Tanzania ya Viwanda: Zaidi ya wafanyakazi 90% wafutwa kazi kwenye kiwanda cha Mihogo kwa Nape

Bil nne za kununulia wanazo? Au unataka wanunue alafu uwaite mafisadi?
 
Kama ni kweli sasa hapo hata waziri wa viwanda atasaidia nini? Maama WB na IMF wanasema uchumi wa dunia utaporomoka kama 3% . Sasa hivi Usa kuna zaidi ya watu mil 6 hawana kazi hivyo sababu nchi yao inajiweza walau wataanza kupata unemployment benefits.
Alafu hizo Cassava starch nasikia soko kubwa ilikuwa China kwa ajiri ya kutenezea vidonge, kwa hiyo soko limekata?
Na inaingia akilini kusema amewekeza bil 4 alafu hajapata hata sh 1 kwani kiwanda hiki kimezalisha kwa muda gani?
 
Bil nne za kununulia wanazo? Au unataka wanunue alafu uwaite mafisadi?

Kwani kununua lazima wawe na hardcash? Wanatakiwa wakope kwa sababu wanadhaminika, kisha watalipa kutokana na faida kibao watakayokuwa wanapata.
 
Taarifa nzuri mkuu, wahusika tafadhali okoeni jahazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ati tanzania ya viwanda nyooo..
wakati hakuna vifaa vya kupima corona, watanzania tunajiendea tu kama wanyama porini
Utakuta makodi makubwa ya kukomoa biashara na michango ya CCM imekuwa mingi michango ya Mwenge katika Malamiko huyo Mfaransa anaficha kitu anaogopa kukisema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…