Tanzania ya viwanda inaendelezwa. Magari mia moja yaundwa Tanzania

Tanzania ya viwanda inaendelezwa. Magari mia moja yaundwa Tanzania

Achana na hiyo mikokoteni, tulishakuwa na kingine cha Scania, magari ya ukweli!
Chako kiko wapi.


Sisi tunaitafuta hiyo mikokoteni tunaambiwa yote imeshanunuliwa. Tuweke order delivery mwakani. Ina soko kubwa sana hiyo usemayo "mikokokteni."
 
Achana na hiyo mikokoteni, tulishakuwa na kingine cha Scania, magari ya ukweli!

Mkuu, faw huzijui vizuri ndio maana. Tipper scania haifui dafu kwa faw, tena kipindi cha mvua utaipenda faw tipa, hakuna zamazama hovyo, na yananguvu kishenzi, milima inapanda kama imesimama mzee.
 
Naona mnatukanana tu bila hata hoja ya kunufaisha wasomamaji. Kuna mtu kauliza bei ya hizo gari hakuna hata mtu mmoja aliyekuja na jibu!! Tuambieni hizo gari hata kama wanaunganisha tu hapo Kibaha bei yake ni shillingi ngapi?
140 kwendelea KM 0
 
Mkuu, FAW ni moja ya magari the best, bara bara zetu zenye mashudu na tope faw inapenya vizuri sana, bei yake ni milioni 140 kwendelea.
Ngoja nitafute moja litanifaa kwa ajili ya kubebea mazao mikoani kuniletea ghalani hapa town ofisi zao ziko sehemu ipi!!?
Dar wana ofisi?
 
Ni magari ya kochona au ya Kijapan? Hivi tunaenda mbele au tunarudi nyuma?

Tulikuwa na kiwanda cha kuunganisha malorry aina ya scania, matrekta aina Valmet, leo tunajivunia kuunganisha vigari vimekaa kama mikokoteni!!

Gari aina ya FAW TRUCK/TIPPER TRUCK unazijua vizuri? Je! Ushawahi kumiliki hata moja?
 
Chako kiko wapi.


Sisi tunaitafuta hiyo mikokoteni tunaambiwa yote imeshanunuliwa. Tuweke order delivery mwakani. Ina soko kubwa sana hiyo usemayo "mikokokteni."
Nimemjibu huyo ''chawa wa mwendazake'' anayedhani ni mara ya kwanza Tanzania kuwa na kiwanda kama hicho. Kama kawaida amekuja mbio mbio kutaka kuonyesha ''miujiza'' ya maendeleo iliyofanywa na awamu ya tano. Nimemuonyesha kuwa tulishawahi kuunganisha magari yenye viwango zaidi na hakukuwa na ''chawa'' wa kupiga kelele kama sasa.
 
Vehicle assembler? hiyo tu inatosha mkuu kumbe siyo kiwanda hata boda boda zinakuja kwenye mabox vijana wana assemble vizuri sn.
 
Back
Top Bottom