Tanzania ya viwanda inaendelezwa. Magari mia moja yaundwa Tanzania

Tanzania ya viwanda inaendelezwa. Magari mia moja yaundwa Tanzania

Kama hujui kuhusu trucks ni heri ukae pending uwaachie wengine wachangie, otherwise utajiaibisha mkuu.

Haiwezekani hiyo bei ya 140ml ikawa applicable kwa aina zote!! Ndio maana nikauliza specifiction ya gari na bei husika. Mimi nilitaka kujua hizo zilizounganishwa kwanza. Kama hujui kaa kimya sio lazima ujibu hauko kazini hapa!!
 
Kweli kina Mecco wengi, tofautisha kuunganisha na kutengeneza wewe Mwanakijiji wa wapi?
 
Haiwezekani hiyo bei ya 140ml ikawa applicable kwa aina zote!! Ndio maana nikauliza specifiction ya gari na bei husika. Mimi nilitaka kujua hizo zilizounganishwa kwanza. Kama hujui kaa kimya sio lazima ujibu hauko kazini hapa!!

Sorry mkuu! kuhusu specification zake hizo faw zilizopostiwa na mleta uzi sijui, labda atupe jibu kamili. Navyojua FAW zote zinazowasili nchini ni kutoka china.
 
Hii ni kama garage tu...unachukua vifaa china..unapewa na manual .wewe unaunga tu...
 
Back
Top Bottom