Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Vyombo vya habari vya nchi wanaoisaidia Tanzania tayari vimeanza kutumulika.
Kufuatia Polisi mkoani Mwanza kuwazuia wana CHADEMA kufanya kongamano lao la kudai katiba mpya.
Wahenga walisema kuwa hata mbuyu ulianza mdogo kama mchicha na sasa ndiyo naona wana CCM na viongozi wao wameanza kunyunyizia maji hako kambuyu ili kakue haraka.
Hii picha chini ni moja ya picha iliyo chorwa na msanii wa DW inayoonyesha madhaifu ya Serikali ya CCM.