Tanzania ya viwanda inaendelezwa. Magari mia moja yaundwa Tanzania

Tanzania ya viwanda inaendelezwa. Magari mia moja yaundwa Tanzania

Kazi inaendelea sasa ni kazi ya kuendeleza viwanda. Msiotaka maendeleo kunyweni sumu.View attachment 1752977
Hiki siyo kiwanda mkuu,,,hili jengo lipo kibaha pwani,,,lina assembly magari,,,vipuri vyote vinatoka uchina,vinakuja na kontena vinaunganishwa pale,,,hakuna mtaalam alieko pale anaejua walau kuunda engine ya hilo faw
 
Kwa hiyo assembly factory unaipuuza?
 
Kwa hiyo? Tuache kujenga vingine?
Akili ile ile iliyoleta tatizo kamwe haiwezi kuliondoa/kulimaliza/kulitatua tatizo hilo.
Mwalimu J. Nyerere aliacha viwanda vingi sana,vikiwemo vya magari,lakini vikauzwa na kuuliwa na CCM hao hao ambao leo eti wanajaribu tena kurudisha "Tanzania ya viwanda"!.
 
Back
Top Bottom