Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #21
Hilo povu lako kafulie boxer lakoMmeanza ya kina kabendela,
Mnaandika vitaarifa vyenu huko kisha mnasema ni mataifa yanamulika.
Hamtaisha kuchawia mnakolala kisha mnamtafuta mchawi huku ni nyie wenyewe.
Hayo mataifa yenu yana shida gani na katiba yenu.