Tanzania ya "viwanda" imeishia wapi?

Tanzania ya "viwanda" imeishia wapi?

Magufuli aliagiza kila mkoa vijengwe viwanda. Mkoa wa Pwani waliitikia, wakaanzisha vingi tu. Ila ni ile aina ya viwanda vya Mwijage. Ukiwa na wake 4 una kiwanda cha kuzalisha watoto
Acheni utani na hawa binadamu,hivyo ndio viwango vyao vya weledi.
 
Nakumbuka miaka ya mwazo ya mwendazake wimbo wa viwanda uliimbwa sana na tukaambiwa mtu ukiwa vyerehani vinne basi unakiwanda.

Wakaenda mbele zaidi na kusema kila mkoa unaviwanda zaidi ya 100 (hapa figure siikumbuki vizuri ila ilikua kubwa). Na tukaambiwa mpaka mwaka jana Tz kuna viwanda zaidi ya 8400!

Sasa najiuliza je viwanda siku hizi vimeishia wapi? Mbona wanasiasa hawaimbi tena wimbo wa viwanda?
Kwani imebadili jina !
 
Tanzania ya viwanda ilikuwa na bado inabaki kama lengo jema la kukuza uchumi wetu kwa kupunguza imports na ikiwezekana kukuza exports.

Ili tufikie hapo, serikali (ofisi ya AG, hazina, wizara za uwekezaji na wizara ya viwanda) zingetengeneza financial instruments/soft financial leverage ili mkakati huo uwe halisi.

Bahati mbaya, waziri yule aliedai vyerehani 4 au machine za tofali ni kiwanda alikosa maono na mkakati mahsusi wa kufikia lengo.

Imagine nchi ndogo kama Sri Lanka yenye aneo la mraba 65,000 sqkm wanauza products za pamba (finished well designed cloths) kwenda soko la USA na EU.

Sri Lanka wanauza consumable tea ikiwamo Dilma moja ya brand 10 bora za chai duniani.

Mkoa wa Moro una eneo la 72,000SqKM.
Inatupa dhana Tz tunafanya kulimo cha mwaka '47 badala ya kufanya kilimo-biashara na viwanda vikiwa sehemu ya kuchakata mazao ghafi kwa kuwa na technology ya kisasa, mtiririko wa fedha utagusa sekta kibao kama fedha (banking, insurance and pension)

Logistics kwa magari kusafirisha raw products kwenda viwandani na kutokea viwandani kwenda bandarini kwa ajili ya exports.

Ni aibu Waziri wa fedha anawaza kodi na tozo badala ya kuja na mkakati mkubwa wa kukuza uchumi mkubwa.

Iko haja ya kuwa na think tank inayojenga mazingira ya private sector kukua kwa kuzalisha zaidi basics za soko la ndani, soko la SADC , soko la GCC watu walio jangwani na then soko la magharibi.

Napata tabu kusikia hata upanuzi wa bandari ya Tanga, debe ya kurejea kwenye drawing board ya Bagamoyo port husikii akili au mkakati kukuza uzalishaji ili kukuza exports.

Kinachosikika ni containers nyingi zitakuja toka China; containers zenyewe baadhi zina toothpick, leso, chupi, soft brooms, magunia ya kusindikia korosho, mifagio ya buibui hata nyama za ng'ombe na maziwa ya kusindika.

Uwepo wa mkakati wa kifedha ili kununua technology na know-how vingekuwa msingi wa Tanzania ya viwanda inayozalisha bidhaa, ajira na kukuza exports kwa kupunguza imports inakuwa halisi.

Tanzania ya viwanda ikitimia many of us will win; ikidoda kama sasa many amongst us are losing.
Ni aibu kusikia story graduates wa masters wanaendesha bajaji; haikuwa na maana kupeleka mtoto university then aishie kuendesha bajaji mtaani, sio sawa.

Weekend njema.
 
Acha viwanda, Lukuvi ali-trend na single ya kurasimisha kila kipande cha ardhi nchi hii, mawakala mahiri wa janja janja wakachaguliwa kwenye zoezi la upimaji maeneo kadhaa hapa Dar kwa shs 150000/200000..... Pamoja na mawakala wa ardhi kukusanya pesa kwa watu kwa ahadi ya kurasimisha na kutoa hati, hakuna kinachoendelea na ofisi wamefunga, Serikali za mitaa hawana majibu zaidi ya kunyoshea kidole wizara ya ardhi. Viwanda ilikuwa ndoto ya JPM ambayo haikutimia, na sidhani kama itakuja kutimia.... Labda Bagamoyo inayopigiwa upatu kwa sasa!!? 🤔
 
Tuko kwenye Tanzania ya masinema, script imeandaliwa na madame, sijui atakuweka kipande Cha Kawe namna alivyopigwa za chembe na muhuni Gwajima? Tuna chanjwa au hatuchanjwiiiiii?🎷🎺🎤🎵🎼🎶
Nakumbuka miaka ya mwazo ya mwendazake wimbo wa viwanda uliimbwa sana na tukaambiwa mtu ukiwa vyerehani vinne basi unakiwanda.

Wakaenda mbele zaidi na kusema kila mkoa unaviwanda zaidi ya 100 (hapa figure siikumbuki vizuri ila ilikua kubwa). Na tukaambiwa mpaka mwaka jana Tz kuna viwanda zaidi ya 8400!

Sasa najiuliza je viwanda siku hizi vimeishia wapi? Mbona wanasiasa hawaimbi tena wimbo wa viwanda?
 
Labda viwanda vya verehani hapo veta chang'ombe
 
Nakumbuka miaka ya mwazo ya mwendazake wimbo wa viwanda uliimbwa sana na tukaambiwa mtu ukiwa vyerehani vinne basi unakiwanda.

Wakaenda mbele zaidi na kusema kila mkoa unaviwanda zaidi ya 100 (hapa figure siikumbuki vizuri ila ilikua kubwa). Na tukaambiwa mpaka mwaka jana Tz kuna viwanda zaidi ya 8400!

Sasa najiuliza je viwanda siku hizi vimeishia wapi? Mbona wanasiasa hawaimbi tena wimbo wa viwanda?
Subiri mama amalize kupiga picha kwanza.
 
Waliwahi kuletwa na Kikwete ili wafufue TRLC, mambo yalifikia wapi.
Hahaha... reli tumerudia mara mbili..
Halafu reli siyo kiwanda.. viwanda huzalisha na kuuza na hatimae kupakia na kusafirisha!!
Dogo uliza Wazee...nenda Changombe uone viwanda!!
 
Back
Top Bottom