Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Huyo hajawahi kuwa na akiliKwa hili jibu la kipumbavu kwa swali ambalo ni la msingi, nimekupuuza.
Jibu la ajira zilizopatikana kwa uwepo wa hicho kiwanda lingesaidia kuwaonyesha wale wanaobeza, kutambua umuhimu wa hicho kiwanda na jinsi WATZ wananufaika na ajira za kudumu na za muda.
Cha kushangaza umeonyesha upumbavu, na majibu yale yale ya kishabiki. Mpumbavu.