Mindi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2008
- 3,523
- 4,992
SGR wana vituo vingi tu vya kokoto. Vyote hivyo ni viwandaTangu Rais achukue madaraka hajazindua hata kimoja. Vile vilivyokuwa vinajengwa viko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SGR wana vituo vingi tu vya kokoto. Vyote hivyo ni viwandaTangu Rais achukue madaraka hajazindua hata kimoja. Vile vilivyokuwa vinajengwa viko wapi?
Waliwahi kuletwa na Kikwete ili wafufue TRLC, mambo yalifikia wapi.Tuwakaribishe tena WAHINDI warudi kutujengea viwanda kadha wa kadha....
(Rejea miaka ya 60s)
Wahindi wapo vizuri ktk viwanda...
Acheni utani na hawa binadamu,hivyo ndio viwango vyao vya weledi.Magufuli aliagiza kila mkoa vijengwe viwanda. Mkoa wa Pwani waliitikia, wakaanzisha vingi tu. Ila ni ile aina ya viwanda vya Mwijage. Ukiwa na wake 4 una kiwanda cha kuzalisha watoto
Sijui tunaelekea wapi kwa kweli!Hiki ktu nlikua najiuliza jana hv mbna wimbo wa Tanzania ya viwanda siusikii? Au kwa sababu sisikilizi taarifa ya habari sku hz?
Kwa hiyo magufuli alitudanganya sio?Tuwakaribishe tena WAHINDI warudi kutujengea viwanda kadha wa kadha....
(Rejea miaka ya 60s)
Wahindi wapo vizuri ktk viwanda...
Kwani imebadili jina !Nakumbuka miaka ya mwazo ya mwendazake wimbo wa viwanda uliimbwa sana na tukaambiwa mtu ukiwa vyerehani vinne basi unakiwanda.
Wakaenda mbele zaidi na kusema kila mkoa unaviwanda zaidi ya 100 (hapa figure siikumbuki vizuri ila ilikua kubwa). Na tukaambiwa mpaka mwaka jana Tz kuna viwanda zaidi ya 8400!
Sasa najiuliza je viwanda siku hizi vimeishia wapi? Mbona wanasiasa hawaimbi tena wimbo wa viwanda?
Wewe unaamini tuko uchumi wa kati!Ndiyo zimefanya tuingie uchumi wa kati.
Atafungua kiwanda gani kama havipo? Je Vipi hivyo vilikua vinajengwa?Tangu Rais achukue madaraka hajazindua hata kimoja. Vile vilivyokuwa vinajengwa viko wapi?
Aisee..!!Kama kila cherehani nne ni kiwanda, nadhani Tz mpaka kuondoka kwake tulikuwa na viwanda zaidi ya laki tano ukichanganya na midaraja ya ubungo na Tazara.
Magufuli aliagiza kila mkoa vijengwe viwanda.
Nikuulize wewe.Kwani imebadili jina !
MAFUNDI CHEREHANI wakiwa 5 tayari ni KIWANDA[emoji1787][emoji1787]Njoo mkoa wa Pwani ujionee Tanzania ya viwanda inavyomeremeta.
Ukifungia na gaidi ufipa hutaelewa chochote.
Tanzania ya viwanda ilikuwa na bado inabaki kama lengo jema la kukuza uchumi wetu kwa kupunguza imports na ikiwezekana kukuza exports.Nakumbuka miaka ya mwazo ya mwendazake wimbo wa viwanda uliimbwa sana na tukaambiwa mtu ukiwa vyerehani vinne basi unakiwanda.
Wakaenda mbele zaidi na kusema kila mkoa unaviwanda zaidi ya 100 (hapa figure siikumbuki vizuri ila ilikua kubwa). Na tukaambiwa mpaka mwaka jana Tz kuna viwanda zaidi ya 8400!
Sasa najiuliza je viwanda siku hizi vimeishia wapi? Mbona wanasiasa hawaimbi tena wimbo wa viwanda?
Nakumbuka miaka ya mwazo ya mwendazake wimbo wa viwanda uliimbwa sana na tukaambiwa mtu ukiwa vyerehani vinne basi unakiwanda.
Wakaenda mbele zaidi na kusema kila mkoa unaviwanda zaidi ya 100 (hapa figure siikumbuki vizuri ila ilikua kubwa). Na tukaambiwa mpaka mwaka jana Tz kuna viwanda zaidi ya 8400!
Sasa najiuliza je viwanda siku hizi vimeishia wapi? Mbona wanasiasa hawaimbi tena wimbo wa viwanda?
Subiri mama amalize kupiga picha kwanza.Nakumbuka miaka ya mwazo ya mwendazake wimbo wa viwanda uliimbwa sana na tukaambiwa mtu ukiwa vyerehani vinne basi unakiwanda.
Wakaenda mbele zaidi na kusema kila mkoa unaviwanda zaidi ya 100 (hapa figure siikumbuki vizuri ila ilikua kubwa). Na tukaambiwa mpaka mwaka jana Tz kuna viwanda zaidi ya 8400!
Sasa najiuliza je viwanda siku hizi vimeishia wapi? Mbona wanasiasa hawaimbi tena wimbo wa viwanda?
Hahaha.. jilinganishe na tembo!!India ingekua Nchi MASIKINI?
Hahaha... reli tumerudia mara mbili..Waliwahi kuletwa na Kikwete ili wafufue TRLC, mambo yalifikia wapi.
Hyt. JPM Alituhamasisha tuongeze juhudi na budii ktk ujenzi w Viwanda... Lakini waTZ bado unapenda mjadala na kuhoji..Kwa hiyo magufuli alitudanganya sio?