Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
labda nikibadilishe , isiwe kuchakata mihogoMalala si wakuuzie hicho kiwanda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda nikibadilishe , isiwe kuchakata mihogoMalala si wakuuzie hicho kiwanda?
Hivi kuchakata ndio processing kwa Kiingereza?labda nikibadilishe , isiwe kuchakata mihogo
Bil nne za kununulia wanazo? Au unataka wanunue alafu uwaite mafisadi?Waziri mkuu Majaliwa na Nape wanunue hicho kiwanda wakiendeshe wao, ili watekeleze vizuri ilani ya chama chao ya Tanzania ya viwanda. Pia watahakikisha wanalinda ajira za watu wao. Pia watapata uzoefu na kujua changamoto halisi wanazokutana nazo wenye viwanda.
Kama ni kweli sasa hapo hata waziri wa viwanda atasaidia nini? Maama WB na IMF wanasema uchumi wa dunia utaporomoka kama 3% . Sasa hivi Usa kuna zaidi ya watu mil 6 hawana kazi hivyo sababu nchi yao inajiweza walau wataanza kupata unemployment benefits.Wassalam wana-JF,
Mwezi Machi mwaka 2019, waziri Mkuu wa JMT Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa alizindua kikubwa na inawezekana cha pekee Mkoani Lindi maeneo ya Mbalala jimboni Mtama kinachojulikana kwa jina la CASSAVA STARCH OF TANZANIA CORPORATION. Kiwanda ambacho kinajishughulisha na uzalishaji na uchakataji wa Mihogo.
Tangu huu mwaka umeanza mwekezaji huyo raia wa Ufaransa amekuwa na malalamiko mengi kuhusu kupanda kwa gharama za uendeshaji, huku akidai amewekeza Zaidi ya Bilioni 4 lakini hakuna hata shilingi mia mbovu ameipata kutokana na uwekezaji.
Kutokana na hali hiyo Zaidi ya wafanyakazi na vibarua MIA MBILI (200) wamefutwa kazi ndani ya wiki mbili hizi, na ametishia kufunga kiwanda na kuondoka zake kurudi UFARANSA au kwenda kuwekeza kwenye nchi nyingine.
Baadhi ya vitu ambavyo amefanya tofauti na kujenga kiwanda hicho ni pamoja na, kuajiri Zaidi ya wafanyakazi na vibarua 250 ambao walikuwa na uhakika wa kila wiki kupata posho kwa ajili ya familia zao (kimahesabu ni kuwa kama kila mfanyakazi mmoja ana wategemezi watatu hivyo Zaidi ya watu 750 walinufaika na shughuli za mwekezaji huyo), aliweza kuwekeza kulima Zaidi ya ekari 1000 za mihogo maeneo ya kijiji cha LIPOME, NAHUKAHUKA, NYANGAMARA na MBALALA yenyewe.
Pia aliwekeza kwenye mitambo kwa ajili ya shambani na pia watoa huduma mbalimbali walimtegemea kwa ajili ya kuendesha biashara zao mf Kampuni ya Usafiri kwa ajili ya wafanyakazi wake kuwapeleka na kuwarudisha shambani na wakati.
WITO WANGU KWA SERIKALI; Kupitia waziri wa Viwanda na Biashara kijana Innocent Bashungwa na Waziri mwenye dhamana ya KILIMO Japhet Hasunga ni wakati sasa kukaa pamoja na mwekezaji huyu na kuweka mambo sawa, licha tu ya kuwa wananchi wakazi wa maeneo ya Halmashauri walikuwa na matumaini kwa ajili ya kupata ajira lakini pia wakulima wadogo wadogo (out growers) walikuwa na matumaini makubwa ya kunufaika na Kiwanda hiki. Au mnaweza kumtumia Matthew De Klerk ambaye ndie General Manager wa CSTC Ltd.
Bil nne za kununulia wanazo? Au unataka wanunue alafu uwaite mafisadi?
Wassalam wana-JF,

Utakuta makodi makubwa ya kukomoa biashara na michango ya CCM imekuwa mingi michango ya Mwenge katika Malamiko huyo Mfaransa anaficha kitu anaogopa kukisema
Mjinga tu, hawezi kusubiri mpk muhogo ukue aamke kuvunaParagraph ya 2, gharama za uendeshaji na hajawahi pata hata mia mbovu kutokana na uwekezaji huo.
Sent using Jamii Forums mobile app