakihamia kutoka sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.


Pia huwa kuna wamiliki halali wa kampuni inayoitwa NGASERE [MWASELE, SHINYANGA], hawa nao walihamisha watu wao na kuwaweka katika kampuni za kibiashara ambazo wanamiliki wao.


Ukiwa pale SHINYANGA, kuna familia ambazo ni "ROYAL FAMILIES" na zinamiliki kampuni za kibiashara tofauti na wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU].


Hawa wote wanafuata MTINDO WA KIMAGHARIBI [WESTERN FORMAL OF LIFE] na wamefanikiwa kujijenga KIUCHUMI.


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kuna "ROYAL FAMILIES" nyingi ambazo zinauwezo wa KIUCHUMI na wanaendelea kufanikiwa kwa sababu hawana muingiliano na JAMII YA PUISSANTS [BSC], JAMII YA SERENGETI pamoja na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA.


Wale JAMII YA PUISSANTS [BSC] ndiyo hatari zaidi, kwa sababu wao tangu zamani walipokuwa wanahamia TANZANIA walikuwa wanaamini kuwa WATANZANIA wengi ni WAJINGA na ni kweli ukiwapa nafasi wanakufanya kitu mbaya. Hata kwenye masuala ya MAHUSIANO YA KIMAPENZI, hali huwa ipo hivyo.


Hii ndiyo sababu iliyopelekea hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kuwakwepa JAMII YA PUISSANTS [BSC]. Hawapo kabisa, hata kwenye kampuni za kibiashara ambazo zinamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Hata kwenye maisha ya kawaida, hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA huwa wanaangalia ni nani wanayezungumza nae? Au ni nani anayekupa taarifa? Kwa sababu kuna watu wengine hasa WALOWEZI huwa wana tabia ya KUCHAKACHUA taarifa kwa ajili ya masilahi yao.


Kwahiyo pamoja na kuwa na IDADI KUBWA YA WALOWEZI katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA - wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamefanikiwa kuwakwepa na wanafanya vizuri sana kwenye masuala ya KISIASA na KIUCHUMI kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.
 
Haha 🀣 lete Madini mkuu
Unajua kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA bado MFUMO WA VYAMA VINGI haujakomaa, ni tofauti kabisa na MAJIRANI zetu wa TAIFA LA KENYA.


MFUMO WA VYAMA VINGI ulianzishwa mwaka 1992 na VYAMA VYA KISIASA kweli vilipatikana. Lakini wale waliopewa majukumu ya kuongoza na kusimamia hivyo VYAMA VYA KISIASA hawavitendei haki kabisa.


Kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA sijajua tunakwama wapi? Lakini naamini kuna tatizo sehemu fulani πŸ˜‚


Kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ni ngumu sana, tena sana kutokea mabadiliko ya kisiasa kama ilivyokuwa kwa upande wa TAIFA LA KENYA.


Kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, jamii ambayo ilikuwa ina uwezo wa kuleta MABADILIKO YA KISIASA kama ilivyokuwa kwa upande wa TAIFA LA KENYA kupitia JAMII YA MLIMA KENYA, walikuwa ni JAMII YA SERENGETI.


JAMII YA SERENGETI ni jamii ambayo ilitumika na WAINGEREZA katika harakati za kupata UHURU WA TANGANYIKA kupitia CHAMA CHA TANU na hatimaye MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI, uliozaa TAIFA LA TANZANIA.


Lakini cha ajabu na kushangaza! Hao JAMII YA SERENGETI hawana CHAMA CHA KISIASA ambacho kina usajili wa kudumu kupitia OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA hadi leo - walikuwa na wanaendelea kutumika na CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].


Badala yake, kwa miaka ya hivi karibuni hao JAMII YA SERENGETI walianza majadiliano ya kutaka kununua CHAMA CHA WANANCHI - CUF.

Sasa katika hali ya kawaida, kuna mtu mwenye akili zake timamu ambaye anaweza akauza CHAMA CHA KISIASA ambacho kina usajili wa kudumu na idadi ya WABUNGE WA KUCHAGULIWA? Jibu ni hapana.. πŸ™πŸΎ


Kwahiyo, mabadiliko ya kisiasa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA bado ni safari ndefu na baadhi ya WATANZANIA waliyoyafahamu haya mambo tangu siku nyingi waliamua kujijenga kuanzia ngazi ya KIFAMILIA na hatimaye kuwekeza kupitia JAMII zao.
 

Continue
 
Mambo ni mengi mdau wangu, kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya tisini [1990's] - kuna WATANZANIA wengi ambao waliamua kuendelea na CHAMA TAWALA hata baada ya MFUMO WA VYAMA VINGI kuanzishwa mwaka 1992.


Hali kadhalika, kwa upande wa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] idadi ya wanachama wake inazidi kuongezeka siku baada ya siku.


Kuna WANACHAMA wa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kipindi wanajiunga na CHAMA TAWALA walikuwa hawana hata chumba kimoja pale MBANGALA ZAKHEIM. Lakini sasa hivi ni WAMILIKI wazuri wa kampuni za kusafirisha mizigo.. πŸ˜‚

Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] tulikuwa tumezoea kuambiwa "za SHIRECU hizo", baadae zikaanza kuingia LORI zilizokuwa zimeandikwa "MATAMBUU" na sasa hivi tuna "SAS".


Sasa hivi kuna baadhi ya WATANZANIA wanaenda sawa KIUCHUMI na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…